HII NDIO NYUMBA INAYOTILIWA MASHAKA CHUINI ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    #HabariZaUhakika #Zinjibartv
    Follow Zinjibartv
    Facebook | Zinjibartv
    INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 773 878 523
    +255 773 071 409
    Zinjibartv Journalists
    cc: Safia Hussein
    cc: Swaleh Watamaama
    Camera Department"
    Muarabu Mmadi
    Editors:
    Ali Hassira
    Ramla Haji
    Abdillahi Said
    Dereva
    Ali Mohammed
    Video Zingine:
    Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
    - HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
    • MTOTO WA TURKY AJITOSA...
    • HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

ความคิดเห็น • 458

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mie hekima yangu pindi wakikutwa tena km hivo wote wapimwe virusi ....hao wamekuja kujiuza lkn walishaambiza wakiulizwa wote kwapamoja waseme kauli zilofanna waseme tumekuja kutafuta maisha nasio kujiuza ...lkn hao wamekuja kujiuza ....wasohaya wala aibu kulala pamoja nawawake wanaume astahafirullwahi

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 5 หลายเดือนก่อน

    Ndio jela wanawekwa watu milioni chumba kimoja lkn tayari kule nijela na wale niwafungwa walikua wahalifu lkn wao ni raia wakawaida iweje waishi namna km hii nakila mmoja anatakiwa kulinda vyema afya yke ivo kweli usalama upo hp nimtihani

  • @veronicashayo5075
    @veronicashayo5075 2 ปีที่แล้ว

    Mm naona wangetumia busara wakawatafutia sehemu yakukaa lakini kuwafungia hiyo siyo suluhisho watafutaji wanatakiwa kupewa sapoti

  • @issahassan8361
    @issahassan8361 ปีที่แล้ว

    Lkn uyo demu mmoja mkali kweli

  • @shafydauda7460
    @shafydauda7460 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar nijema atakae aje jamani

  • @HadijaKombo-g6g
    @HadijaKombo-g6g 11 หลายเดือนก่อน

    Simuwaletee magodoroo

  • @kamandaraster7899
    @kamandaraster7899 8 หลายเดือนก่อน

    Ndungu..zenu..wadamu.hao..msilalamikie.bure..wauuza.nyama

  • @salamabakari8384
    @salamabakari8384 หลายเดือนก่อน

    Sasa waondoke wende wapi naawamekuja kutafuta muwafikirie serikali sehemu nyengine yakukaa

  • @othmanabdallah3146
    @othmanabdallah3146 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa serikali kwanini msiwasapoti hao kwa kuwaletea vitanda vya double decker na magodoro, kumbukeni hao ndy wapiga kura wenu wakiwa bara au zenji.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 ปีที่แล้ว +1

    HIZI BIASHARA HIZI ZIPIGWE MARUFUKU ZANZIBAR, HAWA WANALETWA KUICHAFUA ZANZIBAR HULKA ZAKE NA DESTURI KIZANZIBARI.

    • @lmdos4382
      @lmdos4382 2 ปีที่แล้ว

      Ficha ujinga wako ndugu

    • @lmdos4382
      @lmdos4382 2 ปีที่แล้ว

      Ficha ujinga wako ndugu

  • @taybinaali9597
    @taybinaali9597 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar hakuna utakachofanya kikaendelea sasa anawatakia nini lohhh😏

  • @kassimmsonde4209
    @kassimmsonde4209 หลายเดือนก่อน

    Jamani watanzania wenzangu mbona hatuna zuri? Hapo hoja sio kulala chini, maana kama kulala chini mbona wengi tuna lala chini. Hoja hapo ni wingi wa vijana wenye malika mbali mbali kulundikana chumba kimoja, tena wake kwa waume. Ushauri wangu kama kweli wanafanya kazi kwenye kampuni na wanalipwa pesa washauriwe watawanyike kutafuta vyumba vya kupangisha mmoja mmoja au hata wakishirikiana wawili chumba kuliko chumba kimoja kulala watu 40 jamani Afya zenu ni muhimu sana.

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi ndio vile viwanja tunowauzia watu tusio warambua kwatamaa zetu waznz mwisho wake ndio huu.

