SIO LAZIMA KIPAJI ILI UFANIKIWE, TAZAMA HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
    • FIKIA MALENGO YAKO KIR... -~-
    Nilichojifunza ni kwamba kuna mambo mengi sana muhimu ambayo ili mtu aweze kufanikiwa anahitaji kuwa nayo, nayo ni bora na muhimu zaidi kuliko kuwa na kipaji tu. Basi somo hili ni muhimu sana hata kwa wale wanaotambua kuwa wanavipaji mbalimbali wanawezaje kujiongezea thamani.
    JINSI YA KUTAMBUA KIPAJI CHAKO : • JINSI YA KUGUNDUA KIPA...
    Fuatilia kwa makini mambo haya saba:
    1. Take responsibility for your life (Tambua maisha yako ni jukumu lako)
    2. Be Organized (Jipange Vizuri)
    3. Learn to take action (Kuwa mtu wa vitendo sio maneno tu)
    4. Learn to network with other successful people (Jichanganye na waliofanikiwa)
    5. Read a lot (Soma sana vitabu)
    6. Persevere (Jifunze uvumilivu)
    7. Pay attention to your health (Jali afya yako)
    Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
    .
    NIFUATE MITANDAONI
    INSTAGRAM: / ezdenjumanne
    TWITTER: / ezdenjumanne
    FACEBOOK: / ezdenjumanne
    LINKEDIN: / ezdenjumanne
    .
    For Business please send me an email
    ezdenjumanne@gmail.com
    Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
    #SuccessPath #EachOneTeachOne #EzdenJumanne

ความคิดเห็น • 93

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  5 ปีที่แล้ว +8

    Asante kwa kufuatilia. Unaweza kujiunga na group langu la whatsapp ili kupata mengi zaidi. Tuma meseji ya whatsapp kwenda namba hii 0759191076. Tukutane kwenye group!!!

    • @chrismassawe326
      @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว +1

      Asant sana mwalimu wangu

    • @deogratiousmerchiory5935
      @deogratiousmerchiory5935 5 ปีที่แล้ว

      Niunge kwenye group lako..0752324496

    • @zuberimanoti665
      @zuberimanoti665 5 ปีที่แล้ว

      Naitwa Zuberi niko kunduchi mtongani Kinondon dar. nahitaji kujiunga na group la whatsap no. 0787852149

    • @njuujera1415
      @njuujera1415 4 ปีที่แล้ว

      Shukran Sana Ezden nakufatilia sana na nimebadilika kwa asilimia kubwa sana. I love you

  • @shabaninamala1727
    @shabaninamala1727 5 ปีที่แล้ว +10

    Thanks broo🙏🙏, Wengi huwa hatu comment but ni Member Wazuri wa masomo yako

  • @shuaibmussa3625
    @shuaibmussa3625 5 ปีที่แล้ว +6

    Kaka Ezden nakupend san umenibadirisha kwa kiasi kikubwa sasa naipa haki dunia yang na akhera yang pia hongera kwa mzazi alokuzaa wallah alizaa chema

  • @thegirl1405
    @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +10

    Daaaa! Somo limeniingia mpaka nimetoka kwenye makelele ya watu nikaenda kusikiliza kwa umakini sana shukuraa brother nimepata mengi kwenye hili somo 💞💞 Ahsante sana brother Allah bless you 🙏 🙏

    • @thegirl1405
      @thegirl1405 5 ปีที่แล้ว +2

      Subhannalah unamiliki mali zote hata sadaka hutoi, ibada mtu anaiona ngumu😥😥
      cku zote napenda kuwa karibu na watu walio nizidi maalifa ili nami niwe kama wao

  • @jescabulimu2107
    @jescabulimu2107 4 ปีที่แล้ว

    Hujambo,nafurahiya masomo yako kila somo unayo fundisha Mwenyezi Mungu akujalie na kuzidishie uendelee kufundisha wasiojua(shule ya ajabu!!!)

  • @monikaxenia5629
    @monikaxenia5629 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana bro umenijenga sana ,mahalia nilikuwa na Kosea ubarikiwe sana na malifa mazuri

  • @allthingsafrican
    @allthingsafrican 3 ปีที่แล้ว

    Mafunzo yako ni mazuri sana! Mwenyezi Mungu akuongezee umri ufundishe wengi zaidi

  • @nkanuliyelaurent6955
    @nkanuliyelaurent6955 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana brother Ezden kwa kazi njema uifanyayo ya kutoa elimu kwa njia hii.Keep heart and move forward.Ubarikiwe

  • @nzeyimanasadiki6531
    @nzeyimanasadiki6531 5 ปีที่แล้ว +3

    From bujumbura Burundi right now im listening to you from south africa you so professional

  • @sss3s867
    @sss3s867 4 ปีที่แล้ว

    Nimekubali pale ulipochangia. Kwamba ukiwa fukara no mtihani,ukiwa maskini no mtihani,ukiwa Tahiti ni mtihani. Sasa ktk umaskini na ufukara pamatakiwa uchambuzi sahihi. Watu wengi wanaona utajibiwa ni kumiliki Mali, lakini kuna kuwa na watoto, afya, maradi, tuseme alhamdulilah ktk kila jambo.

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 ปีที่แล้ว +4

    #ezden nakufwatilia sana ,,,,, nakukubar ,,big up

  • @rajabuabdala2411
    @rajabuabdala2411 5 ปีที่แล้ว +1

    Allh akupe afya njema uzidi kutupa elimu nzuri

  • @gamarsaid8406
    @gamarsaid8406 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali kaka mungu akuongoze zaidi

  • @zainabkassim922
    @zainabkassim922 4 ปีที่แล้ว

    Thank you Allah bless you

  • @swimcoachabel1105
    @swimcoachabel1105 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka asante sana napenda kusoma vitabu unaweza kunisaidia ni vitabu vya haina gani ni vizuri kusoma

  • @tinahosea9930
    @tinahosea9930 3 ปีที่แล้ว

    Thanks so much kwa mafundisho mazuri bro 🙏

  • @mudcoba5416
    @mudcoba5416 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka kwa kunipa muogozo katika maisha ......

  • @johnvicenthmuna5151
    @johnvicenthmuna5151 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana broo

  • @sulejureij3799
    @sulejureij3799 5 ปีที่แล้ว

    Ni muda wa kubadili tabia. The earlier the better. Thanks bro, Allah akulipe kheri

  • @harithbarwany254
    @harithbarwany254 4 ปีที่แล้ว

    Nakubaliana na yote ulosema. Mungu akubariki daima

  • @lailatmussa3881
    @lailatmussa3881 3 ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum Kaka ezden jumanne . Somo ni zuri sana . Mimi ilikuwa nahitaji kujuwa no jinsi gani tunaweza kurekod sauti nzuri

  • @muhsinyahaya4763
    @muhsinyahaya4763 4 ปีที่แล้ว

    Allah akujaalie uwe na moyo uwo uwo brother

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 5 ปีที่แล้ว +1

    Asanteh Kaka mimi niliweza kutambua kipaji changu

  • @shefanasibu7033
    @shefanasibu7033 4 ปีที่แล้ว

    Shukran

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana nimejifunza hatua nyingine

  • @deboramenard1855
    @deboramenard1855 2 ปีที่แล้ว

    Asant sana 🙏🙏

  • @jumamussa9116
    @jumamussa9116 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana kaka
    Kila siku unanizidishia mawazo yanayopelekea kufanikiwa Kwa lazima

  • @matokeomudende3414
    @matokeomudende3414 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana kaka

  • @liberatussylvanus5477
    @liberatussylvanus5477 2 ปีที่แล้ว

    Thenk you kaka ezden

  • @jasminemachake1033
    @jasminemachake1033 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante safi sana

  • @eliaspaul5063
    @eliaspaul5063 5 ปีที่แล้ว +1

    Somo hili nimeelewa sana asante kaka kwa somo zur

  • @ramafrica9016
    @ramafrica9016 5 ปีที่แล้ว

    Asante kwa Elimu dawa....

  • @wemamuss
    @wemamuss 5 ปีที่แล้ว

    Duh somo zuri sana.🙌
    Allah azidi kukubarik kaka.

  • @thecreater4671
    @thecreater4671 3 ปีที่แล้ว

    Nice work brother

  • @Msomiandrew
    @Msomiandrew 4 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa nimejifunza

  • @Muka_26
    @Muka_26 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubar sana braza 🔥🔥 #eachoneteachone

  • @bobowrld9628
    @bobowrld9628 4 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali sana Ezden

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 5 ปีที่แล้ว +1

    NDIO MWENYEZI MUNGU ANAVYOTAKA ..JAHIID KTK KAZI((ASBABU)).NAKUPATA BROTHER

  • @wilfredidangat768
    @wilfredidangat768 5 ปีที่แล้ว +1

    daaa shukrani sana

  • @djcoco_designer5739
    @djcoco_designer5739 3 ปีที่แล้ว

    Vizuri

  • @tatuatut7542
    @tatuatut7542 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi haya mambo ya.hii vidio hata moja siwezi kufanya.hadi mwakani inshaallah.nini nakaapekeyangu.nadhinda pekeyangu toka nimepanda hapa gorofani nimwaka sasa hata nje sijatoka.nimekusikiliza kaka hapa natafuta nauli tu. Nirudi Tanzania.kaka umenitoa gizani tena umeniyoa kwenye kifungo na upofu Wa macho.najutia mudawangu

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 5 ปีที่แล้ว

      Pole 3 usikate tamaa bado dunia inakusubiri

  • @razakimohamed4903
    @razakimohamed4903 4 ปีที่แล้ว

    nakubalii kk

  • @mdtv2625
    @mdtv2625 5 ปีที่แล้ว

    Nice one. Talent never enough

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 5 ปีที่แล้ว +1

    Good boy

  • @felisterdaniel6316
    @felisterdaniel6316 5 ปีที่แล้ว

    Good bless you my kakaaa maana napata vitu adimmm 🙏🙏🙏

  • @emanuelasseri9062
    @emanuelasseri9062 5 ปีที่แล้ว +1

    mafanikio ni jambo la mtu binafsi. Na jambo sahihi ni kujua njia sahihi na kujaki muda.

  • @eliudimwigi8368
    @eliudimwigi8368 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimeisikiliza hii video zaidi ya mara 2. Naipa marks ni moja ya video bora kabisa ktk Channel za TH-cam!

  • @salomemtani5687
    @salomemtani5687 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimejifunza

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 5 ปีที่แล้ว

    very powerful👍

  • @mosesmgunda5955
    @mosesmgunda5955 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @saadarahman7172
    @saadarahman7172 5 ปีที่แล้ว

    Thx

  • @fettyfetty6091
    @fettyfetty6091 5 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @nsikakuamos5279
    @nsikakuamos5279 5 ปีที่แล้ว

    Sawa,kak@ mipango ndio kila kitu,,,,!!!

  • @tatuatut7542
    @tatuatut7542 5 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @awamkhalid5361
    @awamkhalid5361 5 ปีที่แล้ว

    Its true we a not born to play

  • @peterkingili5305
    @peterkingili5305 5 ปีที่แล้ว +2

    Kaka shemima yako. Bro nipo na rafiki yangu kwasasa nikama ndugu yangu tuna hitaji kufungua kampuni yetu. kbs plz nakuomba nisaidie namba yko kwan nahitaji kuongea na ww

  • @braysonzawad4705
    @braysonzawad4705 5 ปีที่แล้ว +4

    Brother naomba uwe mzalendo kwanza kwa kuzungumza na kutufundisha kwa kutumia lugha ya kiswahili maana kuna point za kiingeleza kiukweli wengine hatujasoma so hatuelewi so jitahidi kututafsilia au kuacha kutumia kiingeleza chako

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 ปีที่แล้ว +7

      Really???!!! Niamini mimi, wengi wanafeli kwasababu ya visingizio visivyokuwa na maana. Hili somo point zote nimesema kwa kingereza na kuzifafanua kwa kiswahili. Unashindwa kulichukulia positive kwamba iwe sehemu ya wewe at least kufahamu baadhi ya misemo na maneno ya kingereza??! hii ni faida kwa msemaji wa kiswahili! Jitahidi kuangalia vitu katika upande positive. Nimeamua kukujibu sababu naona kuna somo kubwa litakupitia ukiendelea na hiyo mentality.

    • @kush_kidy97
      @kush_kidy97 5 ปีที่แล้ว +2

      @@successpathnetwork kweli kabisaa

    • @mauamohamedy3796
      @mauamohamedy3796 5 ปีที่แล้ว +1

      Brayson Zawad mhhh

    • @mgallason...5686
      @mgallason...5686 5 ปีที่แล้ว +1

      jamaa yangu bryson zawad inapaswa utambue msemo mmoja kuwa kitabu usichokielewa jua kwamba haujatungiwa wewe Bali yupo atakayekisoma na kukielewa . . . ezden ametafsiri kila alichokiongea binafsi sijasoma Bali nimemuelewa barabara, katika hii dunia epuka sana kulaumu hata pasipo na sababu ya msingi, utafanikiwa kwa mambo mengi sana na utambue msemo mwingine usemao kulaumu ni mchezo mzuri wa wakosaji au wanaofeli. Tafuta kila namna ya kuelewa masomo Kama haya na kuacha kabisa lawama, la sivyo usijiingize kwenye kuangalia video au masomo Kama haya ambayo TANZANIA na watanzania, inayahitaji sana kuliko kuangalia video za muziki au zisizokuwa na mashiko. Achana na chuki binafsi, haisaidii hata Kama EZDEN angetumia lugha KISWAHILI pengine ungekuja na lawama nyingine. penda sana anachokifanya naomba uniamini.

    • @neemalkiswaga6126
      @neemalkiswaga6126 5 ปีที่แล้ว

      @@successpathnetwork Kaka unavyomix na kingereza na unafafananu Kwa kiswahil tunajifunza misamiati mipya ya kingereza so msamehe bure hayuko makin👏

  • @mohammedshali6926
    @mohammedshali6926 2 ปีที่แล้ว +1

    Ezden vp je vp

    • @mohammedshali6926
      @mohammedshali6926 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi nivuvi je nataka kujipaga kufanikiwa

  • @leilamohamed7445
    @leilamohamed7445 5 ปีที่แล้ว

    Kaka naendeleya kupata mafunzo nashukru nimeanza kubadilika nanikweli yafatuwe nasubra. Atasiku izinaamka Niko vizuri sijachoka anashukru nimepata mafunzo naendeleya kusoma ubarikiwe

  • @abdullykapole9617
    @abdullykapole9617 4 ปีที่แล้ว

    Naelewa sana ila nina ombi moja toka kwako kaka kama unaweza kunishauri nishauri nifanyeje????

  • @woltabenadi2184
    @woltabenadi2184 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka unamtengeneza bilionea kesho ninaiva sikubada yasiku

  • @jescabulimu2107
    @jescabulimu2107 4 ปีที่แล้ว

    Shule ya ajabu!

  • @felixlwitiko1481
    @felixlwitiko1481 5 ปีที่แล้ว +1

    Brother shukulani nayaona mafanikio mbele yangu sasa brother kw kubadilika kwanzia leo brother

  • @bilalirashid6267
    @bilalirashid6267 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nahitajia kuwa dactari naanzia wap

  • @saidally2950
    @saidally2950 5 ปีที่แล้ว +2

    ndugu yangu nakuomba sana tena sana ndugu yangu katika imani ezden naomba mawasiliano yako ndugu yangu naomba unipigie au unibipu katika namba hii 0678818359 nina mazungumzo ya muhimu sana nawewe ndugu yangu nakuomba katika hilo au nitumie namba yako nikupigie ndugu yangu.

  • @roberthdismas6493
    @roberthdismas6493 5 ปีที่แล้ว

    kaka najifunza mengi sana kwako

  • @sebastianmtemi4902
    @sebastianmtemi4902 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana bro

  • @ngendakumanasalumdiki4885
    @ngendakumanasalumdiki4885 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana.