Asante Sana Joel,wishi cku moja ungekuja Kenya pia kututoa mavumbi,watu wengi hukimbilia maisha yao kwa mashindano,kuonyeshana ,kutaka tuu kujulika bila sababu na maono na utakuta mtu Leo tajiri mkubwa kesho anaporomoka hata umshangae,Aki elimu yako unanifanya niishi miaka ya miaka kumi mbeleni,napigania kesho yangu sijali lini ntakufa,najalintaishije kesho
Nina tatizo kwenye kutengeneza brand aloo! Na katika brand ndipo siri ya mafanikio imejificha, bado sijafanikiwa kwasababu sina brand. Naamini nipo karibu kuifahamu Kwa maana tangu mwaka Jana nikung'ang'anie kama kupe, nilijiona dosari na nikaanza kujitafiti katika mambo nayopendelea ili nichague mojawapo na linifae. Hivyo, si muda mrefu nitashuhudia. Nakushukuru kwa huduma nzuri yenye thamani kubwa isiyo mfano. Mungu akubariki sana. ##SeeYouAtTheTopBrother##
Nakuelewa sana kaka mungu azidi kukuinua zaidi na zaird ili tufike mbari kielim na kiuchumi na mungu wetu nimwenye nguvu ukiamini unacho kifanya ktk urimwengu huu
Huwa nakufatilia sana mwalimu wangu shule kwangu ilikuwa ngumu ila kwako najikuta kama ungenifundisha ww kipindi nipo shule ningepata ata one ila now kwako siitaji one yakaratsi natafuta one ya maisha kwako. No🙏
Asante sana kaka,naamini wiki imeanza vizuri,kwa somo zuri kabisa! Unafanya kazi kubwa sana,na tunazidi kubadilika siku hadi siku,nimeanza kufanya mazoezi kitu ambacho sikuwahi kuwaza,lakini umenibadilisha bro! Asante!
Nimepat kuon video yako moj tu ikanishajihish sana.. tangia hap nimekua nakufatilia san njia za mafanikio unazozieleza nilikua napit iviv kabla lakin tangia nasikiliz haya bas najihis naengeza elimu kubwa asante san mr joel #seeyoutothetop
Ujumbe mzuri sana bro haya mambo ndio wanigeria wengi wanapiga bao sana kwenye Soko la jira Africa mpaka ulaya kwani wao kwenye makanisa yao huuza vitabu napia wana darasa lakufundisha mbinu za maisha. Kwetu Tanzania baadhi wao hufundisha kutoa fungu la kumi tu hapo ndio kwenye shida wape mbunu watu wakatafute ili walete... pamoja sana.. Naomba nijua je kunabaadhi ya vitabu umetafsili kwa Kishwahili?.
Asante kwa njia hizo kaka, nimegundua kwamba they are the real and best ingredient for self growth and success. Active listening is my best way to win others and attract their attention more in whatever I might have Am amazed thx👍👍
@@joelnanauka I greatly appreciate your work Joel, ever since I watch your first video from TANZANIA YOUTH ASSEMBLY, it change my life and following up made me develope more confidence and get new courage to face the world. God bless you MORE, your lessons are life changing👏👏
Usisahau SUBSCRIBER Chanel yetu ya TH-cam MAPINDUZI COMEDY ili uwe wa kwanza kupata video zetu.Utafurahi,Utatabasamu na Utacheka kuongeza siku za kuishi bado tupo kambini kuhakikishia tunawaletea vitu vizuri na vilivyo bora na pia usisahau kunifollow INSTAGRAM MAPINDUZI COMEDY
Asante sana kaka joel
Asante sana kiongozi unaendelea kutujenga vema
Sijawahi kujutia kukufuatilia Brother
Mm Naamini Kabisa Mungu Amekusudia Makubwa Kukuleta Duniani Baba Angu
kwakweli unanigusa sana mtumishi nimeamua kukufuatilia jumbe zako zinamtoa mtu mahali barikiwa sana sana
Asante Sana Joel,wishi cku moja ungekuja Kenya pia kututoa mavumbi,watu wengi hukimbilia maisha yao kwa mashindano,kuonyeshana ,kutaka tuu kujulika bila sababu na maono na utakuta mtu Leo tajiri mkubwa kesho anaporomoka hata umshangae,Aki elimu yako unanifanya niishi miaka ya miaka kumi mbeleni,napigania kesho yangu sijali lini ntakufa,najalintaishije kesho
umenipa muongozo wa kujitegemea ,Mungu azidi kukubariki ,Niko kwenye passion apo ndo nahitaji kuongeza ushawishi
Nimekuelewa sana brother... Furaha yangu ni kuona unaendelea kuwa hai. Mungu akubariki.
