Mambo 5 Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 318

  • @primokiwali
    @primokiwali หลายเดือนก่อน +4

    Wale walio rudia kuangalia hii video 2024 wagonge like tujuane ime nipa uwezo wa kujiamini sana

    • @danielmyahudi1339
      @danielmyahudi1339 19 วันที่ผ่านมา

      Aisee kumbe ni miaka 6 iliyopita, mm Nilikuwa naangalia tu video

  • @godzidendera3027
    @godzidendera3027 ปีที่แล้ว +8

    Like za kutosha kama unamkubali huyu jamaa

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 4 ปีที่แล้ว +36

    Nilitumia week mbili na sehemu nahangaika kumbembeleza mtu anikopeshe bila mafanikio, nilivoskiliza hapa TU nikajua maisha yangu yananihusu mmi kuyangaikia,, Leo hii nakwambia nachoma chapati na watu wametoa mwitikio naingiza kipato😥😥😥😥

  • @daudkwalu3563
    @daudkwalu3563 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe sana mkuu kwa kuendelea kuiishi ndoto yako...Nakushauri unayesoma comment hii baada ya clip hii search clip yake tittle aliipa "Nguvu Iliyoko Katika Maono" hautajutia muda wako

  • @SengusAbihudi
    @SengusAbihudi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akutie nguvu ili uendelee kuwafundisha na wengne

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 ปีที่แล้ว +11

    My best Mentor of all the time JOEL may god bless you Bro #SeeYouatTheTop 🙏🙏

  • @judamsaki5609
    @judamsaki5609 4 ปีที่แล้ว +1

    Joel mzima? nakutafuta sana sana as I need to discuss with you this is Dr Msaki J.L. remember uvccm moshi vijijini? 0767827896 ni kuhusu clips zako ...great great God bless you kwa unachokifanya......wow kiongozi

  • @shaibumahanda6501
    @shaibumahanda6501 6 ปีที่แล้ว +3

    Daaa brother leo ndo naigundua hiii channel 7/7/2018 naweza pasuka kichwa coz kila ninachopitia nataman kinachofua hadii mb.znakataa

  • @anordgodibless1361
    @anordgodibless1361 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki Kaka mafundisho yako ni tiba tosha

  • @ilambonaluje7559
    @ilambonaluje7559 3 ปีที่แล้ว +1

    Kipaumbele changu ni lazma nmsikilize joel nanauka

  • @jimmymbella997
    @jimmymbella997 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii ni kweli kaka, kitu kama hujakikamilisha huwez kukisahau kamwe muda wote utakikumbka, kama mm hapa kuna kitu nakiwaza mda wote sababu sijakikamilisha Asante kwa SoMo zuri❤️💪💪

  • @ntiruvakureismael717
    @ntiruvakureismael717 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiiiyo example yakuwapa wengine watu majukumu nisawa ila mbona watuwsligeuka

  • @jumakhamza5372
    @jumakhamza5372 3 ปีที่แล้ว +1

    Natak nikufate kwenye mitandao ya kijamii unatumia jina gani

  • @esthermichael3221
    @esthermichael3221 4 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa Sana Joel kwa kazi nzuri naona mabadiliko makubwaaaa mnoo katika maisha yangu
    Japo Kuna sehemu kidogo ambayo bado unanisumbua cjapata muafaka wa wapi nianzie

  • @ezraezyofx
    @ezraezyofx 4 ปีที่แล้ว

    Mimi ninatamani kuongea nawewe live, my phone 0759930705

  • @anastasiamainaministries2700
    @anastasiamainaministries2700 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow naskiziza 2020...nimependa Sana kutoka kenya

  • @ericsaul4186
    @ericsaul4186 6 ปีที่แล้ว +7

    Yet another great educational talk. Big up Joel -:)))

  • @mariamogelasanayohana7442
    @mariamogelasanayohana7442 4 ปีที่แล้ว +1

    asate sana tukopamoja kwakirakipidi unacho kito nakufatilia san

  • @alfayoamani177
    @alfayoamani177 3 ปีที่แล้ว +1

    Najitahidi kufanya vitu lakini nashindwa

  • @salumdimoso1027
    @salumdimoso1027 2 ปีที่แล้ว

    Naomba za huyu jamaa mie ninashida kubwa sana nisaidieni jamani plz!!!!!!!!!!!

  • @brhchannel6618
    @brhchannel6618 6 ปีที่แล้ว +6

    Thanks I learn something from you brother.

