LIVE: MPINA AVUNJA UKIMYA, AANIKA MAMBO MAPYA YA KUTISHA BAADA YA KUFUKUZWA BUNGENI "NIMEONEWA SANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 มิ.ย. 2024
  • #uhondotv #uhondo

ความคิดเห็น • 1.5K

  • @noelyhaule5695
    @noelyhaule5695 วันที่ผ่านมา +104

    wanao sema 2025 kitaeleweka gonga like hapa

    • @babukije268
      @babukije268 วันที่ผ่านมา +1

      Fanyeni kama Kenya

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 วันที่ผ่านมา +1

      Hapa hii ni isidingo kuna kitu kinapitishwa chin chini

    • @hassan-sarumbo
      @hassan-sarumbo 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      umeonae😂😂​@@youngsachafurniture5482

    • @hassan-sarumbo
      @hassan-sarumbo 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      gen-z bado maisha hayaja tupiga ngoja yachanganye😂

    • @user-cv4yi5hz9b
      @user-cv4yi5hz9b 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Qumamke walahi 🤔🤪😩🤪

  • @shukuruphanuel1729
    @shukuruphanuel1729 วันที่ผ่านมา +53

    Love this Guy, ni Binadamu halisi mwenye Ufahamu na anatumia ubinadamu wake vema

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt วันที่ผ่านมา +18

    Mungu Mwenyezi akulinde na akufunike kwa Damu yake takatifu,waabike na wafedheheshwe wote wanao kuchukia big up kwa Mpina

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 วันที่ผ่านมา +43

    Ila Mpina bana wewe ni mwamba kweli kweli hadi speaker kajichanganya ww nomaa akili kubwa sana hiyo ni yawachache wewe ni mzalendo wa kweli kabisa unapigania taifa letu👍👍👍👍👍

  • @hassanimngetege2904
    @hassanimngetege2904 วันที่ผ่านมา +16

    Wenzanko walikusaliti baada ya kulambishwa sukari ya kisomali pole sana mh.ila Naamini nafasi Yako ipo Mungu atakupandisha tu🎉🎉

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s วันที่ผ่านมา +34

    Ongea mtanzania mzarendo wa nchi hii, mbunge Mpina,be blessed 🙏🙏

  • @emmanueltarimo892
    @emmanueltarimo892 วันที่ผ่านมา +36

    LUHAGA MPINA..A.K.A GEN Z..BIG UP. PAMBANA.

    • @karimmveyange280
      @karimmveyange280 วันที่ผ่านมา

      NAONA HURUMA SANA KWA SABABU HAKUNA USHIRIKIANO. WALE Gen Z WAMETOA SOMO KWA WANANCHI WEEENGI KWA HII AFRICA. MPINA ANAPAMBANA NA ANASHIKILIA HAKI, LAKINI MJENGONI WANATABIA KINYUME,VINYONGA. HIZI NDIZO ZAMA ZA ATAKAYE SHIKILIA HAKI ITAKUWA KWAMBA NI SAWA NA ALIYE SHIKILIA MKONONI MKAA ULIOKOLEA MOTO.IKIWA HANA COMPANY ATAACHIA TU,AU NAYE ABAKIE KIMYA AKILA KITU KIDOGO .Gen Z WAMEADABISHA BUNGE POYOYO NA SERIKALI KOLONI

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 วันที่ผ่านมา +34

    Mungu akutie nguvu Mh Mpina ukweli wa Mungu umeonewa na wananchi tumeonewa na kudharauliwa sana huna kosa kabisa ila spika ameamua kumlinda mwizi ambae katika uongozi wake uyo waziri wakulima tumeuziwa pembejeo feki wakulima wa tumbaku chunya wanalia mborea feki na ushahidi upo wakulima wanalia sukari ameingiza pasipo code ila iko juu kuliko nchi jirani ukweli inauma sana.

  • @paulsamuel5691
    @paulsamuel5691 วันที่ผ่านมา +45

    Ubarikiwe sana Luhaga Mpina mungu yupo nawe

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 วันที่ผ่านมา +8

    Bunge lipo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wapigaji na sio kwa ajili ya wana nchi,VIVA MPINA mapambano yaendelee

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw วันที่ผ่านมา +14

    Yaan kiufupi tu pina wew ni jembe ❤❤❤ ndo maana wanakupiga mawe mti mzr mwenye matunda lazima upigwe mawe cha msingi Pina wew piga kazi wengine ni watanzamaji tu mungu atakuongonza na arakupingania nami nakuombea

  • @evodirudo4813
    @evodirudo4813 วันที่ผ่านมา +8

    Viva Luhaga mpina,
    Tunakupenda watanzania .
    Wewe nimbunge pekee uliyebakia mwenye kujitambuwa na mzalendo wakweli.
    Mungu akujalie afya tele mpaka kieleweke, walio kushambulia tuna mashaka nao wote walionekana kama machawa badala ya kuwa watetezi wa raia

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 วันที่ผ่านมา +12

    Hongera Mpina mzalendo haswaaa walittaka umpelekee Spika huo ujumbe ili aufiche umekuwa mkweli na Mungu yu pamoja nawe haya mabweha mwisho wao uu karibu big up sana

