KESI YA SABAYA: WANANCHI WAFUNGUKA MWANZO MWISHO/WAKILI ANENA HAYA "WALIFUNGWA PINGU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

ความคิดเห็น • 310

  • @neemahezron486
    @neemahezron486 3 ปีที่แล้ว +5

    Kaulize hai unawaulizaje watu ambao awamjui unakosea na unatumalizia bando bila sababu za msingi afu Sabaya atakua huru...Mungu atamsaidia kama ajafanya kosa

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว +7

    Kwa upande wangu kuhusu sabaya ctaki kumzungumzia vby!!lkn sikupenda jinsi alivyomwangalia Mama Ana Mwighira kwa dharau hapo ndipo nilivyomeona Hana adabu

  • @nrongasecondary1649
    @nrongasecondary1649 3 ปีที่แล้ว +2

    Washirika wake wanasemaje mbona hmuwatafuti na pia nendeni Wilaya ya Hai

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi siamin alibaka wanawake 40 ?????????

  • @simonmagaigwa5496
    @simonmagaigwa5496 3 ปีที่แล้ว

    Kweli hili bonge ni hewa.

  • @donboaconchimbi1801
    @donboaconchimbi1801 3 ปีที่แล้ว

    Sijui ni mtangazaji au mvamia fani, na kama ni mwanahabari basi hujui mipaka yako ya kazi, unalazimishaje kumhoji mtu, taaluma ya wapi hiyo? Unadhalilisha taaluma.

  • @saeedal-awen2190
    @saeedal-awen2190 3 ปีที่แล้ว

    Nendeni hai wahujiwe wale ndo wanajua ubaya wake na uzuri wake

  • @barakangoja910
    @barakangoja910 3 ปีที่แล้ว +1

    Hawa waandishi mbumbumbu tukio linafanyika arusha ww unamuhoji mtu wa dar ni akili hyo?

  • @jumamglecs7684
    @jumamglecs7684 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukusanye maoni dar es salaam kwani hai hupajui

  • @issackjoseph6436
    @issackjoseph6436 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata dhahabu ing'aayo vema upitishwa kwenye moto,ila kama ni gonga uharibika,muda utatueleza ukwel Ndyo ninachokiamin

  • @manenomfaume6032
    @manenomfaume6032 3 ปีที่แล้ว +7

    Muandishi Ingekua vizuri sana kama hilo zoezi Ungeenda kulifanyia ktk Wilaya ya Hai Kule Tungeweza kupata kipimo

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizo hila tu wewe mama weka akiba ya maneno

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +34

    Mtangazaji tunaomba ufike eneo lake husika alipokua akifanyia kazi Hai tunakuomba sana maana uko ndo watu wanaomjua Sabaya tamu na chungu

    • @iviejustified8109
      @iviejustified8109 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha nilitaka kusema kama wewe
      Crazie unprofessional

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      @@iviejustified8109 HAWANA BAJETI YA KWENDA 🤣🤣🤣 WAMEISHIA DAR TUNAOMBA WENYE BAJETI ZAO WAFANYE HIVO ITAKUWA SAFI SANA👍👍👍👍👍👍

    • @immapoule3613
      @immapoule3613 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika maana dar na Hai wapinawap!

    • @meshajoni5662
      @meshajoni5662 3 ปีที่แล้ว

      @@immapoule3613 Ata Mimi nashangaa,awawaandishi,wanakula mb,2

    • @pitargamba9208
      @pitargamba9208 3 ปีที่แล้ว

      Kwani mtu akiwa ndani tena kiongozi na makengeza yuko nje anapiga kampeni ya kumushindikia hata ukiwauliza watasema ni mbaya

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 3 ปีที่แล้ว +13

    Mwandishi bomu, hujui kutafuta watu mahsusi kuwahoji kuhusu tukio hilo, unakurupuka tu na kupoteza muda wako

