Mambo Matano (5) Ya Kufanya Uweze Kuwa Kiongozi Mzuri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2019
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 81

  • @kakekofarniture.5375
    @kakekofarniture.5375 5 ปีที่แล้ว +24

    Kama unamkubali koching wetu konga like kwangu.

  • @leonism_tz
    @leonism_tz 5 ปีที่แล้ว +4

    Kaka asante sana, your the best life coach and public speaker in this country, God bless you, Your future is Good

  • @mathewmwangomba8776
    @mathewmwangomba8776 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante kwa somo nzuri..
    -Kwa kiongozi pia uwezo wa kubaini yaliyo muhimu na yasiyo muhimu..
    -Pia napenda kiongozi awe na uwezo wa ufanisi wa kutenda kazi.
    -Napenda kiongozi wangu awe na dhana ya kujifunza kwa kupitia kwenye timu yake anayo ongoza.
    NOTE: Itakuwa vizuri kama mwisho wa somo lako utaweka jinsi ya kupata vitabu vyako au unaweza kuweka link ya jinsi ya kupata vitabu vyako.

  • @meshackngadango6855
    @meshackngadango6855 5 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana kwa somo zuri
    SEE U AT THE TOP!

  • @MwambaDidier-wq4qu
    @MwambaDidier-wq4qu 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ubarikiwe
    Ungetuba mifano katika maandiko,kwa neno la Mungu hayo mambo Maine jambo la kwanza pekee ndio umetupea mfano wake kuhusu baba mukwe wa Moses aliye mushauria kugawa jukumu kwa watu wengine.

  • @mohamedimbaga6583
    @mohamedimbaga6583 5 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 ... nahitaji tupate mada ya ^life after campus ^ mean college in relation ya kujiajiri na uhaba wa ajira asante
    Utanisaidia sana boss

  • @msleny6767
    @msleny6767 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa funzo nzuri kaka, kuwa na uwezo wa kusikiliza wengine ni muhimu sana kama kiongozi manake ndipo unapo jifunza maombi mapya kwa wadogo wako, huu umenisaidia sana kupata suluhisho katika mambo mengi maishani na katika mahali pangu pa kazi👍👍

  • @alihassanhaiba6937
    @alihassanhaiba6937 5 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana kaka Joel kwa kunipatia elimu kubwa kama hii ,katika maisha yangu ninayo ndoto ya kua kiongozi bora na si bora kiongozi

  • @brianisack7673
    @brianisack7673 6 วันที่ผ่านมา

    Asante be blessed

  • @ukhtyhalimasubscribedismai6497
    @ukhtyhalimasubscribedismai6497 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli hiyo tabia IPO MTU anaweza kuekwa kiongozi katika kazi akajisifu Sana na kusema boss kaniweka niwe kiongozi coz najua kumbe anajiharibia

  • @gwakisamagaga5298
    @gwakisamagaga5298 ปีที่แล้ว

    Mr. Joel N, i appriciate your commitment.you see what others do not see, keep moving🏃🏃

  • @mwl.peterhebroncitymjiwama598
    @mwl.peterhebroncitymjiwama598 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana kaka kwa ELIMU ya uongozi me pia ni kiongozi

  • @upendo6009
    @upendo6009 ปีที่แล้ว

    Hahaha maagizo nusu nusu....taarifa nusu/nusu!!! Imenijenga Sana 💚🍂

  • @user-es7lw9od7l
    @user-es7lw9od7l 5 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa

  • @alimambabazi3666
    @alimambabazi3666 5 ปีที่แล้ว +1

    thank you for you to educate us continue to help us may Almighty God bless you and your ministry Amen.

  • @mohamedothumanhussein2792
    @mohamedothumanhussein2792 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsante

  • @neemaamon4960
    @neemaamon4960 5 ปีที่แล้ว +1

    Nataman viongoz wang wangepata huu ujumbe

  • @babalois7240
    @babalois7240 5 ปีที่แล้ว

    Thankx Sir #Joel
    Uongozi,Uongozi, Hi ni sehemu muhimu sana ya kujua uongozi katika ngazi zote, blcd

  • @KelvinHenry-iy4pu
    @KelvinHenry-iy4pu ปีที่แล้ว

    Good topic

  • @bravohaji4843
    @bravohaji4843 4 ปีที่แล้ว

    Nimeweza kusema kwamba your my modal Mungu azidi kukuweka ili tuzid kujifunza mengi kutoka kwako

