Kweli kabisa ukiepuka kukaa na watu wambea utafika mbali sana, naendelea kujifunza mengi kupitia wewe nimevuka hatua Moja kwenda nyingine, na ninafanya kile ambacho Nina uwezo nacho, see you at the top my Mental
Short summary 1. Usitoe ahadi usiyoweza kutimiza (kuwa over ambitious) hasa kama hauna uwezo wa kuifanya 2. Kujifanya kuwa una mamlaka ambayo hauna. Zingatia mipaka yako. 3. Focusing on minimum expectations, hufanyi jambo la ziada ofisini, epuka kufanya mambo kwa kawaida na kwa mazoea🙌🏾 exceptionality 4. Kurudia makosa yale yale kila wakati sababu ni kupuuzia mambo na una kosa umakini. 5. Usijiunge na wambea (gossip club) watu wanaodiscuss watu wengine🙌🏾 waepuke sanaa. 6. Epuka kuchelewa kazini hii inakufanya uonekane hauko serious, maana watu wana attach muda na seriousness yako. - kuchelewa kuingia ofisini - kuchelewa vikao - kuchelewa kusubmit kazi, lazima ufuatiliwe Asante Joel🙏🏾
kweli kaka,,umeongea fact,,,wapo watu wa dizaini hiyo wengi sana wanao tuzunguka makazini either hii itakuwa ni moja ya fundisho muhimu mishani,,,see you broo
Kaka Joel Nanauka hujambo msomaji na mwalimu wangu wa maisha kwa hakika hizi mistari yanaweza kunyooshea njia kwa mahali ambapo kimepinduka asante sana
MAMBO YA KUEPUKA UNAPOKUWA KAZINi 1]Isitoe ahadi ambazo huwezi kuzitimiza.[kumbe unajua haliwezekani ila unashindwa kusema hapa ndio maana unatoa ahadi za uongo] 2] Zingatia mipaka yako ya kazi 3] Epuka kufanya kazi kwa mazoea jaribu kuwa mbunifu 4]Usiwe unarudia makosa yale yale ]utaonekana una dharau na hautaaminika tena 5]Jiepushe na watu wanaopenda kujadili mambo ya Watu wengine 6]Epuka kuwa mchelewaji [itapelekea watu kukuona haupo makini
Kwenye biashara kuna mtu ni kama hakutaka nifungue biashara eneo hili au ni wivu kuona napiga hatua basi anapenda kunifumbia mafumbo na kunipandia chuki kwa wafanyabiashara wengine ila mie nafanya kama sielewi chochote na kutojali na kukaa naye mbali naendelea na shughuli zangu kama kawaida. Asante kwa somo najifunza zaidi
Kaka sio tattoo extraordinary shida unaangalia na sehemu ya kujitoa na kujiongezaa maana utakuta unabebeshwa mizigo mingi na walama ambazo za kazi ulizo jitoleaa alafu wengine ni wanyonyaji tuu hautopata fidia yoyote ya kujitoa kwako
Mimi kwenye eneo langu la kazi kunashida sana kunamtu ana hamahama sasa kahamia eneoeambalo nilipo ni mmbeya sana na anafitina sana kwa mfano akija mdai wako yan yeye utasema ndo anadaiwa mala atoke ndan mala aingie kwahiyo mwalim tuna shukuru sana maan hii elimu kwa mtu wa kawaida ataona ni jambo dogo sana ila sisi unatupitisha kwenye magum sana brother
Du kwakweli mungu akupe nguvu kwa ajili ya kutufundisha, ila mimi niko moçambique nilikuwa naomba namba yako ya wtsp ili nikuulize mambo mengine, obrigado Joel .
Kweli kabisa ukiepuka kukaa na watu wambea utafika mbali sana, naendelea kujifunza mengi kupitia wewe nimevuka hatua Moja kwenda nyingine, na ninafanya kile ambacho Nina uwezo nacho, see you at the top my Mental
Kaka una akili sna ww
🎉🎉
Kweli brother 🤝
Asante kwa mafundisho nimeipenda hiyo ya kuepuka kuchelewa huo ni ugonjwa kwangu yabidi nibadilike
