RAIS RUTO autupilia mbali MUSWADA wa FEDHA 2024, adai amesikiliza na kutii sauti za WAKENYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 559

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 3 หลายเดือนก่อน +134

    Kenya mko mbele kila kitu heshima kwa wakenya wote

    • @denismasele4130
      @denismasele4130 3 หลายเดือนก่อน +13

      Hawa jamaa wametuzidi vingi hadi dhambi wanatuzidi 😅😢

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@denismasele4130😂😂😂

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@denismasele4130kuzidiwa dhambi Tena jamaniii duuuu😮😮😮😮

    • @d-media
      @d-media 3 หลายเดือนก่อน +2

      Wanatuzidi Hadi Deni la taifa yaani wako mbele ya muda

    • @blessings12178
      @blessings12178 3 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

  • @johnpancracy5877
    @johnpancracy5877 3 หลายเดือนก่อน +55

    Msimamo, hongera wakenya🇰🇪

  • @KenyanRapper-lo6fb
    @KenyanRapper-lo6fb 3 หลายเดือนก่อน +9

    Alhamdhulilah Mungu ni mwema cku zote acha tuendelee kupamba na haya ambayo tuko nayo tayari huenda tukasonga mbele ,Wakenya UMOJA NI NGUVU DAIMA 🙏💪🤝

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 3 หลายเดือนก่อน +44

    Hongeleni sana wakenya Kwa umoja wenu wa pamoja Hadi mmefanikiwa Tanzania nasi tuige kutoka kwenu

    • @merckmdamu2942
      @merckmdamu2942 3 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂Watanzania waoga kwakilakitu.

    • @ameirdarueshi2593
      @ameirdarueshi2593 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kkkkkkkkkkkkk Tanzania ipi bandari tuu wengine walifuatwa na watu wasio julikana waliokua hawajafatwa walitokwa na majasho ya matako Tanzania ndo nchi pekee kiongozi anaweza kuongea neno lolote lile kwa raia wake

    • @PabloEscobar-wt1fq
      @PabloEscobar-wt1fq 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@merckmdamu2942🤣🤣🤣Sahihi kabisa Kamanda 🤓

    • @alimau7939
      @alimau7939 3 หลายเดือนก่อน +1

      Watanzania sio wakweli sisi tumegawanywa tumegawanyika

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 3 หลายเดือนก่อน +3

      @@merckmdamu2942 Unajua Police wa Tanzania wanavyo piga. rejea Nyamongo,maandamano ya gesi Mtwara ,Maandamano ya Arusha baada ya uchaguzi na yalee ya Zanzibar. Tanzania Police Force is Another Level broo.

  • @kingngojea
    @kingngojea 3 หลายเดือนก่อน +21

    Hongereni laia wakenya kwKupigania haki yenu

  • @monicacyprian9137
    @monicacyprian9137 3 หลายเดือนก่อน +21

    Hongera sana kwao hakika wametimiza na wapumzike Kwa amani wote walio fariki wamekufa wakipigania haki zao

  • @hawababy120
    @hawababy120 3 หลายเดือนก่อน +61

    Alikuja anangoja nini sasa!!!😂😂😂wakenya hawanaga mchezo afu wanaumoja hatarii🔥🔥🇨🇦

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 3 หลายเดือนก่อน +8

      Wakenya si wakuchezewa

    • @halimasawa611
      @halimasawa611 3 หลายเดือนก่อน +3

      Sisi tunatakaa kuenda state house watupikie na wasafishe pool😅😅😅😅

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Huku Tanzania mtu akisema tu tukaandamane atatoka mbea mmoja kujipendekeza kushtak ili alipwe Elfu hamsini akale na family yake na kero zinabak pale pale ndomana tunakua waoga

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Anajifanya mjanja sn ikiwa haujaondolewa uo mswada bungeni katiba ya Kenya inasema baadaa siku 21 uo mswada unapita bila tatizo

