JINSI YA KUSHINDA ROHO YA KUKATA TAMAA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 141

  • @NaomiBinamunguKabate-gr6sv
    @NaomiBinamunguKabate-gr6sv 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ee mwenyezi Mungu Kuna muda ndio najihis kukata tamaa nalia natamani niache kuendelea kutafuta nakupambana naninachokihitaji Ila bado naimani ww utanisaidia nakuomba Mungu tafadhali nisaidie naomba unikumbuke Baba Maumivu haya naomba uyaondoe maishani kwangu fanya jambo kwangu na mm,, nikumbuke kama unavyowakumbuka wengine nitoe kwenye wimbo hili la Maumivu Baba,, Tafadhali nisaidie mm Mungu wangu

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 6 หลายเดือนก่อน +8

    Haya mahubiri yananihusu mimi,napitia mambo magumu sana kwenye ndoa yangu.Ila nitamaliza salama na nitavuka kwa jina la YESU

  • @maryzimba8057
    @maryzimba8057 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa kweli wengi tunaelimika na kubarikiwa na mafundisho yako Pastor George. Mungu azidi kukubariki katika huduma yako ya kuelimisha ulimwengu.

  • @WitnessKowero
    @WitnessKowero 3 วันที่ผ่านมา +1

    Oooh Mungu wangu nisaidie mm😢😢 nitoe kwenye ndoa ya mateso Baba

  • @kamanzamwauchi
    @kamanzamwauchi 22 วันที่ผ่านมา +1

    😢😢oooh God,, thank you,, am blessed,,🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏 MUngu naomba niende na neno la bwana😭

  • @lyaumarehani5576
    @lyaumarehani5576 ปีที่แล้ว +4

    Kwakweli MUNGU ni mwema siku zote, Mchugaji MUNGU akuzidishiye na zaidi tena, Mafundisho haya
    Yana nijenga kupitiya kiyasi. Ubarikiwe

  • @RajiTarie-d5c
    @RajiTarie-d5c 17 วันที่ผ่านมา +1

    Ameen nabalikiwa mno pastor be blessed

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 ปีที่แล้ว +4

    Amen mtumishi kwakuniongoza mafundisho haya barikiwa Sana 🙏

  • @MarcyZagabe
    @MarcyZagabe 2 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa saana Mtumishi wa Bwana
    Napenda tukualike Burundi

  • @joshuakisaukitonga5417
    @joshuakisaukitonga5417 9 วันที่ผ่านมา +1

    Amen pst kwanza mm huwa naanza maombi vizuri inafika maali nakata tamaa mpaka ninaacha maombi na ninaaza kufikiria vitu vingine karibu utuhubiriee kenya pst

  • @stacylinckonstacy4776
    @stacylinckonstacy4776 11 หลายเดือนก่อน +5

    MAY GOD BLESS YOU MAN OF GOD...AM HAPPY TO MEET YOU TODAY ON THIS TH-cam PLATFORM...I BELIEVE ITS GOD DOINGS...I'VE LEARNT ALOT FROM YOU...GLORY TO ALMIGHTY

  • @IANA2030
    @IANA2030 ปีที่แล้ว +4

    Very powerful authentic pastor🙏🏿🙏🏿🙏🏿✍🏾

  • @mathiasieliasi6450
    @mathiasieliasi6450 ปีที่แล้ว +3

    Mchungaji nabarikiwa sana na mafundisho yako Mungu akubariki zaidi

  • @user-lq3xg5ti1s
    @user-lq3xg5ti1s 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu anitiye nguvu nacoka nasikiya kukata tama kwakungoja ahadi

  • @HhMm-w3l
    @HhMm-w3l 8 วันที่ผ่านมา

    Namshukuru mungu kwa kunena Nami amen amen

  • @CatherineMakokha-dg6ws
    @CatherineMakokha-dg6ws หลายเดือนก่อน

    Amen and amen, I'm very blessed with teaching, be blessed in Jesus mighty name pastor, for blessings us in spiritual life, I'm very much humble, I give glory to God, this was my pray to here more from God and you teach me how to welcome our God all the time to be with us, 🙏🙏🙏🙏

