IJUE SIRI KUU YA MAFANIKIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Kama wewe ni msikilizaji wa makini kabisa utakua umegundua kitu kila watu wenye mafanikio wakianza kuzungumzia mafanikio yao, asilimia kubwa huangukia kwenye kutaja jaambo moja sana, au weni hutaja mambo yanayofanana sana. wengi zaidi ni lazima utasikia jambo la kwanza kabisa ni kumtanguliza Mungu, au Mungu kwanza na kauli zenye kushabihiana na hizo. Sasa hapa moja kwa moja kwa jicho la uchunguzi wa mambo kuna siri ndani yake hapa katika kumuweka Mwenyezi Mungu katika shughuli zako zote kiukweli kabisa.
    Basi karibu sana katika somo hili tujifunze jambo baada ya kukutana na vijana kimasai na tukafungua mjadala wa kuwepo kwa Mungu na kumtumikia. Karibu sana.
    .
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    TUFUATE INSTAGRAM:
    SPN CHANNEL: / successpath_network
    EZDEN JUMANNE: / ezdenjumanne
    .
    GROUP LA VITABU WHATSAPP:
    Namba za malipo:
    Vodacom: (+255)759191076
    Airtel: (+255)682525620
    Jina: Zahra
    .
    BIASHARA | MATANGAZO :
    EMAIL: successpathnetwork@gmail.com
    WHATSAPP : (+255)759191076
    .
    #Siri #Kuu #Mafanikio

ความคิดเห็น • 113

  • @user-bf1ml1qj5o
    @user-bf1ml1qj5o 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kabisa mungu ndio kipao mbele

  • @ezironvyats433
    @ezironvyats433 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo #nzuli

  • @halimachubi2845
    @halimachubi2845 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwel kbs

  • @cholanambeya8596
    @cholanambeya8596 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice vid

  • @thecreater4671
    @thecreater4671 3 ปีที่แล้ว

    Iko pw kaka

  • @MmMm-kv2mz
    @MmMm-kv2mz 4 ปีที่แล้ว +3

    Yani kaka kilawakati ninapo kuskiliza napata hatua moja mbele.God bless you Nancy kutoka kenya

  • @mwalimumatano6299
    @mwalimumatano6299 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali kazi zako broo

  • @mwinyimohamedi6144
    @mwinyimohamedi6144 4 ปีที่แล้ว +1

    mungu alinde ishaah

  • @radhiamussa1629
    @radhiamussa1629 3 ปีที่แล้ว

    Shukran kaka ezden ubarikiwe

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa elimu nzuri.

  • @kilidadisp3444
    @kilidadisp3444 3 ปีที่แล้ว +1

    Thankx can brother kwa somo hili

  • @fatumaluze7724
    @fatumaluze7724 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika najifunza mengi Sana kaka ubarikiwe Mimi tatma toka shinyanga pamoja Sana kaka ezden

    • @fatmaomari7824
      @fatmaomari7824 ปีที่แล้ว

      Fatuma luze naomba namba yako please

  • @magrethwilliam1436
    @magrethwilliam1436 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana, Mungu ni zaidi ya kila kitu

  • @sharrifsudi7438
    @sharrifsudi7438 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @hamisjuma3375
    @hamisjuma3375 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda

  • @zahrakitchen5880
    @zahrakitchen5880 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 3 ปีที่แล้ว +4

    Mmasai kuna siku aliniuliza kwani ile ndege ikiruka inajuaje inakoenda? Nikamuelimisha na akafahamu. Asante kwa elimu nzuri Edzen

  • @jocety4426
    @jocety4426 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante bro
    Nimekuelewa vzur

  • @betladiaugustine8881
    @betladiaugustine8881 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

  • @aishamussa3245
    @aishamussa3245 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashalaah, Mungu akuzidishie

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

  • @erickmollel598
    @erickmollel598 4 ปีที่แล้ว +1

    I rell parfect broo

  • @robertgordon2745
    @robertgordon2745 4 ปีที่แล้ว +2

    nimekupata bro

  • @kelvinemmanuel5739
    @kelvinemmanuel5739 4 ปีที่แล้ว +1

    Thx brother. Am Kelvin from Gy barbershop

  • @josephrambau6207
    @josephrambau6207 4 ปีที่แล้ว

    Absolute broo

  • @sambesk2719
    @sambesk2719 4 ปีที่แล้ว +1

    Blessed sana bro

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 4 ปีที่แล้ว

    Asantee

  • @abdulrahimmushi8198
    @abdulrahimmushi8198 4 ปีที่แล้ว +2

    EACH ONE
    TEACH ONE
    Allah akulinde na husda pamoja na madui wabaya
    Mr Ezden

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

    • @aliyhassan9113
      @aliyhassan9113 4 ปีที่แล้ว

      Amin

  • @agnessmsogoya5320
    @agnessmsogoya5320 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli Mungu ndiye kila kitu

  • @deogratiasassey6872
    @deogratiasassey6872 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba uniunge kwenye hilo grup

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 4 ปีที่แล้ว +1

    nice voice

  • @allymfaume8203
    @allymfaume8203 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawaza kuchangia iyo affu mbili bro naomba niunge

