Through your channel nimeweza kufanya maamuzi magumu ya kumove on baada ya kupoteza miaka 8 kasoro pasipo ndoa , hii channel imeniwezesha kujitambua na kutambua hali halisi ya mahusiano niliyokuwa nayo, barikiwa sana Dr. Endelea kuwasaidia wengine
Dalili za mahusiano feki 1.don't waist ur time 2.toxic relationship 3.mahusiano yoyote yanawagarimu wote wawili 1)shida kwenye mawasiliano yenu 2)anaonyesha kukupenda mbele za watu kuliko mkiwa wenyewe 3)unahisi ubutu wa mahusiano yenu hakuna amazing feeling 4)mahusiano yako yanakufanya confused and frustrated bora uwe na dilemma kwenye vyote si mahusiano yako 5.hakuna mazungumzo ya kawaida unaogopa kuongea lolote 6.ushindani mwingi mnashindana zaidi ya kuendana See humans before marriage you want pole approval or ur safety 5) 4)
Mimi huwa naanza mahusiano, lakn nikiumizwa au kukumbushwa aisee huwa piga chini, lakni kwa hii somo I have to change na sasa namwomba Mungu anijalie wa ubavu wangu.
I don't know what I was exactly looking for when this was recommended to me, but I'm sincerely grateful that I am helped, very insightful and educative. There's a very difficult decision I'm about to make😢😮
Doctor Chris nimependa somo lako ingawa nimechelewa kupata mwanga tokea mwanzo ,,,niko kwenye mahusiano ambayo siyaelewi tuna miaka miwili lkn niko na mwanaume ambae simjui rafiki ake hata mmoja na always he says he misses me lkn am the only one paying him a visit nikimuuliza anasema someday atafanya something big ,,I just don't feel love and trust to him ,when am with him its only a sexual way
@Aiseee kumbe nilikua kwenye giza nene sana and sometimes naona dalili zote lkn sikuwahi kujidadavua,nadhani this time ntaweza na kulea watoto wangu,Nimekusikiliza vizuri sana Dr shukrani
Exactly Dr I feel so tired in my life so longtym,,,,,good point lkn mwisho nilijiondoa kwenye usiano huo Dr it's true be blessed keep it up ur lesson teaching
Daah kwa mara ya kwanza leo nimepata nafasi ya kusikiliza somo lako hakika kuna vitu nimejifunza 🙏🙏 barikiwa sana asilimia 90 ya maneno yako ndio tunayoyaishi kwenye mahusiano lkn wengi tunaishi kwa dhana potofu yakusema #ATABADILIKA pasipo kufaham kipindi unachosubiri mabadiliko yake ndo kipindi ambacho yey anakupotezea muda na njia ya maisha yako.
Mungu akubariki sana Dr Chris, japo nimechelewa kuliona hili somo ila nimejifunza, nimetoka kuachana na mtu wa hivo yan kilakitu ulichosema alikuwa ivo,
Thank you for this lesson aky 😢😢😢 kutoka leo nimeacha mtoto wa wenyewe .11/2 yrs cjapelekwa introduction have turn 31 yrs.tukimet hakuna kitu huwa nambiiwa about marriage has not put things in order ni complain za doh kila saa no kasonge kasonge God bless me with another man plz 🙏
@@ChrisMauki1Dr mimi mahusiano yangu yana miezi 2 lkn uyu mwenzang ni mzito sana kweny mawasiliano saw kwa siku anaweza akanipigia au mesg asubuh lkn hata haniuliz ulizi pia hanihudumii , yani kweny kuwqsilian mpk umwambie mi napendq unifanyie iv , uniulize nimekul nn, unambie umefika salama yani yupo serious sana asa penz halielewek ni jipy au laa
Daaaah!!! Shukrani sana kwa somo zuri mno. Nimejifunza mengi na dalili zote zilikuwepo kwenye mahusiano yangu yaliyopita ila ninamshukuru Mungu nimejitoa mapema japo ilikuwa ni ngumu kwangu kijitoa. Barikiwa mno dr.chris🙏🙏
Ndio, nimeshafanya hivyo ondoa hofu. Nafurahi kwa masomo yako ni imani yangu tukisikiliza na kuzingatia kwa vitendo hakika maisha yatakwenda vizuri kuliko tunavyotarajia. Barikiwa mno kiongozi wetu kwa jamii nzima.
