MAUAJI YA KUTISHA DAR! MWANAMKE AKUTWA AMEFARIKI GUEST TEGETA/ALIKUA NA MPENZI WAKE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 มิ.ย. 2022
- MAUAJI YA KUTISHA DAR! MWANAMKE AKUTWA AMEFARIKI GUEST TEGETA/ALIKUA NA MPENZI WAKE
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Wanaomkubali mwenyekiti like kama zote
Mwenyekiti shikamoo.upo vizuri sana naomba wengine waige kutoka kwake
Mwenyekiti, Gombea UDIWANI KABISA, 💪 NA BAADAE UBUNGE KABISAA, UKO VIZURI SAAANA
Daaah...
Binadamu wabaya sana.
Ila Mwenyekiti kaupiga mwingi...
Uwe mbunge sasaaa
😂😂😂yaan Bora angekuwa mbunge wa tegeta
DAH NI MSIBA LAKIN IMENIBID NIANDIKE JUU YA HUYU MWENYEKITI.he is the best to be honesty..Polen sana Jiran zangu wana tegeta
Hotel hakuna kamera mbona mnazingua
Kaka umeongea kwa hekima sana hongera mno
Mwenye kiti umeongea vizuri. adiraha mwenyezi mungu akujarie ishara
Nimempenda kiongozi.
Huyu mwenyekiti anatakiwa agombee ubunge kabisa.ana akiri nyingi sana.nimekupenda Sana.
Umeonaeee Yuko sawaa
Allah atupe mwisho mwema inshallah tufe tukiwa tumesjudu amina
A'min Ya Rabb!
Allahumma Amiyn🤲
Amini
Amiin allahumma amiin
Ameen
Rip marehemu. Mwenyekiti uko vizuri wewe ni kiongonzi mzuri pongezi
Unafaa kuwa DC
Aseee Mwenyekiti uko poaa mnooo unaongea vituu vina make sense 🔥🔥🤝🤝
dah wenyekiti wote wangekuwa kama huyu jamaa bc mitaa yetu inguwa na amanai sana 🙌
Mungu naomba utuepushe na upepo huu m baya kwenye taifa letu inshaallah 🙏🙏🙏
th-cam.com/video/3TjWs1AvRAo/w-d-xo.html
Uwezi kunusuliwa ikiwa kama ww utaki kujiondosha ktk maaswi
@@wazirihamisi6484 kwel
@@magrethjohn4929 ndio ivyo my magreth MUNGU KUTUTUMIA MITUME MANABII LENGO KUTUFUNDISHA MATENDO SAHIHI AMBAYO MUNGU WETU ANAYO YA PENDA VITABU VYA DINI AVIJAACHA KITU NA MITUME AWAJAACHA KUFUNDISHA WW TU MWENYEWE UCHAGUE KWA KWENDA LAKINI KILA KITU KIKO WAZI HAKUNA MTU ASIE FANYA BAYA KISHA AJUI KUA HILI NI BAYA ISIPOKUA KUYAENDEKEZA MATAMANIO YA NAFSI NA TUNAAMBIWA NAFSI ILIVYO KAMA MTOTO UNAVYO ILEA NDIO INAVYO KUA NA INAVYO ZIDI KUKUTAWALA AKILI NA KIMWILI NK KWAHYO KIKUBWA TURUDINI KTK DINI NA MAANDIKO MY
@@wazirihamisi6484 Tuombe Mungu atujalie neema zake na tufanye yale yaliyo sahihi machon pake na sisi kwa sisi
Dah uyu mwenyekiti uchaguz ujao apewe udiwani👏👏
Uko vizur sana mwenyekiti niritanan ue kwetu uku mbagar
Mud nae amekuwa mwenyekiti ckuiz hongera Kaka mpe hi idrisa
Mwenyekiti upovizuri sana,RIP ndugu yetu
Pole sana mh mwenyekiti na hongera kwa kanzi nzuri
Hongera Mwenyekiti kwa hekima na busara zako. Unafaa kufikiriwa na Mhe Rais kwenye teuzi zake. Wewe ni mfano wa viongozi vijana bora na wenye hekima na busara.
