Maamuzi manne (4) muhimu sana kwenye maisha yako.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2020
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 470

  • @baracksylivester5599
    @baracksylivester5599 ปีที่แล้ว +19

    Mm nina umri wa miaka 21, ila nikifikisha miaka 30 ntahakikisha nina mabasi yangu kwa ajili ya transportation "Mungu naomba unitie nguvu" 🙏🙏🙏

    • @allyway999
      @allyway999 3 หลายเดือนก่อน

      Unacheza wewe😂😂😂 ukimuwa utaacha

    • @SaraphinaKidoti-qe7gi
      @SaraphinaKidoti-qe7gi หลายเดือนก่อน

      Tumwambie tumuache😊

  • @asnaabububu2297
    @asnaabububu2297 3 ปีที่แล้ว +24

    Habari yako kaka Joel kikwel mm nataka kuwa shujaa wa dunia nzima sababu naitaji kukomboa familia yang nata jamii ilinizunguka nahata isionizunguka naitaji kuwa msaada mkubwa ktk hii dunia kwa kila kiumbe chenye uhitaji hususan wanawake NA IMANI INAWEZEKANA MM KUWACHA KIT KIZUR KTK HII DUNIA HATAKAMA NIKIONDOKA KWENYE HII DUNIA

    • @danielnjowoka9412
      @danielnjowoka9412 3 ปีที่แล้ว

      😍😍

    • @sarahmsangi7243
      @sarahmsangi7243 3 ปีที่แล้ว

      Come ooooooooooon

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 3 ปีที่แล้ว +2

      Tuko wengi wenye kuwaza hivi 👏👏👏👏👏natamani kusaidia saaaana watu yaani ikiwezekana nimbadilishie mtu maisha yake aweze kujisimamia nae aelekee kwenye kutimiza ndoto zake hasa familia Duni.

  • @yusuphkanyonyi8587
    @yusuphkanyonyi8587 2 ปีที่แล้ว +7

    Nataka kwa mtumishi wa mungu na mtetezi wa watoto.

  • @mwasitiathumani4626
    @mwasitiathumani4626 3 ปีที่แล้ว +10

    Napenda niwe kama ww Mtu mwenye faida hapa duniani nikumbukwe kwa mema wangu tu napenda kaz zako mungu akubarik sana

  • @fadhilikibanti3402
    @fadhilikibanti3402 3 ปีที่แล้ว +8

    Nataka nijulikane kama mtu ambaye amekua na uchumi mdogo, lakini amegusa maisha ya wengine kwa namna moja ama nyingine...

  • @edsonkihwele6617
    @edsonkihwele6617 3 ปีที่แล้ว +17

    Nataka kuwa mtumishi wa Mungu mzuri nimtumikie mungu,,

  • @anuarypepo4085
    @anuarypepo4085 3 ปีที่แล้ว +3

    Napenda nitembee kwaajili ya wasiokuwa na miguu,nishike kwaajili ya wasiokuwa na mikono,niwe furaha kwa wasiokuwa na furaha,ndugu kwa wasiokuwa na ndugu,mzazi kwa wasiokuwa na wazazi n.k
    Aaamen..🤲🤲

  • @matrugnawangaeli4815
    @matrugnawangaeli4815 3 ปีที่แล้ว +4

    Mimi ningependelea kujilikana kama mtu anae tetea haki ya wanadamu. Namwamini Mungu napenda seria yake na mipango yake kwetu. Vilevile naamini kwamba marafiki ni wa mhimu ktk maisha yetu, Mungu anatupa uwezo wa kuweza kuishi na wengine kwa amaini kwani sio rahisi kupata rafiki wa kweli. Naami na mengi ya kuvifunza kutoka kwa wenzangu wote hapa Duniani. Kwa hiyo siweki mipaka. Kwani hata Mungu wetu anashusha baraka zake kwa viumbe vyake vyote. Tunajua maana take au

  • @user-sx9lq3ie1j
    @user-sx9lq3ie1j 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nataka kuja kuwa mfanya biashara wa kusambaza unga wa mahindi nchi mbalimbali,,,hakika Nina Imani juu ya hilo pia wewe Kaka Joel umekuwa mwalimu katika sehemu ya maisha yangu hakika siku moja nitakuja kutoa ushuuda kwako mungu akubariki Sana......🙏🙏

    • @user-sx9lq3ie1j
      @user-sx9lq3ie1j 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ubarikiwe Sana Kaka joel 🙏🙏

  • @fatmahamad681
    @fatmahamad681 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba sana kabla sijaondoka duniani niwe nimewaisaidia wanawake,watoto katika kutatua changamoto zinazowakabili

  • @RozaliaNathoo
    @RozaliaNathoo 4 หลายเดือนก่อน

    Personal value zangu ninapenda kutafuta solution ya matatizo na si kulalamika,
    Napenda kutumia muda kwenye vitu vyenye kujenga.
    Mchapakzi, na anayependa kufanya mambo kwa kiwango cha juu sana.