Short summary
1. Usitoe ahadi usiyoweza kutimiza (kuwa over ambitious) hasa kama hauna uwezo wa kuifanya
2. Kujifanya kuwa una mamlaka ambayo hauna. Zingatia mipaka yako.
3. Focusing on minimum expectations, hufanyi jambo la ziada ofisini, epuka kufanya mambo kwa kawaida na kwa mazoea🙌🏾 exceptionality
4. Kurudia makosa yale yale kila wakati sababu ni kupuuzia mambo na una kosa umakini.
5. Usijiunge na wambea (gossip club) watu wanaodiscuss watu wengine🙌🏾 waepuke sanaa.
6. Epuka kuchelewa kazini hii inakufanya uonekane hauko serious, maana watu wana attach muda na seriousness yako.
- kuchelewa kuingia ofisini
- kuchelewa vikao
- kuchelewa kusubmit kazi, lazima ufuatiliwe
Asante Joel🙏🏾
asanten sana nazid kujifunza
Barikiwa
Shukran Kwa madini unayoendelea kunipatia, be blessed
Master wa chakula cha ubongo
Broo Joel we ni mtu na nusu ( it means we ni bingwa) Mungu akubariki sana .
Nakukubali sana my bother ishi sana, Mungu akutunze ❤ see you at the top
👏👏
kweli kaka,,umeongea fact,,,wapo watu wa dizaini hiyo wengi sana wanao tuzunguka makazini either hii itakuwa ni moja ya fundisho muhimu mishani,,,see you broo
Daaaah??? Kaka joeli kwa kweli umefunza mengi saanaa kupitia video hii, Mungu anisaidie kwa jambo la mwisho, talikaziaa mpaka kieleweke kaka
Kaka Joel Nanauka hujambo msomaji na mwalimu wangu wa maisha kwa hakika hizi mistari yanaweza kunyooshea njia kwa mahali ambapo kimepinduka asante sana
Kaka Joel Nanauka nipe namba yako ya Whatsapp nipo Kenya Nairobi maanake zile ninazo sikupati vizuri
Nimejifunza mambo mengi sana kupitia ww brother na naendelea kujifunza
MAMBO YA KUEPUKA UNAPOKUWA KAZINi
1]Isitoe ahadi ambazo huwezi kuzitimiza.[kumbe unajua haliwezekani ila unashindwa kusema hapa ndio maana unatoa ahadi za uongo]
2] Zingatia mipaka yako ya kazi
3] Epuka kufanya kazi kwa mazoea jaribu kuwa mbunifu
4]Usiwe unarudia makosa yale yale ]utaonekana una dharau na hautaaminika tena
5]Jiepushe na watu wanaopenda kujadili mambo ya Watu wengine
6]Epuka kuwa mchelewaji [itapelekea watu kukuona haupo makini
Umenifanya tajiri mtoto
Kaka Joel nimejifunza mengi sana kupitia maelekezo Yako nimeyafuata nimeona kitu Asante
Ubarikiwe kwa unachokifanya kaka joer
Asante kaka umenifanya niwe wa tofauti
Kwenye biashara kuna mtu ni kama hakutaka nifungue biashara eneo hili au ni wivu kuona napiga hatua basi anapenda kunifumbia mafumbo na kunipandia chuki kwa wafanyabiashara wengine ila mie nafanya kama sielewi chochote na kutojali na kukaa naye mbali naendelea na shughuli zangu kama kawaida. Asante kwa somo najifunza zaidi
Ongera kipenz name nalipitia ili kwaa sasa😢
Umemzidi huyooo pambana bila kuchoka maana kwenye biashara kuna watu na viatu 😂😂😂
Hongera Sana mwalimu mzuri unazidi kunipanua kifikra
Nakupenda sana kaka najifunza mengi
Shukran Mungu kubariki kwa elimu
Umeongea ukweli mengi yamenigusa,Nimejifunza vingi sana.Ubarikiwe Sanaa
Kwel kabisa
Barikiwa wewe ni mwalimu mzuri sana 🎉
Kaka ni kweli
Nakukubali kaka Joel umenibadilisha San Na kujipa ujasiri kwa kitu chchte ninachoona kwang n sahihi
❤asante Kwa somo
Ujumbe mzuri sana
Kujijengea uaminifu na kuwa na good communication skills pia naona ni mambo muhimu sana katika eneo la kazi
Asante sana mwl nimepata kitu cha kurekebisha
Kaka sio tattoo extraordinary shida unaangalia na sehemu ya kujitoa na kujiongezaa maana utakuta unabebeshwa mizigo mingi na walama ambazo za kazi ulizo jitoleaa alafu wengine ni wanyonyaji tuu hautopata fidia yoyote ya kujitoa kwako
Reward ya pesa inakuja kutokana na kitu kizur ulichofanya
Yaaan My brother kinachoniferisha nikutoa ahadi ambzo sitoweza kuzifanya
Nakubaoi Sana kaka mungu akulinde
❤❤❤❤❤Asante ubarikiwe😊😊🎉🎉🎉🎉
kweli kabisa kiongozi nakukubari sana ww ni mwalimu wangu wa maisha
Asante kwakweli nachelewa kazini mila siku umenisaidia.
Mimi ni mtumiaji mbaya wa mda siendi kwa wakati 😢😢…. Si mlalizaji wa jambo😢…narudia makosa yaani nabadilika kwanzia leo
😂😂😂 pole
Hakika unajua Bro na umenifunza Mengi sana kupitia kipindi chako....
Bro, kusema kweli unatoa madini sana asee, SALUTE kwa kuendelea kutupa elimu ya mtaani nimejifunza mengi kupitia video zako.
Be blessed my brother from another mother....
Asantee sana kwakutupa dalasa vitu vingi najifunza.👍✍️
Asante Kaka Joel , mimi nimejifunza kitu kikubwa sana
Bro I did subscribe now you have good ideas keep it up from 🇺🇸
Asante sana kwa elim nzuli ila naomba ushauli kunakazi nilipewa ila nilipo fika kazini nimekuta mambo tofautii nifanyeje mwalim wangu
Asante kwa Elimu nzuri unayo tuelimisha🙏
Nikweli naona ilinikositi Sana Ila baada yakukaa mbali nikaepusha mengi
God bless you brother 🙏
Mimi kwenye eneo langu la kazi kunashida sana kunamtu ana hamahama sasa kahamia eneoeambalo nilipo ni mmbeya sana na anafitina sana kwa mfano akija mdai wako yan yeye utasema ndo anadaiwa mala atoke ndan mala aingie kwahiyo mwalim tuna shukuru sana maan hii elimu kwa mtu wa kawaida ataona ni jambo dogo sana ila sisi unatupitisha kwenye magum sana brother
Asante kiongozi
Asante sana mwalimu kwa mafundisho, mungu asidi kukupa kibali, Amen 🙏
Fact 👍 brother
Mungu akubariki sanaaa
Nikueli atamimi Niko na iyo shida yaku chelewa
Asante sana
Real broo Godbless you.
kweli kak
Kaka mungu akutunze sana
Asante sana mtumishi wa Mungu nabadilika kuanzia Leo nimepoteza sana mda 🙏🙏🙏
Apo kweny kuchelewa apo! Asante Dr
Somo zuri Sana nimejifunza kitu mungu azidi kukubariki sana
Nashukuru sana kazi njema kbx
Asante sana kwa somo hili la kutujenga katika kazi
Hongera sana kwa elimu hii.
Mungu akubariki
Asante Sana Kaka Joel.
Points zote zimenigusa. Ninazifanyia Kazi.
Exellent wa hivyo wako wengi sana.
Shukran mwalim
Mwalim asate
Mm nakushuru 2
Barikiwa kaka
🙏🙏🙏
Ahsante 🎉
Fact brother
Shukran sanaa coach🙏nasumbuliwa na kosa la kuchelewa na naelekea kuacha tabia hiy
Brother unatufungua kwa asilimia kubwa sanaa,kwa wanao kufutilia watafanikiwa kwa asilimia kubwa sanaa
asante kwa somo zuri
somo at a right time am glady to know you
Hongeera sana kaka uko vizuri.huwa ninapenda mafundisho yako.Mungu akubariki saaana.
Barikiwa sana my brother Joel ❤
Ahsante.ni mambo kuchukuliwa hatua ili kufikia mafanikio
Du kwakweli mungu akupe nguvu kwa ajili ya kutufundisha, ila mimi niko moçambique nilikuwa naomba namba yako ya wtsp ili nikuulize mambo mengine, obrigado Joel .
Daaah! hapa na mm ni mmoja wao
Ahsante sana kwa Elimu hii
Waiting
Shukran nmejifunza
Ahsantee sana
Asante sana Kaka Joel
Kaka umenifundisha kitu na nitakitendea kazi ubalikiwe kaka🙏🏿🙏🏿
Kuchelewa
naomba vitabu kaka
Asante kaka Nanauka
Hee kumbe ni Mchungaji huyu Joel Nanauka sijui??aise
Great
joel nauka your the best
Asante brooo
Dood
Remain blessed❤
saihii kaka
Well said
Kaka joel ndugu yangu wewe nishida yaan hadi raha
Hapo kwa kuchelewa daah😂
Sahihi
thank you