    • @prisillahmasherema8564
      @prisillahmasherema8564 3 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo anajifunza kazi hajui kazi

    • @simonkitoy7304
      @simonkitoy7304 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mtangazaji kiazi kweli anahoji watoto ameingilia fani asiyoijua..
      Sabaya ni chuki tuu zimempeleka hapo alipo

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo umebugi sasa mbunju na hai ni vitu viwili tofauti,,nenda kawahoji watu wa hai bhana

  • @petermunanka3827
    @petermunanka3827 3 ปีที่แล้ว +2

    Wewe mtangazaji njaa inskusumbua unakula mb zetu

  • @oskamsafiri2814
    @oskamsafiri2814 3 ปีที่แล้ว +9

    Kazi hizi,ushenzi tu.amejitumaaa Leo ananyanyasika.

    • @imanmodern
      @imanmodern 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio kujituma tu amehusika kudhulumu watu acha sheria ichukue mkondo wake hakuna huruma

    • @imanmodern
      @imanmodern 3 ปีที่แล้ว

      @Emmaculate Kasinsa 😜😜😜😜😜

    • @theresiakaruhanga1169
      @theresiakaruhanga1169 3 ปีที่แล้ว

      mi kweli sijapenda anavyodharirishwa utadhani hakuna wahrifu wengine. Inauma sana. ndo maana wengine wanaamua kutofanya chochote ili ukitumbuliwa utumbuliwe kivyako. sabaya sasa ndo antrend utadhani hakuna habari nyingine. nadhani hili si sawa

    • @leahmgunda5055
      @leahmgunda5055 3 ปีที่แล้ว

      @@theresiakaruhanga1169 Kwa hiyo wafungwa wote wafunguliwe hadi wahalifu wooote wakamatwe...

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 ปีที่แล้ว

      @@imanmodern viongozi wangapi wemedhulu? Majizi yote nchi yanayojulikana kwanini yasichukuliwe hatua? Kwanini sasa hivi? Makosa hayo kayafanya juzi na jana? Mbona hatukuwahi kusikia? Nasikia alishawahi kuua mmmh
      Pole zake sana.

  • @reginamanyangu6682
    @reginamanyangu6682 3 ปีที่แล้ว +2

    Et tuhuma 80 zingine zako

  • @nuhumkeya3076
    @nuhumkeya3076 3 ปีที่แล้ว +1

    Maoni yangu mm mkuu wa takukuru na yeye ahojiwe kama siyo njama za kumpoteza sabaya kisiasa kwa sababu wakati sabaya ni DC yeye alikua RPC wa mkoa kama kuna makosa yanayosemwa ni kweli basi alihusika na yeye kama mkuu wa police wanachokifanya ni uonevu kama kuna sehemu walikosana kama binadamu huko isiwe sababu ya kumkandamiza sabaya alisaidia watu wa hai sana na

  • @ramadhanideu6444
    @ramadhanideu6444 3 ปีที่แล้ว +1

    Xio kweli magufuli wamemuua hivyo ata kizaz chake lazma wakiteketeze mungu ni mwema mtalipa

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 3 ปีที่แล้ว +1

    Huo ushamba mtu alikuwa kiongozi wa wilaya hai Kilimanjaro unakuja kuwahoji watu wa dar,kawahoji watu wa hai acha ushamba

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunataka tamera za usalama ziseme na wewe mtangazaji nenda hai kaulize hayo maswali

  • @feelnice5437
    @feelnice5437 3 ปีที่แล้ว +1

    Njaa zina tofauti ila zenu zimezidi hadi kuuza roho jamani wewe hots na huyo mwenye jezi anaewapanga maboya kuwaelekeza cha kuzungumza watu muogopeni muumba ila ngoja tujue vita zipo za aina nyingi Tanzania tumekwishaaaa