  • @sammyjohn_tz
    @sammyjohn_tz 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi Sammy John nataka nijulikane kama Mwanamuziki alietumia muziki na sauti yake kugusa maisha ya watu in a positive way ❤

  • @ajayschart8055
    @ajayschart8055 3 ปีที่แล้ว +5

    Napenda mungu anisaidie pia katika maisha yangu

  • @emmanuelkimutai3114
    @emmanuelkimutai3114 3 ปีที่แล้ว +5

    Value in entired life
    1.Heshima
    2.Mwaminifu
    3.Mpenda aki
    4.Msaidizi kwa Jami
    5.kiongozi bora katika familia yangu.

    • @gracedamas5883
      @gracedamas5883 3 ปีที่แล้ว

      1.Hekima
      2.Upendo
      3.Aman
      4.Mafanikio makubwa na mtiifu na kua mtu wa watu wema

  • @saidimkombe9842
    @saidimkombe9842 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimefata sana ushauri wako brother hadi Sasa na miliki duka langu binafs shukrani sana IPO siku nikukutana takupa zawadi

  • @ponctualitesuleim9417
    @ponctualitesuleim9417 3 ปีที่แล้ว +6

    Zakwangu : Nidhamu na ukweli. God bless you

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 ปีที่แล้ว

    Nikifa ningependa kujulikana kama kuwa msimamia haki
    My personale value ni
    Ukweli
    Uchapa kazi
    Usimamizi haki
    Namini Mungu mmoja na naamini Muhammad ni Mjumbe wa Mungu kama Yesu na Mussa na wengine
    Sipendi rafiki mvivu , proud , muongo hao siwapendi sina rafiki wengi

  • @ussihadji2248
    @ussihadji2248 3 ปีที่แล้ว +5

    Sentence nzr sn, mm nataka nujuilikane km mtoa misaada,ushauri,na mawazo chanya kwa Jamii husika.

  • @ibrahjr5210
    @ibrahjr5210 ปีที่แล้ว +2

    I want to be a responsible man to my family,my kids,my parents..I wanna be referred as a mature person,who worked hard for the sake of my kid's future and their life stability as well.. that's how exactly I wanna be referred like

  • @raymondjeremiah1192
    @raymondjeremiah1192 3 ปีที่แล้ว +2

    We jamaa ni noma kuanzia Leo nimekuwa fans wako

  • @makwegasuleimanmakwega5330
    @makwegasuleimanmakwega5330 3 ปีที่แล้ว

    Kwani saiv nasoma napenda sana niweze kuwa wa tofauti na niwe wa tofauti zaidi

  • @michaelrisbon5808
    @michaelrisbon5808 3 ปีที่แล้ว +2

    Nataka niwe mmiliki wa kampuni yangu mm mwenyewe,,,niwe na Uhuru wa kifedha

    • @michaelrisbon5808
      @michaelrisbon5808 3 ปีที่แล้ว

      Nashukulu Sana,,,umenipa nguvu na kunikumbusha nifatilie lengo zangu

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 3 ปีที่แล้ว +3

    Exactly, MIMI Judith nataka nijulikane kama mfanyabiashara mkubwa, msanii mkubwa wa tasnia ya filamu na Nikumbukwe kwa kujiamini na kujali wengine......I like it brother Joel

  • @kabulamasunga6484
    @kabulamasunga6484 ปีที่แล้ว

    Bwana YESU Asifiwe,Mimi nataka kuwa na kituo Cha kulelea watoto yatima pia..To be The big boss in Africa 💞..pia namuamini YESU Barikiwa 🙏🏼🙏🏼

  • @shifamakame4622
    @shifamakame4622 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm shufaa nataka nijulikane kwenye uwezo wangu wa vipaji vyangu hakuna anofanana navyo ingawa wengi wanafanya km mm na watt wngu waje wajifuze na kuwa km mm mama yao

  • @rachealmwale3897
    @rachealmwale3897 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe brother kwa mafunzo mazuri. Najifunza kitu.

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 3 ปีที่แล้ว +2

    Nijulikane kama kuhani asimamae mbele za Mungu na Alievusha wengi kwenye shida na matatizo kama Eliya

  • @honestkapufi6984
    @honestkapufi6984 2 ปีที่แล้ว

    Mimi,hanest,Mimi nitakuwamwadirifu,nitakuwa mchapakazi na mtu wakujituma,piA mungu ndo kiongozi wangu.

  • @hermankinyanyame122
    @hermankinyanyame122 3 ปีที่แล้ว +10

    Sijawahi kukutana nawe face to face lakini umechange my mind:mungu akubaliki brother.

  • @MrTicha
    @MrTicha 3 ปีที่แล้ว +35

    Personal Values zangu ni
    1.Ukweli
    2.Bidii
    3.Nidhamu
    4.Ubunifu

    • @mbelwakattolwiiza2228
      @mbelwakattolwiiza2228 3 ปีที่แล้ว

      Nikweli

    • @atanaskahise2334
      @atanaskahise2334 3 ปีที่แล้ว +1

      Ukweli ! 2.kusaidia watu wengne.3.kuwa mchpakaz.4.mchamungu

    • @roi2554
      @roi2554 3 ปีที่แล้ว +1

      #JOEL_NANAUKA
      *WATU WENGI HUWA TUNASUMBULIWA SANA NA WIVU WA KIMAPENZI SO, NINGEPENDA UTUPE ADVICE JINSI YA KUEPUKANA NAO*

    • @kasianzulu3859
      @kasianzulu3859 3 ปีที่แล้ว

      @@atanaskahise2334 chakwanza mchamungu mengine hufata atanas, keep your first u will survive in good condition,I remembering u upset,

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว +1

      Na umbea 😇

  • @johnlukio9807
    @johnlukio9807 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka nijulikane kama aliye hustle sana na akaja kufanikiwa sana, na nikumbukwe kama aliyewasaidia sana wetu wenye mahitaji wakati wa uhai wangu

  • @nakudanatheresia22
    @nakudanatheresia22 3 ปีที่แล้ว +2

    meme Natamani kujulikana kam mtetezi wa wanyongee 🙏🏼 jah bless my visions

  • @jimmybonzi6346
    @jimmybonzi6346 3 ปีที่แล้ว

    Nijulikane kama fundi mahiri mtumishi halali wa Mungu

  • @afya_kwa_wote4144
    @afya_kwa_wote4144 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka nijulikane kama mfanyabiashara mkubwa na kugusa maisha ya watu wengi hapa duniani

  • @try00test52
    @try00test52 3 ปีที่แล้ว +2

    My personal values:
    。Excellence
    。Trustworthy
    。Extreme faith

  • @damianokarengi8555
    @damianokarengi8555 3 ปีที่แล้ว

    Damian Karengi nataka niwasaidie vjana wenzangu katika kufanikisha maisha yao kuwa encourage

  • @michaelpetro3567
    @michaelpetro3567 3 ปีที่แล้ว +5

    GOD bless You mr. Joel Nanauka, you are transforming me.

  • @shaomymusic4510
    @shaomymusic4510 9 หลายเดือนก่อน

    Mm shaomy nataka kujulikana kwenye mziki natamani nikifa watu wawe wanaimba nyimbo zangu sehemu mbalimbali, nmeshaanza kupambania kwa sasa naimba live band nyimbo za watu ila nmeanza kutunga zangu nitapambna ziwafikie watu inshallah Mwenyezi mungu ataniongoza

  • @aminasaid6555
    @aminasaid6555 20 วันที่ผ่านมา

    A person of jannat Firdausi inshaAllah

  • @eliapendakileo6289
    @eliapendakileo6289 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda kuwa mjasiria Mali Bora

  • @mathiaswilliammadimba6483
    @mathiaswilliammadimba6483 2 ปีที่แล้ว

    Mm mathias natakanijulikane kama mtu mwenyeusubutu mkubwa na nisie kubali kushidwa yani nikilipanga jambo nalitimiliza vzri🙏🙏🙏🙏

  • @isaacbenny1218
    @isaacbenny1218 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi siku nayoondoka duniani niondoke kama mfanya biashara mashuhuli ndani na nje ya tanzania 🙏

