Dr. Chris Mauki: Siri Za Wapenzi Wanao Dumu Pamoja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @Johndestar470
    @Johndestar470 5 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera Sn Dr. Chris Mauki 👏👏👏👏👏 Ushauri Mzuri Mnoo

  • @JENITHANESTORY-xk4lp
    @JENITHANESTORY-xk4lp 3 หลายเดือนก่อน +4

    Asanteeee sana nmejifunza Mambo mengi kutoka KWako doctor , Mungu akazidi kukubariki sana na akuinue ili ukawahudumie watu wengi zaidi

  • @GraceMsomah
    @GraceMsomah หลายเดือนก่อน +1

    Ahasante sana nashukuru

  • @HusnaIyavu
    @HusnaIyavu 20 วันที่ผ่านมา +1

    ubarikiwe sana

  • @AhamedAl-y4b
    @AhamedAl-y4b 3 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kwa somo lenye mashiko kwa kweli daa

  • @JulithaGasper
    @JulithaGasper 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana dr mauki mungu azidi kukubariki

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 3 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana mwalimu wangu

  • @StellaStella-z4e
    @StellaStella-z4e 3 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah shukuran cna

  • @ChristinaPaulo-z5i
    @ChristinaPaulo-z5i 3 หลายเดือนก่อน +7

    Atakae soma sms nakuambiaje kam unaakili timamu njoo tufanye haya anayoyasema chriss maana ni ya kwel ila wanaume wengi hawayafanyi

  • @RahimMduwile
    @RahimMduwile 3 หลายเดือนก่อน

    Daaaaa umetisha San mwalim

  • @MerveilBalume-p8z
    @MerveilBalume-p8z 3 วันที่ผ่านมา +1

    " KUTOMBWA MAAANAKE NINI????

  • @monicaawino3916
    @monicaawino3916 3 หลายเดือนก่อน +5

    Niko darasani mwako,lli niweze kudumu na Mme wangu

    • @ChristinaPaulo-z5i
      @ChristinaPaulo-z5i 3 หลายเดือนก่อน +7

      Yaan apa lazm na yy ajifunze huez Fanya Kila kitu ww au Kila cku usem ww hainogi na utachoka

    • @gellefaroolemahamed8964
      @gellefaroolemahamed8964 2 หลายเดือนก่อน

      😂mwaka wakumi sijaambiwa nakupenda na najihisi umpweke😢😢😢 siko mke niko niko ti

    • @ChristinaPaulo-z5i
      @ChristinaPaulo-z5i หลายเดือนก่อน

      @@gellefaroolemahamed8964 Amna namna ukitaka mtu akupende jipende ww kwanza af ucmfatilie fanya mambo Yako yaan atarud mwenyew

  • @MwanahamisiMatimbwa-i8j
    @MwanahamisiMatimbwa-i8j 3 หลายเดือนก่อน

    Dah basi tu❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @angelmunuo
    @angelmunuo 3 หลายเดือนก่อน

    Asantee dr

  • @annajackson5245
    @annajackson5245 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ani saidie, nilikuwa hivyo kwa mume wangu aka nambia me napenda mapenzi sana kukiko kazi yake. Nyie kwenye vyote hivyo hata kimoja hakuna kati yetu😢😢. Najitahidi kufanya kama mke ila naonekana msumbufu. Juma tatu ha ijumaa anaweza ondoka asubuhi saa 2 asubuhi kurudi saa 4 usiku. Weekend sasa anatoka saa 4 asubuhi kurudi ni saa 6,7,8,9 usiku. Aiseee nashindwaga kumuelewa. Nyie acheni ninyamaze. 😢😢

  • @BechoullaVanina
    @BechoullaVanina หลายเดือนก่อน

    Asante san😢😢😢😢😢😢

  • @Dorcusmosha
    @Dorcusmosha หลายเดือนก่อน

    Mafundisho mazuri

  • @mussaomary6626
    @mussaomary6626 14 วันที่ผ่านมา

    Wangu kumwambia nakupenda Wala.hashituki Wala nini

  • @faridapetro
    @faridapetro 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo ni pointi za wazunguu!!

  • @JosephaKigava
    @JosephaKigava 3 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 3 หลายเดือนก่อน

    Assntee nimejufunza

  • @NZAMUYEJoseph
    @NZAMUYEJoseph 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wao

  • @MarthaGeay-qm4ob
    @MarthaGeay-qm4ob 25 วันที่ผ่านมา

    Mapenzi shikamoooo😂

  • @devothangelezya7029
    @devothangelezya7029 3 หลายเดือนก่อน

    Umenifundisha mengi nakukubalu

  • @eliastanda9825
    @eliastanda9825 2 หลายเดือนก่อน

    Vtu vyote navifanya kwa mpenzi wangu ila nilikua sijui

  • @kaizamulinda633
    @kaizamulinda633 19 วันที่ผ่านมา

    Hii yote ni baada ya kiwa wazungu. Natural african husband anakuwaga kimya, anasalimiwa na mke, anaombwa msamaha, anakaa sebureni anaangalia TBC na aridhio ikiisha Tv inazimwa

  • @bhukorimulimba8855
    @bhukorimulimba8855 2 วันที่ผ่านมา

    me nina mahusiano allways mim ndo namtafta kila siku ukimwambia umechange anasema hapana sjabadilika ukimwambia hv n mahusiano gan ata kutamta mwenzio hakuna ety oooh now days nmekua mvivu jaman yaan kila siku nalia ila saiv najifunza kutomtafta inafika time nafuta adi kila kit chake akikutafta anakuomba samahan coz unampenda unamsamehe lakn after few days anarudia yale yale

  • @joycemsangi
    @joycemsangi หลายเดือนก่อน

    Docta upo wp

  • @LearnwithMadamnaomi
    @LearnwithMadamnaomi 3 หลายเดือนก่อน

    Nime mwambia nampenda atulie akisafir kikaz tu akafika alipo sms anijibu nikisema nakupenda hajibu Teena , alikua anatuma sms ucku ata akistuka usingizin , ila kwa sasa akisafir kikaz huko mkoan ajibu akiwa njian kurud ndo anjisemesha Mke narud Mke mke😢 ., nampenda ila mmmh nais kapata aliemtaka mi ilitokea tu , kaka Mauki mmh nime chemka

  • @AishaOman-qz7tn
    @AishaOman-qz7tn 3 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂 bas huyu kiumbe wangu ni kwa siku anaeza sema ata mala 100 adi nilikuwa naona huyu tapeli kumbe ni sahihi woiiiii😢 wacha nijilekebishe sasa maana mtto wa watu anajitahid jaman mim sasa mmmmh 😂

    • @khaney-de-joance
      @khaney-de-joance 3 หลายเดือนก่อน +1

      😊

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂​@@khaney-de-joance

    • @gellefaroolemahamed8964
      @gellefaroolemahamed8964 2 หลายเดือนก่อน

      Unabahati mimi mwaka wa kumi naona napoteza mda wangu nimechok

    • @AishaOman-qz7tn
      @AishaOman-qz7tn 2 หลายเดือนก่อน

      @@gellefaroolemahamed8964 sasa unachokaje na ndo upendo

    • @hildamarua3112
      @hildamarua3112 หลายเดือนก่อน

      Hongera dear

  • @Mnyalu94
    @Mnyalu94 3 หลายเดือนก่อน +13

    Mimi nilimuuliza kwanin amepunguza kuniambia ananipenda, akaona namletea utoto.. madhara yake yalizidi kuwa makubwa hadi sasa tumeachana 💔😂

    • @filomwageni4333
      @filomwageni4333 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅

    • @Mnyalu94
      @Mnyalu94 3 หลายเดือนก่อน

      @@filomwageni4333 mapenzi bhana we acha tu 🤣

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 3 หลายเดือนก่อน +1

      Oh! Pole aisee dah! Wengine wanasemaga mapenzi hayana formula.

    • @rosemichael7287
      @rosemichael7287 3 หลายเดือนก่อน +3

      Tulioachwa baada ya kuuliza unanipenda 😂😂😂

    • @Mnyalu94
      @Mnyalu94 3 หลายเดือนก่อน

      Yaani, ni huzuni kwakweli 🤣

  • @RebeccaJoseph-sd4kh
    @RebeccaJoseph-sd4kh 2 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kitabu

  • @gabrielygodfrey7815
    @gabrielygodfrey7815 3 หลายเดือนก่อน

    Mwl nipo nawew

  • @janenkhwazi2457
    @janenkhwazi2457 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndinayo anavuta bangi na sigala na pombe kwangu nilishampiga marufuku kunipa kiss

    • @khadijaacute
      @khadijaacute 3 หลายเดือนก่อน

      Uwiiiiiiii🤣🤣🤣hutaki kiss of love😮😮

  • @RaheliPaskali
    @RaheliPaskali 3 หลายเดือนก่อน

    sas mbn mm namutafuta ila yy hanipigii ukipiga sm hapokei kwa wakati na nina miaka kumi na nane

  • @priscerjohn5788
    @priscerjohn5788 3 หลายเดือนก่อน

    Yote hayo alipata lakin ego yake ikawa juu sana.plus magonjwa Yale aaaaah nkapak gari kando ya Barbara

    • @marymarion8518
      @marymarion8518 หลายเดือนก่อน

      Wangu jamani ana kiburi duh😂😂

  • @ZenJk-p9t
    @ZenJk-p9t 24 วันที่ผ่านมา

    😅

  • @WitnesMaiko
    @WitnesMaiko 3 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉

  • @Tadeo-s4h
    @Tadeo-s4h 3 หลายเดือนก่อน +4

    Siku zote vitu vidogo vidogo ndo huwa vinadumisha mahusiano tatizo wajinga wengi hawaelewi hilo

    • @gellefaroolemahamed8964
      @gellefaroolemahamed8964 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli mimi hayupo romance hata kidogo ndoma nikiambiwa umependeza na mume mwingine mwili unasisismuka😅😅😅kwasababu wangu hasemi ivo ndoa mwaka wa 10 sasa

    • @hawaaseif2862
      @hawaaseif2862 25 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅​@@gellefaroolemahamed8964

  • @agnespaulo3996
    @agnespaulo3996 2 วันที่ผ่านมา

    Asante