    • @bennylyengi4936
      @bennylyengi4936 3 ปีที่แล้ว

      Siku zote kizuri akidumu msabaya jembe

  • @williamgeorge150
    @williamgeorge150 3 ปีที่แล้ว +10

    Ivi hii asilimia 50 kwa 50 wanayolilia wanawake Ni ya nini😄😄😄😂

  • @manenomfaume6032
    @manenomfaume6032 3 ปีที่แล้ว +7

    Najiuliza Halafu Nakosa jibu; Hivi Sabaya wakati anayafanya hayo yote Je Mkuu wake wa mkoa Alikua wapi? Au ni uelewa wangu mdogo ndio maana nimeshindwa kujua

    • @zenaabdallah3797
      @zenaabdallah3797 3 ปีที่แล้ว

      HIZI NI CHUKI ZA KISIASA TU VIJANA CHAPA KAZI WANATOSWA ILI WATU WAFANYE YAO KUINGIZA UNGA KWA WINGI NCHI NDIO INACHUKULIWA HIVYO

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nashangaa yaani siku zote hizo hao wanaomtuhumu hawakuweza kusema chochote? Sikuwahi sikia tuhuma zozote juu yake labda niko nyuma sana

    • @denisimaliyaweni9183
      @denisimaliyaweni9183 3 ปีที่แล้ว

      Jmn mmesahau kuwa mkuu wa wilaya alitumwa na magufuli ili vyama pinzani waone cha moto na walioathirika zaid ni vyama pinzani na cyo ccm jibu hilo chukua

    • @zenaabdallah3797
      @zenaabdallah3797 3 ปีที่แล้ว

      @@denisimaliyaweni9183 HAKUNA LOLOTE HIZO NI CHUKI ZA WAPINGA MAENDELEO NDIZO ZINAWATESA VIJANA WETU KWA SASA.SABAYA MUNGU YUPO UTATOKA TU KWA UWEZO WA ALLAH

    • @denisimaliyaweni9183
      @denisimaliyaweni9183 3 ปีที่แล้ว

      @@zenaabdallah3797 kutoka atatoka lkn cha moto atakiona

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 3 ปีที่แล้ว +2

    Watz kuoji ulitakiwa uhende alipokulia na alipokuwa anaongoza

  • @makobamakoba8774
    @makobamakoba8774 3 ปีที่แล้ว +5

    Wewe mtangazaji acha mbwewe na uzandik nenda Hai ukawaulize aliokuwa anawatumikia

  • @Officialtunduma
    @Officialtunduma 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji Nimependa Kaxi Yako! Na Sabaya Mimi Naona Haki Imetendeka Kufikishwa Mahakamani.

  • @machozihussen1814
    @machozihussen1814 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji hiyo siyo sehemu husika, wote unaowahoji hawajielewi

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 3 ปีที่แล้ว +5

    Chadema wamepata pa kupumulia, haya Mambo nahisi yamepikwa. Kuna nguvu kubwa nyuma yake

    • @liesharehema5193
      @liesharehema5193 3 ปีที่แล้ว

      Saaana yaani

    • @imanmodern
      @imanmodern 3 ปีที่แล้ว

      CHADEMA ndio wamempeleka mahakamani? Mnaituhumu tu chadema bila sababu

    • @liesharehema5193
      @liesharehema5193 3 ปีที่แล้ว

      @@imanmodern mi nahisi kuna mtu mzito nyuma yake sababu mtu mmoja ni jambazi mhujumu uchumi mbakaji kweli jamani kunakitu hapo sio bure

    • @kaundasutikaunda7769
      @kaundasutikaunda7769 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @faustinepeter7653
      @faustinepeter7653 3 ปีที่แล้ว

      Sio nguvu ya mtu yeyote ni serikali ya mama mwenye haki mama wa taifa samia suluhu rais wetu kipindi hiki majangili wote wataisi wanaonewa sana hakuna cha chadema wala ccm sasaiv ni kufuata sheria tu kwa sebaya anyongwe kabisa

  • @huldamaduhu6901
    @huldamaduhu6901 3 ปีที่แล้ว +1

    wewe mwandishi wa habari unatumalizia mb zetu unaowauliza hawahusiki nenda hai ukapate taarifa kamili hapo unaendeleza umbea tu

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 3 ปีที่แล้ว +1

    Wew mtagazaji pia mnafiki kwanin usiende hai,

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo siyo kuna kitu kinatengeneswa????