  • @ilhamhabuba5241
    @ilhamhabuba5241 3 ปีที่แล้ว

    Nataka nijulikane km mwanamke mpambanaji,mwenye heshima na busara kwa watu wanaonizunguka

  • @danielayoub3117
    @danielayoub3117 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana , katika vitu sikuwah kufikiria ni kuhusu misingi inayoniongoza, nashkuru sasa ninefunguka na kuamua kujiwekea misingi thabiti kbsa nitakayoisimamia

  • @magrethfaustine2665
    @magrethfaustine2665 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda nijulikane kama nilisaidia jamii ya watu wenye uhitaji

  • @johnsemuna1601
    @johnsemuna1601 3 ปีที่แล้ว

    Nataka kujulikana kama tajiri mkubwa sana duniani au katika ichi moja duniani

  • @davidmsubi2639
    @davidmsubi2639 3 ปีที่แล้ว +2

    Nataka kuwa motivator mzuri sana.Naamini ntafanikiwa.

  • @AllinAllTV-mn5pu
    @AllinAllTV-mn5pu ปีที่แล้ว

    Tajiri namba Moja Africa na nitajiri mkubwa duniani

  • @shalomibrahim1189
    @shalomibrahim1189 3 ปีที่แล้ว

    Mimi shalom nataka nikitoka duniani nataka nijulikane Kama mtu mwema na mtu mzuri wa kuishi na watu..

  • @abdushakuruyahya4073
    @abdushakuruyahya4073 3 ปีที่แล้ว

    Me Godfrey nahitaji kujulikana Kama mfanya biashara maalufu duniani na niwe nasaidia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu coz am happy when I saved some one who needs my help

  • @mattarjaiskel4625
    @mattarjaiskel4625 3 ปีที่แล้ว +1

    My personal values
    1. Ukweli
    2. Nidham
    3. Huruma
    4. Ahadi

  • @BertinMika-fb9bt
    @BertinMika-fb9bt ปีที่แล้ว

    I'm so happy to hear natamani Ni we pastor

  • @dinnahsamwel9607
    @dinnahsamwel9607 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana bro.

  • @anethntulila1627
    @anethntulila1627 3 ปีที่แล้ว +1

    Niwe kiongozi mkumbwa kimataifa
    . Asante Sana ka Joel ubarikiwe

  • @fadyaalikhamis6048
    @fadyaalikhamis6048 2 ปีที่แล้ว

    One among of womam inspiration speaker, na mwanmke aliyejituma kuwanyanyua wanyonge kwa kila hali mfano wa kuigwa kwa wanawake wote wa ndan ya nchi yang zanizbar na nje na kimataifa pia

  • @roi2554
    @roi2554 3 ปีที่แล้ว +2

    #JOEL_NANAUKA
    *WATU WENGI HUWA TUNASUMBULIWA SANA NA WIVU WA KIMAPENZI SO, NINGEPENDA UTUPE ADVICE JINSI YA KUEPUKANA NAO*

  • @williamdigge6940
    @williamdigge6940 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mtu makini na mwaminifu sana kwenye huduma za kifedha ofisini, na kijana mpambanaji pia

  • @RozaliaNathoo
    @RozaliaNathoo 4 หลายเดือนก่อน

    Joel ningependa cku moja nipate muda ili niweze kuongea nawe , kwani nimenufaika si kidogo kwa hotuba unazotupatia, kuna wakati naona kama una roho ilihomuongoza Yesu, unanifundisha na kunifariji,yaani kuna hotuba nimesikiliza jana inayohusu wito ni ulukuwa unaongea namimi moja kwa moja, umenifungua, ulipotuambia tutafutea
    Kusudi la maisha yetu nilijiuliza kusudi langu ni nini, nikamiomba Mungu anisaidie kujua kusudi la maisha yangu, ndio jana nikiwa nimechoka ucku wa saa sita, nikasema acha nisilkilize hata hotuba moja, kweny kutafuta hotuba ya kusikiliza nikaona hiyo ya kufatia wito tulioitiwa ,hotuba ilinipa jibu nikajitambua kusudi la maisha yangu, ninatala nimwambie Yehova aniongoze kulifanyia kz ,kwn nimechelewa kw miaka zaidi ya miaka 15, toka nilipoanza nyuma ya pazia,

  • @bakarilukongo9100
    @bakarilukongo9100 3 ปีที่แล้ว +1

    My personal value I want to teach others help others and care of my self god be with me

  • @clementgabriel1708
    @clementgabriel1708 2 ปีที่แล้ว

    Natamani sana kufanikiwa kiuchumi pia kujulikana kwa kugusa maisha ya watu na haswa walio na uchumi mdogo yaan walio na maisha magumu

  • @mayilanzali-oj2sr
    @mayilanzali-oj2sr 3 หลายเดือนก่อน

    My value wakili mtumwa mwaminifu Kwa MUNGU

  • @robertipagala802
    @robertipagala802 2 ปีที่แล้ว

    Naitaji kusapoti sana mpira maana yake napenda kuwekeza kwenye mpira nataman mpira uwe júu

  • @johntaino6411
    @johntaino6411 2 ปีที่แล้ว

    Uaminifu na upendo hata niikitoweka duniani nikumbukwee zaidi kwa mambo haya.

  • @DieudAmour-yr3iy
    @DieudAmour-yr3iy หลายเดือนก่อน

    Mfanya Biashara Duniani ya mambo ya Electronic na Kuwa Mtumishi wa Mungu kupitia Runinga anaejali Myoyo ya watu iokolewe Na Mungu Anitie Nguvu ili ndoto zangu zitimie

  • @happyemmanuel9198
    @happyemmanuel9198 3 ปีที่แล้ว

    Ningependaa kukumbukwa kwa kuhusikaa na shida za watanzania na watu wengine wa mataifaa na kuwalea na kuwapatia mafunzoo watu wasio na uwezoo

  • @barakacharo5967
    @barakacharo5967 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana ndugu ubarikiwe from kenya

  • @patrickntalasha3956
    @patrickntalasha3956 2 ปีที่แล้ว

    Nijulikane Kama mcha Mungu na mpenda watu

  • @mkamikimelo9268
    @mkamikimelo9268 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nataka nijulikane kama mwalimu mzuri wa ujasilimali wa vitendo,mungu bariki lengo litimie

  • @sylvestermushy7540
    @sylvestermushy7540 ปีที่แล้ว +1

    Mimi Gabriel Charles amede nataka kuwa mwanamziki wa kuigwa na kuhamasisha vijana wenzangu kufocus katika safari ya mafanikio ya maisha yetu kwa msasaada wa mungu naamini tutafanikiwa kwa hali ya juu

  • @thabitasaambarouk5391
    @thabitasaambarouk5391 3 ปีที่แล้ว

    Mwanasheria anae simamia haki,wajibu wa kisheria,wisdom and humanity.

  • @rehemakalumuna6390
    @rehemakalumuna6390 2 ปีที่แล้ว

    MSHAURI mzuri na mtenda hski

  • @daniellaizer2260
    @daniellaizer2260 11 หลายเดือนก่อน

    Me nataka kujulikana kama Sheria katika umoja wa mataifa, kuhusu umoja wa mataifa.

  • @sleyumkhamis5435
    @sleyumkhamis5435 3 ปีที่แล้ว

    Mimi hafidh Tarzan cku nikiondoka hapa duniani nataka nijulikane km mtanzania mcheza Mpira wa miguu niliepata mafanikio makubwa sana duniani Tanzania na afrika 1 nipate tunzo na medali za dhahabu na makombe mingi sana.

  • @enosayuka905
    @enosayuka905 3 ปีที่แล้ว

    Daaahhh napenda Sana kujulikana Kama fund bora na mahiri katika fani yangu ya umeme

  • @user-xb8wu3qb2f
    @user-xb8wu3qb2f 4 หลายเดือนก่อน

    Natamani MUNGU ani tangulie kwa ndoto ninayo itaji kufikiya katika futur yangu, mimi na itaji kuwa mwana siasa ambae nita kae si mamiya ukweli daima mi lele

  • @ismail_4_future.
    @ismail_4_future. ปีที่แล้ว

    I want to be very successful business Man to help My parents My Future wife and My Future childrens.... also to help my younger sisters and brothers..... AND All My family members.....than NATAKA kua MTU ambae nasaidia watu WENYE ulemavu mayatima WATU wasojiweza..... NATAKA niwe mwema Kwa MUNGU WANGU Ili niache alama NZURI.... NATAKA PIA niende mbinguni/ peponi kutokana na alama ntakayoacha diniani.....🙏🙏🙏💯💯💯