  • @hoseakamchapekaponya3502
    @hoseakamchapekaponya3502 วันที่ผ่านมา +18

    Tunatambua kazi, zako kaka mpina, big up ! Endelea hivyo hivyo mungu atakulinda

    • @sundayyohana-qx3ys
      @sundayyohana-qx3ys วันที่ผ่านมา

      Hapo kwenye kanuni umenyooka sana nikweli spiker alikuwa anakukomoa hvyo vipengere kumbe vilikuwepo hakusoma spika nanilikuwa nafatilia siku hyo duuu nchi hii

  • @adrianoadriano-ys6bm
    @adrianoadriano-ys6bm วันที่ผ่านมา +8

    Tumekosa viongozi wazalendo katika Nnchi mama hii, hatutafanikiwa tukiendelea kujali mishahara yetu badala ya nitalifanyia nini taifa. Viongozi ingine mfano wa Mwl Nyerere. Nyerere was faithful man, man of Nation. May his soul rest in peace.

  • @mohamedbabu533
    @mohamedbabu533 วันที่ผ่านมา +21

    Saluteeeee mpina....tunahitaji vijana km nyieee wapiga kazi....

  • @AtanasKameja
    @AtanasKameja วันที่ผ่านมา +12

    Wewe ndo mbunge,wengine wote hakuna kitu Amina msukuma lusende Yani hao waliandaliwa ila ukweri tunao hongela mpina mungu akurinde

  • @RamadhaniRamadhani-yd4hq
    @RamadhaniRamadhani-yd4hq วันที่ผ่านมา +9

    Huyu jamaa nijasiri mungu amlinde,

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 วันที่ผ่านมา +35

    Mh.Mpina wewe uko sahihi na Mungu husimama na haki,hata wewe Mungu atakusimamia katika hatua zako zote! Hebu angalia kama taratibu zinakuruhusu kukata rufaa dhidi ya maamuzi ya Spika ukate rufaa ili hayo maamuzi yasikilizwe na yabatilishwe! Asante.

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 วันที่ผ่านมา +2

      Ana haki, kaongea ukweli lakini bunge halitabatilisha uamuzi wake. Nchi yetu aliyeturoga kafa.

    • @AngelusMachege-sk2ow
      @AngelusMachege-sk2ow วันที่ผ่านมา +1

      Ndiyooo!

    • @hamisimahwa3599
      @hamisimahwa3599 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna uongoz wa mwanamke

    • @pueblo148
      @pueblo148 วันที่ผ่านมา +1

      Mpina smart.hakurupuki.mbunge w aftica hiuo na Dunia huko kwenye mabunge yanayojielewa

    • @masakamgalla9273
      @masakamgalla9273 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mtu na nusu

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 วันที่ผ่านมา +10

    Kwa hiyo CV
    Hongera saana Mpina, Ukweli utabaki kuwa Ukweli.....tutajivunia kuwa na wewe kama Mwakilishi wa Wananchi

  • @aloycesingano1352
    @aloycesingano1352 วันที่ผ่านมา +53

    Mungu anawaona MPINA tumeona walikuwa wamekupania na wote walio kushambulia tumepata wasiwasi nao 2025 inafika

    • @user-lt1bi5nr1x
      @user-lt1bi5nr1x วันที่ผ่านมา

      Ni kweli

    • @stanleymgina7229
      @stanleymgina7229 วันที่ผ่านมา +1

      Tuanze na Msukuma mnafiki sana tushamjua sahizi inatosha

    • @alstachiustachi675
      @alstachiustachi675 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Msukuma yule mnafiki sana afu wapumbavu pumbavu na wachekeshaji ndo wanao pewaga airtime.

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 2 วันที่ผ่านมา +125

    Mapambano yana endelea,,tupo pamoja Mr mpina,,

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f วันที่ผ่านมา +14

    Kwa mamla ya jina la YESU.mpina unakuja kuwa rais
    Wa nchii hii.save hii koment maana.hakika itatokea amina

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s วันที่ผ่านมา

      YESU ALISHINDWA KUJITETEA MWENYEWE MSALABANI PAMOJA NA KUOMBA MSAADA KWA ALOY ALOY NA AKACHUNIWA WATU WAMMALIZE NS KUMUULIYA MBALI IJE IWE MPINA?

    • @jamesmsalilwa8733
      @jamesmsalilwa8733 วันที่ผ่านมา

      Acha ujinga wewe! Kama mambo ya MUNGU hujui, basi nyamaza kimya! Na BWANA YESU na akukemee!​@@user-oh6pc7zd4s

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@user-oh6pc7zd4ssoma alipofufuka na kuishinda mauti na kumshinda huyo ibilisi na shetani

  • @King_186
    @King_186 วันที่ผ่านมา +8

    Kimsingi tuko na ww Mpina,,ni mbunge mtetezi wa Watanzania,,the soul of Jpm

  • @user-xy2hf5pl5y
    @user-xy2hf5pl5y วันที่ผ่านมา +7

    Nakukubali sana wewe ndiye jembe no 1 Tanzania mungu akutangulie kwani unatupigania sisi watanzania

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 วันที่ผ่านมา +17

    Usiku na mchana havichangamani, Mpina ni nuru, wengine wale ni wapigaji wa gizani❤❤❤🎉