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 ปีที่แล้ว +1

    Usilazimishe watu muandishi elewa haki za mtu kama kakwambia hataki achana nae ijue haki ya mtu.

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 3 ปีที่แล้ว +1

    Huo ni umbeya kuuliza wasiohusu, nenda kawaulize wana Hai.
    Usiwaulize wanaosikia, funga safari kawaulize wanamjua Sabaya.

  • @Fundi12345
    @Fundi12345 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo siyo kuna kitu kinatengeneswa????

  • @yusufjuma3773
    @yusufjuma3773 3 ปีที่แล้ว +3

    Aliyoyafanya huyu kijana wilaya ya haina mfano, aliipigania ccm haswa na km unapigana adui lazina na wewe uwe adui, wilaya ya hai ilijikita kwenye ukabila na ubaguzi pindi Jimbo liko chadema lkn sabaya alipoingia madarakani hakika sabaya aliipigania saana ccm hadi Jimbo likachukuliwa na ccm ,

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 3 ปีที่แล้ว

      waache tu mungu atawalipa insha allah mbaya huwa ajifichi kwa matendo ila wameamuwa kumpa ubaya kuuwa wazalendo wanawatisha wafanyakazi wa umma wenye uzalendo wa haq

    • @erastonicholas5589
      @erastonicholas5589 3 ปีที่แล้ว +1

      We vp jimbo kitu gani na ilepicha akiingia hotelini usiku kuzingua wateja ndio kampeni au? Jimbo lake ni moshi Arusha alikua anazingua wafanya biashara ili tamaaa yule ni jambazi kama wengine tu sema jambazi huyu aruki fence anaingilia gatini

    • @irenekitomary7271
      @irenekitomary7271 3 ปีที่แล้ว

      Your so stupid my dear angalia clip anayomwangalia mama mwingira kama kinyesi utajua sabaya ni nan pimbi wewe

    • @faustinepeter7653
      @faustinepeter7653 3 ปีที่แล้ว

      Ajapigania chochote zaid ya kuua watu zamu yake sasavkama na wewevmwojawapo useme urudi kundini ushulikiwe unangea kama unaelewa sana sebaya nan asojua alikuwa jangili

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 ปีที่แล้ว +4

    Wadada wamekuweza na umbea wako,nenda Hai,huna nauli???

  • @faustinefesto7705
    @faustinefesto7705 3 ปีที่แล้ว +3

    Alitumia nguvu nguvu hipi??
    Kosa lake nini???

  • @iddymbogowogo216
    @iddymbogowogo216 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa wakuu nawapa pole Sana mungu atawapa wepesi

  • @khalidbittebo7245
    @khalidbittebo7245 3 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mtangazaji mbona wanapokamatwa wengine huhoji wananchi?

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji ningefurahi sana ukaenda kumhoji January makamba ili arudishe fedha za nssf za wastaafu wanakosa nae ikiwezekana ashitakiwe

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

      Ushahidi anao musiba na ikulu

  • @fatumajuma1157
    @fatumajuma1157 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwandshi ovyo
    Vtv vya uchchrn

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 3 ปีที่แล้ว

    Unauliza wanafunzi wa dar maswali yanayo husu kesi ya Hai...mwandishi umetumwa sio bure...

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwani Sabaya nani bhana alikua Waziri wa Fedha Badhili Mramba alipelekwa mahakamani akafungwa kifungo kingine kamalizia nje kwa kufanya usafi Hospital ya Sinza sembuse Sabaya akanyie ndoo uko shubamiti alijiona mungu mtu sana uyo jamaa pumbavu zake

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunajua ni hila za watu, na waliomfungulia mashtak na washirika wao, haiwezekani mtu abake wake 40, sabaya watu wamekutengenezea, utashinda

  • @gililwise
    @gililwise 3 ปีที่แล้ว

    Huko Dar hawamjui kawaulize wananchi sa hai .acha mbwembwe mtangazaji.

  • @zakarialuhemeja4179
    @zakarialuhemeja4179 3 ปีที่แล้ว

    Wewe mtengeneza stori hujatenda haki kurusha hii video

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 3 ปีที่แล้ว

    Umethibitisha wewe sheria unayosoma wewe ni fake

  • @jebace
    @jebace 3 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji mkundu wako mnachuki binafi

  • @galatiaastonimparazo1255
    @galatiaastonimparazo1255 3 ปีที่แล้ว

    Acha unafiki wewe mwandishi mbona wizi waliohujumu nchi huhoji

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว

    Ungekwenda kuuliza huko kwao ndiyo wanamjua zaidi

  • @mrishojumbe4572
    @mrishojumbe4572 3 ปีที่แล้ว

    Hii ndo Tanzania mzalendo ndio Adui hitafika siku mtapata mnachotaka

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 3 ปีที่แล้ว

    Kwani sabaya alituongoza wote hata tumfahamu

  • @hamicgaga7023
    @hamicgaga7023 3 ปีที่แล้ว +1

    Wandishi hovyo.tukio ilifanyika hai ww unawahoji watu wa dar

  • @annamsabila534
    @annamsabila534 3 ปีที่แล้ว +2

    We mwandishi unatumia weredi wa kazi yako kweli?hao unaowauliza ndo alikuwa anawaongoza?mtu alikuwa anaongoza wilaya ya hai,ukamuulize mtu wa sumbawanga huko atakujibu nini?😏😏

  • @kamrudinelias3922
    @kamrudinelias3922 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mtangazaji vipi mbona anashika wanawake bila ridha zao????
    Yaani yule dada hataki lakini anamlazimisha azungumze kwa ulazima, jamani hebu Heshimuni haki za Raia ambao hawataki kuzungumza na watangazaji...msiharibu mazingira kwa sababu watangazi wanaposimamishwa au kuchukuliwa hatua za sheria mnakimbilia kusema serikali inawakandamiza......

  • @saidimtame2320
    @saidimtame2320 3 ปีที่แล้ว

    Sabaya upo vizur chuki zenu zita warudia

  • @malimatv4828
    @malimatv4828 3 ปีที่แล้ว

    BADALA ya kwenda kuwahoji watu wa hai mnahoji huku

  • @faustinefesto7705
    @faustinefesto7705 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu ujinga msituletee watu unawahoj sio sahii nenda kaongee na wana hai wenyewe

  • @saidimkombe9842
    @saidimkombe9842 3 ปีที่แล้ว +2

    Ungeenda sehemu husika

  • @chrizantuspantaleo6928
    @chrizantuspantaleo6928 3 ปีที่แล้ว

    Unapoteza muda kka unamuhoji vipi ,mtu wa Dar es saalamu kwa mkazi wa hai ,Sabaya alifanya kazi km wanaofahamu ukweli wale wakaribu katika mazingira aliyokua anakaa karibu ,kwa kua utajua ukweli kwa pande zote mbili wapo waliokua wanampenda na wasiompenda hapo ndio ukweli utaweza kidogo kuptikana ,sasa unahoji watu wa dar ili iweje ,mwandishi unazingua sana

  • @johnjoseph2778
    @johnjoseph2778 3 ปีที่แล้ว

    Ila Mimi nawashauri watu waliopewa dhamana ya kuongoza wajue kuwa ukipewa nafasi tumia vizuri Na uzingatie maadili ya uongozi kwani kila kitu kina mwanzo Na mwisho

  • @yusuphwella9651
    @yusuphwella9651 3 ปีที่แล้ว

    Sasa si muende hai huko, mijitu mingine haiwezi kutumia hata akili ndogo

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 3 ปีที่แล้ว

    Kama sio ujinga. Utawaulizaje watu wa dar badala ya kuwauliza wananchi wa wilaya aliyokuwa anafanyia?

  • @rashidialiuwali939
    @rashidialiuwali939 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli naungana na vijana wenzangu huyu mwandishi angeanda huko hai dar es salaam ni jiji kubwa watu Wana mambo mengi wawezi kijua mambo yanayofanyika hai mkoa wa Kilimanjaro Bora aande huko

  • @japhetjoseph1772
    @japhetjoseph1772 3 ปีที่แล้ว

    Kachue DATA kweny wilaya yake

  • @shufaavuai9690
    @shufaavuai9690 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaj unazingua nenda Hai ndo wanamjua

  • @samuelndosi9577
    @samuelndosi9577 3 ปีที่แล้ว

    We mtangazaji inaonekana hiyo taaluma umevamia, nenda wilaya ya Hai kawaulize wanahai acha blabla wewe.

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 3 ปีที่แล้ว

    Wee mwandishi unaboa sana huko wanajua nini sasa acheni upuuzi huna kazi za kifanya jitambue

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว +2

    Uwonevutu makosa walitaja wengi wanafanya mbona hatuoni kukamatwa na wajafanywa kama sabaya siyo vizuri. Wateketeshaji vfedha ni kibao hatuoni kama mnaenda haki

  • @frankmsasa948
    @frankmsasa948 3 ปีที่แล้ว

    Manafunzi menyewe yameshibishwa ujinga yanalopoka tuu

    • @salimsaid7200
      @salimsaid7200 3 ปีที่แล้ว

      NA WEWE UNAROPOKA PIA USI INGILIE UHURU WA WATU HUWO NI UDICTETAR.

  • @husseinally5550
    @husseinally5550 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji ni hewa kabisa hamna kitu

  • @TheAlman
    @TheAlman 3 ปีที่แล้ว

    Nyinyi watu mbona mnamuandama sana huyo jamaa

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 3 ปีที่แล้ว

    Sijui hata unachofanya hapo maana unachohoji na unatafuta akieleweki.sijui hawa uliwaandaa.au namna gani mmoja kajaribu kujibu tofauti na unavyotaka ukasema asante.pia ninkosa kushika shika watu kwa ajili ya kufanya nao interview.
    Huyu mwnadishi pia ana kesi ya kujibu maana naona anashika wanawake anawasumbua.

  • @emmymaleshi2
    @emmymaleshi2 3 ปีที่แล้ว

    Fika sehemu husika uulize hayo maswali ,njoo Hai tuulize sisi sio uko acha ukichaa wewe mbwa ,kwan sisi makonda kuna mtu alihojiwa wa mkoa wowote ,akili zako za kiki za kimatako acha

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 3 ปีที่แล้ว

    MTANGAZAJI KAMA HUNA KAZI BASI KATAFUTE KAZI YA KUFANYA ; KWANI HAO UNAO WAHOJI HAWAMJUI HATA MTU MWENYEWE SASA HAPO NI KUTAFUTA MUMSEMEA MTU !
    UNA WASHIKA SHIKA DADA ZETU TU
    WALAZIMISHA MTU ATOE MAONI KUHUSU MTU ASIYE MJUA HATA JINA VIPI AMJUE MAISHA YAKE ?!

  • @an6808
    @an6808 3 ปีที่แล้ว +1

    Tangazaji bomu kabisa, Mtu ni mkazi wa Hai halafu wewe unahoji watu wa Bunju, au umetumwa wewe?