  • @giallabinally9580
    @giallabinally9580 ปีที่แล้ว

    Mbona jela watu wanalala chini waachieni huru wafungwa muyafunge magereza watu wanaongea wameridhika kwasababu wapo kwenye utafutaji munawafukuza linafunga nyumba je munajua huko wanapoelekea wanaenda kufanya nn?think before judge this is not fair

  • @abdalajuma4552
    @abdalajuma4552 2 ปีที่แล้ว

    Peleka kwao tanganyika malaya tu wanao tuharibia maadili ya kizanzibar

  • @chantaltulizo5029
    @chantaltulizo5029 2 ปีที่แล้ว

    Wanunulie godolo ujinga tuu wanatafuta maisha

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 2 ปีที่แล้ว

    Toba wee viumba vinne watu 82 vyooo vitatu viumba vinne

  • @atanasjisonge2538
    @atanasjisonge2538 2 ปีที่แล้ว

    Kulala chini ni jambo la kawaida tu shule nyingi hazina madawati kwanini hamsemii???

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 2 ปีที่แล้ว

    Wameletwa kueneza dini Yao ao wooote wakiristo baada ya miaka 2 Zanzibar wakiristo wengi kuliko waislam halafu ikifika usiku wanajiuza hawajapimwa wanaeneza ukimwi tu

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 5 หลายเดือนก่อน

    Utamsikia mtu anabana pua akisema eti nyie mbona mpo tele bara ...tupo ndio lkn tunasema na shida zetu mmetuona tukaja kufanya ujambazi au kufanya ukahaba sie tunakuja kwa biashara ....matoho nyie

  • @abdulrahmanbakar5416
    @abdulrahmanbakar5416 2 ปีที่แล้ว

    Mimi namuuliza huyo anaehoji je yeye anapata stahiki zake zote huko kazini Kwake?
    Always anaetafuta hachoki na siku zote mzigo wa mwenzako ni mzito lkn wanaofanya kazi private ndio hukutana zaidi ya hayo.

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 2 ปีที่แล้ว +3

    Kipindi cha uchaguzi mnawakumbatia na mnawapa vitambulisho ili wawapigie kura ukimaliza uchaguzi hamuwahitaji any ways hiki kitu si kizuri

  • @mrpresedanthaji4792
    @mrpresedanthaji4792 2 ปีที่แล้ว

    Je ww unataarifa nao mtu akitoka sehemu kwenda sehemu nyengine nilazima wawe na barua ya uhamisho kwenda sehemu nyengine km barua ya mzee wa kijiji au barua ya sheha

  • @lamadhaningongite3940
    @lamadhaningongite3940 2 ปีที่แล้ว

    Hawalifqmu wqnalp tens wana mambo yao

  • @nassorali1034
    @nassorali1034 5 หลายเดือนก่อน

    Pia kulala chini sio shida muhimu kutafuta riziki ya halali lkn sihawa wamekaa km mamba ninachowapitia wamemeza wapimwe afya nyoko hao

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 ปีที่แล้ว

    Daaaaah watu wabaya jmn kiasi hichi hawa watu jmn eeeh

  • @mrpresedanthaji4792
    @mrpresedanthaji4792 2 ปีที่แล้ว

    Yy wazanzibari jiaminini tanganyika wanafukuzwa wanaiba 2 sheha hana habari mtaani

  • @jumafundi3133
    @jumafundi3133 2 ปีที่แล้ว

    Mm naona kull chini hilo siotatizo maana hata sisi ambao tunayo majumbayetu wengine wanall chini ila nibora wazifanye hizonyumba ziwe za wanawake mbali na wanaume mbali wasichanganyike kama hivyo.

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 2 ปีที่แล้ว

    Sasa mnawasaidiaje watu wamekuja kutafuta pesa watu wa zenji vipi nyie Yani mtu kulala chini ndio nini sasa

  • @chamchuuconsult4682
    @chamchuuconsult4682 2 ปีที่แล้ว

    Towa watu hao wewe sheha machangudowa hao waongi

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 ปีที่แล้ว

    Ila wameongea vzr vijana kwa kweli lkn kdg iyo si hali

  • @zainangasu3198
    @zainangasu3198 2 ปีที่แล้ว

    Nyie jiteteeni kwa njia nyingine acheni kusingizia walio toka kwani hawajaonekana wao mumeonekana nyie mungu awasaidie muondokane na maghadhabu hayo

  • @habibadaudi8242
    @habibadaudi8242 2 ปีที่แล้ว

    Mm sisemi kitu Ila kwamaisha nilopitia kulala chini nikawaida tu kama natafuta

  • @papaadialoo
    @papaadialoo 2 ปีที่แล้ว +3

    Ukiwa katika uongozi una gari la serikali hujui kama wako wengi wanalala chini TZ wee unastaajabu