  • @jumaally4263
    @jumaally4263 วันที่ผ่านมา +16

    Aliyesema wabunge wawe waganga wa kienyeji ameachiwa lkn aliyetoa taarifa za wizi amefukuzwa. Hii ndo tz

    • @marandoruzali1946
      @marandoruzali1946 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli kabisa

    • @AzizMangara
      @AzizMangara 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Na Tuliambiwa "TUHAMIE BURUNDI"😭 Yaani🤐😭

  • @paulanelson5394
    @paulanelson5394 วันที่ผ่านมา +11

    Aisee inauma be strong Mh MPINA

  • @peterphilipo31
    @peterphilipo31 2 วันที่ผ่านมา +115

    Viva mhe Luhaga Mpina

    • @lizymtei4132
      @lizymtei4132 วันที่ผ่านมา +4

      Nachanganyikiwaaaaaaaaa !!! Sielewiiiii!!! Bora wakenya waje Tanzania ... uzalendo hakuna kila mtu anajali turbo lake. Uuuuuuwiiiì!!! Tanzania amka kymekucha. Wabunge wanalipqa Hamilton ya pesaro mjumbe wa nyumba kumi 000000 . Hawa wabunge wanafaida gani? Namthamini mjumbe wangu kuliko mbunge wangu. Uuuuuuwiiii Tz amka kumekucha!!!!

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile วันที่ผ่านมา

      Kweli watanzania tujitambue kabisa make watanzania wengi tumekuwa mitaji ya watu wachache. Sasa hii ifike mwisho yaani kuna kikundi kidogo tu , kiko tayari kukunyag'anya mpaka kanda mbili ubaki peku . Huo upuuzi tusiuluhusu tena sisi tumekuwa kama mashamba ya watu wachache aaaaa​@@lizymtei4132

    • @demicratia4071
      @demicratia4071 วันที่ผ่านมา

      😂​@@lizymtei4132

    • @FelicianSimon
      @FelicianSimon วันที่ผ่านมา

      Mpina Yuko vzr ila hiyo ya Kenya ni ujinga na kukosa misingi Bora na Hali mbovu ya kisiasa Kenya dio maana Wana historia mbovu ​@@lizymtei4132

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo วันที่ผ่านมา +53

    Jamani 50 50 mmeona kuongozwa na Wanawake ninachojua mimi uongozi hawakupewa Wanawake ,Hawa niwasaidizi,tz tujitathimin

    • @paulinaobiria9649
      @paulinaobiria9649 วันที่ผ่านมา

      Mmmh!

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 วันที่ผ่านมา +1

      Yaani ni shida tupu

    • @optatusduqangw1071
      @optatusduqangw1071 วันที่ผ่านมา +2

      Tunazidi kuchelewa kufanikiwa kama nchi kwa zulma kama hizi serikali

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 วันที่ผ่านมา +1

      Ulitaka upewe wewe uongozi wasenge wameja hapa hawana kazi matako zenu

    • @mohdahmed5389
      @mohdahmed5389 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe bila mwanamke wala usengelijulikana wala usengezaliwa ,acha ujinga wewe

  • @malikkb6444
    @malikkb6444 วันที่ผ่านมา +6

    Safi mpina. Bunge la Tanzania linaunafki mwingi 👏👏

  • @BarnabasMakenya
    @BarnabasMakenya วันที่ผ่านมา +19

    Mungu atuwezeshe wote tuwe majasiri kama huyu mbunge

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 วันที่ผ่านมา +23

    Ukionekana unatetea wanyonge unaambiwa unazarau
    Makonda alianza na moto lakini akpigwa kijembe kwamba kwamba watu wanatumia ubabe

  • @kaburi920
    @kaburi920 วันที่ผ่านมา +18

    BRAVO Vijana wa Kenya mmeionyesha njia Afrika kwamba nguvu ya umma uliojidhatiti unaweza kuzinyosha serikali dhalimu. Bravo Mahakama ya Kenya kuwaondoa wanajeshi kwenyemapambano na wananchi wanaodai haki ya maisha yao kwa nchi yao na rasilimali zao. Hizo ndizo mahakama zinaweza kuleta mageuzi makubwa. Mahakama za Tanganyika zitende kama wenzao wa Kenya na sio vibaraka wa Serikali na kulambishwa makombo hakika mtakuja nyongwa na asiwepo wa kuwatetea.Tunaona leo Mpina anahukumiwa kihovyo na mjalala toka jalala kuu kosa ati anawasakama watoto wa mama wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Jamani nchi inakwisha huyu msomali akiiba si atakimbilia kwao na wengine na wengine Arabia.JAMANI TUMUUNGE MKONO TAL MAANA TANGANYIKA IS STRIPED NAKED.

  • @user-cp8df8ik5h
    @user-cp8df8ik5h วันที่ผ่านมา +12

    Kwa maneno YA MPINA. JAMANI TULIA AKSONI HAFAI. KABISA KWENYE KITI HICHO. KITI kinamzidi kabisa

    • @AssahAlex-px2hn
      @AssahAlex-px2hn วันที่ผ่านมา

      Kale kamama kamekaa kinafki sana

  • @GunduaTV-et4nb
    @GunduaTV-et4nb วันที่ผ่านมา +25

    Hongera unaejielewa, Mbunge wa wananchi.

