Kiongozi Nanauka nimefurahi sana kuipa hii. Ni kila siku ninakusikiliza na nimepiga hatua kubwa, tena nimewahamasisha wengi wakusikilize. Mungu akubariki sana.
Sir Joel,, nahis bado vijana wengi hawajui uwepo wako mkuu,Kiukweli Vijana wengi wanamawazo ya kutaka kufanikiwa,lakin elimu ya Ya jinsi kupalilia au kufikia hayo ndio Hawana kabisaaaaaaaaaa... Mungu atusaidie
Tunaomungalia nanauka 2019 tujuane
Kiongozi Nanauka nimefurahi sana kuipa hii. Ni kila siku ninakusikiliza na nimepiga hatua kubwa, tena nimewahamasisha wengi wakusikilize. Mungu akubariki sana.
Somo limefundishwa Mwaka 2019 na sasa ni Mwaka 2022 Mungu nisaidie niyatendee kazi haya masomÃģ
Uko good sana keep on educating
Duh!
Mawazo hasi, malalamiko, kutokujali mda na kutokusema hapana!!!,, asee nimetoka na kitu, barikiwa broâš
daah hivi ulianzaje nw ulpataje hii taaluma ya kuekezea jamii ktk nyanja zote
Kweli Mkuu mafundisho yako yamenipa hatua mpya
Wow thank you so much. Br
Sir Joel,, nahis bado vijana wengi hawajui uwepo wako mkuu,Kiukweli Vijana wengi wanamawazo ya kutaka kufanikiwa,lakin elimu ya Ya jinsi kupalilia au kufikia hayo ndio Hawana kabisaaaaaaaaaa... Mungu atusaidie
Kaka habari naomba mawasiliano yako ili niweze kupata kitabu chako linachohusu nguvu ya mwanamke nitashukuru sana Be blessed
Asante ndugu. Nimejifunza kitu
Hongera sana kunielimisha
upo vizuri kaka mungu akubariki unatutoa gizani
barikiwa sana kaka unatubadilisha
Ahsante sana Kaka.
Good sana mkuu nakukubali kwa saikolojia unayo tupa
Shukrani sana kaka Joel Mungu akubariki sana tunategemea video zenye mafunzo za kama hizi.#Uishi maisha marefu......
Nimeoenda
Huyu jamaa anajua sana