kama mimi wakati mwingine naonyesha uwezo wangu kuvutia fursa nyingine kumbe kwa wengine nawakela wananiona me mjuaji. najikuta nainua vita ambayo sijawahi hifikilia mpaka najiuliza mimi ni raisi au mbunge au nani. maana hyo vita ingemfaa mtu mashuhuri na maarufu, najikuta nimeivaa mimi. SOMO LAKO ZURI SANA KAKA naendelea kujifunza kupata chakula cha ubongo. Hii video imenigusa sana.... UBARIKIWE
Thanks for taking your time to prepare this wonderful Clip, But mafanikio ni mafanikio Kaka Joel yawe ya haraka au ya mchakato , sometimes Opportunity comes just once ukitafakar MHUBIRI 9:11 , ITS ALL ABOUT TIME AND CHANCE Ila unavyo yamanage hayo mafanikio yako hapo ndipo Mr Joel Ninakubaliana nawewe
asnte sanaa mheshimiwa joel uko na elimu ambayo ata kijana ambae mindset yake ime athiriwa kiasi kikubwa kwa kiasi chake anabadilika asaneh sana broo mungu akubless
Asante nime kifunza kuti apa wakati natoka kwenye duka nilikuwa na fanya part time na kufungua langu nijioana naweza kila kitu bila ata msaada wa alie kuwa boss wangu lakin kadri nilivyo kuwa na zidi kufahamika ndio nilivyo zidi kupoteza mtaji ila kupitia speach zako nimeanza tena kunyanyuka asante sana ❤
Njia nne fedha ziliko jificha 1,idear 2,kwenye matatizo,,3,kipaji,4,network,Kuna wazo ninalo ila namna Gani naweza NJ ikatoa woga na kuanzisha Hilo wazo
Kaka naomba siku utusaidia kuusu usimamizi wa mirad kwasabab wengi tunatamani kufungua mirad nakuajir watu watusimamie lakin binafsi naogopa kuibiw kwasababu tu nilisikia kinamtu aliajir mtu akakimbia na bizaa, yan inshort tu naomba unifundishe namna gani naweza kusimamia ntakaye mwajil
kama mimi wakati mwingine naonyesha uwezo wangu kuvutia fursa nyingine kumbe kwa wengine nawakela wananiona me mjuaji. najikuta nainua vita ambayo sijawahi hifikilia mpaka najiuliza mimi ni raisi au mbunge au nani. maana hyo vita ingemfaa mtu mashuhuri na maarufu, najikuta nimeivaa mimi. SOMO LAKO ZURI SANA KAKA naendelea kujifunza kupata chakula cha ubongo. Hii video imenigusa sana.... UBARIKIWE
kaka hapo umenigusa sana nimeona kumbe unapo onyesha uwezo wako kwa watu ndipo unaongeza na idadi ya maadui
Shukran kaka joel
Daah yan KAKA umeongea point kubwa sana
Yana umiza sana nilisha wahi kupambana nayo umenikumbusha maumivu.
Brother hiyo ya hasara ya kwanza umezungumzia vizur sana daah😢😢😢😢
Ni keep kabisa,mungu akubariki
Thank you brother joel
Ahsante kwa masomo mwalimu.
Kazi nzuri naezaje kupata vitabu viako
Joey ahsat sn Kwa Elim haki nimengi tunajifunza Mungu akupe afy njem,🎉🎉
Umenifurahisha usiishi maisha wale ambao wangekusaidia wanaomba msaada kwako
Kaka Joel nashindwa kusema ww ni mtu wa namna Gani naona kuseme mungu asikupungukie maarifa🎉
Fact 👍
Akika nilikuwa gizani mungu akuongezee umri mrefu kaka yetu
Thanks for taking your time to prepare this wonderful Clip,
But mafanikio ni mafanikio Kaka Joel
yawe ya haraka au ya mchakato
,
sometimes Opportunity comes just once
ukitafakar
MHUBIRI 9:11 ,
ITS ALL ABOUT TIME AND CHANCE
Ila unavyo yamanage hayo mafanikio yako hapo ndipo Mr Joel Ninakubaliana nawewe
Ni kweli kabisa kaka Joel nana uka mungu azidi kukubaliki❤
Kweli kabixa tuwe nasubira Amina sana mtumishi
asnte sanaa mheshimiwa joel uko na elimu ambayo ata kijana ambae mindset yake ime athiriwa kiasi kikubwa kwa kiasi chake anabadilika asaneh sana broo mungu akubless
Kweli kaka, Asante sana kwa somo zuri sana.
Nimefanikiwa kupanda kwa kasi na kupotea kwa kasi pia. Cku famham hata vita zilitokea wap
Nimejifunza sana
Silence is a power i like that.
Unaweza sana my son.Zidi kusaidia hiki kizazi.Ubarikiwe sana.
Nijitaidi nielewe somo hili lakini sijaelewa hili somo kabisa
Hakika Yani
Asante nime kifunza kuti apa wakati natoka kwenye duka nilikuwa na fanya part time na kufungua langu nijioana naweza kila kitu bila ata msaada wa alie kuwa boss wangu lakin kadri nilivyo kuwa na zidi kufahamika ndio nilivyo zidi kupoteza mtaji ila kupitia speach zako nimeanza tena kunyanyuka asante sana ❤
Hasante 🙏
Kaka vitabu vyako vinapatikanaje mimi niko zanzibar
Asante sana mwl Joël Nami Nina pitiya hiyo kwasababu yaku onekana lkn Nina kamata mpango yaku kuwa silence😮
Asante Sana somo zuri
MUNGU akuwezeshe kuendelea kuelimisha jamii na ulimwengu mzima
Asante san kaka Joel umenifungua akili daaah mungu akubariki sana
Ahsante kaka hii hata kwenye maisha ya kawaida mtu anaishi tofauti na level yke mpk cku akishikwa hajui nani amuendee kwa ajili ya msaada ni hatar
Hii nimeipenda
Ukweli mtupu
Somo limeeleweka mheshimiwa brkw sana
Joel I love you , Joel I love you mdda mwingine nasikia uoga wakutaja jina lako
Yes is true
Kaka j nakuelewa sana yaan Toka nimeanza kukufuatilia kiukweli na barikiwa
Asante MUNGU ambaye amekutuma wewe leo kunusuru hatua zangu na kunipa subira, Mungu akutunze sana mwalimu wangu.
Dah cjui ata niseme nini Mr @joelnanauka but mungu akupe mda mrefu
Mr Nanauka, Thanksgiving, 😢😢❤❤❤
Shukran kwa Somo Zuri,kaka Joel 🙏
Yaani nakukubali sana hiyo tabia inawatu wengi na hawaendi mbali
Asante Sana Joel nimejifunza Mambo mengi sana kupitia kwako
Asante sana broo
Thanks uncle joel Mungu akupe wepesi kwenye kaz zako
Content imejitosheleza👏... Asanteee sana
Barikiwa zaidi kaka Joel
Nimekuelewa sana mwanazuoni
Awamu hiyapo wanajipandisha sana
Njia nne fedha ziliko jificha 1,idear 2,kwenye matatizo,,3,kipaji,4,network,Kuna wazo ninalo ila namna Gani naweza NJ ikatoa woga na kuanzisha Hilo wazo
3:27❤️
Thanks mentor
Asante kwa darasa huru,❤ 10:06
You never disappoint... thanks for the knowledge.
Kweli kabisa,nimekuelewa mheshimiwa
Uko vizur
amina amina asante sana
Sure my mentor
Asante kwa onyo ✍️🇨🇩
Asante sana kaka nakuelewa sana
Ubarikiwe Sana
Asantee umenigusa
Excellent
Be blessed bro
Umenielimisha zaidi ya kuingia darasanii😂😂
Nakuelewa sana kaka
Asante
Real 💯
Akili Mingi 🫡
Hii imeenda
Yer
ubarikiwe kwa kaz nzuri
Asante sana
Ni rais sana kuelewa kwa kile ulichoongea na ni ngumu sana kuelewa (Umeongea zaidi KIROHO) na nimekuelewa zaidi Kaka
❤❤❤
2000 generation 🗿
nikwiri kabisa
👍
Kaka naomba siku utusaidia kuusu usimamizi wa mirad kwasabab wengi tunatamani kufungua mirad nakuajir watu watusimamie lakin binafsi naogopa kuibiw kwasababu tu nilisikia kinamtu aliajir mtu akakimbia na bizaa, yan inshort tu naomba unifundishe namna gani naweza kusimamia ntakaye mwajil
Nikweli kwa unachokisema
Ndiyo maana mafanikio ukiyapata ghafla yanaondoka ghafla
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
✍️✍️✍️✌️
@Chief godlove 😂
Ni kweli kabisa kaka Joel nana uka mungu azidi kukubaliki❤
Ubarikiwe sana
Fantastic