MAAMUZI YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 มี.ค. 2020
  • Utofauti mkubwa kati ya watu waliofanikiwa na watu wasiofanikiwa upo katika maamuzi wanayoyafanya. Watu walliofanikiwa wamekuwa na tabia ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi na kwa ujasiri. Jifunze maamuzi matano katika somo hili linaloletwa kwako na Victor Mwambene.
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    NIFUATE MITANDAONI
    INSTAGRAM: / victor_mwambene
    For Business please send an email to
    ezdenjumanne@gmail.com
    Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
    #VictorMwambene #MaamuziSahihi

ความคิดเห็น • 97