  • @merrythomas7356
    @merrythomas7356 2 ปีที่แล้ว

    Mim kla nikiamka napend kusoma BIBLE ubarikiwe san Kwa mafunzo yako

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 6 ปีที่แล้ว +5

    SWALI LANGU HUWANAULIZA NAHUWASIJIBIWI ... KWA DAR VITABU VYAKO NAVIPATIA WAPI...???

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว +1

      Newborn Haule house of Wisdom,Dar free Market,makumbusho,kariakoo etc wasiliana na 0756094875 utapata maelekezo zaidi

    • @ostazclassic3370
      @ostazclassic3370 6 ปีที่แล้ว

      Joel Nanauka je sisi tulioko inje ya africa tutapataje hivyo vitabu 👂👈 tunaomba whatsapp Number

    • @olaismosses9167
      @olaismosses9167 6 ปีที่แล้ว

      Arusha nitapatajee

  • @inocentkaiza8791
    @inocentkaiza8791 3 ปีที่แล้ว +1

    Broo nimekubali hiyo point yakukosa furaha maranyingi napokuwa kazin uwa napoteza uwezo wakufanya kazi zangu kwakukosa furaha

  • @anandepallangyo4177
    @anandepallangyo4177 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka wewe ni wa muhimu sana alooo your the best

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 2 ปีที่แล้ว

    Lakini Kuna wehu kama Mimi wakifatiliya kipindi kwenye mtandao wanaamini kama wanafaidisha wenye kipindi kuliko elimu au marifa tunayopata😭😭😭😭 basi mutuombee kwani ibilisi wivu kasha tuvamiya baba😀

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Mungu akuinue kwa viwango vya juu sana coz nafatilia sana masomo yako na ninasonga mbele.

  • @niccohgordon4125
    @niccohgordon4125 5 ปีที่แล้ว +3

    nimefutilia clip zako chache broo nimegundua wewe ni mwana falsafa mkubwa sana na utazid kuwa mkubwa zaidi duniani, mungu aendelee kukupa nguvu na afya ili kizazi kichojaribu kupitia clip hizi kifaidike zaidi. nimeanza sasa kukufuatilia kaka. stay blessed forever broh.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว +1

      niccoh gordon Ameen nashukuru sana

    • @dorcusmo6817
      @dorcusmo6817 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki Sana

  • @johampangala1209
    @johampangala1209 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo umeniponya magonjwa yoteee. Nilikuwa sijui hii chanel thanks bro.

  • @yassinlisa6168
    @yassinlisa6168 3 ปีที่แล้ว +1

    This is one is also A Psychologist

  • @mpkebby5768
    @mpkebby5768 ปีที่แล้ว

    Ni vipi kama kazi inayokuingizia kipato ndo inayokunyima furaha labda kwa kazi kubwa kipato kidogo na kukukosesha muda wa kufanya shughuli nyingine za kimaendeleo ?

  • @mduduemmanuel4585
    @mduduemmanuel4585 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani mzee umeshanigusaa

  • @aidansemmanuel8546
    @aidansemmanuel8546 5 ปีที่แล้ว +7

    Brother ur a teach of life.

  • @rashidonami2660
    @rashidonami2660 4 ปีที่แล้ว +2

    Niuwekweli bro uko poa

  • @nkakenychannel2831
    @nkakenychannel2831 2 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU aendelee kukutunza kaka umefanyika msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu

  • @margueritnyingani8844
    @margueritnyingani8844 5 ปีที่แล้ว +13

    Also let them know that it's important to start the day with prayers and reading the bible.

    • @alphoncemtola97
      @alphoncemtola97 4 ปีที่แล้ว +1

      God bless you joel

    • @ibraimoissiaca6058
      @ibraimoissiaca6058 4 ปีที่แล้ว

      How If I'm not Christian ? You have say to submit to God only

    • @etiennekwizera8762
      @etiennekwizera8762 3 ปีที่แล้ว

      This one is too important.
      Japo ni ngumu kwa vijana, ila ni muhimu kwa kuwa ndani ya Biblia, kitabu kitakatifu, yote tunayoyatufuta yamwo ndani

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw หลายเดือนก่อน

      ​@@ibraimoissiaca6058 yeye kasema kwa imani yake...

