Thank you very much i feel like unaniongelea mimi kabisa asubuhi napenda kuweka maneno negative saaaana and i' m gonna changes my morning routine umenigusaa saaana stay blessed
My friends this is my first time coming across this channel. It's amazing channel with much much to learn which is helpful to our daily life from ibada na mapema hadi kurudi kulala usiku. Thanks alot
MAMBO YA KUTOFANYA ASUBUHI 1:- Health morning routine 2:-kuoga maji ya moto 3:-kutokua na utaratibu maalumu wa kipi ufanye 4:-epuka kulalamika kuhusu kazi 5:-kufikiria vitu negative Kaka Asante Sana kwa mafunzo yako ni wazi kua unatuamsha akili hasa Mimi👍👍👍
Asante sana kaka ila me Naomba jambo moja kuwa unapokuwa unaorodhesha point basi tunaomba ziwe zinaonekana kwenye kioo kwan kuna zingne huwa unaweka ndan ya maelezo AF dah unadhindwa kutambua Ipi ndio point Asante
Nashukuru Azden unanifungua ktk Mambo mengi.mungu akulinde.
Wallah ..sipendi maji moto hata iwe baridi siwez oga maji moto..Shukran kaka Ezden Jumanne kwa darsa nzuri...ALLAH AKUPE KILA LA KHER INSHALLAH👏
Ombra uishi tanzania tu tena dares salaam.maji ya moto utayaoga tu ukienda ulaya tena majira ya baridi.hâta Maji ya moto utayaona ya baridi
Karibu sana Njombe dear
@@queenmeddy2315 huyu hajakaa miji ya baridi huyu
Thank you very much i feel like unaniongelea mimi kabisa asubuhi napenda kuweka maneno negative saaaana and i' m gonna changes my morning routine umenigusaa saaana stay blessed
Mungu akujalie umenifundisha vitu vizuri
Nashukuru sana kwa dua njema...
My friends this is my first time coming across this channel. It's amazing channel with much much to learn which is helpful to our daily life from ibada na mapema hadi kurudi kulala usiku. Thanks alot
Asante brother kwa mafundisho yako
Kweny maji ya barid Mimi nimefel Njombe unaweza zima kwa kuoga maji baridi😢😢😢point ya msingi hii imenipita, mengine yess bless up Kaka.
Umeona Eeeeeh
😂😂😂
Kweli kabisa Kaka mungu akubariki
Ubarikiwe
Thank you so much Allah bless you in your all life
Amiin
Ahsante teacher nimejifunza mengi 🙏
Asante sana kaka angu
Habari yako
Je ukiitaji kuacha unafanyeje maana sisi wengine tumezoea kweli.
MAMBO YA KUTOFANYA ASUBUHI
1:- Health morning routine
2:-kuoga maji ya moto
3:-kutokua na utaratibu maalumu wa kipi ufanye
4:-epuka kulalamika kuhusu kazi
5:-kufikiria vitu negative
Kaka Asante Sana kwa mafunzo yako ni wazi kua unatuamsha akili hasa Mimi👍👍👍
Asantee sana kaka nimekuelewa sana mungu akujalie sana daaah kuna vitu najifunza kupitia ww kaka
Kuoga maji yawe Baridi sio moto
Kweli kabisa
Asante nimependa sana Nitaanza leo maana sinaga ratiba.
Thank u so much dear mimi naamkanga tu na kisirani aki nimeona kwa nini siendelei asante ndugu
Mungu akubariki kwakwel tunajifunza kny hizi jumbe MUNGU azidi kukutumia
Mafundisho mazur san mung akutie nguvu tuendelea kujifunza kupitia wew
Safi sana ujumbe umeeleweka from USA 🇺🇸
Sawasawa na5aka kuendeliya naelewa maneno mingi.
Ahsantene
Apo sawa kuusu ayo mafunzo nimeyaelewa shukrani
Ni ujumbe mzuri sana. Ahsante kwa kutufundisha
Nakupenda jaman mafundisho yako mazurii
nashukuru sana
Ez uko vizuri Kama kijana. Umesahau ku-tabasamu asabuhi ni Muhimu.
Nashukuru sana kwa elimu. yko nakingine.kwamfano mtu.kuwamkia.kugombana.asubui.huwa.nivpi.
