Dr. Chris Mauki: Ukiziona Tabia Hizi 3 Ujue Mpenzi Wako Anasumbuliwa Na Wivu Mkali
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Kuna wivu unaovumilika kwenye mapenzi na kuna wivu ambao ni sumu na kero na hauvumiliki kabisa. Mara nyingine wenye wivu wa aina hii wanajificha flani usiwagundue kama wana hii shida. Sasa ukiziona hizi tabia basi gundua kabisa kuwa mpenzi wako anasumbuliwa na wivu mkali. Jua ili mliongee mapema
Nikwel kabisaa brother
Iyo nikweli kabisa Dr Chris ndoa nyingi zina vunjika because iyo tabia ya kuchunguza sana na kulazimisha mtu akubali kosa ambalo haku lifanya
😂😂😂jaman jaman,,,,umenigusaa n hyu mtalak wangu subhana llah yaan had kero
Uwiii jaman
Yaan wangu ana dalili zote hadi unachoka kabisa😭😭
Yaaan doc.. Pumbavu zake nimemuacha aliniweka roho juu cna Amani in 18 years kweny ndoa too much
Umenigusa kwakweli
Vitabu napataje na bei zikoje
Jamani umenigusa kabisa 😂😂 daah
😂😂😂umegusa penyewe ila shida ni anaumia mwenyewe
😅
@@jessicamasepo8320 ni hatari yani maana atakufa stress asipoangalia ila Mungu amsaidie
Mbn huo ni uchawi sasa ukpt mtu wahivo bora kumtoa kafara 😅😅