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 2 ปีที่แล้ว

    fukuza mkuu huyo anawabubuzi ndungu zetu wa damu hao ndio wapiga kura

  • @khamadjuma6943
    @khamadjuma6943 2 ปีที่แล้ว

    Njaa hizo kwao ndio mana yanawakuta kwao shida hau

  • @majabiali973
    @majabiali973 8 หลายเดือนก่อน

    Achene kunyanyasa wat jaman na sisi tuko oman tunapitia chanagmoto kibao ba wala hamufanyi lolot mnakera bnwa mtu akiamua kutafuta ashakubali lolote litakalo tokea mnakrea bwna

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 หลายเดือนก่อน

    Wahusika wakamatwe na kuhojiwa

  • @sultanramadhan5269
    @sultanramadhan5269 ปีที่แล้ว

    Wa znz mna pupa mngepandikiza watu wenu kuupata ukweli inawezekana wanakusanywa ili kuuzwa nje ya nchi, pia mnajua fika kwamba mashoga na wasagaji wanatamani dunia nzima tabia zifanane na wao mshaukosa ukweli, na hakuna kampuni itarundika kundi ktk la watu ktk nafasi finyu na hasa wanatoka nje ya znz hiyo Habari limenitia chungu mimi km mzazi.

  • @suleimansalim8744
    @suleimansalim8744 3 หลายเดือนก่อน

    Kulala chinii ni ajabuu jamanii katika kutafutaa

  • @سالمبنسعيدبنسيفالجرجري
    @سالمبنسعيدبنسيفالجرجري ปีที่แล้ว

    Mbona gerezani wanalala zaid ya watu 50 tena hao hawana hatia yoyote

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 2 ปีที่แล้ว +1

    Siwalaumu kw sababu wamejitoa kutafuta maisha...ndio njia y kujikwamua na umaskini..ni heri y hili kuliko kua wala unga na wauza viuno

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 2 ปีที่แล้ว

    Ufaham wao umefungwaa si kwa majbu wanayo toaa

  • @aliaboud9202
    @aliaboud9202 2 ปีที่แล้ว +2

    Watu sio kama wanapenda kufanya hivi ispokua maisha yamekua magumu watu wana struggle kutafuta pesa kazi yoyote wanafanya

    • @mahinduzihonorech
      @mahinduzihonorech 7 หลายเดือนก่อน

      Upewe mauwa yako kabisa iyo Ni Kweli 🎉🎉🎉

  • @esterlove8489
    @esterlove8489 ปีที่แล้ว

    Baazi ya Wabongo humu munakoment kwa uchonganishi tu sasa habari hii ina uhusiano gani wa kutaja raisi samia anahusikaje halafu km hatufanyi kazi munazofanya nyie sasa kuna tatizo gani km munapenda kazi za kinyama nendeni arabunu si mumezoea kufanywa watumwa nyie sio hapa zanzibar

  • @shahabdallah9407
    @shahabdallah9407 7 หลายเดือนก่อน

    Si mumtafute mmiliki wa nyumba?

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 2 ปีที่แล้ว

    Sasa huo kama sii upuuzi nini mpaka uwape suku kwani usifunge hapohapo

  • @fatmakiondo5927
    @fatmakiondo5927 2 ปีที่แล้ว

    Sasa cha ajabu ni kipi mtu anayetafuta rudhki ya halali na analala chini na yule anayejiuza au kuiba kipi bora hebu acheni mambo ya ajabu alafu pia hakuna mtu aliyezaliwa ktk utajiri pasipo kuteseka

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 2 ปีที่แล้ว

    Wapiga kura wa chama tawala wache watumike

  • @mrssley5184
    @mrssley5184 2 ปีที่แล้ว

    Mbona busati lipo sheha

  • @raiyanmohd8261
    @raiyanmohd8261 2 ปีที่แล้ว

    Warudishwe kwao tu

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 ปีที่แล้ว

    CCM INATUHARIBIA NCHI YA ZANZIBAR.

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 7 หลายเดือนก่อน

    Kufuzwa mashoga hokoa

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 2 ปีที่แล้ว

    Naona huruma jamaniii uuuwiiii

  • @pascuskissengo5460
    @pascuskissengo5460 ปีที่แล้ว

    Huomtihani shekhe

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 2 ปีที่แล้ว

    kutusambazia maradh tu

  • @ibrahimayub5411
    @ibrahimayub5411 2 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhhhhhhh hatar

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 2 ปีที่แล้ว

    Sasa ubaya gani hapo? Kulala chini au

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba1647 2 ปีที่แล้ว +6

    Mlikuwa mnataka wawe majambazi? Ajira zenyewe hakuna sasa mlikuwa mnategemea nini kwa taarifa yenu kuna vijana kama hao wanaokadiliwa kufika millions kumi na tisa hawana ajira subilini sensa mtajua hali ni mbaya hasa mijini hambako hakuna mashamba

    • @isackakyoo6446
      @isackakyoo6446 2 ปีที่แล้ว +1

      Hahahahaha, kweli ajira hamna

    • @zainabmahmoud5501
      @zainabmahmoud5501 2 ปีที่แล้ว

      Sasa siwangebaki kwao basi wakalima kwani lazima wake huku ajira ndo Hamna huku tumejaa tele wakalima wakishindwa na kwao pia miji ipo wangepaki tu kwao hii ni kusababisha makahaba na vibaka kuwa wengi

    • @rashidikanyama7227
      @rashidikanyama7227 2 ปีที่แล้ว

      @@zainabmahmoud5501 We mbulula kweli Yani watu wanapambana wewe unaongea ungese

    • @zainabmahmoud5501
      @zainabmahmoud5501 2 ปีที่แล้ว

      @@rashidikanyama7227 mbulula mimi au hao ndugu zako wasio na akili mara ngapi wanakamatwa kwa kurundikana mmezidi mbaki makwenu mmeuwa kero juzi tu walikamatwa wanalala kwenye varanda za majumba yamichezani mtu kwa mkijiona Hamna ajira mrudi makwenu sio kuzurura ovo kuna mambo hapa znz hatuna asilili nayo kwetu ni maajabu walasiushamba mbaki makwenu mlime mnaardhi yakutosha na sio uko tu aende kwenye mahoteli hao wanaoletwa kwenye treina mijitu tele Kazi hawapewi wanahakaika kutafuta mabwana hawana pakukaa et kulima ndo hawawezi rudini makwenu hamjafukuzwa kwenu

    • @belgieboys9867
      @belgieboys9867 2 ปีที่แล้ว

      Walikuwa wabakie makwao wakalime kuna mapori tele ya kulima znz haina nafasi hata ya kulima

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie mlitakaje

  • @shamsaalsalamy5159
    @shamsaalsalamy5159 2 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu dada anaongea nini.

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 2 ปีที่แล้ว

    Ukimwi ukimwi ukimwiiii

  • @omaryrashid3544
    @omaryrashid3544 2 ปีที่แล้ว

    Waondoke waende wap

  • @jumammanga0297
    @jumammanga0297 2 ปีที่แล้ว +11

    Hio inaitwa Zanzibar njema atakae aje

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @khadijakhatibuhaji7284
      @khadijakhatibuhaji7284 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @khadijakhatibuhaji7284
      @khadijakhatibuhaji7284 2 ปีที่แล้ว

      Zanzibar njema vooo, kwani haitangazwi Hawa wabongo warudi kwao uko wakafanye shughuli zao mjini na mashamba wamejijaza vibaya mno Hawa watuuu balaaa zito mm naona loooh

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 2 ปีที่แล้ว

    popote kambi sio

  • @calvinpaul2171
    @calvinpaul2171 2 ปีที่แล้ว

    Awaa wamelogwaa

  • @zendopkop2310
    @zendopkop2310 2 ปีที่แล้ว +4

    IPO haja ya watu wenu waangalie vipindi vya habari ili wajue jinsi ya kuhoji ki professionaly

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimewasifu kweli vijana mpo vizur mnatetea riziki

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 ปีที่แล้ว

    Kibongobongo

  • @saidissa8273
    @saidissa8273 2 ปีที่แล้ว +2

    HAO NDIO WANATUMIKA KIPINDI CHA UCHAGUZI KIPIGIA FISI M.UKAWASACH WANA VITAMBULISHO VYA UZANZIBARI

  • @khalfannasornassor7396
    @khalfannasornassor7396 2 ปีที่แล้ว +1

    wabongo wamejaaaa

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaaan wamenilumbusha kweli hawa mwaka 1995 wazanzibar tulipokimbilia london lakin sisi ilikuwa chumba watu 6 hawa wametisha watu 80