Kasalamba juma nimependa Sana mafundishoyako mungu akuongezee ufahamu naafya njema
so thanks kaka unazidi kutupatia mwanga wa mafanikio
Sadakta hongera kwa somo zuri
Nilazima kbs kila kitu noted chini
Asante sana kaka umenisaidia sana kunibadili kifikra
Shukran Sana brother nimekuta ila mm huwa napanga vitu afu nashindwa kuvifuata je nifanyeje ili niondokane na hii Hari ya kugaili
Asante brooo,umenifungua macho
Ndio naanza kuangalia maada zako Kaka nimezipenda na nimejifunza mengi kwa leo
Karibu sana sana... Usiache kuandika comment zako, humo nami najifunza kitu. Each One Teach One
Asante sana kaka umetufundisha vitu vizuri sana hongera
Masha Allah Somo Zuri Sana Mungu Akubariki
Hii ni nzuri sana, sasa bro tuletee ya mazoezi ya asubuhi na ya jioni ili tuweze kujenga miili yetu, akili zetu na roho zetu, Asante sana sana.
Asante sana Somo zuri naendelea kujifunza
Twatotela ,twasanta,thank you,tunasakiriri,Asante sana
Kaka nashukuru nmekuerewa Mungu akubariki sana
Asante kwa elimu ishu penye maji ya baridi hapo
Mashauli mazuli sana.Ila mbele ya kutandika,nikupiga ibada.Mungu mbele.
Hongera kaka tunazid kujifunza
Wow great thank you umenisaidia
Mafundisho mazuri sana kaka,hakika binafsi nitabadilika
Asante kwa uzinduzi
Asante sana kwa somo nahitaji kuuliza ktk kupunguza uzito nini cha kufanya ili kupungua
Nimefundishika brother. Barikiwa sana
Safi sanaaa
Vizuri Sana kaka naerewa sana jumbezako
shukran sana Allah akubariki
Allah azidi kukupa afya njema.....ameen
Thanks bro for inspirational words
Asanteni xana kaka mungu ipitize kukupa hekima.
Barikiwa sana kaka Ezden #EachOneTeachOne
Asante kakangu kwamafunzo yako Allah akuzidishie
Gud vibe hujakurupuka tu una nguvu kubwa tu ya kueleweka naona umechagua kitu kizuri tu kwa performance yako
Asante sana bro nimejifunza
Asante kwa ujumbe mzuri nilikua sijui
Thanks much Mr ezden ,l
Thanks bro nimekuelewa sna nakukubali
Uposawa kabisa somo lako zuri
Asante sana kaka upo vizuri
Strong
Imeshiba
Mungu akubarik kaka
Asante sana kaka ubarikiwe
Vidole vyako huwaga vinanivutia❤❤❤
Shukrani...
Ubarikiwe sana kaka yetu
Safi Sana bro ila maneno mengi nyoosha kwenye point
Asante ndugu kwa mafundisho ma zurii
Barikiwa sana
Asante sana kaka nimejifnza mengi sana
Thanks my. Brother
Shukran kaka,m/mungu ukupe nguvu na uzima tuzidi kufaidika kupitia kwako.
Asant nimejifunza ndugu
thanks much
Nimekuelewa sana
Nikweli Kabisa yaanii daaaah mashallah ✔️👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝
Hilo neno zuri Sana
Nimependa sana mafundisho yako
Ezden kusali asbh ni muhim sana
Kweli brodher najifunza mengi from u.
Thank you Ezden 🙋🙋🙋
karibu sana Ray!
Mungu akubark kwa mafunzo yako
Uko sawa sana
Asante sana kaka ila me Naomba jambo moja kuwa unapokuwa unaorodhesha point basi tunaomba ziwe zinaonekana kwenye kioo kwan kuna zingne huwa unaweka ndan ya maelezo AF dah unadhindwa kutambua Ipi ndio point
Asante
Thank you kwa elimu
Asante sana nimecheka asubuhi naisi Mambo kua vizuli asubuhi
MashaaAllah napenda ushauri wako kaka..ALLAH akulipe
🙏🙏 thanks brother ez unanifunza mengi sana
Nimejifunz ubarikiwe
Uko vzr bro nmepend fundxho lako
Uko vzr bro endelea kutufundisha
asante kwa somo lako
Maashaallah,
Allah akupe afya njema tuendelee kupata faida zako
INSHALLAH WABILLAH TAUFQ.
Nakukubali kk postv zak mungu akubalk
Asante sana
💪💪💪💪 nafurahi sana kukufatilia asee
shukran sana kak nice message
Mafundisho mazuri sana kaka asante sana kuifundisha jamii
Following from kenya, mafundisho poa haya
Kipnd chako kip vzur hats buroo
N kwel kuchelewa kuamka ndvyo utakavyo chelsea kufankiwa bro
Hongela ndugu