Asanty sana kwa haya mafunzo,,,nimejifunza mengi sana haya matano yote yako kwenye mahusiano yangu,,,nashindwa chakunya,,lakini kupitia haya mafunzo itabidi nijitoe mapema kuliko ningoje when it's too late...be blessed...
Mafundisho yako mazuri nilikua najua mwanaume wangu sio MTU sahihi kumbe nilikua tofauti umenisaidia sana anasifa zote japo ana hasira sana ilanimwepesi sana kuomba msamaha hata kama kosa nilangu anapenda sana suluhu
Asante mutumish kwa neno lako umenisaidia San umenifungua akil yang kwasabab mtu niliy nay nimeshoka na mambo yake tukigombana tu ana niambiy nenda Sina shida na wew ulizani upo wew tu kiukweli ana maneno ya Kashif mba San
😭😭😭 upo upo tu ucdhan km ucpokuwepo mambo yng hayataenda. Cna aman hebu tafuta pahala uwende nipumzishe akili yangu ni lashfa juu ya kashfa ndugu tunateseka sana ndugu tunaish na watu ambao hawaon thaman zetu
Ndoa yangu ulikuwa ya kukatisha tamaa nilimpenda Sana mme wangu,niliposikia haha nilichukua hatua! Pole pole,nilimtoa moyoni na kuendelea na Maisha,Asante Sana,
Sir thank you so much, nimetoka kilia dk chache nyuma baada ya apo nikaingia apa. Kwakweli nimepata jibu I need to move on, may God continue to bless you sir. 🙏
Ndo yanayonikuta nilimtegemea kuwa baba wa watoto wangu lakini kwa Sasa yameshapoteza muelekeo,tunaweza kaa miezi kadhaaa bila mawasiliano .unafiwa ajali hata chembe,Mungu tusaidie nyakati ngumu hizi kumpenda mtu usiyeuona moyo wake
Through your channel nimeweza kufanya maamuzi magumu ya kumove on baada ya kupoteza miaka 8 kasoro pasipo ndoa , hii channel imeniwezesha kujitambua na kutambua hali halisi ya mahusiano niliyokuwa nayo, barikiwa sana Dr. Endelea kuwasaidia wengine
The same here
Miaka nane n mm naona tano kaa mingi
Mm miaka9 looh🙄
Mimi mwaka na nusu ila nilikoma
😢😢😢😢
Dalili za mahusiano feki
1.don't waist ur time
2.toxic relationship
3.mahusiano yoyote yanawagarimu wote wawili
1)shida kwenye mawasiliano yenu
2)anaonyesha kukupenda mbele za watu kuliko mkiwa wenyewe
3)unahisi ubutu wa mahusiano yenu hakuna amazing feeling
4)mahusiano yako yanakufanya confused and frustrated bora uwe na dilemma kwenye vyote si mahusiano yako
5.hakuna mazungumzo ya kawaida unaogopa kuongea lolote
6.ushindani mwingi mnashindana zaidi ya kuendana
See humans before marriage you want pole approval or ur safety
5)
4)
Aki nilkua na stress ya mausiano yangu lkin after kuskiza haya maubili am okay and I know what to do now thank you so much God bless you
DO NOT IGNORE RED FLAGS.
This is so true ni vile huwa tunakaza ubongo
Mimi huwa naanza mahusiano, lakn nikiumizwa au kukumbushwa aisee huwa piga chini, lakni kwa hii somo I have to change na sasa namwomba Mungu anijalie wa ubavu wangu.
Hapa ni msumari lakini nimepata jibu yaani shindano inadunga kwa mfupa direct ♡
Asante sana
@@ChrisMauki1 kaka na utajuaje kama uko mkwenye mhusiano sa hii
@@elizabethmwabaya6905vise versa ya hizo dalili fek ndio...dall sahh
@@ChrisMauki1Umeniokoa sana kaka,barikiwa sana
Asante sana ubarikiwe na Mungu mapenzi yametup shida kwa kweli
Barikiwa sana doct chris nimejifunza kitu kupitia mafundisho yako mazuri
Asante sana Dr. Chriss umeniongezea maarifa...Mungu akubariki sana
I don't know what I was exactly looking for when this was recommended to me, but I'm sincerely grateful that I am helped, very insightful and educative. There's a very difficult decision I'm about to make😢😮
Naam Dr nathibitisha sasa kwa somo lako hili kuwa nipo na mtu sahihi kwa ndani ys miaka 37 ya ndoa..shukran saaana Dr
Asante sana kaka CRIS kwakweli unatuelimisha saana ,Mungu akubarik naomba taaratibu za kukuona live kiushaur Nasaha.