  • @fridajosephyusif4364
    @fridajosephyusif4364 4 ปีที่แล้ว

    True God first bro

  • @kalungu_psychomotive1
    @kalungu_psychomotive1 4 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Kuna kitu kipya nimejifunza

  • @mlekwalulinda6551
    @mlekwalulinda6551 4 ปีที่แล้ว +1

    Elimu yako ni mtaji tosha kwangu namimi nitafundisha wengi keep on

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

  • @jumannekijombi9376
    @jumannekijombi9376 4 ปีที่แล้ว

    naongea je na mungu umenichangenyaa

  • @gaudensiamponela6599
    @gaudensiamponela6599 4 ปีที่แล้ว

    Kitabu kizuri sana hikooo

  • @endrewpeniely3397
    @endrewpeniely3397 4 ปีที่แล้ว

    Nakipenda sana kipindi chako

  • @phillsnafuna5962
    @phillsnafuna5962 4 ปีที่แล้ว +1

    hongera kaka mungu ni suluhisho kwa yote.

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

  • @yvonnemushi2541
    @yvonnemushi2541 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakupendaa mno na mungu akutunze Sana Kaka. Angu unanifundishaa mno

  • @rgtanzania4350
    @rgtanzania4350 4 ปีที่แล้ว +6

    Fair Perspective bro!!

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

    • @rgtanzania4350
      @rgtanzania4350 4 ปีที่แล้ว

      @@smgfamilygroup2414 sawa mzee......ila ingekuwa poa nawe ukafanya hivyo kwangu!!!! Nasubir!!!!🤝

  • @albywamandalinho
    @albywamandalinho 4 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @talalimpagalala6261
    @talalimpagalala6261 2 ปีที่แล้ว

    Brother umenibadilisha sana ktk maisha

  • @Don_abujay
    @Don_abujay 4 ปีที่แล้ว

    Waelewa tunakuelewa vzr

  • @hmytechnologieslimited4908
    @hmytechnologieslimited4908 4 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kujuta kufanya kazi na mtu potential kama mr ezden jumanne

  • @johnfransisco5620
    @johnfransisco5620 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelew bro

  • @majaliwaanania8565
    @majaliwaanania8565 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka.......

  • @DennisKinyua-md7nu
    @DennisKinyua-md7nu ปีที่แล้ว

    Thanks alot kaka wanijenga sana🙏

  • @allencharles4758
    @allencharles4758 3 ปีที่แล้ว

    👍👍

  • @maganganyhama7202
    @maganganyhama7202 4 ปีที่แล้ว

    Asant

  • @medsonstarlon0805
    @medsonstarlon0805 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀,,, masaiiii,,,, but shukrani kaka Ezden

  • @omarmaryam9889
    @omarmaryam9889 3 ปีที่แล้ว

    Good lesson

  • @rockislandroby2158
    @rockislandroby2158 4 ปีที่แล้ว

    Samahani natafuta Sana namb ya uyu broo ezden

  • @kaifalawa5873
    @kaifalawa5873 4 ปีที่แล้ว +8

    Nakushukuru sana kaka pia nakuheshimu sana na ninaomba utupatie elimu kuhusu ujasiliamali kwasababu awamu hii ya tano imefanikiwa sana kutufanya vijana wengi kuwa wajasiliamali ila walio wengi hawana elimu ya ujasiliamali???

  • @deogratiasassey6872
    @deogratiasassey6872 4 ปีที่แล้ว +3

    Yani brother kila mara nikikusikiliza naona unaniongelea mm kabisa yani

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

  • @thecreater4671
    @thecreater4671 3 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @smartboyzengineering9764
    @smartboyzengineering9764 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother naomba uniunge kenye group

  • @allymfaume8203
    @allymfaume8203 4 ปีที่แล้ว +1

    Na mm niunge group bro sirious

  • @lazarimanal3415
    @lazarimanal3415 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice one u changed my life bro i don't like any time music in TH-cam

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  3 ปีที่แล้ว

      Asante sana Lazari Manal kwa kufuatilia. Tuko pamoja sana. Stay blessed.
      Kujiunga na group la vitabu la whatsapp tuma ujumbe WhatsApp "SPN BOOK CLUB"
      kwenda namba 0759191076.
      .
      Kununua vitabu tuma neno VITABU kwenye namba 0759191076

  • @lupogoaureus6683
    @lupogoaureus6683 3 ปีที่แล้ว

    We

  • @salafitvsalafitv910
    @salafitvsalafitv910 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah is good

  • @moviestrailerstv4596
    @moviestrailerstv4596 3 ปีที่แล้ว

    Always i get something on your channel brother 🙏

  • @edowilly7216
    @edowilly7216 4 ปีที่แล้ว

    tayar nimetuma niunge jina Edwin mchunguz

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว

      Tuma taarifa zako kwenye whatsapp namba hii 0759191076 sio hapa mzee

  • @renatusmatungwa6800
    @renatusmatungwa6800 4 ปีที่แล้ว +1

    Natuma ujumbe whtssap kaka

  • @mickmussa9353
    @mickmussa9353 4 ปีที่แล้ว

    Hey bro nawez kupt vtab

  • @justinngogo1304
    @justinngogo1304 3 ปีที่แล้ว

    Aaah nazidi kujifunza kupitia video na vipindi vyako hakika nazidi kuelewa mengi kupitia wewe