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 3 ปีที่แล้ว

    Uliza watu wa Hai sio sisi tutakudanganya tu

  • @panyamakaveli1067
    @panyamakaveli1067 3 ปีที่แล้ว +1

    KWELI HAWA NDIO WANDISHI VIELE HELE UNGEUTAKA UKWELI KWANINI USIENDE HAI

  • @akidanyanje9072
    @akidanyanje9072 3 ปีที่แล้ว

    Nenda kahoji kule kule Hai

  • @azizalivingston1954
    @azizalivingston1954 3 ปีที่แล้ว

    Wewe muandishi acha hiyo

  • @noelfranses3963
    @noelfranses3963 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji msenge tuu huwezi lazimisha rai wa kawaida waseme wakati alishikiliwa na takukuru kwanini asiende kuhoji huko mkuma huyo

  • @simonzakaria4770
    @simonzakaria4770 3 ปีที่แล้ว

    Kiongozi wa hai inakuwaje muwaulize watu wa dar badala ya hai?

  • @elizabethswai9670
    @elizabethswai9670 3 ปีที่แล้ว

    Upuuzi kwa muuluza maswali

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Mhhh uyo janet sio kwa pozi izo uyo jamaa ake anapata tabu aisee

  • @erastonicholas5589
    @erastonicholas5589 3 ปีที่แล้ว +4

    Mbona mkuu wa wilaya huyo kufikiswa mahakamani bado wanambeba. Angetakiwa auwawe kama stefano iwe fundisho. Sisi tunaishi kwa mlo mmoja na tuna elimu zetu anachezea kazi fungilia mbali. Ata akikutwa hana atia mtoeni kafara wengine wajifunze na mkagueni mali zake wapeni yatima mamake

  • @lutenganomwannyalu3366
    @lutenganomwannyalu3366 3 ปีที่แล้ว +7

    Kumbukeni na mti wenye matunda lazima upigwe mawe

    • @faustinepeter7653
      @faustinepeter7653 3 ปีที่แล้ว +1

      Sebaya alikuwa na matunda gani muuwaji mkubwa yule anatakiwa awe fundisho kwa nchi ya tanzania nzima

  • @yusuphkitigwa8815
    @yusuphkitigwa8815 3 ปีที่แล้ว

    akhera in hesabu

  • @omarysaidi918
    @omarysaidi918 3 ปีที่แล้ว

    Nenda hai acha hivo

  • @hassanimpota5209
    @hassanimpota5209 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazi naomba nenda kwa wazazi arusha, kawaoji.

  • @deusmkalava7761
    @deusmkalava7761 3 ปีที่แล้ว +5

    Yani nyie times fm watu mlio wahoji wote asilimia kubwa hawamjui kwahiyo hawana wanachokijua pumbuvu

  • @yusuphkitigwa8815
    @yusuphkitigwa8815 3 ปีที่แล้ว

    malipo Dunian

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 3 ปีที่แล้ว +2

    Sampling yako haina akil..unawauliza watu wa Dar mambo ya hai

  • @joramjames2121
    @joramjames2121 3 ปีที่แล้ว

    Umbea tu

  • @mamasessy8892
    @mamasessy8892 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheria ifuate mkondo wake apewe adhabu kari ili iwe fundisho kwa viongozi wengine wenye mtabia kama yake

  • @alexmkumbi6639
    @alexmkumbi6639 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ndio mwamuzi wa haki bana na ndio anajuwa nimchongo ama kweli hata tukiwauliza watu wa hai wapo wanao mpenda na kumchikia aliowatendea wema na wanaosema wametendewa ubaya ila kwamungu sio mbali tukifika tutajuwa walivyo tunao waamini..!!!

  • @georgemchalumbi8357
    @georgemchalumbi8357 3 ปีที่แล้ว

    Covid 19

  • @michaelkambili9694
    @michaelkambili9694 3 ปีที่แล้ว +4

    Bongee😂

  • @johnvitalis4242
    @johnvitalis4242 3 ปีที่แล้ว

    Selective

  • @sijalikifunyo912
    @sijalikifunyo912 3 ปีที่แล้ว

    Kahoji hai sio Dar,