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@kamarhelo

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 3 หลายเดือนก่อน +11

    Wakenya always wapo mbali sana kulinganisha na wa Tanzania so watanzania hamna lolote mtaendelea kuwa ng’ombe wa maziwa mpaka mkauke kama kausha damu

  • @AyoubKhatib-p4k
    @AyoubKhatib-p4k 3 หลายเดือนก่อน +50

    Waziri wa fedha Tanzania jifunze

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 3 หลายเดือนก่อน +4

      Alisema wasiotaka waende Burundi

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 3 หลายเดือนก่อน

      @@salehkhalfan7345 😂😂😂😂

    • @denismasele4130
      @denismasele4130 3 หลายเดือนก่อน +8

      Sio ajifunze aondoke hatumtaki😂😂

    • @lizzzzwama
      @lizzzzwama 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@salehkhalfan7345vijana tusikubali kunyanyaswa kama kwamba hatuna lakufanya

    • @camilomassao8971
      @camilomassao8971 3 หลายเดือนก่อน +6

      Wana timu za mpira

  • @mackjonathan1005
    @mackjonathan1005 3 หลายเดือนก่อน +5

    Umoja ndoo kila kitu, hongereni sana wanainchi wa kenya hakika kilio chenu mungu amekisikia na mungu azidi kuwapa ujasili pale mnapo ona mambo hayako sawa.

  • @NajmaMaawiya
    @NajmaMaawiya 3 หลายเดือนก่อน +16

    ❤❤❤❤kenya umoja niguvu

  • @mohamedmusa8651
    @mohamedmusa8651 3 หลายเดือนก่อน +3

    Peace ✌️,love and unity.. Kenya 🇰🇪

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 3 หลายเดือนก่อน +30

    Safi sana 🇰🇪 Kenya I see power of people 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

    • @secrettz6818
      @secrettz6818 3 หลายเดือนก่อน

      Hana hiyo knowledge bro elewa hamna I'd sasa bado mko law

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 3 หลายเดือนก่อน +4

    Heshima Sana kwa wakenya, love Kenyans , nimewapenda bure

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 3 หลายเดือนก่อน +15

    Safi ,kawawahi ,maana ilikuwa ni kuwindana,amani itawale jirani zetu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Mhe Ruto , kwa hakika umekuwa ki Siasa , Mungu ibarik Kenya 🇰🇪 Mungu ibarik East Africa

  • @BeatriceBeat-hk5cy
    @BeatriceBeat-hk5cy 3 หลายเดือนก่อน +7

    Big up Kenyan for perfectly administration

  • @cynthiawanza3977
    @cynthiawanza3977 3 หลายเดือนก่อน +8

    We are Kenyans and kenya is our business!..✊✊

    • @Mileyb.
      @Mileyb. 3 หลายเดือนก่อน

      My kenya my life...hatutaki ujinga na tuendelee mbele na usitulete hyo mchezo tena😂😂😂

    • @mohamedsuwari2588
      @mohamedsuwari2588 3 หลายเดือนก่อน

      YAP,WE ARE KENYANS N KENYA IS OUR BUSINESS.

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 3 หลายเดือนก่อน +6

    *May the Almighty bring peace in Kenya!* ❤🇰🇪

    • @wemakalama6458
      @wemakalama6458 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ammeen yarrab🙏🙏🙏

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya oyeee ... Congratulations to you neighbors.... Big up

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hongerene snaa na tenaa sanaa kwa umoja wenu Vivaa Kenya 🇰🇪 pole snaa kwa kuondokewa na ndgu ztu

  • @mohamedsuwari2588
    @mohamedsuwari2588 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asanteni sana Ndugu Wa Tanzania kwa kutuunga mkono.

