MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Haya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako.
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
TH-cam Link:
/ holyspiritconnect
Ee bwana nakuomba unijalie siku yenye furaha,baraka,na amani. Pia bwana uniepushe na hatari zote za barabarani. Nifungue vifungo vyote vya yule mwovu. Bariki milango yangu ya baraka bwana. Kwa damu ya yesu krsto Amen
Asbh yangu mchana na jioni ikawe ni siku ya kicheko,mafanikio,na mambo mazuri, nakataa habari mabaya yote,kwa jina lako, Naomba ulinzi kwa familia yangu, watoto wangu wazazi wangu na ndugu zangu wote..kila mipango ya adui naifuta kwa damu ya yesu,mipango ya bwana aliyoipanga juu yangu ikatimie yote katika jina la yesu....👏
Ameen ameeen
Ameeen naiwe. Hivo kwetu sote
Bwana Yesu nakukabidhi siku ya Leo,Naomba nikauone wema wako,tangulia mbele yangu katika kila hatua Ongoza maisha yangu,Naomba Leo ikawe siku njema kwangu ikawe siku ya furaha amani na kicheko kwangu nikauone ukuu na utukufu wako kwangu,kibali chako na upendeleo wako vikawe nami Leo Kwa jina la Yesu ,,Nakataa mabaya yote na ninafunga mabaya yote Kwa jina la Yesu kristo Nakataa taalifa mbaya kwangu Nakataa hasara Nakataa machozi ya huzuni usoni mwangu,,,Leo ni siku njema Bwana umeifanya nami naishangilia na kuisherehekea Kwa jina la Yesu
Ameen
Amen
Bwana yesu nakukabidhi siku yangu ya Leo Amen
Amen amen amen
1:05
Bwana yesu nakukabithi yangu kwako unlinked pamoja na family yangu wakimo watoto wangu uzidi kubariki wafunike na damu yako takatifu naomba umuondoe shetan muovu anaengilia masha yangu🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲amina
Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi naomba katika siku hii yote ukatawale
Ameen
Amen mungu nijibu haja ya moyo wngu unijibu baba 😭 ndoa yngu hikarundi kwa damu ya yesu
Ameen
Asante Bwana wet yesu kristo Kwa ulinzi wako umetuamusha salama mm na familia yangu hivyo naomba hata siku ya Leo tuwe pamoja nawe na katika biashara yangu pia naiweka mikononi mwako na mipango yangu yote ninakukabidhi ww Amina
Asante JEHOVA mwema kwa wema wako,asante kws siku ya leo, asante kws maombi na mtumishi huyu mlinde na mtetee AMEN
Ameen
Bwana yesu nilinde ,watoto wangu linda mume wangu Hempstone.Linda wazazi wangu. Linda ndoa yangu. Linda ndungu wangu wote
Bwana yesu nakukabidhi siku yangu ya leo Aminaaa
Ameen
Bwana Yesu unitunze na kunilinda pia ukaitawale siku hii yaleo
Baba siku hii ya Leo naikabadhi mikononi mwako kila mipango juu ya maisha ,kazini Mungu ukaifanye kuwa siku ya furaha juu ya maisha yangu uniongoze siku ya Leo nikaone wema wako juu maisha yangu pamoja na familia yangu Amina🙏🙏🙏🙏🙏
Galley
Amen Amen
Asante Bwana Yesu kwa siku hii ya leo. Ninaikabidhi mikononi mwako nikatembee na wewe. Mlinde mume wangu, walinde watoto wangu katika jina la Yesu kristu. Mlinde na mtumishi huyu azidi kutuongoza katika njia ikupasayo
Amina
Ameen
Amen bwana lda watoto wangu baba wakoboe katika video visasi waokoe
Amen Amen nakabidhi maisha yangu kwako,Nionekanie MUNGU baba yangu,nitie Nguvu wakati kaa huu napitia majaribu mingi..Nionekanie MUNGU..Rinda watoto wangu. Rinda family yangu..Rinda Hùu Mutumishi wa MUNGU,Onekania watu wote ndunia mzima Amen..Jina lako litukuzwe baba yetu wa binguni Amina..
Mungu Linda afya ya familia yangu! Bwana Linda biashara zangu!