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 ปีที่แล้ว

    Kila nikkusikiliza nasonga mbel

  • @richnewz2852
    @richnewz2852 3 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @nibigirarashid7597
    @nibigirarashid7597 3 ปีที่แล้ว

    Aslamu alayikum walahmatlilah wabarakatuh juma

  • @innocentmajololo6270
    @innocentmajololo6270 4 ปีที่แล้ว +3

    Bro nakukubal xn..!!! Nahitaj niwe participant wa group lako la whatsap coz nafuatilia xn insperation zako

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

  • @allyumeme1914
    @allyumeme1914 2 ปีที่แล้ว

    Hili group bado lipo ?

  • @charlesthobias623
    @charlesthobias623 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mimi na kubali mungu yupo lakini watumishi wa mungu ndio waongo wanataka fedha tu

    • @preciousprince9159
      @preciousprince9159 4 ปีที่แล้ว +1

      Bro naomba unisaidie namba zako nitakutafuta mm naitwa CPL Mbugi

    • @arnoldlusambo3921
      @arnoldlusambo3921 4 ปีที่แล้ว +1

      hahahaha 🤣🤣🤣🤣👊

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว

      @@preciousprince9159 Tuma ujumbe kwenye whatsapp namba hii 0759191076

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว

      Hili nina mashaka nalo pia

    • @idibilali7417
      @idibilali7417 4 ปีที่แล้ว

      Thanks ezden

  • @amanisupeti2451
    @amanisupeti2451 4 ปีที่แล้ว +3

    Broo wamasai tuna dini bhana Ila wanaume wa kimasai hawaendag kanisani 90% ndo maan wanakuambia hatuna dini

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว +2

      hahahha...dah asante kwa kuniibia siri ndugu yangu

    • @amanisupeti2451
      @amanisupeti2451 4 ปีที่แล้ว +1

      Pamoj Sana kaka mkubwa 🙏🙏

  • @mikidadihussein5152
    @mikidadihussein5152 3 ปีที่แล้ว

    Kaka Mimi nimekuskiliza hivi karbu Ila nahitaji kujifunza Zaid HATA kuonana uso kwa uso LENGO nijifunze so nitakuptaje kaka mawasiliano yanahusika Zaid ili nikupate

  • @kesiambisse3955
    @kesiambisse3955 3 ปีที่แล้ว

    Kaka naomba nomba ya watsp

  • @wizcharratv2913
    @wizcharratv2913 3 ปีที่แล้ว

    Brother mm natamani niwe mfanya biashara lakn nakipaj cha kuandk nyimbo kuandaa script ya movie sjui nianzie nahtaj msaada wak

  • @chalionthebeat9448
    @chalionthebeat9448 4 ปีที่แล้ว +1

    Je kitabu hicho mtu anaweza kukipata kwenye lugha ya kiswahili ?

    • @smgfamilygroup2414
      @smgfamilygroup2414 4 ปีที่แล้ว

      ABARI NDUGU SAMAHANI NAOMBA MSADA WA SUBSCRIBE CHANNEL YANGU MIMI NI FUNDI FANICHA 🙏

  • @ngoshaoytz5672
    @ngoshaoytz5672 4 ปีที่แล้ว +1

    Ok bro binafs napenda San unavyofundisha pia napenda kujiunga na group lako la WhatsApp,

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 ปีที่แล้ว +2

      Tuma ujumbe kwenye whatsapp namba hii 0759191076

    • @ngoshaoytz5672
      @ngoshaoytz5672 4 ปีที่แล้ว

      @@successpathnetwork ok

    • @mikkidaddydogan9579
      @mikkidaddydogan9579 4 ปีที่แล้ว

      @@successpathnetwork niunge no.0676372037

    • @user-zl5mt6lk4n
      @user-zl5mt6lk4n ปีที่แล้ว

      Mimi ndo kwanza nmeona hii leo ila nataka hilo group la uchambzi naweza kuwekwa sasa au tayar imeisha?

  • @ksnjos001
    @ksnjos001 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba kumuuliza mtangazaji kwanini kama Mungu yupo maisha ya watu wengi duniani yanazidi kudidimia? Manake hiyo dini tuliyopewa sio ya ukweli, Mungu ndio yupo lakini kuna wajanja wachache duniani wametupa hiyo dini kutufanya maskini wao waendelee ndio maana mpaka leo utaona Africa kupo sana nyuma. Sisemi usisali au kuabudu Mungu ila kumbuka kuna binadamu wachache wanafaidi kwa wewe kutojua mambo mengine mengi sana ambayo sisi wataalamu tunaita Spirituality and Esoteric studies...

    • @aminaalid9745
      @aminaalid9745 2 ปีที่แล้ว +1

      So unamaanisha nini ?? Tusiwe na dini?