  • @ce-08
    @ce-08 3 หลายเดือนก่อน +12

    Kwa Hili Kenya mnapepo yenu🎉🎉

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 3 หลายเดือนก่อน

      Amin yarab ❤❤❤

  • @harrisonmariki1112
    @harrisonmariki1112 3 หลายเดือนก่อน +9

    Wake ya mmeonyesha viongozi kuwa ninyi ndio maboss wao.Wanapaswa kuifanya yenu na sio Yao. Hongereni sana.

  • @aminaanab1071
    @aminaanab1071 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nimefurahii sana😂😂😂😂

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 3 หลายเดือนก่อน +22

    Chezea na wakenya weweeeeeee 😂😂

  • @ZiporahLotini
    @ZiporahLotini 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ruto adanganya ,you no action ni maneno to kama kawaida,gen -z bado mapambano,it is not yet over til it is over,ruto gooooo

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 3 หลายเดือนก่อน +3

    hongereni wakenya wote kwa umoja wenu mungu mkubwa tanzania pia viongozi wawe hivi

  • @leonolinga2834
    @leonolinga2834 3 หลายเดือนก่อน +10

    Finally ✊🏾✊🏾✊🏾💪🏾

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sasa tuache kujilinganisha na wakenya tutulie. Hawa jama ni levo zingine.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +1

      hawa watu toka zamani ndo walivo..sie hata hatuthubutu kujilinganisha nao kabisa. Ila Mungu mwema tutafika kwa kudra zake hata sie

    • @zaidyabed
      @zaidyabed 3 หลายเดือนก่อน +4

      Kujilinganisha na kenya ni kuwakosea adabu

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni. Kenya.

  • @zaidyabed
    @zaidyabed 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongeren sana wakenya mnajitambua na mnaumoja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @derickdboy2207
    @derickdboy2207 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera wakenya mnaomoja na uzalendo

  • @ZainabMilanzi
    @ZainabMilanzi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya shikamooo

  • @MTEULETVONLINE
    @MTEULETVONLINE 3 หลายเดือนก่อน +8

    Najivunia kuwa mtanzakenya

    • @SummymaddyMaddy
      @SummymaddyMaddy 3 หลายเดือนก่อน

      Km mm mzaliwa Kenya kukualia tz

  • @ViniciasOfficialtz
    @ViniciasOfficialtz 3 หลายเดือนก่อน +10

    Hongela saana wa Kenya tz tunawaunga mkono,!!

    • @GONGALIFESTYLE
      @GONGALIFESTYLE 3 หลายเดือนก่อน

      Watanzania mna matatizo mengi sana mnaonewa lakini hamna umoja

  • @festosimlembe6906
    @festosimlembe6906 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya Mungu awabariki hasa serikali kwa kusikia sauti ya watu maana hao ndio wenye nchi.

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 3 หลายเดือนก่อน +9

    Iyo ni uwongo anacheza karata sisi sio wajinga.... something needs to be done

    • @mohammedshishishi6375
      @mohammedshishishi6375 3 หลายเดือนก่อน +3

      Pia mimi siamini uyu jamaa

    • @artisthusnatalal3099
      @artisthusnatalal3099 3 หลายเดือนก่อน

      Tulieni😂😂😂 basi nifanyieni subscribe

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +6

      msijali ndugu zangu. Rais Ruto wa Kenya akisema hutekeleza. Tumuombeeni..dah ila Kenya sio mchezo..from Tanzania

    • @sindabahabwoyaanacret660
      @sindabahabwoyaanacret660 3 หลายเดือนก่อน +1

      Simuendelee Sasa kuandamana mkamtoe

    • @thomasmaritim6795
      @thomasmaritim6795 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe cheza tu

  • @mackjonathan1005
    @mackjonathan1005 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ipo siku na huku kwetu tz, acha watuone kama vile hatuna akili siku yaja hawata amin macho yao. Hakuna kitu kibaya kama watu wanaumia na maisha wengine kaz yao ni kupiga makofi inatia asila sana siku yaja.

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli. Misimamo ipo. Wakenya jipeni hongela. From. Moz

  • @holapeace6171
    @holapeace6171 3 หลายเดือนก่อน +4

    🇰🇪 kenya oyeeeee ❤️💪❤️💪

    • @Mariam-fm8vq
      @Mariam-fm8vq 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤😊

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน

      oyeee!!! Mungu ibariki Kenya jirani yetu. tunawapenda mno sie huku

  • @RajabJuma-m2n
    @RajabJuma-m2n 3 หลายเดือนก่อน +2

    Am proud to be a Kenyan ❤

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muungwana akivuliwa nguo huchutama hongera kwa kutambua nafasi ya wapiga kura wako focus sasa na matatizo ya wakenya

  • @dogoray
    @dogoray 3 หลายเดือนก่อน +2

    tanzania nataka mnipee bibi sasa nitulie nae sasa after kupigania haki zetu

  • @mwakiroger4864
    @mwakiroger4864 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya ndio nchi ya kuishi mana wananchi wote wanaumoja na kusikilizana sio uku tanzania 🇹🇿 tunaburuzwa na viongo uchwala mpaka maji tunaita mma yani wananchi wa tanzania 🇹🇿 tumekua waoga mpaka mtoto wa polisi tunamuogopa daah mungu ibariki kenya ongereni sana wananchi wa kenya kwa jitiada zenu

  • @chiragahmbura9523
    @chiragahmbura9523 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi kma Wakenya tunasema Ruto Must Goooo

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 oyeeeee🙏🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤🙏🙏🙏

  • @godefroidniyonkuru7332
    @godefroidniyonkuru7332 3 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo ni upuuzi mbona Kuna waliopoteza maisha yao apo walikua wakipigania haki zao nao atawarudishia uhai wao?
    Agekua na upendo na wanainci wake angejiuzulu

    • @hassanomar1041
      @hassanomar1041 3 หลายเดือนก่อน +4

      Brother hata kuna walio pigania uhuru wa nchi na walikufa wengi, sasa hao wataingia kwa wale mashujaa wetu walio pigania budget ya 2024

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@hassanomar1041 dah jmni nyie Kenya hamtaki mchezo Mungu wangu..nyie ni watu wengine kabisa Mungu Alitupatia sie binadamu. Mungu awatunze pamoja na Rais Ruto.. Tuanwapenda Kenya jmni...

    • @thomasmaritim6795
      @thomasmaritim6795 3 หลายเดือนก่อน

      Ati kujiuzulu

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 3 หลายเดือนก่อน +1

    Gulf countries umedanganya zakayo......watu tumelalisha makaratasi kwa nyumba huku tumekwama gulf countries juu hakuna kazi kenya serikali yako maisha iko juu sana .....wakenya tunakumulika

  • @michaelmwamanda8418
    @michaelmwamanda8418 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana wakenya nguvu ya Uma imesikika 💪🤛

  • @AhamedyKibarati
    @AhamedyKibarati 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda kenya na watu wake

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wakenya nawapenda sana,wanajielewa sana sio kama sisi watanzania,tungepelekwa tu kama ng'ombe.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 หลายเดือนก่อน

      Waoga, pia wazembe ukipata vocha ambayo ina tozo 😂 ukiingia Instagram kumuona Mondi basi aaaah roho kwatu. Wenzetu mpaka mastaa wao wanawaunga mkono hapa watangazaji, magazeti mastaa wote machawa WA CCM 😂😂

  • @YasiniMkakile
    @YasiniMkakile 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kenya ni wazalendo

  • @henricknazarius9180
    @henricknazarius9180 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tuji funzo kwa Wakenya 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @JumaSaid-g5u
    @JumaSaid-g5u 3 หลายเดือนก่อน

