Dr. Chris Mauki: Hakikisha una aina hizi 6 za ujasiri Mwenye Maisha yako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba unashindwa kuzifikia ndoto zako au kufanikiwa kwenye maisha yako kwa sababu umekosa ujasiri unaotakiwa. Je unafahamu kwamba ujasiri una aina tofauti? Nifuatilie hapa nikufundishe aina 6 za ujasiri ambazo lazima uwe nazo kwenye maisha.
    #DrChrisMauki#Maisha#Yako.

ความคิดเห็น • 20

  • @danchibomnyama4295
    @danchibomnyama4295 3 ปีที่แล้ว +5

    Safi san kaka topic yako imenigusa sana nakunifanya niamke nliko lala kimawazo kifikra na kitabia asante san

  • @baluhyaandrew1564
    @baluhyaandrew1564 3 ปีที่แล้ว

    Dr Chris Mauki nimekuelewa Sana,ubarikiwe.
    Nikuombe siku moja utoe somo linalohusu saikolojia ya viongozi wa kisiasa.Utufafanulie kwa nini politicians walio wengi hawatabiriki?kwa nini politicians hawasemi ukweli walio wengi? Ni nini chanzo Cha tabia hizo tata na ufumbuzi wake ni upi kwny ulimwengu huu unaobadilika kwa kasi ktk sayansi na teknolojia? Asante.

  • @NZAMUYEJoseph
    @NZAMUYEJoseph 5 วันที่ผ่านมา

    Waooo naitwa kazuba paulo Duce rectural wangu

  • @princessleonard6415
    @princessleonard6415 3 ปีที่แล้ว

    Woooow mie nina tatizo la kushindwa kunyamazia jambo hapo unanisaidiaje Dr. Chris Mauki 😭😭😭

  • @linecompany9013
    @linecompany9013 2 ปีที่แล้ว

    Asntea sana

  • @gloryibrahim4216
    @gloryibrahim4216 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Dr Chris kwa madini haya hadimu

  • @suzanaagustinookelo4953
    @suzanaagustinookelo4953 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuskiliza sana lakini ungesemema jambo la kwanza kabisa ingekuwa ni mambo ya kiroho uongee kitu cha Mahana sana lakini wewe Mungu humemuweka mwisho pole sana kaka

  • @cleopatraadolf6492
    @cleopatraadolf6492 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka Chris mauki somo limenigusa sana

  • @catherinebayyo2244
    @catherinebayyo2244 2 ปีที่แล้ว

    Dr asante sana kwa somo zuri .

  • @khadijarajab8383
    @khadijarajab8383 3 ปีที่แล้ว

    🙏ubarikiwe Dr

  • @swalhaomar162
    @swalhaomar162 3 ปีที่แล้ว

    Asante Dr. Chris kwa somo lako

  • @cossyog3254
    @cossyog3254 3 ปีที่แล้ว

    Asantee doctor kwa elimu nzurii 😄

  • @ritzy1561
    @ritzy1561 3 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana

  • @ibahatimoses6431
    @ibahatimoses6431 3 ปีที่แล้ว

    Asante Dr kwa somo zur

  • @halimamasare6838
    @halimamasare6838 3 ปีที่แล้ว

    Thank you so much Dk.
    Good bless you and your family

  • @esthebaraka8600
    @esthebaraka8600 2 ปีที่แล้ว

    Kaka hbr mm naomba npigie nshda

  • @charlesmollel1845
    @charlesmollel1845 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana. Hakika wee n shujaa

  • @johndreezyrodgers9861
    @johndreezyrodgers9861 3 ปีที่แล้ว

    Ni Kweli.. Ila Jinsi gani ya kudumisha mahusiano ya sasa kufikia Kwnye ndoa badae.. Nisahidie hilo Dr.

  • @yauyakilongola1244
    @yauyakilongola1244 ปีที่แล้ว

    Mm kila nikifanya kitu kinafeli nifanye nn