  • @lowrenceanitha7156
    @lowrenceanitha7156 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona wenyewe hawana shida! Mbona wazanzibar wengi tu tunalala chini mpaka hao iwe ajabu. Sababu zenu hazina mshiko

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni human traficking

  • @papaadialoo
    @papaadialoo 2 ปีที่แล้ว +1

    SI mngechukua record zao mkawaacha walale unatimua watu wakati huna pa kuwaweka ni uongozi wa kukurupuka

  • @omarynassor6313
    @omarynassor6313 2 ปีที่แล้ว

    Y

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 2 ปีที่แล้ว +1

    Nchi haina utaratibu maalum unawezaje kuwakataza watu wasijazane sehem moja,kuna zaidi ya hao na hawajuilikani kazi zao then matendo ya kihalifu hayawezi kuisha

    • @lmdos4382
      @lmdos4382 2 ปีที่แล้ว

      @@salma0000 Tembea Dunia uione

  • @dekanyaktown.255
    @dekanyaktown.255 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukiona bango lime andikwa ajira mshahara mnono ukifatilia ndy kazi kama hizo.

  • @papaadialoo
    @papaadialoo 2 ปีที่แล้ว +1

    Hao mkiwafukuza hapo wataenda kulala miferejini na kukaba watu

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 2 ปีที่แล้ว +1

    Si ufunge nyumba beba rudisha kwao wote

  • @jumarocky9544
    @jumarocky9544 2 ปีที่แล้ว +2

    Hukusu magodoro si tuwapeni msaada jamani maisha magumu

  • @زيتونتنزانيا
    @زيتونتنزانيا 2 ปีที่แล้ว +1

    Sioni ubaya hapo chaumuhimu viongozi muangalie wanavibali sahihi huku uarabuni wanalala chini

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 ปีที่แล้ว +1

    Wachunguzeni uzuriii Hao. Watu wengi km hivyo huwezi kuwa wako salama. Wana kitu kikubwa Hao wanafanya. Sio kuza vitu tu hiyo ni mpango tu

    • @jenestermakyala847
      @jenestermakyala847 2 ปีที่แล้ว

      Mungu awasaidie,wasaidieni wàrudi nyumbani mnawàfukuza waña nauli zakurudi walikotoka?serikali iwasafishe mpaka dar

  • @innocentpeter6409
    @innocentpeter6409 2 ปีที่แล้ว +1

    upumbavu amjui shida sisi tumelala nje tena kwenye mchanga shuka kavelo leo hao wanalala ndani mnawasumbua hamjui maisha

    • @jeraldboman3053
      @jeraldboman3053 2 ปีที่แล้ว

      Kwel kaka had leo tunalala pazur!

  • @sadockchengula5542
    @sadockchengula5542 2 ปีที่แล้ว +5

    Hapo hakuna kibarua/ajira. Kwani hao wakilipwa posho zao au mishahara yao wanatunza wapi, usalama wa posho, nguo zao za ndani au faragha yao ya kuoga inakuaje? Hapo kuna shida na wao ni kama hawajielewi au wamepumbazwa. Morogoro kuna fursa nyingi warudi hao labda wana mipango tofauti hiyo ni zuga tu.

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 หลายเดือนก่อน

      Hao kuna kazi ambayo siyo nzuri wana fanyishwa
      na hao vijana hawa jielewi

  • @khatibjuma9455
    @khatibjuma9455 2 ปีที่แล้ว +2

    Nazani nivyema mwenyekiti hiy nyumba ifungwe ama atafutwe mwenye kuweka hao vijana kwa maelezo zayd

  • @abubakarmohamed8275
    @abubakarmohamed8275 2 ปีที่แล้ว +2

    Tena Hawa masheha wamezidi kuzalilisha watu na hawajui wajibu wao wa kazi hao vijana wameshakaa muda mrefu yy alikuwepo wapi inawekana amenyimwa pesa kaona awaripue wakati yy mwenyewe anamakosa

  • @ummimohamed2148
    @ummimohamed2148 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimeirudia mara mbili kuskiliza vizuri sijaona neno au kitu ubaguzi hapo nilichoona kuwa wamependwa na wameonelewa huruma kufatwa na kujulikana maisha mabaya wanayoishi na inshallah Allah atajaalia iwe sababu ya wao kupata stara na wepes wa maisha yao ameen.