Daah! Doctor Chris kiukweli somo la leo limenigusa Sana dah Kila kitu kipo hivyo barikiwa Sana Kaka angu
asante sana
Asante sana
@@ChrisMauki1 daaah! Mch kiukweri haya yapo baba nimetendwa Sana mpaka nikakoswa mwelekeo.
Nikweli vijana tunapaswa tujitambue ili tufikie malengo
Doctor Chris nimependa somo lako ingawa nimechelewa kupata mwanga tokea mwanzo ,,,niko kwenye mahusiano ambayo siyaelewi tuna miaka miwili lkn niko na mwanaume ambae simjui rafiki ake hata mmoja na always he says he misses me lkn am the only one paying him a visit nikimuuliza anasema someday atafanya something big ,,I just don't feel love and trust to him ,when am with him its only a sexual way
@Aiseee kumbe nilikua kwenye giza nene sana and sometimes naona dalili zote lkn sikuwahi kujidadavua,nadhani this time ntaweza na kulea watoto wangu,Nimekusikiliza vizuri sana Dr shukrani
It's first time but I understand alot but be blessed man of God
I am seeing this after a year but am not regretting at all,be health,stay blessed THANK YOU SO MUCH🤝
Aki nimepitia kila kitu 😢😢I date for 4yeras na tukawachana
Wow! Wow! Wow! Asante sana Doc,... Hakika Mb zangu hazijaenda Bure.
Mwenye sikio na asikie.
God bless you sir.
Shukran Shukran Shukran Shukran sna Allah akulipe kheir
Shukran Kaka kwa somo lako maan umeniondoa kwenye kiza nilichofichwaa
Wow I get dhis link today...thankyou Jesus kwa kupatana na mutumish wako anayefuza watoto wako maneno matamu hivi🙏🙏🙏God bless u mutumishi.....
Exactly Dr I feel so tired in my life so longtym,,,,,good point lkn mwisho nilijiondoa kwenye usiano huo Dr it's true be blessed keep it up ur lesson teaching
Daah kwa mara ya kwanza leo nimepata nafasi ya kusikiliza somo lako hakika kuna vitu nimejifunza 🙏🙏 barikiwa sana asilimia 90 ya maneno yako ndio tunayoyaishi kwenye mahusiano lkn wengi tunaishi kwa dhana potofu yakusema #ATABADILIKA pasipo kufaham kipindi unachosubiri mabadiliko yake ndo kipindi ambacho yey anakupotezea muda na njia ya maisha yako.
😭😭😭true
Sana kupoteza muda atabadilika wapi mpk unazeeka ndoa unakumbuka kama hiki choo sicho
Mungu akubariki sana Dr Chris, japo nimechelewa kuliona hili somo ila nimejifunza, nimetoka kuachana na mtu wa hivo yan kilakitu ulichosema alikuwa ivo,
God bless you 🙏🏼
Mungu tu atusaidie nimeumia sana sikujua haya yote
Asantee saana Dr umenifungua kwel mungu akubariki
BABA NIMEKUBALI YAACHE YAENDE HUYU ENGINEER AMENIUMIZA SANA MWACHE AENDE 🙏
Asante Sana Dr nmeelewaa Asante mungu Asante kwa Somo zurii kabisa 🙏🙏🙏 tuokoe vijana
Thank you for this lesson aky 😢😢😢 kutoka leo nimeacha mtoto wa wenyewe .11/2 yrs cjapelekwa introduction have turn 31 yrs.tukimet hakuna kitu huwa nambiiwa about marriage has not put things in order ni complain za doh kila saa no kasonge kasonge God bless me with another man plz 🙏
Makanisa yanajitahidi sana kulea watu wake Mungu azidi kuwapa mafunuo.
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1Dr mimi mahusiano yangu yana miezi 2 lkn uyu mwenzang ni mzito sana kweny mawasiliano saw kwa siku anaweza akanipigia au mesg asubuh lkn hata haniuliz ulizi pia hanihudumii , yani kweny kuwqsilian mpk umwambie mi napendq unifanyie iv , uniulize nimekul nn, unambie umefika salama yani yupo serious sana asa penz halielewek ni jipy au laa
@@angelherman6690 Achana nae
Move on. @@angelherman6690
Uishi miaka mingi ukomboe nafs za watu #Smart mind✍️🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana Doctor kwakutufumbua masikio ya ndani na yainje naakilizetu pia barikiwa sana , mdau mpya
Asante mtumishi kila atua unayo pig unaenda kujenga mwenyez mungu akubalik
Kwa Sasa nipo kwenye mahusiano sahiuo😍 thank God .naomba Mungu isibadilike
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@@ChrisMauki1 mtumishi umenikosha mno na kunifumbua macho
Very true Dr .chris God bless you
Nimejifunza kitu ,asante sana
duuuuh dalili zote zipo kwenye mahusiano yangu. duuuuuuh mungu asante kwa kunionyesha mapem
Hahahaaaa hahaa
Ubarikiwe mno mtumishi wa mungu
Asanti sana barikiwa kwa kweri nimeyapitia....narcissistic people are most wost throug this channel i will heal.
Daaaah!!! Shukrani sana kwa somo zuri mno. Nimejifunza mengi na dalili zote zilikuwepo kwenye mahusiano yangu yaliyopita ila ninamshukuru Mungu nimejitoa mapema japo ilikuwa ni ngumu kwangu kijitoa. Barikiwa mno dr.chris🙏🙏
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
Ndio, nimeshafanya hivyo ondoa hofu. Nafurahi kwa masomo yako ni imani yangu tukisikiliza na kuzingatia kwa vitendo hakika maisha yatakwenda vizuri kuliko tunavyotarajia. Barikiwa mno kiongozi wetu kwa jamii nzima.
Kazi kweli
Ebu nambiee vip ulifanya
Ubarikiwe kwa somo lako nimejifunza niliko na nitakapoelekea Kama kijana
Asanty sana kwa haya mafunzo,,,nimejifunza mengi sana haya matano yote yako kwenye mahusiano yangu,,,nashindwa chakunya,,lakini kupitia haya mafunzo itabidi nijitoe mapema kuliko ningoje when it's too late...be blessed...
Nimejifuza kitu na kuazia leo mausiano hayo ninayo ila inabidi niachanenayo
Mafundisho yako mazuri nilikua najua mwanaume wangu sio MTU sahihi kumbe nilikua tofauti umenisaidia sana anasifa zote japo ana hasira sana ilanimwepesi sana kuomba msamaha hata kama kosa nilangu anapenda sana suluhu
Ongera sana
Mshukuru Mungu
Asante sana pastor MUNGU akubaliki
Asante kwa kunifungua akili yangu...... ubarikiwe sanaaaaaaa....
Duuuu aiseee Mungu akubaliki sana sana somo nzuri
asantee sanaa mtumish. mungu atusaidie katka kutafakar
Nakusikilizaga mara nyingi nakuelewa sana ila Huwa sicomment , but for today let me say Thanks for the lesson unaongea fact
Allahamdulilah na kushukuru sana MUNGU akuzidishie🤲🤲🤲🤲
Asante mutumish kwa neno lako umenisaidia San umenifungua akil yang kwasabab mtu niliy nay nimeshoka na mambo yake tukigombana tu ana niambiy nenda Sina shida na wew ulizani upo wew tu kiukweli ana maneno ya Kashif mba San
😭😭😭 upo upo tu ucdhan km ucpokuwepo mambo yng hayataenda. Cna aman hebu tafuta pahala uwende nipumzishe akili yangu ni lashfa juu ya kashfa ndugu tunateseka sana ndugu tunaish na watu ambao hawaon thaman zetu
Amen, amen and amen.
You opened my eyes.
This is my message Man of God.
May God bless you
mungu akubariki mtumishi.
Ndoa yangu ulikuwa ya kukatisha tamaa nilimpenda Sana mme wangu,niliposikia haha nilichukua hatua! Pole pole,nilimtoa moyoni na kuendelea na Maisha,Asante Sana,
Uliwezaje dadaang maana dah
Utaweza
Asante sana nimejifunza ya hayo ndo maisha yangu niyoishi jaman
Ubarikiwe sana mtumishi
You have touched my heart Dr i feel so pain in my life🙏
Yani mm baba, sina bahat kabisa, nimeamua kuacha kuamin kwamba kuna mtu atakuja kunipenda, yani sijui hatima ya mahusiano kwenye maisha yangu, 😢
Duh! Kwa dalili mbili nimegundua niliwah ishi kwenye mahusiano miaka 10 lkn namshukuru Mungu hatupo pamoja tena
Before anything ask God he will bring right person to you
Ubarikiwe sana mtumishi nimeelewa niko upande upi leo
Ubarikiwe sanaaa mtumishi
Dr.You make me happy.Do you?Keep it up.Am not belonging to your church.
Sir thank you so much, nimetoka kilia dk chache nyuma baada ya apo nikaingia apa.
Kwakweli nimepata jibu I need to move on, may God continue to bless you sir. 🙏
Sijui nisemeje Ila umenisaidia Sana Mungu akubariki
Nimejifunza nimekusikia ubarikiwe sana🙏🙏
Mafundisho mazuri Dr Chris God bless you ❤so much
That's why you talk true dr.balikiwa kwa ushauli wako mzuli🙏🙏🙏
Nmependa somo lako pastor barikiwa xana
Daaa sijachelewa sana kujifunza SoMo hili. Barikiwa kaka
Ahsanteh Sana Engineer mauki
Nimekupata vyema mtumishi, Barikiwa.
Woow thank you Dr. Nmejifunza mnoo,,action zifate sasa
Asante sana sana. Pls usisahau kusubscribe
True that man of God you have helped me a lot, am leaning more 🙏🙌
Asante Dr ...somo zuri sana,Nazidi kujifunza,Ubarikiwe sana.
Ahsant San kak crs
Ahsante Dr. duuh !!!
Nimejifunza mengi,Barikiwa
Na mara nyingi wadada smart, warembo wenye kumjua Mungu ndio wanaangukiaga wabaya aise. Nshaona zaidi ya mahusiano lukuki
Asante sana umenijenga Mungu akubariki mm nlikuwa vitim wa love fake sasa nimefunguka macho...
Amen ubarikiwe Sana brother hakika nimejifunza kitu kwenye somo lako🙌🙏🙏
Woow hayo mafundisho ni matamu sana, I love it
Ameen unenigusa sna mtumishi halafu umenifumbua
Ni kama umenigusa,sana umenifundisha jambo nzuri sana ,for thanks for good advice
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU,tunajengeka kiroho na kimwili🙏🙏🙏🙏🙏😍
Mungu akubarik
Asante kwa ushaur mzur nime upenda
Ubarkiwe sana krish mwenyezi Mungu akuzidishie zaid na zaid katika mafundisho Amina
STRONG VOICE MAN
Father mimi ni muislamu lakini nimeona video zako 3 umeongea exactly kile nime pitia na ninacho pitia saa hii.kweli ni mwana sykologia asante
Nakupenda bur Baba nipo kwenye mausiano bora💕💕💕💕💕
Barikiwa, umenifrahisha kwenye mfano, wa sungura,.. watu wanakua serious jmn khaa
Asante Dr umenifungua
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu kw mafunzo mazuri
Huo ni ukweli kabisa kakaangu ubarikiwe sana
Kwakweli ili somo langu kabisa Mana mausiano yangu sielewi kabisa unatuma sms unajibila kwa shida asanteee MUNGU umanifundisha
🤣🤣🤣
😂😂😂 Tupo weng
@@emmanuellawikimathi5004 Yani shida 😭
Vry true I like the topic
Ndo yanayonikuta nilimtegemea kuwa baba wa watoto wangu lakini kwa Sasa yameshapoteza muelekeo,tunaweza kaa miezi kadhaaa bila mawasiliano .unafiwa ajali hata chembe,Mungu tusaidie nyakati ngumu hizi kumpenda mtu usiyeuona moyo wake
Kwa kweli hili ni changamoto sana sjui tunaelekea wap mambo ya dgtal yameharibu sana kwa upande mwingine bas tu
Pole sana tedy
Shukuru Mungu
Duh! Big up paster ukwel umezungmza kimetukaa ila umetufunza
Nabarikiwa san dr unanitia moyo na kujifunza mengi kupitiaa wewe
Amiiiin dr. Umetufungua wengi
Imenigusa sana somo zuri muno kwakwel ubarikiwe mutumishi
????
Wow Ni Mara ya kwanza kuskiza clip zako Na nimefundishika sana sana
😢 ubarikiwe Dr chris ❤🎉