  • @mujunichristian
    @mujunichristian 10 หลายเดือนก่อน

    Ni vigumu ku handle people
    Because there more you add your value may higher education more than them. Automatically issues gonna be planned for you to make sure you drop for any means

  • @neemamaganga9774
    @neemamaganga9774 10 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @bmiinsparationtalks5675
    @bmiinsparationtalks5675 5 ปีที่แล้ว

    Thank you for morning rising knowledge

  • @andreymalisa1625
    @andreymalisa1625 5 ปีที่แล้ว +2

    Inabidi niamke saa 11:00 ili niweze kujifunza mengi toka kwako..Naamini nimeweza..
    Asante sanaa Mwalimu
    Barikiwa

  • @sabatomjungu9727
    @sabatomjungu9727 5 ปีที่แล้ว

    Uongozi Ni Jambo muhimu Sana , ahsante bro kwa somo zuri

  • @cheddykipingu8087
    @cheddykipingu8087 5 ปีที่แล้ว

    Thnkz Doct Urther kuna kiongoz wetu lazma nimwambie ukweli kwenye briefng leo...

  • @mariammasatu4785
    @mariammasatu4785 5 ปีที่แล้ว

    Asante sna kwasomo zuri ubarikiwe sna bro,napataje vitabu vyako

  • @fedharmmark6398
    @fedharmmark6398 3 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa Elimu yako @Joel nanauka

  • @leechuntv4346
    @leechuntv4346 5 ปีที่แล้ว

    Well done brother I love you're talking from first I know u up to date

  • @mercywanjiku3740
    @mercywanjiku3740 5 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed Joel

  • @mwitachegere2716
    @mwitachegere2716 5 ปีที่แล้ว +1

    Great stuff Joel. Be blessed always!

  • @judithmbwilo7470
    @judithmbwilo7470 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana brother Joel, nimejifunza sana leo 🙏🙏🙏

  • @franckcharles4834
    @franckcharles4834 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana kka ww ni mentor wa maisha yangu

  • @sulejureij3799
    @sulejureij3799 5 ปีที่แล้ว

    Somo zuri limeeleweka, utekelezaji ufuate. Ahsante kaka

  • @kelvinmagath5506
    @kelvinmagath5506 5 ปีที่แล้ว

    nakufatilia sana Bro nashukuru najifunza mambo mapya kila day

  • @worshipertv9968
    @worshipertv9968 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana Kaka kwa kunielimisha hakika nimeelimika

  • @janethzefa2808
    @janethzefa2808 5 ปีที่แล้ว

    thank you Joel

  • @luomusicchannelfromtanzani5650
    @luomusicchannelfromtanzani5650 5 ปีที่แล้ว

    Thanks alot

  • @msengisimoni2087
    @msengisimoni2087 5 ปีที่แล้ว

    mawasiliano mazuri na pia motivate huwa haipo kabisa,mm kwa sasa nimejiajili Mara nyingi huwa nafanya motivate kwa vijana wenzangu Mara kwa Mara.Kupitia masomo yako Joel nanauka

  • @judithwambura9234
    @judithwambura9234 5 ปีที่แล้ว

    Many thanks

  • @paulinacherement2534
    @paulinacherement2534 2 ปีที่แล้ว

    Joel stay blessed.

  • @selemanimkonga8150
    @selemanimkonga8150 5 ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa chakula cha ubongo bro

  • @peteryohani1672
    @peteryohani1672 3 ปีที่แล้ว

    God bless brother joel

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 5 ปีที่แล้ว

    Asant sana bado najifunza Elimu kubwa kwako

  • @najmachami547
    @najmachami547 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka "nijifunze kusikiliza"

  • @abdulmohammed3567
    @abdulmohammed3567 5 ปีที่แล้ว

    See you too at the top brother..

  • @zuhuraabdillah6941
    @zuhuraabdillah6941 5 ปีที่แล้ว

    learn to listen hii imekuwa changamoto sana especially kwa maboss

  • @kakekofarniture.5375
    @kakekofarniture.5375 5 ปีที่แล้ว

    Asate koching wetu wa life
    Tunajivunia uwepo wako ktk maisha allah akupe maisha yenye afia mzuri.