  • @esterpius7423
    @esterpius7423 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Bwana Yesu umeniponya. Nimeinuka tena nasonga mbele

  • @dyesebelkamau9457
    @dyesebelkamau9457 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yani umeninenea ,swali nmekuwa nalo kwa muda mrefu umelijibu Kwa utaratibu ,,umenisaidia mtumishi wa Mungu na ubarikiwe Sana

  • @sfr92mp
    @sfr92mp ปีที่แล้ว +2

    Oooh my God,una nigusa kupitiya mahubiri iyi,mimi nime kuwa nisha kata tama kwa ndoa yangu,nime achana na mke wangu kwajili ya kukata tama,na sheti ametuiba zamu sisi wote,mimi na mke wangu,tume kata tama sasa ina kuwa muda wa mwaka na 3 months atuko pamoja. kwenye ndoa, mimi na ishi Australia

  • @dorothyshiyyo3370
    @dorothyshiyyo3370 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu kanikutanisha na mahubiri sahihi sana. Kwa kweli nimepona. Mungu akubariki sana. Azidi kuinua viwango vyako .

  • @jenifasimbuta6257
    @jenifasimbuta6257 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu hakika umenigusa.

  • @WitnessKowero
    @WitnessKowero 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutunze Baba

  • @anitashishi4118
    @anitashishi4118 หลายเดือนก่อน

    Nlikua nikate tamaa nitoke katika ndoa yngu lakin vile nmeskia hili neno najua ni mungu kanieka pahali apa Sio mtu Wala Sio mama mukwe walala bibi mkubwa ni mume wangu Mimi ni mke WA pili nlikua wa kwaza mwanamke akaja ana mtoto na mume wangu tukaa woote sa Mimi sina mtoto nahuzuniswa Kila mara wanataka kuniondoa katika nafasi yngu katika jina la yesu alie nikomboa kutoka gizani nmekataa tena kuria nasimama na jina la yesu na sitoki kwangu watoto utoka kwa mofa ata me nitapata wangu 😢 nashukuru saaana kwa kuhubuli kwako mchunguji mungu akupee maono zaidi 🙏🙏

  • @rahemaseleiman635
    @rahemaseleiman635 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu huwatumia watumishi wake kuokoa ulimwengu🤲🤲🙏

  • @naomingugi8451
    @naomingugi8451 25 วันที่ผ่านมา

    Amen and Amen. Mungu nisaidie powerful message 🙏

  • @everkivuyo8596
    @everkivuyo8596 ปีที่แล้ว

    Huyo Roho Mt alikujaza chakula hiki kimetufungua wengi ..Baba Mungu akuifadhi sana n kukupa neema zaidi tunapona wengi Mungu tunakushukuru sana umeshuka kupitia kinywa cha mt wako baba George..tx u Jesus

  • @alicell2804
    @alicell2804 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Bwana wa majeshi unipe neema na roho mtakatifu 🙏🙏🙏

  • @marykatunge6896
    @marykatunge6896 10 วันที่ผ่านมา

    Nasikiliza hili baada ya kukata tamaa..Nisha tuma ujumbe ya kwamba nmechoka..
    Mungu niongoze kwa njia mpya

  • @genovevaodoyo7216
    @genovevaodoyo7216 ปีที่แล้ว +6

    We need such word in today’s church haki , Neno la kweli limekuwa rare kupata . This is the truth and the truth shall set us free . Ts words like these that open the doors to God’s blessings. Be blessed Pastor 🙏

  • @user-jl2er1nb2p
    @user-jl2er1nb2p 7 หลายเดือนก่อน

    Oooooooh bab yangu asante kwa kunipa mtu sahihi katika maisha yangu na kunifundisha ninapo kata tamaa na kilio cha uchungu.....eeh baba usikawie na unipe maarifa na kuelewa neno lako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fatumaramadhani5974
    @fatumaramadhani5974 9 หลายเดือนก่อน

    Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwaajili yako na mungu kunifany nikujue baba. Mm ni mmoja wawatu nasikilizia Crip zako pastor zinanijenga sana.
    Siku ya Jumamosi tareh 21/10/2023 nikakutana na hii Crip pastor it's like ulikua unajua kinachoendelea kwangu nmeisikiliza hii nilipo malza nikama nmeshushwa mzgo baba Mungu akuweke sana najifunza vng kupitia wewe.

  • @cellinarua5652
    @cellinarua5652 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏 baba hili neno limeni gusa sana acha mungu akuinue mutumishi wa mungu

  • @tripletsmum-k3b
    @tripletsmum-k3b 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏 nmejifunza mengi kwa mafunzo yako be blessed 🙌 😇 🙏

  • @user-qm8cm9ny4r
    @user-qm8cm9ny4r 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen man of God

  • @rehema8094
    @rehema8094 8 หลายเดือนก่อน

    Amen mtusmishi hiyo roho naiona ikicheza sana ,kulaaumu ndo sana ila nimepata funzo notakaa nijifanyie mkutano namungu ataniregesha kwa hali yangu .ubarikiwe sana 🙏🙏

  • @MusaMasuka
    @MusaMasuka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana mchungaji

  • @user-rh5ni1ff3r
    @user-rh5ni1ff3r 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen baba sikati tamaa kwa kitu chochote

  • @PrescillarMazera-tm4bn
    @PrescillarMazera-tm4bn 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameen pastor umenisaidia Leo hii hata mm nilikuwa nimekata tamaa ilaneno lako limenisa

  • @kosopa-df3io
    @kosopa-df3io 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu alie hai tunaomba utuponye Mungu naomba unitie nguvu ✊️✊️✊️✊️✊️

  • @user-xg8xx2eh1u
    @user-xg8xx2eh1u 8 หลายเดือนก่อน

    Amina Mtumishi wa Mungu. Mafundisho Yako yananibariki sana.

  • @user-de6rm5et9v
    @user-de6rm5et9v หลายเดือนก่อน

    ahsanteee mtumish kwa neno la uzima

  • @imeldaathanas4246
    @imeldaathanas4246 9 หลายเดือนก่อน

    Ameni, asantee mtumishi Mungu akubariki.

  • @EsterSamweli-ri3eq
    @EsterSamweli-ri3eq 3 หลายเดือนก่อน

    Tumpate wapi mtu kama huyu ambae Mungu anakaa ndani yake. Asante pastor kea mafundisho

  • @WinnyElias-eh1im
    @WinnyElias-eh1im 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli Mungu ananipenda, Asante Kwa neno Mtumishi nna amani sasa

  • @Mimi1Wewe2
    @Mimi1Wewe2 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika mchungaji mungu akupe maisha marefu maana chakula Cha kiroho kila siku Ni kipya ubarikiwe

  • @user-dr5fd6ph5u
    @user-dr5fd6ph5u 8 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa nikiwa Kenya, God bless you so much Pastor 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-sn4dl4qb3g
    @user-sn4dl4qb3g 8 หลายเดือนก่อน

    Hizo habari za kuhubiri mabaraka sana ni moja ya upotofu ulimwenguni hilo njo neno sahihi la kumujua Mungu ili tujue kule tuko naenda ubarikiwe na mweyezi bado uko narudisha taifa kwa Mungu wetu

  • @franciscospencer15
    @franciscospencer15 3 ปีที่แล้ว +16

    Oooooh my God Mtumishi unaongea na mimi kabisa hii Roho yakukata tamaa imenikamata nimeacha na huduma kabisa

    • @user-ok8yk2ty9c
      @user-ok8yk2ty9c 8 หลายเดือนก่อน +3

      Asante Yesu hili neno ni kwa ajili yangu

    • @imeldalaizer8147
      @imeldalaizer8147 7 หลายเดือนก่อน +2

      Asante kwakunikumbush ubalikiwe san mtumishi ,piya ongela kwakuona mwaka mbya

    • @AffectionatePassport-ow9ps
      @AffectionatePassport-ow9ps 19 วันที่ผ่านมา

      Mungu.akubaliki.kazi.yako.ni.njema

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu uishie niondolee moyo wa kukata tamaa

  • @EbenezerEzra
    @EbenezerEzra 26 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi nashukuru sanaaaa .Umefundisha mpaka umegusa maisha yangu.

  • @ShamalaRodgers
    @ShamalaRodgers 18 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo zuri Pastor

  • @PeterG-mi4hu
    @PeterG-mi4hu 9 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli pastor unayosema mungu akubariki

  • @user-ho6zt4ix3c
    @user-ho6zt4ix3c 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika nimepata upenyo Mungu akubariki mtumishi

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 21 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba team yangu isolate tamaa

  • @akwadaniel5383
    @akwadaniel5383 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤🎉

  • @lovenessdastan5943
    @lovenessdastan5943 7 หลายเดือนก่อน

    asante kwa kunigusa mtumish nilkuwa napanga nijiondoe kazn

  • @obbykimbale9842
    @obbykimbale9842 9 หลายเดือนก่อน

    Endelea kutumika shambani mwa bwana. Mungu baba anakutumia Sana barikiwa sana

  • @user-qy1jm6qt8g
    @user-qy1jm6qt8g 8 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏 powerful preaching

  • @user-ys3oy1li2d
    @user-ys3oy1li2d 9 หลายเดือนก่อน

    Ameen barikiwa mtumishi

  • @PatrickKanini-vi4zp
    @PatrickKanini-vi4zp 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor nasema ni asante kwa vile unavyo nitia moyo 🇰🇪🇰🇪

  • @mapendoumoja800
    @mapendoumoja800 3 ปีที่แล้ว +1

    NZAMBE YA LOLA ABAKUSENAYO MIKOLO YAKOTEYA BIKELAMU NAYE APAMBOLAYO MINGI Amen

    • @estersilvester9792
      @estersilvester9792 2 ปีที่แล้ว

      Huyo mwanamke alijiondoa kwandoa yake Mume akaoa mume kufanya hivo anahesabiwa haki

  • @jonasmbala1326
    @jonasmbala1326 หลายเดือนก่อน

    Mtumish barikiwa sana ninakufuatilia sana mafundisho ya Neno la Mungu ukweli nimejifunza mengi ya kunifunza kwenye somo hili la roho ya kukata tamaa naomba namba yako mtumishi

  • @lightnessmunisi7650
    @lightnessmunisi7650 9 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina mtumishi wa MUNGu

  • @user-zc9mu8ie6t
    @user-zc9mu8ie6t ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki postor yan baraka zake ziambatane nawe

  • @clovislight
    @clovislight ปีที่แล้ว

    Shalom mtumishi naitwa Clovis Light Niko muhumbiri piya muhimbaji Burundi kweli unanibarikiri sana mtu ubarikiwe baba

  • @carolynesimiyu3460
    @carolynesimiyu3460 ปีที่แล้ว

    Hili ndilo neno,,,be blessed my online mentor

  • @godfreydavid6996
    @godfreydavid6996 หลายเดือนก่อน +2

    Miezi minne iliyopita nilitizama video hii,nilishakata tamaa.Nikawaza kuacha kazi na nikawaza kujiua..Nilimkabidhi MUNGU mapito yangu leo hii niko kazini na nimepewa mkataba wa miaka mitatu na mshahara mzuri na roho ya kukata tamaa imeenda kuzimu.Bwana YESU asifiwe.