  • @franksabas6339
    @franksabas6339 วันที่ผ่านมา +29

    Mungu asimame na wewe, maana umetanguliza maslahi ya wengi na yote yanakupata sio Kwa faida ya wewe na family yako Bali ni Kwa Taifa - umesimamia haki na tupo pamoja na wewe - hakuna wa kukutisha Mungu yupo na wewe na wote wataaibishwa simama imara, wewe ni shujaa umetekeleza WAJIBU. History haitafutika. Utakumbikwa, umenitia moyo maana unajiamini na unasimamia ukweli.

    • @user-tb8zb4rv6h
      @user-tb8zb4rv6h วันที่ผ่านมา

      Tuliowengi ni wanafiki wakati wa magufuli mpina nyiewenyewe mulimutupia lana nyingi leo munamsifu na kumpongeza

  • @walterkisaro-9168
    @walterkisaro-9168 วันที่ผ่านมา +18

    You know what your doing big up next year big changes are coming according to the prophet

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 วันที่ผ่านมา +5

    Nikupe maua yako mtumishi. You're a smart person, and your future is great.

  • @stevenmabungi3245
    @stevenmabungi3245 วันที่ผ่านมา +17

    Mpina anajieelewa sana
    Big up my role model

  • @user-ys3xx4nb7z
    @user-ys3xx4nb7z วันที่ผ่านมา +28

    Mungu atakua pamoja hao wote niwapigaji Nchi imeuzwa ndugu wanalamba Asali Mzarendo alikua JPM pekee

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 วันที่ผ่านมา +1

      Rasilimali zetu na za wajukuu na vitukuu wetu jamani. ZIMEENDA 😢😢😢

    • @ThomasIkerrs
      @ThomasIkerrs วันที่ผ่านมา

      Bado wapo wengine ambao hawapewi nafasi.

  • @reginas1832
    @reginas1832 2 วันที่ผ่านมา +54

    Kuna malengo tofauti wengi wako kwa ajili ya matumbo yao

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana mh. Mpina, Mbunge wa Taifa. Kwa kuwa unayoyafanya ni kwa maslahi ya Watanzania na wala si kwa manufaa yako binafsi, hakika utashinda na ushindi utakuwa mkubwa mno kuwahi kutokea. Mungu atakuwa pamoja nawe lakini hata sisi Watanzania tunaochukizwa na kitendo cha WAPIGANIA HAKI kuonekana wahalifu na WAHALIFU kulindwa na MIHIMILI tutakuwa pamoja nawe.
    Hapo huwa namkumbuka sana Mwamba wa Afrika, Mzalendo wa kweli wa Nchi yetu, aliyetoa SADAKA maisha yake kwa ajili sisi Watanzania, JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, Mwenyezi Mungu amrehemu.
    Angekuwepo Mwamba, JPM, haya mauza uza yanayoendelea sasa yasingekuwepo kabisa, maana yeye alikataa kata kata Tanzania kuwa shamba la Bibi.
    Saa ya ukombozi ipo karibu sana. Amina.

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 วันที่ผ่านมา +18

    Mungu anaruhusu haya yatokee ili kuamsha mioyo y watanzania iliyolazwa miaka mingi siku yaja waTanzania wataamka acha tu majira n nyakati ziongee

  • @yothamgwanika9530
    @yothamgwanika9530 วันที่ผ่านมา +41

    Fantastic Mheshimiwa Mpina, usipo jifunza kwa magufuri, Makonda, Mpina basi

    • @magdalenampanda1426
      @magdalenampanda1426 วันที่ผ่านมา +2

      Kwani mwisho wa mwanadamu ni nino. Itasaidia nini kupata yote batili na mwisho ni kufa. Kuna atakayeishi milele

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 วันที่ผ่านมา +4

      Hao ni Viongozi wazuri sanaaaa Hayati Magufuli Makonda na Mpina wako Vizuri sanaaaa kanda ya Ziwa kiboko yombaga tu mwanawane

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 วันที่ผ่านมา +15

    Mpina wewe ni mtumishi wa kweli wa watanzania! Tunakuombea ulinzi kwa Mungu wa majeshi yote

    • @hamzaabdallah8637
      @hamzaabdallah8637 วันที่ผ่านมา

      Munamdanganya na kumvibisha KICHWA, Bado hata hii taarifa yake anafanya kosa, alipaswa kupeleka malalamiko yake kwenye Kamati siyo public

  • @user-jn3jh7yp3w
    @user-jn3jh7yp3w วันที่ผ่านมา +2

    Mpina tuko pamoja nawe,na tunakupenda sana ila hatuipendi CCM kwaajili tu inapenda dhulma,mpina Fanya kazi,tulijua tu kitakachotokea dhidi yako Maana Rushwa iliotembea hapo ni mtambuka sana,bilioni zaidi ya 500 walizosamehewa kodi hao walanguzi na Msomali wao mgao wake ni mtambuka sana, Viva mpina,we love you 💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @korossobecky
    @korossobecky วันที่ผ่านมา +8

    Mpina we love and appreciate you.

  • @AbdulkareemHassan-ip5fl
    @AbdulkareemHassan-ip5fl วันที่ผ่านมา +46

    Viva panguwa kilahoja ndio ajue spika kasoma Sheria lakini hajui Sheria na wananchi mpina huu utetezi wake tumeusikiliza kiumakini sana,

    • @mwalimulossilamsuya1944
      @mwalimulossilamsuya1944 วันที่ผ่านมา

      Huna akili kama yeye tu.. Acha ushabiki.. Huu sio mpira

    • @TygerOG255
      @TygerOG255 วันที่ผ่านมา

      We unajua Nini?​@@mwalimulossilamsuya1944

    • @YassinRajabu
      @YassinRajabu วันที่ผ่านมา

      ​@@mwalimulossilamsuya1944😂😂😂

  • @AnossyMbonekela-sb6ol
    @AnossyMbonekela-sb6ol วันที่ผ่านมา +13

    Kwa jicho la sheria Mh. Mpina yupo sahihi na maelezo yake yamekomaa sana viongozi tunatakiwa kuwa waangalifu sana tunapoongza

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f วันที่ผ่านมา +4

    Mpina umeongea Hadi roho yangu inauma sana.ila kunajambo linaenda kutokea Tanzania.mwenye macho ataaona.mungu akutie nguvu Amina

  • @salumjoka6286
    @salumjoka6286 วันที่ผ่านมา +3

    Dawa Yao hawa wabunge jinga jinga wasirudi bungeni 2025. Tunataka wabunge watakalibeba taifa na sio maslahi Yao. Hongera sana mpina

  • @mwanakitenge
    @mwanakitenge วันที่ผ่านมา +20

    Nimelia sana kiukweli wamekuonea kuanzia leo namchukia sana spika ndio maana hana nyama mweusi kama mkaa kama vipi hamia kenya

    • @ibrahshifta1595
      @ibrahshifta1595 วันที่ผ่านมา

      Hahahaaaa, kwel ndugu ,huyu Spika ni mpumbavu na anajisikia sana na kanajifanya Dunia yoote ni yake

    • @user-st9me2jn7o
      @user-st9me2jn7o วันที่ผ่านมา

      Nahamiya mm kenya

    • @mecktildahenry4202
      @mecktildahenry4202 วันที่ผ่านมา

      Hahaa😂

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 วันที่ผ่านมา +1

      Wamemtoa bado wanalalamika kuhusu sukari wanafiki wakubwa

    • @user-cv4yi5hz9b
      @user-cv4yi5hz9b 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@ibrkasenge sana kaspika🤪🤪ahshifta1595

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 วันที่ผ่านมา +16

    >NDG. MPINA HAPA ANALALAMIKA KWA KUONEWA LKN LINI CCM HII ILISIMAMA KWENYE HAKI?
    >SAKATA LA UHABA WA SUKARI KUWA UCHOCHORO WA NEEMA KWA WACHACHE HAIKUANZA LEO!

  • @magnusnkomola5950
    @magnusnkomola5950 วันที่ผ่านมา +2

    Hakili ndogo haiwezi ongoza Hakili kubwa,big up Mpina wewe ni jembeeeee viva mpina Magufuli styleee,Makondaaa nyinyi ndiyo mlibaki na upako wa Magufuli.

  • @mzelifadaud1560
    @mzelifadaud1560 วันที่ผ่านมา +16

    I see a bright future for you mheshimiwa Mpina

  • @Josiassenyenzibaneneke
    @Josiassenyenzibaneneke วันที่ผ่านมา +48

    Huu mwamba ni musumari wa moto bigup Mr mp

  • @lizymtei4132
    @lizymtei4132 วันที่ผ่านมา +13

    Waafrica tuamke tustiwatukuze viongozi tuwaheshimu. Wakikosea tuwakosoe ni watu sio miungu. Kipindi cha uchaguzi tuu bosi ni mwananchi mpiga kura. Ikipita hiyo mwananchi unakuwa mtumishi bosi anakuwa mbunge. Hii ni shidaaaaaa!!!!

  • @VenanceMinde-tj5ng
    @VenanceMinde-tj5ng วันที่ผ่านมา +2

    Mh.Mpina usihuzunike sana,siku zote mambo yote yanayofanyika gizani Mwenyezi Mungu huyaweka kwenye Mwanga.wananchi wengi wanaendelea kuujua ukweli wa sakata hili la uagizaji sukari kinyume na sheria za nchi.
    Ni vizuri tusikie maamuzi ya mahakama sasa kwa vile umejua vyema kwamba ungekata rufaa ndani ya Bunge yawezekana usingesikilizwa na kutendewa haki.
    Tuna imani kubwa kwamba mahakama itasikiliza kesi unayotarajia kufungua kwa hekima,maadili,haki na kutoa hukumu inayostahili.
    Tunaomba mola akupe nguvu,afya njema na ujasiri katika kazi zako za kibunge.

  • @DaudiLengai-ym5fx
    @DaudiLengai-ym5fx วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana Mpina kwa kutafsiiri sheria na tumejua watanzania kilichojificha nyuma ya spika

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 วันที่ผ่านมา +14

    Akili kubwa sana hii

  • @user-cd7zg4hj4w
    @user-cd7zg4hj4w วันที่ผ่านมา +5

    Mungu wa mbinguni akutete huna kosa

  • @severinimkini4116
    @severinimkini4116 วันที่ผ่านมา +14

    Hongera kwa ujasiri na uwajibikaji. Hakika wewe Ni mzalendo wa kweli.

  • @LecksonKibiki
    @LecksonKibiki วันที่ผ่านมา +8

    Your inteligence mpina...mbaka waseme 😮izo n chuki bnafsi wananchi wamekuamn miaka 19 hakika mungu asimamie 🔥

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer วันที่ผ่านมา +43

    Mpina jifunia 2025 ❤️❤️❤️❤️100%uko sawa.

  • @abras3479
    @abras3479 วันที่ผ่านมา +41

    Spika alipanik sana kwenye hii issue ya Mpina. Huwezi kuongoza Bunge kwa kutumia feelings. Nchi za wenzetu kesi ipo mahakamani inaongelewa kwenye vyombo vya habari na mahakama hazipaniki. Msomi mkubwa kama Spika amenishangaza sana jinsi alivyo shughulikia kesi ya Mpina na Bashe. She is not supposed to pick side, yet she did.

    • @aloycesingano1352
      @aloycesingano1352 วันที่ผ่านมา

      Sana alipanik ila hahah atajutia kwa kumfukuza MPINA si kweli mpina amemkosea heshima spika na bunge ni chuki za kuto kutetea haki na maendeleo ya watanzania maskini

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 วันที่ผ่านมา

      Abras huyo Spika kwa sasa ni wa ridhiki mantashalla

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 วันที่ผ่านมา +1

      She is incompetent

    • @birianination7097
      @birianination7097 วันที่ผ่านมา +1

      Alicho fanya nikosa, na bado anafanya kosa

    • @hassanhancha1413
      @hassanhancha1413 วันที่ผ่านมา

      ​@@birianination7097 ila bashe anaetuhumiwa kudanganya bunge aachwe tu au sio

  • @jamesmakwaya4278
    @jamesmakwaya4278 วันที่ผ่านมา +5

    Huyu sipika wa muchongo anasumbua sana generation mpya tunawaona na tunajiandaa tuwanyoshe watu kama wale

  • @user-pp1cq9op5y
    @user-pp1cq9op5y วันที่ผ่านมา +5

    Mpina anafaa kuongoza nchi hii ni mtetezi kwa masrahi ya nchi hatetei chama chama chake huo ndiyo uongozi mungu mbariki mpina aendelee kuitetea nchi siyo chama

  • @victormtuya2740
    @victormtuya2740 วันที่ผ่านมา +10

    Mpina oyeeee❤

  • @reginas1832
    @reginas1832 2 วันที่ผ่านมา +71

    Yes ana wivu wa kuwatetea wanyonge. Tanganyika tuamke

    • @jumaseifally6337
      @jumaseifally6337 วันที่ผ่านมา +1

      Jaman Tanganyika ndyo Nini hapa inatetewa Tanzania

    • @jumaseifally6337
      @jumaseifally6337 วันที่ผ่านมา

      Tanganyika Iko wapi

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 วันที่ผ่านมา

      @@jumaseifally6337 TANZANIA????

    • @fatumahassanduale4701
      @fatumahassanduale4701 วันที่ผ่านมา +2

      Yaani huyu hamaa anataka sukari isiagizwe wakati kuna shida,anatetea waizi wa viwanda waendelee kuuza sukari ghali Hala fu mnasema anatea wanyonge,viwanda vya sukari ni wanyonge?au wananchi waliopandishiwa sukari bei kiholela.

  • @ombeninnko1800
    @ombeninnko1800 วันที่ผ่านมา +2

    I love the confidence of honourable MPINA as well as his factual evidences presentations

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri วันที่ผ่านมา +7

    Commendable follow up action to address the truths.God help the people of Tanzania Tanganyika to free themselves of wrong doings.

    • @FelicianSimon
      @FelicianSimon วันที่ผ่านมา

      Mpina Yuko vzr ila kumbuka sisi niwatanzania hiyo Tanganyika yako mzee pita hivi

  • @memorizle
    @memorizle วันที่ผ่านมา +6

    Mpina tupo nyuma yako Mtumishi wa Mungu.

  • @wilsonandlea8614
    @wilsonandlea8614 วันที่ผ่านมา +10

    Mpina haupo pekeako tupo pamoja❤❤❤

  • @ngembamakuru3810
    @ngembamakuru3810 วันที่ผ่านมา +11

    Asante Mpina, Mungu akulinde na uendelee kuwaumbua wapigaji kwa kutumia uchochoro wa sukari.