  • @mwanaidibushuti9929
    @mwanaidibushuti9929 ปีที่แล้ว

    Ss unasmaediaje mtu mwenye Hana furaha ili kuregesha furaha a yake

  • @lightnesskashi3226
    @lightnesskashi3226 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi huwa naanza na habari zako

  • @jacksonkidawile1475
    @jacksonkidawile1475 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwamba ruge mtupu kasoro jina tu 🤝🤝🤝🤝 nakubali kaka madini yako yana penya ubongon kwangu

  • @nassorhamad5225
    @nassorhamad5225 2 ปีที่แล้ว

    Mm ninakosa frah kwa biashara kua ngum nifanyejee

  • @professorjoma2364
    @professorjoma2364 6 ปีที่แล้ว +5

    Joel nakupa 2 years tanzania itajua ww ni nani

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Edward Joseph Ameen Edrward

    • @professorjoma2364
      @professorjoma2364 6 ปีที่แล้ว

      Kila dk 1 nayo kuskiliza naona picha tofauti sana na yenye mafanikio mara 100 zaidi ya nlivyo saiv... ubarikiwe

    • @alipidiusfrance8879
      @alipidiusfrance8879 5 ปีที่แล้ว

      asante sana kaka .unafundisha vizuri

  • @elishatitus2111
    @elishatitus2111 4 ปีที่แล้ว +5

    GOD bless

  • @charlesoputi7101
    @charlesoputi7101 ปีที่แล้ว +1

    Watching it again and again be blessed brother joel @kenya

  • @agostinobusango1594
    @agostinobusango1594 2 ปีที่แล้ว

    NAAM KIONGOZI NI NJIA GANI UNAWEZA KUITUMIA KUEPUKA KUWA NA MAWAZO YA MDA MREFU. YANI MAWAZO (_)

  • @professorjoma2364
    @professorjoma2364 6 ปีที่แล้ว +4

    Katika tanzania tunayoishi akuna kama joeli nanauka kama yupomtaje kwa jina kwenye tichng unafaa kua kiongozi mkubwa sana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว +1

      Edward Joseph ahsante sana Edward,am humbled

    • @yonaakonaay2944
      @yonaakonaay2944 6 ปีที่แล้ว

      Edward Joseph kaka vitabu nipo tabora

  • @molaizer992
    @molaizer992 4 ปีที่แล้ว +1

    @joelnanauka ninekuwa nikikufatilia Sanaa na najifunza vingi sana kutoka kwako Ila naomba unisaidie kujibu hili swali
    Ni kwa namna gani naweza kumtambua mtu sahihi na ambaye anaweza kuwa mtu au daraja la mm kuendelea?

  • @erikalutevele8362
    @erikalutevele8362 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wetu azidi kukutunza zaidi maana toka nilipoanza kukusikiliza nimekua mtu wa tofauti sana yaani mpaka najishangaa mwenyeye

  • @veronicamnubi9085
    @veronicamnubi9085 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa mafundisho mazuri ya maamuzi kwa sehemu kuu tatu za maamuzi nimepati kitu kikubwa sana

  • @amnasalumu7534
    @amnasalumu7534 6 ปีที่แล้ว +3

    nashukuru sana maana unibadili kimtazamo kila siku

  • @alfredodhiambo4473
    @alfredodhiambo4473 3 ปีที่แล้ว +1

    Nmefurahia mafunzo yako kuna mengi najua sasa naomba mungu azidi kukupea iyo hekima let God use you to heal broken hearts

  • @violethndowo-fr3rc
    @violethndowo-fr3rc 4 หลายเดือนก่อน

    Nakushukur kakaang mana unatusaidi weng

  • @davidandrewmarius3454
    @davidandrewmarius3454 6 ปีที่แล้ว +3

    umekuwa Furaha sana Na naamini Kupitia mafundisho yako Nitafanikiwa Zaidi#Joel Nanauka love You so much Brother..Naomba Mwongozo Naitaj kunzisha Biashara

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว +1

      David Andrew Marius ahsante david;pamoja sana

    • @davidandrewmarius3454
      @davidandrewmarius3454 6 ปีที่แล้ว

      +Joel Nanauka aksante sana Barikiwa mno mno Sana'a..Naomba mwongozo Nianzaje biashara wazo nalo

  • @jamil1547
    @jamil1547 6 ปีที่แล้ว +10

    sijuwi nikulipe nini

  • @PendoElisha-lo1sw
    @PendoElisha-lo1sw ปีที่แล้ว

    Nifanye nini ili niwe na furaha tena kwenye maisha yangu

  • @martinnsunza7288
    @martinnsunza7288 ปีที่แล้ว

    Mm naomba namba yako kwajili ya ushauli zaidi

  • @EuniceIkamar
    @EuniceIkamar 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa utaweza kumpa aje najukumu yako ebu toa mufano