    Power Belongs to the people

  • @shangwerobert5639
    @shangwerobert5639 3 หลายเดือนก่อน

    Toa simulizi ya davido

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 3 หลายเดือนก่อน +1

    Njoo tz sas sis waoga

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 3 หลายเดือนก่อน

    Ubalikiwe rais ruto kwakuwasikiliza wananchi wako

  • @MuchaiSamuel-tm8xg
    @MuchaiSamuel-tm8xg 3 หลายเดือนก่อน +1

    They must go home na haturudi nyuma...RUTO MUST GO HOME

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mkora tuko naye tunamsoma ni mwongo sana hatulali bado mapambano actions actions Kenyans stay focused if not lying he is flying

  • @masumbukomoussa977
    @masumbukomoussa977 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya ongereni kwa kweli kwenye umoja kuna nguvu kabisa Mungu awalinde na awasimamiye kwa kila atuwa mmepigana vita kubwa sana mwastaili pongezi nyingi!!
    Am From 🇧🇮🇧🇮 sisi bado twaendelea kuburuzwa 😂😂

  • @ramadhaningulinga217
    @ramadhaningulinga217 3 หลายเดือนก่อน

    Ongera sana wa kenya 🇰🇪 kazi nzur, lkn achani kutumia tissue kwa choo now l just consider you as Est africa 🌍 leaders your no one

  • @Haippa-Africa
    @Haippa-Africa 3 หลายเดือนก่อน

    Kuwa Kiongozi unahitaji Uwezo Mkubwa Sana wa Hesabu. Ruto huu mtihani umepass

  • @ramakira7895
    @ramakira7895 3 หลายเดือนก่อน

    Tanźania wananchi wako hoi kirasiku viongozi wananunuliwa magar ya kifahaiì hapa Zanzibar watu wote wako taaban lakin viongoz wanakula bata na VXR HII NDIO ZANZIBAR YA LEO HONGERA KWA WAKENYA🙏🙏🙏

  • @alexmugo3159
    @alexmugo3159 3 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks but we want him to go

  • @dominickchristopher1669
    @dominickchristopher1669 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa Africa ni wanafka sana Yani wao ndio walipitisha sasa wanampigia makofi ruto Baada ya wanamchi wa Kenya

  • @piusrweyemamu3900
    @piusrweyemamu3900 3 หลายเดือนก่อน

    Wakenya ni
    1: Jasili,
    2: Wamoja katika mambo ya msingi.
    3: Wana uzoefu wa walichokifanya...
    🎉🎉🎉

  • @abdulrahimali2639
    @abdulrahimali2639 3 หลายเดือนก่อน

    Salaries should be reduced from the president to Mcs
    Accountability and transparent interest of mwananchi in all financial affairs

  • @FigeloMorisi
    @FigeloMorisi 3 หลายเดือนก่อน

    Samia anatembe nje sana

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 3 หลายเดือนก่อน

    That's we Call people's power, the wind is caming to neboohod soon💨💨🍃🍃🔜

  • @princeabuu8297
    @princeabuu8297 3 หลายเดือนก่อน

    Huu ni mzaha anatufanyia tuu katiba ya Kenya haimpi Rais uwezo wa kukataa mswada bali alichokifanya ni kuback down alafu baada ya siku 21 unakuwa sheria automatic alafu yeye anajitoa akisema ni wabunge ndo walipitisha sio yeye... lakini round tuko naye tuu yani hii hatoboi #RUTO MUST GO...!!! Hatatuchezea akili sisi pia ni wasomi...!!!

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mpaka nimemuonea huruma Ruto ,kuwa kiongozi si mchezo ..Nchi ameikuta na madeni ila wananchi kubeba zigo ndio hapo kasheshe ..Bora wewe umesikiliza kuna wengine vyura kabisa hawasikii 😅

  • @YasreArafat-kk9en
    @YasreArafat-kk9en 3 หลายเดือนก่อน +1

    Oya kenyani
    Mmekuwa mfano Bora Africa nzima
    Ngoja tuandamane bingo uone kunavyovunjwa miguu😂😂😂😂😂
    Yaani Bongo bana usilete bambo kama hizo hata kama mmesumamia haji
    Tatizo watu hawajui Tu
    Serikali ya Tz inaitwa POLICE FORCE
    Ila nchi nyingine wanaitwa POLICE SERVICE
    Hilo ndo tatizo
    Raia hawana Sauti hata kidogo
    Ni Amri Tu
    Jamani hivi itaisha lini hii Na Sisi tuwe Na police service
    Ila Kenya mmetujonesha😅😅😅😅😅😅😅

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 3 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tukiamsheni na sisi tuache uoga inchi yetu Ina rasilimali nyingi sana na madini yanayokwenda nje Kwa faida za watu wachache serikalin... Tukiamshe Tanzania isonge mbele

  • @mahmoodmohammed1679
    @mahmoodmohammed1679 3 หลายเดือนก่อน +1

    RUTO has conceded because of the pressure from the international community,including the UN which said they are monitoring the events as they unfold in KENYA... RUTO alikua tayari ashatoa polisi na kuleta wanajeshi kinyume na sheria...tayari alikua ashatangaza vita dhidi yetu...ila it's a good thing, we've successfully rejected the punitive finance bill.... watanzania asanteni sana,

    • @BillyJames-l6x
      @BillyJames-l6x 3 หลายเดือนก่อน

      We kichwa chako kibovu Ww unadhani America na Europe ni mafala hawajui hii jamaa inafanya nn??

    • @mahmoodmohammed1679
      @mahmoodmohammed1679 3 หลายเดือนก่อน

      @@BillyJames-l6x by international community I meant the human rights organizations and bodies like the UN..AMERICA AND THE WEST ndo masterminds wa hii finance bill so of course wanajua what's going on

    • @BillyJames-l6x
      @BillyJames-l6x 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@mahmoodmohammed1679 They also know Ruto is Killing people in his country they are very much aware I tell u

  • @donatiKimati
    @donatiKimati 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania utafika lini hapa walipofika wakenya

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanini iwe leo na isinge fanywa jana?, Very wonderfu Sir President Ruto.

  • @RaheemahKk
    @RaheemahKk 3 หลายเดือนก่อน

    Tumefurahi sana

  • @Muna-h8b
    @Muna-h8b 3 หลายเดือนก่อน

    Angekuwa mama yetu tayari angesaini

  • @najmathiney65
    @najmathiney65 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba nipate uraia kutoka KENYA..

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 3 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahishwa na Genz ni vijana wasomi, waelewa, wenye mcmamo na wenye kutafakari kesho Yao kwa maslahi Yao bila kujali dini, kabila, wala itikadi za vyama. Mmeifunza Afrika jinx gani vijana wanatakiwa wajitambue na kutambua haki zao.
    Umoja wenu bila kujali, Rangi, kabila, dini, jinsia au Chama imetupa funzo kubwa na kutufanya tujitafakari kumbe tulifeli kwa kukosa umoja.
    Hongereni na poleni kwa kila changamoto mlizopitia.

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 3 หลายเดือนก่อน

    Endelea kuikandia urusi yajayo yatakufurahisha zaidi ilo sauti yako ndio utazidi kuangua kilio zaidi maana hapo umejikaza ruto

  • @salumyussuf2140
    @salumyussuf2140 3 หลายเดือนก่อน

    Nguvu ya umma lazima ingemlima awache ushamba, inampasa kushughulika na matatzo ya wananchi WA Kenya na siyo America, congratulations to all Kenyans waliongia bungeni na kuharibu makaazi ya majambazi WA nchi yao

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 3 หลายเดือนก่อน +5

    #VIVA🇰🇪 KENYA 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 TUANDALIENI MAENEO WAFANYA BIASHARA WA KWETU WAAMIE HUKO 😂😂😂😂

  • @PaulNdunguru-um7ey
    @PaulNdunguru-um7ey 3 หลายเดือนก่อน

    Paulo Ndunguru Kutoka Ruvuma Songea Matarawe Uho Ni Upendo Wazati Sana Kwa Wakenye ❤❤❤❤❤ Rais Hamesamini Upendo Na Ta🇹🇿🇹🇿

  • @roi2554
    @roi2554 3 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania waoga sana sisi ona juzi tumepigwa mkwara na chalamila ote kimyaa je ayo mengine tutaweza?😂😂😂

  • @abdulmajidjidy2611
    @abdulmajidjidy2611 3 หลายเดือนก่อน

    We don't need anyone ruto to Leeds Kenya again because he was leed Kenya for 10 years ago with Uhuru Kenyatta before he be coming a present now is two years but he's making Kenya a crazy country in the world... Wakenya Hatuko Sawa na ruto whatever he said

  • @glambyessie1028
    @glambyessie1028 3 หลายเดือนก่อน

    Viva Kenyans ....am proud kenyan .....Ruto you better conceide before we occupy the statehouse

  • @ibrahimsalim6835
    @ibrahimsalim6835 3 หลายเดือนก่อน

    Bado mapambano bro kuna kuja reform kubwa kenya inakuja

  • @DavidKinyua-oo9hg
    @DavidKinyua-oo9hg 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa lbraimu isaka na Jokobo anakupea ikima Kama Solomon mungu akopammoja nawe

  • @morganodoli3564
    @morganodoli3564 3 หลายเดือนก่อน

    For those guys below the comments section congratulating us on behalf of all Kenyans I say THANK YOU

  • @jojoshama2494
    @jojoshama2494 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto must go hes a dictator we don't want him

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 หลายเดือนก่อน +1

    Da? Mpaka zakayo kashuka basi heshima kwa wakenya.

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kuchelewa kww kauli yake kumesababisha hasara na fedheha na kulinajisi bunge kwa watu kuingia na kulivulia heshima bunge.naomba tu awasamehe vijana wote waliofanya uharibifu

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 3 หลายเดือนก่อน +2

      Alikuwa anapima ukali wa maandamano kwanza. Maandamano yangekuwa lege lege angesaini huo mswada

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hatutaki msamaha wake na bunge limejengwa na pesa ya wananchi,na ikiwa hawajui kazi ya bunge tutalivunja kabisa wakae chini ya miti

    • @aloycekomba1
      @aloycekomba1 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatumamwalimu5765😂😂😂

    • @stevenmabungi3245
      @stevenmabungi3245 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@fatu😅😅😅😅mamwalimu5765

  • @hamisikiimbi2337
    @hamisikiimbi2337 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi Tanzania vijiweni kila siku Yanga na Simba , mara Chama kasajili Yanga au hajasajili na hata ukiwauiza WaTZ wengi nini maana Financial bill hatujui, tatizo ni Elimu yetu ndogo hapo ndo shida. Tulitegemea upinzani wetu wabebe ajenda ya bajeti kwenye majukwaa uko waliko lakini wala hawajui chochote

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 3 หลายเดือนก่อน

    Angalia katibiba yesema ikifika 21 days iyo mswaada itaku sherea

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 3 หลายเดือนก่อน

    Katiba ya Kenya inasema atakama asipo sign ukiwa bd upo bungeni after 21 days bc uo mswadaa unakua active

  • @AliBakar-sx7lu
    @AliBakar-sx7lu 3 หลายเดือนก่อน

    Congratulations all Kenyan for showing strong unity and solidarity but you must be carefully your president is 🔥

  • @AmadeMbezy
    @AmadeMbezy 3 หลายเดือนก่อน

    Tumejifunza kitu kutoka kwenu wakenya sisi wtz ipo dei watatuerewa

  • @alwaziirahmad2682
    @alwaziirahmad2682 3 หลายเดือนก่อน

    Wakenya wanaelewa thamani yao ya kuwa wao ndio waajiri wa serikali,lakini pia kongole Mr. President kwa kutupilia mbali muswada huu.