Ameen
nakabidhi siku nzima afya maisha watoto wetu wanaosoma mitihani wanayoifNya tawala yesu
Ameen
Asante Bwana Yesu kwa ajili ya siku hii Leo ukanitangulie kwa kila jamabo Ameeen
Asante bwana yesu kwaajili ya siku hii yaleo ukanitangulie kwa kila Jambo Mimi na watoto wangu
@@anusiathandunguru7527¹109QQ¹
Asante Bwana Yesu kwa kuniamusha salama mimi pamoja na familia yangu. Asante Yesu siku hii ninakukabidhi wewe ukatawale. Amen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen
Bwana yesu nakukabidhi njia zangu nakukabidhi maisha yangu nakukabidhi mtoto wangu nakukabidhi mume wangu nakukabidhi biashara yangu nakukabidhi mdogo wangu nakukabidhi dada zangu nakukabidhi kaka yangu
Bwana nakukabidhi nyumba yangu uniletee mteja was kuinunua kwa Bei ninayoitaka.. Amina
Asanteeee Yesu kwa urinzi wako najiunganisha na mazabahu hii Mimi na familia yangu tunaomba yote kutoka kwako Asante kwa yote
Nakukabidhi bwana yesu sikuhii yaleo ikawe yenye neema nabalaka kwenye kazi yangu nafamilia yangu Amina
asante bwana yesu utaenda kuibariki ck hii ya leo bariki asubuhi mchana na jioni ukaubariki ck hii ya leo bariki hatua zangu uchumi wangu familia watoto mume wangu kazi biashara afya yangu masomo ya watoto ukayabariki wakafaulu vinzuri kwenye mitihani yao kazi zao kazi zangu ukaonekane bwana yesu
Ameen ameeen
Bwana Yesu, nakukabidhi siku ya Leo unikumbuke nami. Katika biashara yangu, kazi yangu, afya yangu, watoto wangu, ndugu zangu, mume wangu, siku ya leo bariki mipango yangu. Iwe ni siku ya baraka, kicheko, amani, furaha na neema tele. 🙏
Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi ukatawale maisha yangu kamlinde mtumishi wako alieniongoza maombi haya mlinde
Ameen
Mlinde mtumishi huyu ktk damu yako Yesu
Nakukabidhi mipango yangu yote maisha yangu biashara yangu uchumi wangu ukanionekanie yesu unifanye niwe chombo Cha aman Yako Amina ktk jina la yesu 🙏🙏🙏🙏
Ameen ameeen
Ubarikiwe sana
AMENI mtumishi barikiwa
Ameeen
Amen 🙏
Nilinde bwana yesu ukawabariki watoto wangu ukawafunike kwa damu ya yesu
Ameen ameeen
Mungu nakushukuru kwa kuniamusha mzima wa afya najua Baba utaendelea kunilinda kwa siku njema ya leo,baraka zako Baba nazipokea niepushie maovu mabaya Baba katika jina lako Bwana AMEN 🙏🙏🙏
Ameen
Ukanitawale bwanh yesu
Mungu wangu nakuomba bwana ukaniongoze na ukafungue maisha yangu ,pia ukaniepushe na maadui wanaoniandama katika jina la,yesu
Bwana Yesu nakukabidhi siku hii ya leo . Nakuomba nikaone wema wako, tangulia Mbele yangu nitokapo na niingiapo, ukatawale biashala yangu nikapate hela Nitavyotoka nisiludi hivyo, naomba pia ukanikitanishe na watu sahihi . Asubuhi ni ya baraka, mchana Ni wa baraka, jioni ni ya baraka,na usiku wangu uwe uwe baraka. Siku hii ya leo ni ya baraka. Mabaya hayatanipata siku ya leo. Bwana Yesu linda maisha yangu, linda familia yangu yote, watoto wangu Jonas na Victor. Mama yangu na baba yangu. Na ndugu zangu wote Kaka Jerome kateguo mitego yote mbele yake tawala maisha yake. Ktk damu ya Yesu Kristo aliye hai. Amina Amina Amina.
Ameen Neema ya Bwana wetuYesu Kristo. ikawe pamoja nami siku ya leo
Ameen
Bwana Yesu siku hii ya Leo nakukabithi Biashara yangu, ukatawale Leo, Katika Jina la Yesu Kristo Naomba nakuamini Amen …
Asante bwana yesu nakukabizi afya yangu biashar pia na familia yangu
Ameen
Ahsante Bwana Yesu kwa ajili ya maombi haya, ukamlinde Mtumishi wako na umbariki kadri ya mapenzi Yako Amen.
Ameen ameeen
Amen
Hasante mtumishi mungu akuzidishie nakupe maisha marefu AMINA
B be bczCCbbbbbxnax@@holyspiritconnect cnbxxvcca
Asante Yesu kristo kumekucha salama Amina
Bwana yesu achilia Neema yako ikawe juu yang, nikatende sawasaw na neno lako nikashinde zambi🙏🙏
Mungu endelea kuwa NAMI siku ya Leo.
Siku hii ya leo ni siku ya baraka na uponyaji kwangu, nakataa mabaya,naomba ulinzi kwangu kwa mtoto wangu na mume wangu ulinzi kwenye kazi yangu. Amen
Ameen ameeen
Amina najiunganisha maombi ya asubuhi ya leo kwa jina yesu kristo
Nakabidhi kazi zangu zote na mipango yangu kwa jina la yesu kristo
Ameen .
A de
8
Bwana yesu ninagukabizi watoto wangu wote n'a wajukuu namashaba yote yetu n'a maparsela namanyumba nama gari n'a maetaje bwana yesu kabiri de mari zetu zote asante bwana yesu
Beans yesu naomba nitendewe muujiza katika biashara yangu inaoate kusima baba
Ameen ameeen
Asante sana kwa maombi Bwana Yesu aendelee kukutunza mtumishi wake Amina 🙏
Ameen
Bwana yesu asifiwe nakabidi siku ya leo mikonon mwako ikapendeze machoni nakabidi familia yangu mikonon mwako nakataa maisha ya ufukara ukasema hatakama itachukuada lakini kwa ahadi zako utatenda amen
Hallelujah hallelujah nakukabidhi kila mpango nilioupanga naamini nakwenda kuuona mkono wako Elishadai, siku ya Leo ikawe ya tofauti kwangu katika jina la Yesu Kristo Amina.
Ameen ameeen
Amina ahsante kwa maombi
Asante BWANA YESU nitangulie siku hii yote amen
Ameen
Nime barikiwa na maombi haya ubarikiwe Amen
Asante yesu kwa siku ya leo fikinika familia yamgu uwalide popote watakapo igia uwe pamoja naoo nakukabidhi mikononi kwako nisaidie bwana unitawale unipenguvu zakufanya kazi amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen ameeen
BWANA YESU katawale kwenye mipango yangu mm nawatoto wangu ukituepusha na hila zote za yule mwovu Ameeen🙏🙏🙏
Katika siku ya leo namkabidhi mimpango yangu naomba kioni ya leo niuze mkaa wangu uishe bwana yesu katika unipambanie katika jina la yesu
Ameen ameeen
Bwana Yesu nakukabidhi maisha yangu na ya familia yangu Kwa jina la Yesu kirsto
Bwana yesu kristo naakukabidhi kila kitu katika maisha yangu ukatawale wewe na uhishi ndani yangu sikuzote za maisha yangu Amina 🙏🙏🙏
Kila mipango aliyoipanga kwa ajili yangu na uzao wangu ikatimie
Bwana Yesu nimechoshwa na madeni bwana naomba nipokee bwana Yesu.bwana Yesu kila mipango ya maaduwi waliyo nipangia bwana Yesu nakukabidhi wewe sikuhii yaleo nikamuone wema wako nikauone utukufu wako sikuhii yaleo ikawe ya furaa kwangu beans Yesu bwana Yesu Katka jina la Yesu Kristo Alie hai siku yote ukatawale bwana ikawe siku mzuri kwenye ndoa yangu ikawe siku yakicheko kwangu siku hii yaleo ikawe siku yakicheko kwangu nikapokee kicheko kwangu bwana
Aminaaa
@@madamtedyjoseph9175 Amina NAMI nakataa mabaya na familia yangu yesu atuponye Mimi nipo mishen Kongo nawapats familia yangu ipo kibaha kwa mfipa wabarikiwe ingawa mwezi wa Tano mwaka huu nimempoteza mume wangu yesu anitetee kwayote mahitaji mume w as ngu as lejee k as ni adui alief as my as hivyo kwa mazingil as magu Mani ya watu w as mungu y as naleta majibu katik as ka jun as la yesu wanangu wa f as nikiwe kupata as kazi emanuer na deus magrety afauru mitihani yake na kuwa Ta nz as Nia one darasa la saba amen mungu mwema amen
andika Bwana Yesu kwa herufi kubwa
Bwana Yesu ninakataa mabaya kwajina la Yesu Kristo ninakataa mabaya siku yaleo ninakataa kukataliwa ninakataa mabaya yote kwangu siku hii yaleo niku njema kwangu Yesu ninakukabidhi Maisha yangu beans Yesu ukanilinde usiku namchana Linda familia yangu Linda ndoa yangu mlinde mumewangu bwana Yesu Linda wanangu waliopo shuleni Yesu ukafunike Katka kila eneo damu ya Yesu ukafunike ndoa yangu ukafunike mafanikio yangu damu ya Yesu ukanifunike namabaya yakila eneo bwana Yesu ukanifunike.ninafuta mipango mibaya ambayo aduwi amepanga zidi yangu ninaenda kuifuta kwadamu ya YESU kristo
amen
Yus nahonba ubarik kazi zang ufungue mirango ya kaz kupitia mahonbi Aya bwana hongez kipato changu
Asante bwana yesu kwa ulinzi wako.wacha dam ya yesu ikatuzingire kwa kila mambo Amen.
