ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mzee mtu wa mitungi au🤣🤣🤣 mbna simuelewi
huyuzee ni mjanja watu jamii ya chidy Benz kupata kitu kilicho nyooka na kikaeleweka kwa watu kama hawa sahau😁😁😁
🤣🤣
Dont be mean.... Umoja ni nguvu, uza shares za kampuni kazi iwe rahisi....😊
Ana changia na Mwana fa hela hizo suna kumbuka walilipwa na mtandao wa sim
Tatizo jez
Uyu mzee jina lake la utani wanamwita mzee wa mjini mipango
Tanzania Mwaka1964 Uhuru Cha Ajabu Intaneti Inasumbua Simu Kibao Kwanini Kusiwe Na Mtandao Mmoja2 Wenye Intaneti Mingine Hi Mibovu Tupeni Uko
mzee ana ongea vipi huyu?? sa muelewa kabisa yani hajui kueleza
Huyu mzee, aise majibu yake haeleweki, utadhani Ni rafiki wa Chid Benz
Hahahahaha
Mbona simuelewi naona anaongea pumba tu
Mjini Mipango dah kukuelewa ni mahomi wako tu
Kwan Ay alisema kisiwa chake??
local and tourist destroyed the beach, through bott5les, take away boxes , i was collecting willingly so sad
translate
Mweeeeeee jaman
Mie simwelewi
Mbona ugomvi
Kisiwa kinaitwaje?
Mbudya
Duuuh duniani hapa Tanzania eti nchi yako kuna sehemu kukanyaga ni elfu kumi uuuuhhh hatareeee
Kwahiyo unataka uende bure then uchumi WA nchi yako utaongezekaj??
Kama vile Maldives tu kuishi ni expensive sasa mbona sio Africa??
Nenda na godoro uwanja wa taifa ukalale
@@sultansallah4509 Ha haaa povu la nn sasa umepanic..😂😂😂 alafu nikishalala???
Sijamuelewa huyu mzee
Msimamizi wa kisiwa wa hovyo .
Kwanza hayo mapato yanaenda wapi? Na mgawanyo vipi? Kwanini wasinunue madustbin makubwa wayaweke kila baada ya hatua kadhaa then waweke onyo mtu kutupa taka hovyo atapigwa fines, mbona ni akili ndogo tu?
Wew ni master mind watu kama nyinyi mnaitajika sana kwenye hili taifa lkn nashangaa wenye HQ hapa bongo ni masikin tofaut na inch za wenzetu