FANYA HIVI UPATE HESHIMA ZAIDI KWA WENGINE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @rizickanton7363
    @rizickanton7363 2 ปีที่แล้ว

    Somo zuri sana bro

  • @KINGCOBRATV765
    @KINGCOBRATV765 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama sana brrrr umetisha

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  7 หลายเดือนก่อน +1

      nashukuru sana ndugu yangu. Tuko pamoja sana

  • @daudiniyonsaba1113
    @daudiniyonsaba1113 2 ปีที่แล้ว +6

    Manshallah, sifa zote hizo nimejaliwa. Hapa, umenihakikishia tu kaka. Nilikuwa nikijiuliza kwa nini jamii inanipa heshima, sasa nimekuelewa. Yaani huo mimi Mia fil Mia. Nafurahi, alhamdulilah.

  • @thabitmichael
    @thabitmichael ปีที่แล้ว +2

    broo mimi nakubaliana na wew lakini nawez kuongezea apo kua kwa zama hizi unapokua n mtu mwenye mafanikio ndo unawez kueshimika zaidi

  • @isaiahereng2973
    @isaiahereng2973 2 ปีที่แล้ว

    Nice one brother

  • @ashuraabuu5579
    @ashuraabuu5579 2 ปีที่แล้ว +4

    Nashukuru Sana Kaka kwa mafundisho yako

  • @David-fq1rd
    @David-fq1rd ปีที่แล้ว +1

    Asante Baba

  • @herimailo8183
    @herimailo8183 ปีที่แล้ว +1

    Brother asante mungu akulinde

  • @TommyMkilya
    @TommyMkilya 6 หลายเดือนก่อน

    Nikwel ❤

  • @jamesraymondrogatmushi7470
    @jamesraymondrogatmushi7470 2 ปีที่แล้ว +1

    Unafanya kazi nzuriii Sana kaka MUNGU akubariki

  • @saumukijabala233
    @saumukijabala233 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukraan bro Ezden🙏

  • @kinnyiron8483
    @kinnyiron8483 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah asee we Kaka ang Naqbarii Sana Hadi bando linaisha nkiwa nacheki video zakoo

  • @wilsonkitundu8835
    @wilsonkitundu8835 2 ปีที่แล้ว

    Ukoo vzuria cn ezden nakkbli cn broo

  • @abdullymkongo6718
    @abdullymkongo6718 2 ปีที่แล้ว +2

    Brother ezden hii nzuri sanaaa

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 2 ปีที่แล้ว +1

    Somo zur bro

  • @sadathally3533
    @sadathally3533 ปีที่แล้ว +1

    kua wamwisho kuzungumza kitu muhimu sana bro asante.. lakin pia ningependa uzungumzie ufanye nini pale watu wanapokuamin kwamba unaweza kufanya kitu fulani au nafasi fulani na wakati wewe huamin kabisa kama unaweza kufanya au kua kwenye hiyo nafasi

  • @hatibummambe6601
    @hatibummambe6601 2 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe mzuri 👏

  • @omarmayabi149
    @omarmayabi149 2 ปีที่แล้ว +2

    Shukran sana

  • @fadhilaally3360
    @fadhilaally3360 2 ปีที่แล้ว +1

    Asantee sana nimejifunzaa sana somo hili

  • @lincolnmosh5248
    @lincolnmosh5248 2 ปีที่แล้ว

    Najifunza sana kupitia ww ntakupa mrejesho nikiwin my teacher

  • @filbertnyamachoya7499
    @filbertnyamachoya7499 2 ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru sana naendelea kupata elimu

  • @anordperestalent8113
    @anordperestalent8113 2 ปีที่แล้ว +4

    Point nyingine ili wakuheshimu waonyeshe kama unaweza kuishi bila wao
    *Kupenda sana kuombaomba au kila shida unamwendea mtu na ukashindwa kuitatua mwenyewe labda kukopa inaweza ikashusha heshima ya mtu kwa sababu wengi asilimia kubwa wanaopenda kukopa huwa wanakuwa kulipa ndio chanzo cha heshima kushuka

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana kwa kutujuza

  • @rishboysultan3956
    @rishboysultan3956 2 ปีที่แล้ว +1

    Zote nzuri Kaka Mola akuhifadhi na atujalie tuwe ni wenye kufuata

  • @edsonstephano726
    @edsonstephano726 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kwa somo zuri pia ukitaka kueshimiwa epuka kukopa siyo Kira anae kukopesha anania zuri na wewe wegne anakukopesha anataka kukuzaririsha kwahiyo unapo taka kukopa agaria mtu unae mkopa ili akulindie heshima yako Asante.

  • @twaybachellah914
    @twaybachellah914 2 ปีที่แล้ว +1

    Asnte sana.. Nimeondoka na hiyo point.. Ukitaka heshima anza kuwaheshimu wengine... 🙏🙏🙏🎉❤️

  • @mohamedmashaka4599
    @mohamedmashaka4599 ปีที่แล้ว

    Heshima kwako kaka

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka kwaushauri mzuri sana
    Nakupenda kwajili Allah 💙💙💙

  • @jumaabdul2162
    @jumaabdul2162 2 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana bro!..unamadini sana mkuu..

  • @johnbanda6601
    @johnbanda6601 2 ปีที่แล้ว

    Nashukur ...umenipa funzo hapo

  • @shamsiamsaghati
    @shamsiamsaghati 2 ปีที่แล้ว +1

    Always what goes around comes around
    💪

  • @gradinessmichael3030
    @gradinessmichael3030 2 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri hii nimejifunza kitu

  • @rajvanymatuma5977
    @rajvanymatuma5977 2 ปีที่แล้ว

    Vizuly kak ezy den jumanne nimejifunza mengi kutoka kwako

  • @aminataramio8254
    @aminataramio8254 2 ปีที่แล้ว

    Shukran Kaka mungu akuzidishiye upeo

  • @alhassankinota9182
    @alhassankinota9182 2 ปีที่แล้ว

    Shukran jazllah brother, umenikumbusha tips muhim san

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 2 ปีที่แล้ว

    Brother Asante sana Allah akupe afya njema 🙏

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 2 ปีที่แล้ว

    Somo zuri

  • @joramjoseph9964
    @joramjoseph9964 2 ปีที่แล้ว

    Respect kwako bro

  • @esrommasunzu6712
    @esrommasunzu6712 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Sana teacher hakika nimelielewa somo hili. Haswa kwenye quote ya Bruce Lee "knowledge will give you power but character will give you respect" pia nmeielewa vizuri quote ya Nelson Mandela "be the last to speak" lakini pia nmeielewa pont ya 3 ambayo ni "kuwa mtu wa vitendo kuliko kuwa mtu wa maneno mengi". Asante Sana kwa somo zuri. MUNGU akubariki.

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 ปีที่แล้ว

      Ama kweli, umeelewa...asante Kwa kufuatilia. Karibu sana

  • @jaystar1004
    @jaystar1004 2 ปีที่แล้ว

    GOD BLESS YOU BROTHER..🙏🙏🙏

  • @kalelaonlinetv
    @kalelaonlinetv 2 ปีที่แล้ว

    Allah akulipe kheer akhy

  • @aminaalid9745
    @aminaalid9745 2 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah shukran akhy Allah azidi kukutia nguvu nmeipenda hii somo
    Hapo hlo group la wasap huniungii

  • @venturebown6983
    @venturebown6983 2 ปีที่แล้ว

    Bless up bro

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 ปีที่แล้ว

    Waaaaaaaoh

  • @AlfaMbisa
    @AlfaMbisa 3 หลายเดือนก่อน

    Ata kuto onekana mara Kwa mara inaongeza sana heshima

  • @omarmayabi149
    @omarmayabi149 2 ปีที่แล้ว +2

    May ALLAH GIVE YOU REWARD FOR THIS

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 2 ปีที่แล้ว +1

    Apriciate Ila program yetu kimyaaa

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka kwema? Ile kitu nataka tuianze rasmi mwisho wa mwezi wa mwezi huu...! Tukiwa wazima

    • @matendoandrewmgeni1135
      @matendoandrewmgeni1135 2 ปีที่แล้ว

      @@successpathnetwork nakuombea mkuu

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 ปีที่แล้ว

      @@matendoandrewmgeni1135 pamoja sana kaka, tena anz akuandaa kabisa ya january!

  • @jumbewatson4164
    @jumbewatson4164 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwenye kuwa wa mwisho kuongea ,kunakitu nataka kuongezea .ukiwapa nafasi ya kuongea wote ...kwako itakuwa rahis kuhimisha jambo Kwan utakuwa umejua Kila mmoja kaongea Nini.....!

    • @jumbewatson4164
      @jumbewatson4164 ปีที่แล้ว +1

      Hapo lizima utaeshimika

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  ปีที่แล้ว

      Naam na ndio lengo... hata sasa ukitoa mawazo yako utakuwa umezingatia na michango ya wengine

  • @joramjoseph9964
    @joramjoseph9964 2 ปีที่แล้ว

    Wewe ni hatari

  • @mrkivuruge
    @mrkivuruge 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakufatilia Kam nini nimetoka kuelewa Yale uyasemajo

  • @hapsaally1860
    @hapsaally1860 2 ปีที่แล้ว

    Kibongobongo heshima pesa tu

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  2 ปีที่แล้ว

      sawa...

    • @falesysylivester4549
      @falesysylivester4549 2 ปีที่แล้ว +1

      Si kweli. Ukiwa na pesa utaheshimiwa kinafiki tu hasa kama utakuwa huna tabia hizi zilizotajwa. Watu watakupa heshima bandia mbele ya macho yako lakini watakusema vibaya wakiondoka mbele yako, sasa hiyo si heshima bali ni unafiki.
      Ni kweli pesa ni muhimu sana lakini ili upate HESHIMA YA KWELI lazima uwe na hekima na hekima inajengwa na tabia njema ambazo baadhi yake zimetajwa hapa.
      Pesa ni muhimu lakini sifa njema ni muhimu zaidi ili kupata heshima ya kweli na kuishi maisha yanayompendeza Mungu na jamii kiujumla. Ahsante.

  • @TommyMkilya
    @TommyMkilya 6 หลายเดือนก่อน

    Kila siku naweka bando hili nijifunze vutu unavyo towa katika live Yako ya TH-cam ❤

  • @harveyjules5874
    @harveyjules5874 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana