Dr. Chris Mauki: Usichokijua kuhusu hisia zako. part 1
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
- Mara chache sana tunayaongelea na kutafuta kujua kuhusu mambo ya hisia. Utamaduni wa kiafrika unazitenga na kuzichukulia poa hisia na ndio maana wengi wetu tunashida ya kihisia. Hapa nakupa mambo nyeti usiyoyajua kuhusu hisia zako na ukiyafahamu utabadilika hakika
Mimi pia nimejifunza mengi kwa kweli kutoka kwa Chanel hii,,,mungu akubariki mtumishi wa mungu🙏much love from kenya
Nashukuru
❤❤❤
asante
Nikweli
Hakika ww ni mwalimu wa kweli 🎉
asante sana kwa kutazama Rafiki
🎉🎉🎉🎉
asante sana kwa kutazama Rafiki
Nimejifunza mengi sana kwako lakin nami ninashida yangu moja bado sijapata majibu naomba unisaidie
Hakika kaka Chris unatufunza sana jamani Mungu akupe umri mlefu
asante sana kwa kutazama Rafiki