Dr. Chris Mauki: Usichokijua Kuhusu Hisia Zako. Part 2.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Mara chache sana tunayaongelea na kutafuta kujua kuhusu mambo ya hisia. Utamaduni wa kiafrika unazitenga na kuzichukulia poa hisia na ndio maana wengi wetu tunashida ya kihisia. Hapa nakupa mambo nyeti usiyoyajua kuhusu hisia zako na ukiyafahamu utabadilika hakika
Ahsante sana Dr Mauki
Thankyu Dr Chris mungu akubariki