    • @marthaephata3361
      @marthaephata3361 หลายเดือนก่อน +1

      YESU Aansaidie kuwaachilia niliowaweka ndani ya moyo wangu nisikate tena tamaa kwa mafundisho ya mtumishi nitashinda roho ya kukata tamaa

    • @godfreydavid6996
      @godfreydavid6996 หลายเดือนก่อน

      @@marthaephata3361 Mungu akujalie kila hitaji la moyo wako,usikate tamaa kwa jina la YESU.

  • @brownabdul1016
    @brownabdul1016 ปีที่แล้ว

    Amina mch nimekwelew

  • @lightnessmunisi7650
    @lightnessmunisi7650 9 หลายเดือนก่อน

    Baba umenitoa mbali sana kwa mafundisho yako

  • @matabishimuturanyi8467
    @matabishimuturanyi8467 3 ปีที่แล้ว +8

    Nimepata musaada kwa hiyi neno naomba namba yako ya WhatsApp

  • @rehemakatana1137
    @rehemakatana1137 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana aki hili neno ni la kwangu

  • @MAG-yb5ez
    @MAG-yb5ez 6 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah barikiwa

  • @josephenemuthuri5351
    @josephenemuthuri5351 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana pastor,Kila wakati nakushikiliza na soma jambo jipya. Amen

  • @priscaputa8442
    @priscaputa8442 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana mtumishi mafundisho yako yanatia moyo

  • @Vivituma
    @Vivituma 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🙏 baba, Mungu akubariki.

  • @dorothyshiyyo3370
    @dorothyshiyyo3370 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi ananena mambo makubwa ya Mungu kwa ajabu kubwa. Mungu amtumie sana.

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 ปีที่แล้ว

    Hallelujah baba Amen

  • @anociatafungameza
    @anociatafungameza 4 วันที่ผ่านมา

    Kweli Baba maombi ya kuua wachawi na mapepo yanachikua nafasi sana huku kwetu. Lakini tuliempokea si mkuu kuliko wachawi na mapepo? Mungu tusaidie.

  • @NellyKadenyi-qc3em
    @NellyKadenyi-qc3em 2 หลายเดือนก่อน

    Amen mungu tenda

  • @flaicombilinyi2426
    @flaicombilinyi2426 3 ปีที่แล้ว

    Umenifunza jambo Mungu akubariki sana

  • @aggreymaloba7683
    @aggreymaloba7683 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa huyu ni Mimi kabisa mara mingi nimetaka kujiondoa katika uongozi kanisani

  • @VioletFlora-qx5xl
    @VioletFlora-qx5xl 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @user-iy2qb4iu7d
    @user-iy2qb4iu7d 3 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @user-qg7po1cd8k
    @user-qg7po1cd8k 8 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @KadzoF0ndo-vs7vd
    @KadzoF0ndo-vs7vd 2 หลายเดือนก่อน

    Emen ubarikiwe

  • @hellenmurei1709
    @hellenmurei1709 10 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeen 🙏

  • @chalottedusabe7327
    @chalottedusabe7327 11 หลายเดือนก่อน

    Amena Amena

  • @Delreenqueen
    @Delreenqueen 3 ปีที่แล้ว

    Yes Amen

  • @richardwafula6996
    @richardwafula6996 ปีที่แล้ว +1

    Ni neno la nyakati

  • @emmanuelsiara192
    @emmanuelsiara192 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeen

  • @samwelilusambo1637
    @samwelilusambo1637 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @mancamushi
    @mancamushi ปีที่แล้ว

    Hakika mtumishi hili neno limenilenga mimi

  • @esterpius7423
    @esterpius7423 11 หลายเดือนก่อน

    Jesus is alive. Thank you for speaking with me..I am healed

  • @veronikaaugustino2258
    @veronikaaugustino2258 2 ปีที่แล้ว

    AMINA

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor hapo umeongea na mimi!

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 3 หลายเดือนก่อน

    Siatasahau matendo makubwa aliyonitendea Mungu.

  • @titokayombo2207
    @titokayombo2207 3 หลายเดือนก่อน

    Ivi napataje mawasiliano na uyu pator