Ameen Mungu nisaidie nikauone wema wako sku ya leo
Ameen
Asante Yesu Kwa siku ya Jehovah 🙏 nakukabidhi wanangu mikononi mwako chochote watakachokigusa Bwana wa Majeshi ukitakaze nakukabidhi wazazi wangu wakomboe Yesu katika jina la Yesu 🙏🙏🙏
Ninakubidhi maisha yangu,wazazi wangu,wadogo zangu,ndugu zangu,masomo yangu,mitiani yangu,afya yangu mungu wangu wa mbinguni utatatenda kwa jina la yesu krisho 🙏
Amen. Leo ni siku njema nitauona wema wa BWANA Yesu Kristo.
Ameeen
Yesu nakukabidhi maisha yangu na maisha ya watoto Wangu na mume Wang
Bwana yesu tunaomba baraka zako baba yetu mzuri sana kuliko wote
Nilindie wazazi wangu na mtoto wangu ujib maombi yngu siku ya Leo amen🙏🙏
Asante BWANA YESU kwa maombi haya alieniongoza mtumishi wako mubariki amen
Ameeen kila siku siachi kusali hii sala. Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU BABA 🌹
Ameen
Mchungaji nikitaka kukupata live na fanyaje
Ameeen
amen kazi yangu iwe njema na boss wangu anirenee katika jina la yesu na familia yangu na mipa go yangu ifanikiwe nistoke saudi mkono mtupe mungu nakutegemea amen amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 i
Napokea katika Jina la yesu, AMEN 🙏🏽 Mungu awe nawe pia ,asante Kwa maombi Mungu awe nawe siku zote za Maisha yako yote Na kila mmoja ambaye ataye skiza maombi Aya katika Jina la yesu kristu Wa NAZARETH, AMEN🙏🏽🙌 thanks to God 💪🙌🙏🏽🤲🤲🤲
ikatimie yote mipango yote
Ameen
Evangelist Innocent be blessed.thank you for morning prayer 🙏 Amen
Ameen ameeen
Be blessed too
@@holyspiritconnect
Bwana tawala maisha yangu na maisha ya mtoto wangu pia familia aliyopo usiwapungukie baraka zako , Nawakabidhi wote Kwa jina la Yesu Kristo , Amen.
Amen 🙏🙏🙏🙏 Asante mungu tetea maisha yangu in Jesus name amen
Ameen
Naanza siku yangu na bwana katika kila nitakacho fanya najikabidhi kwako katika mikono yako bwana ukanishikilie siku ya leo katika jina la yesu kristo Amen 🙏
Halleluyah Halleluyah Halleluyah Ayubu 38:12-13,22:28 zaburi 5:1-8,37:5,23.YEHOVA SHALOM=Waamuzi 6:20-24
Öo
w0000
Amina
Bwana yesu nipe nehema ya kutembeavkatika Kwa wema wako
AMEN. GLORY TO GOD 🙌
How good it is to start with Him the Creator and finish with Him thru prayer,Hallelluyah 🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen
❤nimebarikiwa sana sitaacha kuanza na bwana yesu hata siku Moja kupitia Sala makuu ya mungu nayaona
Ameen
Bwana yesu nakukabidhi mitihani ninayopitia kikazi kiuchumba naomba niombee na unitangulie kwa jina la yesu
Amen .Bwana Yesu nakukabidhi kila kitu katika maisha yangu na familia nzima.