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 5 ปีที่แล้ว

    Asante kaka

  • @veronicabiaka4730
    @veronicabiaka4730 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏

  • @mdtv2625
    @mdtv2625 5 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @boniphacemgolozi9417
    @boniphacemgolozi9417 5 ปีที่แล้ว

    Hiro mi linatesa kwenye familia Mara nyingi naraumu sana!

  • @kingoman7895
    @kingoman7895 5 ปีที่แล้ว +1

    #seeuatthetop#

  • @dicksongadson238
    @dicksongadson238 2 ปีที่แล้ว

    kutoa motivet & ushawishi

  • @piusgiringa409
    @piusgiringa409 5 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Nanauka hakika umebadilisha Maisha yangu tangu nianze kukufatilia nakuelewa sana

  • @mwajumayunus2041
    @mwajumayunus2041 5 ปีที่แล้ว

    aiseeeh umenibadili sana kaka ukiwa na semina yoyote please tuarifu nitakuwa wa kwanza kununua tiketi

  • @evaristmbunde7947
    @evaristmbunde7947 2 ปีที่แล้ว

    Nc

  • @immamwangasi4435
    @immamwangasi4435 5 ปีที่แล้ว

    Umenijenga sana

  • @henerikokasiani7726
    @henerikokasiani7726 4 ปีที่แล้ว

    Poa sana

  • @subiraomar4771
    @subiraomar4771 5 ปีที่แล้ว

    Asnte sana

  • @giftibrahimuamulike5963
    @giftibrahimuamulike5963 5 ปีที่แล้ว

    KWENYE motisha

  • @godfreyguleha3790
    @godfreyguleha3790 5 ปีที่แล้ว

    mm kaka joeli napenda sana niwe kiongozi mzuri ila kuna kitu kina mfano ume mpa kazi mtu maelekezo umesha mpa lakini anafanya ile kazi avyo jisikia yeye ukiuliza ana onaona una muonea kwa hapo una fanyaje kaka

  • @mohamedkudura8114
    @mohamedkudura8114 ปีที่แล้ว

    Natamani hii video aisikie nimetumia

  • @msengisimoni2087
    @msengisimoni2087 5 ปีที่แล้ว

    kupita masomo yako tangu mwaka Jana nimeachana na kuajiliwa.Nataka kuwa kiongozi mzuri zaidi

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏💕💕

  • @freesociety7858
    @freesociety7858 3 ปีที่แล้ว

    Je mtui atajitambuaje Kama yeye anakarama ya ungozi

  • @abuuharuna4278
    @abuuharuna4278 5 ปีที่แล้ว

    nakuerewa uchambuzi wako mzuli uliokaa kiplofessa

  • @kelvinmagath5506
    @kelvinmagath5506 5 ปีที่แล้ว

    ila na Shauri ufungue group la watsaap Bro

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 5 ปีที่แล้ว

    Naam kwa kukosa elimu hii kuna viongozi wanafanya watu hawafurahii kazi yani kila mtu anataka ahame na hata wengine kuacha kazi na viongoz wa namna hii mwisho wao unakuaga mbaya sana... Ahsante sana

    • @petergroup4133
      @petergroup4133 5 ปีที่แล้ว

      ahsante sana kwasomozuri

    • @gershonerasto7824
      @gershonerasto7824 5 ปีที่แล้ว

      Kaka naona nimechekewa sana kuku faamu ,ningekua mbali sana ,ahsante sana kwa somo hilo

  • @joaxz100
    @joaxz100 5 ปีที่แล้ว

    Esa
    Misma wea digo yo

  • @olipahpaul8023
    @olipahpaul8023 4 ปีที่แล้ว

    Ninaweza kupata namba yako kaka ninaitaji concelng

  • @kisembomaliyamungu572
    @kisembomaliyamungu572 3 ปีที่แล้ว

    Mimi ni kiongozi alakini kanisa ninao ongoza bado ni kidogo sijagawa nazi niko DRC

  • @user-es7lw9od7l
    @user-es7lw9od7l 5 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa

  • @tabithaerastoshukrani.90
    @tabithaerastoshukrani.90 4 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @kelvinmagath5506
    @kelvinmagath5506 5 ปีที่แล้ว

    ila na Shauri ufungue group la watsaap Bro