ALIYEUWA MPENZI WAKE BAA AJIPELEKA POLISI/ KISA KINASIKITISHA/ POLISI WAFAFANUA TUKIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Mkazi wa Goba Lastanza Kinondoni, Joseph Sanura maarufu kama Ngosha (31), anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za mauaji ya Penina Rwegoshora (28) mkazi wa Goba center.
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #polisitanzania #wizara

ความคิดเห็น • 4

  • @osoyarabuor4920
    @osoyarabuor4920 4 หลายเดือนก่อน +1

    SASA amepata nini? Tofauti na ujinga wake kichwani

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 4 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwa nini mtu anafikia kuua kisa mapenzi? Hizi ni changamoto za afya ya akili kwa kweli

  • @eddydben
    @eddydben 4 หลายเดือนก่อน

    mambo ya kuhongana na kudnaganyana haya

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 4 หลายเดือนก่อน

    mwamba kafanya maamuzi magumu sana