  • @mayilanzali-oj2sr
    @mayilanzali-oj2sr 3 หลายเดือนก่อน

    Muimbaji nyimbo za injili. wa kimataifa

  • @meijomakeseni4747
    @meijomakeseni4747 2 ปีที่แล้ว

    Nataka niliondoka hapa duniani natakakujulikana kama, mtu aliepambana mpka akafanikiwa kimaisha nakua tajiri sana,

  • @kuruthumukondo7149
    @kuruthumukondo7149 3 วันที่ผ่านมา +1

    Shukrani kaka❤❤

  • @hellenismail4351
    @hellenismail4351 3 ปีที่แล้ว

    Kwenye imani hapo...umenibariki sanaaaaaaaaa......

  • @racheljohn6961
    @racheljohn6961 3 ปีที่แล้ว

    Nataka nijulikane kama mama mmoja mwenye pesa ambae alisaidia sana watoto na maskin

  • @evodiarutabulura276
    @evodiarutabulura276 3 ปีที่แล้ว +1

    Evo Laurent mtangazaji na mtoa matangazo pendwa TZ na the intermational one..Ee Mungu nisaidie🙏🙏

  • @HELENADANIEL-wx8wm
    @HELENADANIEL-wx8wm 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli Mungu anisaidie sana

  • @jozeelady7334
    @jozeelady7334 3 ปีที่แล้ว +3

    Am happy again see you at the top

  • @dinnamhepwa7415
    @dinnamhepwa7415 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataka nijulikane kwa uimbaji gospel na uigizaji.

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 ปีที่แล้ว

    Umenitoa mbali sana my brother from another mother

  • @macksemuyango6108
    @macksemuyango6108 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka kuwa mfanyabiashara MKUBWA AFRIKA MASHARIKI na DUNIA NZIMA!!!
    Nipo Mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu!!!!

  • @veronicamakenza6199
    @veronicamakenza6199 ปีที่แล้ว

    Mimi nataka nimutumikie Mungu Kwa kadiri Mungu atavyonibariki, na ninahitaji kuwatumikia watu Kwa kulingana na Kazi yangu bila kujali hali zao za kimaisha

  • @hamidaa3886
    @hamidaa3886 3 ปีที่แล้ว

    Asante umezungumza Topic Nzuri sana

  • @dainesimkombo9218
    @dainesimkombo9218 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana kaka mengi nimejifunza kupitia wewe

  • @daniellaizer2260
    @daniellaizer2260 ปีที่แล้ว

    Kaka Joel me nataka nikiondoka hapa duniani nijulikane kama mwanasheria na mwanasiasa na mhamasishaji, Na naomba ushauri wako vip nifocus kweny kipi Moja au vyote vinawezekana naomba jibu mkuu Wang make Niko hapa kwaajli yako

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 3 ปีที่แล้ว

    Kati ya vitu 4 nama 1 napenda kuja kuwa kiongoz katka ngazi yoyote hasa siasa na mtetez wa watu. Na 4 person value yangu ni mtu mwaminifu na mwenye nidham lakn pia iman yangu ninayo. Shukran mr nnauka

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 ปีที่แล้ว

    Napenda. Niwe Mwadilifu

  • @doricedaniel3563
    @doricedaniel3563 3 ปีที่แล้ว

    Napenda kujulikana kam mwalimu bora alieacha maarifa makubwa lwa wanafunzi wake

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana Mwalimu Joel

  • @Yasiniabjadi
    @Yasiniabjadi 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nataka nijulikane kama professional welder🤲🙏

  • @Angel-vx4eh
    @Angel-vx4eh ปีที่แล้ว

    Napenda mafanikio saana. Tatizo mtaji.

  • @user-te6ej9mb3l
    @user-te6ej9mb3l ปีที่แล้ว

    Kaka unakitu kikubwa sana ndani yako mungu akupe maisha marefu na yenye afya njema

  • @jamesngowi2197
    @jamesngowi2197 3 ปีที่แล้ว

    Naitaji kujulikana Mtu mwenye upendo kushauri mwenye tatizo kwa njia sahihi nakutorazau kauli yoyote ya Mtu itokayo kinywani mwake kuja kwangu ni jukumu langu kuisikiliza Na kuifanyia upembuzi sahihi

  • @godlivingkoikan6297
    @godlivingkoikan6297 ปีที่แล้ว

    mimi mahamudu Ramadhani nataka kuwa mtu anayependa kutenda haki kwa watu wote