  • @user-zc4eq8nt9k
    @user-zc4eq8nt9k วันที่ผ่านมา +7

    Mungu akusaidie sana ktk utumishi mwema.Mungu pekee anajua yote sio sisi Wanadamu Mungu anahukumu kwa haki

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 วันที่ผ่านมา +6

    Mbunge wa Taifa anaongea🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @emmanuelmziray1073
    @emmanuelmziray1073 วันที่ผ่านมา +15

    Spika amekukosea Mpina. Watanzania tunasimama na wewe Mpina. ❤❤

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 วันที่ผ่านมา

      Si watanzania sema wewe

    • @afroplay94
      @afroplay94 วันที่ผ่านมา

      ​@@halimamasai2234goofy

    • @FelicianSimon
      @FelicianSimon วันที่ผ่านมา

      ​@@halimamasai2234 jitoe ww sisi tupo na mpina

  • @GwakisaMwasongwe
    @GwakisaMwasongwe วันที่ผ่านมา +10

    Namkubali huyu mpina ni mwamba ajengewe minara bungeni na ikulu huyu jamaa ni brave tumuombee asijechukuliwa na watu wasiojulikana

  • @user-sc8cg8iw7d
    @user-sc8cg8iw7d 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kama upo tayar mpina awe raisi wetu 2025 gonga like

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 วันที่ผ่านมา +44

    Mpina ni mtu na nusu, Big up commander we are together

  • @user-ij2lp1om6i
    @user-ij2lp1om6i วันที่ผ่านมา +19

    Tulia ana kiburi dharau na anajionaga kwamba kayamaliza.

    • @ibrahshifta1595
      @ibrahshifta1595 วันที่ผ่านมา

      Sana huyo dada mjinga sana alafu kamekomaa kama nn

    • @nelliegodfrey-zq5vz
      @nelliegodfrey-zq5vz วันที่ผ่านมา

      Kabisa yaani

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 วันที่ผ่านมา

      Kweli huyu Tulia naye ni tatizo na ushahidi ni pale ambapo ameamua kuwalea "COVID-19" wakati wamefukuzwa chadema na taarifa rasmi alipewa. Hao wabunge ni hewa siyo halali kwa mujibu wa katiba kwani hawana chama Cha siasa.
      Tunaibiwa wanalipwa mishahara na posho kwa Kodi zetu.
      Inawezekana kila mwezi huyo Tulia anapata chochote kutoka kwa hao COVID 19.

    • @user-mb2ln1et5w
      @user-mb2ln1et5w วันที่ผ่านมา

      Kiukweli huyo mama nilikua shabiki yake sana ila kwahili staki hata kumuona kabisa muonevu mkatili majivuno kwanini ufurahie mwenzako anashambuliwa bungeniivi nawewe umekaa kimya unatabasam kinafiki

    • @prorwega
      @prorwega วันที่ผ่านมา

      Mweshimiwa mpina Fanya kazi ya mungu tete a wanyonge Kama mungu you upande wako hakuna yoyote atakaye kuangusha. Kumbuka mti wenye matunda ndio upigwao mawe.

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 วันที่ผ่านมา +16

    Nawaonea wivu wananchi wa jimbo la mpina mko na jembe,
    Wenzenu tuna wabunge wa piga Meza tu hamna kitu,

  • @luganomwansasu9727
    @luganomwansasu9727 วันที่ผ่านมา +5

    Great Man

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 วันที่ผ่านมา +36

    Hujawahi kudanganya tunakuelewa

  • @JemeslaizerJemeslaizer
    @JemeslaizerJemeslaizer วันที่ผ่านมา +68

    Uchaguliwe na wanainchi hafu wabunge wakusimamishe Bila ridhaa ya wanainchi.. Mungu Akulinde mpina.. CCM ikufe.

    • @ThomasLeonard-ul7ot
      @ThomasLeonard-ul7ot วันที่ผ่านมา +1

      Kwa hiyo

    • @ThomasLeonard-ul7ot
      @ThomasLeonard-ul7ot วันที่ผ่านมา +1

      Nenda mahakamani ulishahukumiwa

    • @mzalendomzalendo2567
      @mzalendomzalendo2567 วันที่ผ่านมา +2

      Mwananchi gani alimchagua, sisi hatukumchagua

    • @scorasticaclement6308
      @scorasticaclement6308 วันที่ผ่านมา

      Ndio Kawa Mbunge Sasa Ata Kama Hujamchagua Wewe​@@mzalendomzalendo2567

    • @FredrickKagusa-wt9bw
      @FredrickKagusa-wt9bw วันที่ผ่านมา

      kwani wewe unakaa Jimbo la kisesa?​@@mzalendomzalendo2567

  • @juliusmlula1658
    @juliusmlula1658 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu akuogoze kupambana na bunge butu

  • @user-fj4kj8xc5x
    @user-fj4kj8xc5x วันที่ผ่านมา +8

    Kaka mpina umepewa adhabu kwa sababu unaongea ukweli , lakini watanzania wote wanao fuatilia hoja zako uwapo kuwa wakilisha watanzania wakisesa na jamuhuri kwa ujumla Wana kupenda ila hatuna namna kwa maana wasio kupenda ndio mapilato watoa hukumu batili, lakini kaka KAZI yako njema sana.

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 วันที่ผ่านมา +17

    Kwani spika ni mungu? hahojiwi wala kukosolewa,
    Akikosolesa mnageuza katukanwa,

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 2 วันที่ผ่านมา +40

    Mpina mzalendo wa ukweli, tupo na wewe, bunge limeoza

    • @leonardbaumba6584
      @leonardbaumba6584 วันที่ผ่านมา

      Cy 45:59 46:00 😅

    • @mwalimulossilamsuya1944
      @mwalimulossilamsuya1944 วันที่ผ่านมา +2

      Unajua watu wasio na akili za kiuchambuzi ni wengi kuliki wenye akili... Hivi we uko kundi gani?. Maana ukisikiliza vizuri coment zake juu ya spika unagundua jambo na utajua kuwa hata kiswahili tu cha kawaida Mpina hajui

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 วันที่ผ่านมา

      @@mwalimulossilamsuya1944 yani upo sawa maana hapa wengi ni washabiki lakini hawajui lolote spika ni mwanasheria anajua analofaya huyu jamaa hata kuongea kiswahili kinamshinda

    • @gabrielmoses6860
      @gabrielmoses6860 วันที่ผ่านมา

      ​@@mwalimulossilamsuya1944Mpina anakwama sana!
      Anatafuta huruma kwa wananchi!
      Akikosea lazima aadabwishwe

    • @user-cv4yi5hz9b
      @user-cv4yi5hz9b 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      8:44 8:46 🤪🤪🤪kaspika🖕😩😩🤲🏻💪🏿

  • @DonardMasanja
    @DonardMasanja วันที่ผ่านมา +5

    Mpina umetisha Sana kwa kuonesha msimamo wako respect my brother❤

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw วันที่ผ่านมา +5

    Nakuelewa mpina na kikao kinacho fata wew nenda bungeni kama uko na point yako shusha sis tupo kwa ajili yao na sio kwa ajili yao maana majambazi wako ndani ya bunge

    • @AzizMangara
      @AzizMangara 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bunge likianza Nenda kaingie,. Kwani huna kosa.

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka วันที่ผ่านมา +18

    Nchi nzima tunakupenda asante usijali watanzania tunajitambua kwa Sasa hv watakaa Tena wanaogopa Nini kwani wabunge SI ndio watanzania milioni sitini wamwogope mungu

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 วันที่ผ่านมา

      Wacha uongo si nchi nzima sema wewe mwenyewe

  • @user-jj7qv7kh2s
    @user-jj7qv7kh2s 2 วันที่ผ่านมา +32

    Mheshimiwa mpina nakupenda na wananchi wote wanakupenda na tunakuelewa. tupo pamoja.

    • @NixonJohnson-zn8nk
      @NixonJohnson-zn8nk วันที่ผ่านมา +2

      Mungu amsimamie huyu mwamba a naweza kuwa tunu sio kumnyamazisha no no no ipo siku patajaa sio kuchimbika...

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile วันที่ผ่านมา

      ​@@NixonJohnson-zn8nk Mungu wetu wa mbinguni anajua dhuluma inayo fanywa na viongozi wa nchi hii . Kitendo alicho fanyiwa Mpina ni kitendo cha kuwanyamazisha watanzania . Tunamwambia spika na vibaraka wako ipo siku hamtamini kitakacho wapata . Wapumbavu nyie

    • @infodigtechforcommunityemp4103
      @infodigtechforcommunityemp4103 วันที่ผ่านมา +1

      ❤❤❤❤

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 วันที่ผ่านมา

      Unampenda wewe peke yako wacha uongo

    • @noelyhaule5695
      @noelyhaule5695 วันที่ผ่านมา

      ​@@halimamasai2234pumbav wew

  • @emilyKassiano-oo5iy
    @emilyKassiano-oo5iy วันที่ผ่านมา +12

    Viva mpina vivaaa

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 วันที่ผ่านมา

      🤝Vivaaaaaaaaaaaaa!!🎉

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe moyo utu karama yauvumiivu,kwani mti wenye matunda mazuri hupigwa mawe.Tunakuombea sana mweshimiwa Mpina kwani nimzalendo mahiri kwenye nchi yko nawatanzania wanyonge.Mungu amekuandalia kiti chauflme siku Moja atatoa majibu yko.Kikweli wakati huu ukisema ukweli hutopendwa Bali utaonekana msaliti.Magufuli ukale pema peponi.Uoate furahaa telee namalaika wema hko mbinguni.🎉

  • @maximilianludovick5407
    @maximilianludovick5407 2 วันที่ผ่านมา +33

    Viva Mpina viva.

  • @user-we5cc2dq7t
    @user-we5cc2dq7t วันที่ผ่านมา +40

    Huyu mbunge ni noma Sana anajiamini

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 วันที่ผ่านมา +1

      Hata ungekuwa wewe ungekubqli ccm oyeeeee kazi inaendelea turamkumbukq daima Hayati Magufuli tunaombq Amani tu Tanzania

  • @Ezeqsweya1116
    @Ezeqsweya1116 วันที่ผ่านมา +11

    CCM,kama kweli mnajielewa kwa karne hii watu wanajielewa kuna siku hamtaamini ,,..hakuna mbumbumbu watu wamesoma,wanajielewa...
    Ni suala la muda tu...

  • @josephk90
    @josephk90 วันที่ผ่านมา +8

    Dah! Nmejikuta napata hasira asee nimemchukia Tulia kweli maniner😢😢

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂bado saaana je utamchagua tena Samia 2025??

    • @SospeterMaingu
      @SospeterMaingu 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndo uongozi wa wawanake huo