Hongera kiongozi
Hongera mwenyekiti, R.I.P dada
Mwenyekiti anafanana na diamond
Dah I say poleni sanaa wanategeta wenzangu na pia namuunga mkono ndugu mwenyekiti wa serikali za mtaaa alichoongea kuhusu Masada zetu plzzzz you have to be careful kuhusu hzo ajira zenuuu mi kassim chuo nikiwa Qatar plzz naombeni muwe makini sanaaaa dada zetu.....
Sawa kaka asante
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah awarehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu.. Yarrabi muadhibu aliye fanya unyama huo kwa kumuweka hadharani.
Mmmmmh mauaji haya mpaka lini jamani Ee Mungu atuepushe na janga hili baba 🤲🤲🤲
YAA RABBY KILA SKU MAUAJI CHANZO MAPENZ
YAAN HADI HOFU
Mwenyekiti uko vzr embu fanya uwe mbunge unastahili sana..mambo yanatisha jmn kila kukicha matukio🙌
Mwenye kiti congratulations
Wallah wanaume munao fanya hv, Mungu anawaona!😭😭🤲🤲🙏 skuhz wanawake tunapambana nakuwazdi kipato wanaume, bas ndo mnaamua kutuuwa? Huo niwivu wamaendeleo na si wivu wa mapenz. Tumrudie Muumba wetu.
Mwenyekiti upo sawa big up sana
Shikamoo mwenyekiti upo vizurii Sana
Hongera mwenyekiti RIP dada
Mwenyekiti uko vizuri
Hizo guesthouses waweke utaratibu asiingie mtu Bila kitambulisho cha taifa au passport
Haijawa kinga kabisa,maana Tanzania kwa kughushi hatuwezekani
Kuna wadada wanajiuza pale wa mtandaoni hua wana Kodi vyumba pale
Kweli lakin pia hata kutoka kma walikuja wawil sio ruhusa kutoka mmoja pekeake hata kma anatak kwenda dukan waende wote au muhudum akahakikishe chumba
Wewe vipi
Ni wazo zuri lkn sio rahisi kama unavyofikiria kuwa litadhibiti uaji...muuaji ana mbinu nyingi sana...kama mdau alivyosema wabongo kwa kugushi ni kiboko...wale wahudumu siio rahisi kugundua kama ID ni halali au fake
Labda wafunge machine kama za Airport
Yaani scanning machine...na wenye guest wakizidisha masharti hawapati wateja...na kuna wateja wengine wameshaxoeleka pale walishatoa ID zao kwa hiyo wamekuwa kama ni nyumbani
Sasa anapokuja na mgeni hauwezi kumzuia...
Hongera sana mwenyekiti uko vzr
Mwenyekiti uko vizuri kimaelezo
Umeongea. Point kakangu Ongera sana mwemwejo
Kwani viongoz mpka sasa wanawaza nn kuhusu haya mauwaji yanayoendeleaaaaa?? Wapo kimyaaa kazi kuongeza matozo tyu looh pooh
Mwenyekiti ZANZIBAR HUKU TUMEKUELEWA
Nikweli mwenyekiti lamda iwekwetaratibu kuakila anaeingia nyumba ya wageni awe na kitambulisho chake. Hitasaidia sana kwasababu SIO Kila anae ingia nyumbahizi ni mhashrati ,🏘️🛖
Allah tuepushie balaa hili hii nchi yetu inaenda wapi?
Mwenyekiti yupo vizur
Dah nchi hii jamani mpaka tunaogopa kusalimia 😭😭😭😭😭🇹🇿🇦🇹
Nikote Da , hata hapa Kenya,mambo ni hayo hayo, Mwenyezi Mungu atuepushie
Vitu kama hivyo india ni kawaida sanaaaaaaa, watu wanajichoma moto wenyewe eti kisa kufokewa tu na wengine wanajiua kwavile wanabakwa na wengi wao sababu ya maisha magumu ila wengine wanaiwawa kwasababu ya mafanikio
Dah mwenyekiti kaongea vzr sana tatizo bila shaka ni usaliti wa mapenz. Lkn vijana hasa wanawake wanakufa sana Tena sana .Ifike wakati tamaa ikae oembeni Ili mambo yasonge.
Mwenyekit kijana
Mwenyekiti yupo vizuri
Kiongozi upo vizuri piga kazi
Siku hizi nyumba za wageni zimekuwa nyumba za wenyeji
Mimi nimekuja kumsikiliz mwenyekit tu jamani anajua kujieleza🙏
Mwenyekiti uko saw kbs
Mm maoni yangu m kiti agombee urais mchezo uishe kbsa nipeni like zangu
Unaongea ajabu kilahisi agombee uraisi hajapita ubunge uwaziri rabda kwa shelia yako atapita angani apate uo uraisi 😲
Kwamara ya kwanza ndio ona mwenyekiti anaeongea poiti tu ..allaj akuwezeshe
Mwenyeki jamani duh ongera sana shemeji yangu
Mwenyekiti 👌
Chairman anajua namna ya kujieleza vzr
We mwenyenzi Mungu tunusuru na hili ganga la mauwaji Wanawake wenyewe wachache bado wanatupunguza.!!!!!.
Mungu wangu utunusulu na hili janga la wanaume kutuuwa sisi wanawake
Hii sasa si nchi tena Bali ni dampo la maovu TUKISEMA RIP DADDY JOHN WALE WANA KASILIKA REST IN HAPPY DADDY TUNAMKUMBUKA SANA
Tutaikimbia hii nchi sasa
Yaani, shetani anaitawala nchi.
@@babamarry6350 hapafai kikweli kila siku watu wanauliwa
Acha wachukie,ukweli utabaki
Waliokutwa ktk viroba wakati ule?
Hatuwezi kukwepa haya Mambo ya vifo vya ajabu tuache dhambI na tumuludie Alie TUUMBA bila hivo vifo havikomi shetani yy Hana rafiki mmmmh ole wangu mm Mambo yamekuwa mengi
Wahudumu wa Gest anzeni UTARATIBU wa wageni wanaokuja kutaka huduma za vumba vya Gest razima mtake vitambulisho vya ulaiya kidogo mauwaji yatapungua kwenye magest
Mungu tusaidie hii nchi inaelekea wap? Jamn kila siku mauaji
Mwenyekiti umefanana na diamond
Huyu Mwenyekiti yuko makini sn unasikia raha kumsikiliza akiongea na anakupa Mafunzo mazuri sn ukimzingatia
Mungu utujaliye mwisho olokuwa mwema
huyu kweli ni kiongozi bora😂
Wanaume wamechukulia kuuana kama kamchezo ka kubet hawachukuliwi hatua kali ndio sababu wanaendelea
Kwani Wanawake hawaui
Innalillahi wa Inna ilayhi raj'uun....Dunia imefikia mwisho mauaji ya kutisha yamekithiri sana, mbona binaadam tumekuwa wakatili kiasi hiki? Hivi tumesahau kwamba unapomuua mwenzio unaibeba mizigo yake yote na bado adhabu inakusubiri kwa Mwenyezi Mungu?
RIP pole sana wafiwa japo hajajulikana ni nan inauma
Dah!jamani naogopa jamanj😭😭😭😭
Jamaa kaongea vzr sana
Hizi guest ziwekewe CCTV camera ili kila anaiye ingia wawe na picha zao ili likitokea balaa km hilo unakua na picha zao wahusika
Hilo nalo nenooo
Hazieez wekwa chumban
@@janethkilonzi4260 kwenye kordo,na mapokezi,kuwe na masharti ukifika mapokezi uvue kofia na miwan cctv vikutambur
@@mhiyaoswedi4499 kabisa
@@mhiyaoswedi4499 KABISAA
Wivu wa mapenzi gani hayo ?
Serikali iwathibiti watu wanaofanya mauaji haya.☹️😏🙃😭.
Wanaopigania haki za binadamu huko Tanzania mko wapi ?!..
wanaopigania wengi wako kwenye usawa wa kijinsia tu na mambo ya LGBT huku kwenye mambo ya uhai wa watu wako sloow sana
Yaani siku hizi haya hawasikiki kabisa hao haki za binadamu mauaji kila kina jamani serikali nayo kimya tu sijui mpaka nani au wawe ndo waanze kusema na kufuatilia
Kama napaona hpo lavi park mitaaa ya kazi zng ninaponfanyia yaani dah i say poleni sanaaaaaaaaaa nduguu
Utawala huru vifo saiv kama maji mina sema wanaume jipangeni mungu aliona kuwa nani amafaa kua viongozi ss tutakimbiana hapa
Nashukuru mungu kwa kuendeleaa kuwa single 🤣🤣😄mana hakuna mtoto wa mty atakaye niua ....labda kingnee 😋😋
Kama imepangwa hivyo basi wakati ukifika utajitongozesha tu
@@nasibugunda7927 poleeeh
Wala aihusu
Wala aihusu
Dahhh mimi naogopa hata kuozesha watoto wangu jamani kila siku matukio mume na mke
Mapenzi inatisha sana
Respeck to you,,, cause confidance is first,,, is100%
Marehemu hawezi kukutwa amefariki mwandishi rudishule unazidiwa na mwenyekiti
Mtihani Wallah sio ndoa sio mahawara sio wakudanga cku hizi vifo tu wanawake yarrab tupe shufaa ya hili janga
Aamin yarrabi🤲
Aaamiiin
Kawaida mgeni si anaonyesha vitambulisho na kuandikishwa? Sasa ilikije?Mwenye hotel awajibike!
Kabisa👏👏
amezungumza vizuli sana
Mwenyekiti ilibidi upandishwe cheo,
Mbona kafanana na diamond
R.i.p ndugu mapenz ya sikuhiz ni vita
Jamaa ajua kuongea
HII NCHI SASA IMEHARIBIKA, NA INANUKA MAUTI @ KUKICHA MAUJI SEHEMU
Wewe endelea na umalaya huku ukisema nchi ina mauwaji.
Acha umalaya utulie na muache tamaa na ulafhai kisha hamtayaona haya
M mungu atustiri yarabb
Inna lilah waina ilayhi rajiun
Pandisha cheo uyu
Jamani poleni sana wanategeta kwa hilo jamani nchi kila siku mauaji mungu tusaidie
Kabisa kabisa
Mwenyekiti bora Kabisa wa mtaa
Hofu imenitawala kwakweli 😭😭 maana kila siku vifo vya mapenzi tuuuuh.
Nilishawahi kulala hiyo Lodge,ipo karibu na Kituo kidogo cha Polisi Tegeta,wanajaaga machangudoa sana hapo kwenye hiyo Bar na hiyo Lodge
Nawewe pia itakua ulikua na changudoa
@@stelasianga9468 changudoa mwenyewe ulikuwa wewe STELLA SIANGA
😂😂😂
Kwahiyo ukienda gesti kama hawakujui wasikupokee? Watu wengi wanaenda gesti sehemu ambazo hawafahamiki,
Wadili na Wahusika WA hotel Tu,,lakini kusema wasipokee watu wasiowajua ikiwa hizo ninyumba za wageni inakuangumu kidogo mana mgeni nimtu asiojulikana,,,,,Chamsingi wadili na Wahusika Tu hapo walipokuta mwili WA marehemu,,,,
tukipata wenyekiti wa mitaa kama huyuu jamaa tungekuwa mbali zaidi aisee
wewe ni zaidi ya mwenyekiti inspector kabisa
Yupo vizuri sana
kabisa
Apewe ukuu wa mkoa huyu
Mwenyekiti mwenye uelewa
Daaaa jamani hivi haya mapenzi ya namna hii yanatupeka wapi? Kila ck vifo vinavyohusiana na mapenzi sasa haya mapenzi si bora tuachane nayo? Daaaa masikini wa Mungu unajua umepata mpenzi unaenda naye gesti kumbe ndio unaenda kuiaga dunia. Mungu aendelee kututetea ktk kipindi hiki kigumu ambacho watu wamekosa hofu ya Mungu.R.I.P
Daaah ndani risasi gest kuuana tutabwedana wapi jamani
ASA hivi bongo tuogopane boy friend na girls friend na mume na mke Bibi na bwana imekuwa tuko machinjioni yaana kama tumeingiliwa na jini wala damu miaka yote sijawahi sikia matokeo mfululizo yakuuwana lakini tangu Baba magufuli ameondoka yaani yupo machinjioni
Magufuli yake yashakwisha Duniani...lakini huo ni UHUNI wa baadhi ya Wananchi. Mara panya Road mara kuku Road,mara uhuni mara wanawake wanageuzwa miguu ya punda uhuni. mtupu ..