  • @kasigahamisi354
    @kasigahamisi354 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli

  • @enelebowden2373
    @enelebowden2373 2 ปีที่แล้ว +1

    Joeli nina nyongeza katika hapo kuhusiana na mafanikio,,,mi naona mafanikio hupatikana pale mtu atakapokua anaishi katika kusudi lake,, namna ya mtu kujua kusudi lake ni pale atakapoelewa chanzo chake yeye ni kipi ,, sasa itambidi huyu mtu aanze kujua/kuelewa mahusiano yake yake ya moja kwa moja na chanzo chake ndipo ataanza kuabudu na kunyenyekea katika huyo kwahiyo sasa yeye alimuumba huyu mtu yeye ndiye anajua njia za huyu mtu,,, lakini/ angalizo njia hiyo ni nyembamba nasi wote waionayo,,,
    Katika wewe binafsi kuna upekee mkubwa sana katka yale utakayoyafanya hivyo itafanya watu kuhitaji hiyo huduma yako ya kipekee katika utatuzi wa matatizo/ maswali ambayo kwao wao yalikua hayana majibu,, sasa ni hitimishe hivi,, kitu kianzacho ni utambuzi wa mtu binafsi katika maswala ya spirit then hizo mali/pesa/ umaarufu vitakufuatia nyuma kwasababu unakua na code yako binafsi

  • @grantmwakyusa1961
    @grantmwakyusa1961 4 ปีที่แล้ว +2

    Mentor #Joel thank you for your mentorship,, I am going to practice and live by doing this.

  • @kahwaanacleth5564
    @kahwaanacleth5564 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuna kitu kikubwa sana nimejifunza, hasa kupitia athari za kukosa furaha, husabibisha kushuka kwa kinga ya mwili, pale unaposhambuliwa na mgonjwa ya ajabu, na pengine unaweza kwenda hospitali kila mara kupima na kujikuta huna ugonjwa wowote wakati wewe unajisikia hoi. MATOKEO YAKE PIA HUWAZA TOFAUTI, AIDHA UMEROGWA AU IMANI ZINGINE TOFAUTI, PIA UWEZO WA KUJIAMINI HUPUNGUA. Ahsante sana Nanauka coach wangu ,napenda sana maomo yako na nafatilia sana. Nataka niwe mwanafunzi wako katika ile coaching programme, naomba utaratibu wa kujiunga.

  • @gwamakamsyanogwamakamsyani7846
    @gwamakamsyanogwamakamsyani7846 3 ปีที่แล้ว +1

    Sana'a mfumbuzi

  • @nicholausmaswi3141
    @nicholausmaswi3141 4 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ninatatizo la kupanga ila kutekeleza inakuwa ngumu, sijui kwann?

  • @ShemsaKombo
    @ShemsaKombo 3 หลายเดือนก่อน

    Asante kwa ushauri wake mzur

  • @alfayoamani177
    @alfayoamani177 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka kama umeshindwa kutekeleza unafanyaje

  • @johampangala1209
    @johampangala1209 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana ubalikiwe

  • @mashakasimon9626
    @mashakasimon9626 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu mafanikio nihatari

  • @zulferabour607
    @zulferabour607 5 ปีที่แล้ว +1

    daaaaaah yan n kwel kbsaaaa lkn kuptia ww nmejfunz meng wallah......nkpnd w kaka...mungu akupe umr mref uzd kutufundshaaaaaaaa

  • @joniajohn4716
    @joniajohn4716 3 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏

  • @raheembiesa3841
    @raheembiesa3841 ปีที่แล้ว

    Nondo nimezikubali kaka

  • @gindupeter9163
    @gindupeter9163 5 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru Sana kukujua naimani umenisaidia pakubwa Sana! Of course I will be there for you and I don't want to go back in my life !

  • @magneticofficialtz
    @magneticofficialtz หลายเดือนก่อน

    Nimeanza kuwa mtu mwenye furaha sana baada ya kuwa nafuatilia masomo mazuri kupitia channel hii ahsante MUNGU 🙏🙏🙏

  • @majaranyonyo2125
    @majaranyonyo2125 3 ปีที่แล้ว +1

    Vizur xn brother

  • @Anord-u3n
    @Anord-u3n 28 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe Sana joel

  • @francisdaimon7705
    @francisdaimon7705 6 ปีที่แล้ว +4

    Hakika mungu akubarik kwan umekua baraka sana kwangu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  6 ปีที่แล้ว

      Francis Daimon Ameen nashukuru sana

  • @nzumbisitta9691
    @nzumbisitta9691 ปีที่แล้ว

    Oyaa broo Kama unapitia Hari ngumu kimaisha labda mwamba amewadhulumu mirathi anaendesha familiar vibaya unafanyaje

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 4 หลายเดือนก่อน

      tafta chako ndugu hutokuja gombana na mtu

  • @athumanikigolo8753
    @athumanikigolo8753 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera cna kk

  • @gindupeter9163
    @gindupeter9163 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli katika maisha yangu yamekuwa ya kubahatisha yani sizingatii wajibu wangu ahsante sana

  • @revocatusvedastus8893
    @revocatusvedastus8893 2 ปีที่แล้ว

    wewe nimwalimu kwel kweli

  • @magrethjoseph589
    @magrethjoseph589 4 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana kaka angu

  • @CastoryGausy
    @CastoryGausy 8 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba yako ya simu

  • @joelllemi7849
    @joelllemi7849 3 ปีที่แล้ว +1

    kwakwel kaka nimekuelewa sana be bless

  • @msikitiibrahimu1990
    @msikitiibrahimu1990 5 ปีที่แล้ว +1

    thanks u so much my brother nmejifunza mengi sana kupitia wewe mungu akubark sana

  • @safinabambanya3065
    @safinabambanya3065 5 ปีที่แล้ว +6

    The concept is very helpful.. thank you brother you have awaken my mind

  • @HassanHassan-qo2yu
    @HassanHassan-qo2yu 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuaminia bro Sana kaz nzuri

  • @dismasstanslaus5985
    @dismasstanslaus5985 ปีที่แล้ว

    Jamaa anaakili mnoo

  • @sarahmhina4359
    @sarahmhina4359 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana brother Joel, nimefurahi sana kusikia mafundisho yako. Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri. Naamini umeokoa roho za watu wengi kwa hiki unachokifanya. Da! Be blessed bro

  • @jenisanga2281
    @jenisanga2281 3 ปีที่แล้ว +1

    My God bless u

  • @ahazikiasi9774
    @ahazikiasi9774 2 ปีที่แล้ว

    Senks kaka

  • @CastoryGausy
    @CastoryGausy 8 หลายเดือนก่อน

    Namba yako mkuu

  • @anethwilson1884
    @anethwilson1884 4 ปีที่แล้ว +1

    Golden hour yang kuanzia leo ntaitumia kuingia kwa hii page

    • @etiennekwizera8762
      @etiennekwizera8762 3 ปีที่แล้ว

      Utapotea kijana, kumbuka kuwa kusikiliza bila pratics, ni shida mtupu

  • @Makofiatz
    @Makofiatz 6 หลายเดือนก่อน

    Nime ipenda sana hii 😮

  • @felisteravija1901
    @felisteravija1901 4 ปีที่แล้ว +1

    Ur my hero bro,kilasiku unaongelea maishayangu nashukuru mungu kukuweka ili unitibu mm.mungu akubariki na akuzidishie

  • @coachsportif9533
    @coachsportif9533 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Nanauka kupitia wew leo maisha yangu yapo mazuri ndani ya ufaransa na kila siku nakusikiliza wew kabla ya kutoka kwenye miangaiko..
    Hakuna mtu wa kunichezea akili yangu

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  4 ปีที่แล้ว

      Japhet Paul hongera sanaaaa

  • @deusdedithblassio9328
    @deusdedithblassio9328 4 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kaka

  • @jafethkweyamba5713
    @jafethkweyamba5713 3 ปีที่แล้ว

    Kaka ubarkiwe sàna

  • @yassinlisa6168
    @yassinlisa6168 3 ปีที่แล้ว +1

    Nafurahi sana kusikiliza kwa Kiswahili 😊

  • @adrianthobias296
    @adrianthobias296 6 ปีที่แล้ว +1

    Huo ndo ukweli wa maisha.Asante sana.'Furaha ni mtu na mazingira yake.

  • @RiberatusBavano-v2v
    @RiberatusBavano-v2v 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel kaka

  • @Ziyadiadamu-ju9vg
    @Ziyadiadamu-ju9vg ปีที่แล้ว

    Nakukubar birakibari,

  • @nextcomin475
    @nextcomin475 3 หลายเดือนก่อน

    Appreciated