    • @KhojaNasri
      @KhojaNasri 2 ปีที่แล้ว

      Amen

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa hivi kuna wimbi la ushoga serikali iwe makini sana.mimi nimepata wasi wasi

  • @kassimkasi846
    @kassimkasi846 2 ปีที่แล้ว +1

    Msisahau kwenda na gereza la kinuwa miguu mkaangalie chumba kimoja wanalala wafungwa wangapi na ni jengo la serikali lile

    • @nassorali1034
      @nassorali1034 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa ndo ushasema wafungwa lkn haw wao wapo huru pia istoshe kuna mt kasema watu wanalla nje seuze hawa wapo ndani sawa ndohuko kwenu lkn sio huku ushawahi kumuona mzanzibar akaja huko kwenu akafanya mijitabia mibaya km hii kulala mzazibar yeyote hua anasema na shida zake wala haji uko kiujinga ujinga sawa eh

    • @ummuwawili
      @ummuwawili 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@nassorali1034 nataman niseme lkn Namuomba Allah aniepushe na hii fitna ya ulimi kama nikisema.....ninyamaze Acudhubilahi mina shaytwanirrajim

  • @husseinkarim9211
    @husseinkarim9211 2 ปีที่แล้ว +2

    Biashara ya promotion kwa nini wasilale nyumbani kwao na asubuhi waje wachukue bidhaa za kuuza

    • @lmdos4382
      @lmdos4382 2 ปีที่แล้ว

      Kipato chao ni kidogo sana wengi hawamudu kojikodia wenyewe

  • @adiladil345
    @adiladil345 2 ปีที่แล้ว +3

    Bakar amor wazanzibar wakati wowote twataka tugawane mbao

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 ปีที่แล้ว +4

    WABONGO WAEREJESHWE KWAO TUMEWACHOKA SANA HATUTAKI KWETU ZANZIBAR

    • @mohamnedsalum2150
      @mohamnedsalum2150 2 ปีที่แล้ว +4

      Usiwe na ubaguzi

    • @kanyamageorge7015
      @kanyamageorge7015 2 ปีที่แล้ว

      Wanatafuta kazi.Laghai hiyo ukiwapata sana kuna jambo wako tayari kwa lolote!

    • @azizaferuzi5856
      @azizaferuzi5856 2 ปีที่แล้ว +4

      Mbona nyie mmejazana bongo kwani kwenu atuamii tumegomaaa

    • @saidhassan7779
      @saidhassan7779 2 ปีที่แล้ว

      @@mohamnedsalum2150 Hehehheh

    • @rukiamkumba8038
      @rukiamkumba8038 2 ปีที่แล้ว +2

      Nyinyi mbona mumejaa uku bongo mbona sisi atuwafukuzi koma wewe

  • @tours15
    @tours15 2 ปีที่แล้ว +2

    Faida ya Muungano ndio hiyo

  • @samirasuleimani5145
    @samirasuleimani5145 2 ปีที่แล้ว

    Cx

  • @aboudshauri2357
    @aboudshauri2357 2 ปีที่แล้ว +2

    Tatizo la ajira kwa vijana wetu na umasikini uliokithiri naona huruma. Mungeliwakopesha mitaji wakajiweza

  • @noffelsalim830
    @noffelsalim830 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh ndugu zetu watanganyika nawaoneeni huruma xn, poleni xn

  • @fortune3502
    @fortune3502 2 ปีที่แล้ว +1

    Cha msingi hapo watFutiwe mazingira salama waendelee kupambana na maisha. Wanaume wapewe bweno lao na wanawake lakwao maisha yaendelee hata mkiwatoa bila suluhisho ndio mtaongeza matatizo zaidi maana hawana pakwenda wataenda kusimama huko barabarani bila nguo.

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani .znz kwisha ss.

  • @haroubalkharusy9117
    @haroubalkharusy9117 2 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kuna biashara haramu...!!
    Hiyo promoshoni ni geresha tu....!!!
    Angalia hao wanaofanya kazi maelezo yao, wamepewq mafunzo maalum ya mkakati ili kuficha uhaLifu na uasherati inaofanywa hapo..
    !!!
    Big UP Mh Sheha... Keep it UP....!!!

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 ปีที่แล้ว

    WARUDISHWE KWAO TANGANYIKA WANATULETEA MZTATIZO ZANZIBAR.