Amen 🙏 please pray for me and my family god bless you all
Amen 🙏 May God bless you
Ameeeen Pst 4 the good morning prayer it makes my day to start with peace and end with peace 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Ameen ameeen
@@holyspiritconnect nsjiungamanishaa na Maombi haya ya asubuh I kwa k jina layesu
Amen 🙏 amen
Nakuxhukulu mungu wangu mana unanitia nguvu mungu wangu nakuxhukulu mungu wangu Asante mungu wangu mana bila we sitawenza mungu wangu mwaga ulinz katika mwili wangu naeneo nilipo niwaxhinde maadui mungu wangu
Amen najikabidhi ktk jina la Yesu mda mfupu nitakuwa nafanyiwa oparesheni bwana Yesu naomba uonekane na kiafanye wewe Yesu wangu .Ahsante Yesu .
Ameen
God is good 🙏🙏
Amen🙏🙏 Gloire à Dieu 🙏🙏
Ameen
Amen Amen.
🙏🙏🙏
Amen mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe sana.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
Mungu kashughulike na kila vitu vilivyo mbele yangu
Ameen
Amen🙏🙏🙏
Amen 🙏
Naomba kwaajili ya mgonjwa wangu lau nitakapo fika hospital nisikie kicheko
Leo bwana yesu ikaae siku ya furaha na baraka kwangu
Ameen ameeen
Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi nitangulie siku hii yote amen
Ameen
Ameen
Bwana jesu ukanitangulie siku hii ya leo pamoja na familia yangu nà kaźi yàngu ukataqale at masomo ya watoto wangu kila kitu nineqeka mbelè zàko jesu kristo Amen.
Ameen ameeen
Bwana Yesu unilinde ktk ck ya leo,nategua kila mipango mibaya iliyopangwa juu yangu,
Nakukupa we peke yako unatosha❤
Ameen
Asante yesu kupitia maombi haya nimeponywa kwa kila kitu 🙏🙏🙏🙏
Ameen
Amen Leo iwe siku njema kwangu na kwa family yangu katika jina la Yesu kristo Amen Asante Yesu
Bwana yes nakukabiz maisha yangu Kila unapobarik na mm usinipete niguse na mm 🙏🙏
Amen . siku yangu iwe njema, pamoja namwanangu,
Ameen
Maombi yanaenda kuwa chachu kwenye majukumu yangu Asante Mungu kwa kibari cha uhai na Mungu aendelee kufanya sasa sasa na Mapenzi yake
Amen bwana anilinde dhidi ya watesiwangu ashughukike nao mm siwez mtumishi niombee
Bwana Yesu biashara yangu.
Nikauone uzuri na wema wako nakuomba bwana Yesu Kristo siku nzuri katika siku nzima
Aminaa nakukabidhi kazi biashara watt wangu mume wangu ikanitangulie kule hosipital ninakokwenda nikauone wema wako nikawe na furaha amani kicheko kwangu nikafanikiwe yesu
Neema ya Mungu ujawe juu yangu na familia na ndugu na marafi na majirani zangu
Bakataa mbaya iwe siku ya furaha kwangu kaxini kwangu na nyumbani kwangu. Amen
Mungu aliyetuumba u pamoja nami usiniache kwenye kila jema la maisha yangu na kazi yangu
Nakushukuru MUNGU kwaneema thako juu yangu pia nafamilia thangu YESU nasema ansate Baba yangu neema zako
Ameen
Ameeeeen barikiwa Sana mtumishi 🙏
Ameen
Bwn yesu najikabidhi maisha yangu mikononi mwako leo nikae naulinz wako
Bwana Yesu Kristo Asante Kwa ajili ya siku hii ya leo uende pamoja nami
Bwana Yesu Kristo nawatanguliza watoto wangu mbele yako
Ee Mungu nakabidhi familia yangu watoto wangu kazi yangu na Kila Eneo la maisha yangu katika jina la yesu kristo Amen
Naomba ulinzi wa Mungu ktk familia yangu siku zote
Najikabidhi kwa bwana yesu katika jina la yesu kristo
Asante BWANA YESU nitangulie siku hii yote kanilinde amen 🙏
Na kukabidhi watoto wangu mikononi mwako nikuone wewe yesu naomba ulinzi
Ameen