Asant sana bro mungu azidi kukufunulia milango nakupenda aisee
Nina tatizo kwenye kutengeneza brand aloo! Na katika brand ndipo siri ya mafanikio imejificha, bado sijafanikiwa kwasababu sina brand. Naamini nipo karibu kuifahamu Kwa maana tangu mwaka Jana nikung'ang'anie kama kupe, nilijiona dosari na nikaanza kujitafiti katika mambo nayopendelea ili nichague mojawapo na linifae. Hivyo, si muda mrefu nitashuhudia.
Nakushukuru kwa huduma nzuri yenye thamani kubwa isiyo mfano. Mungu akubariki sana.
##SeeYouAtTheTopBrother##
Mie nataka kujenga ushawishi katika kugombea uongozi katika mtaa wangu sijui nifanyeje
Asante. Acha nianze kutumia hizi njia naamini Mungu atatenda. Barikiwa sana.
"double the rate of hearing.. not the rate of speaking"👏👏
George Msangi kabisa kabisaa
Joel Nanauka Naomba namba yako nataka kitabu cha timiza malengo yako
Kaka naomba unipe namba yako nataka unipe ushauli
Naomba lakin
Ahsante sana kaka Joel, mm nipo kwenye point ya pili kujenga jina ,nataka nijenge jina ili nifike mbali zaid .
Nakuelewa sana kaka mungu azidi kukuinua zaidi na zaird ili tufike mbari kielim na kiuchumi na mungu wetu nimwenye nguvu ukiamini unacho kifanya ktk urimwengu huu
Huwa nakufatilia sana mwalimu wangu shule kwangu ilikuwa ngumu ila kwako najikuta kama ungenifundisha ww kipindi nipo shule ningepata ata one ila now kwako siitaji one yakaratsi natafuta one ya maisha kwako. No🙏
Kaka mkubwa kwa kweli Leo umenena. Kila kipengele kwangu ni muhimu. Nimeanza kuzifanyia kazi leoleo. Barikiwa Sana.
Mungu akubariki Joel tuko pamoja
Ubarikiwe saaana kaka
Asante Joel naomba ushauriwako au muongozo wako ili kuikuza bland yangu
Asante sana kaka,naamini wiki imeanza vizuri,kwa somo zuri kabisa! Unafanya kazi kubwa sana,na tunazidi kubadilika siku hadi siku,nimeanza kufanya mazoezi kitu ambacho sikuwahi kuwaza,lakini umenibadilisha bro! Asante!
Umetisha kaka nakubali sana elim yako
Hongera sana kwa kaz nzur bro! mungu akusimamie
#seeyouatThetop thanks.. Bro joel
Kupitia wewe namiliki uwanja
Kupita ww naanza kujenga mwez wa sita
Kupita ww najiona hatua nzuri sana
shuback mashinga hongera sanaa👏👏👏👏
Kusikiliza 👏👏👏ngoja niaze kujifuza kusikiliza watu
lampad shigon🤣🤣🤣Amna bn Mimi sina dharau
Yuko vizuri Sana huyu Kaka appreciate bro
Asante Sana mungu akubariki ,nitayafanyia kaz mawazo yako
Unaugusa sana moyo wangu BWANA Nanauka Mungu WA MBINGUNI akubariki
hekima na uweza ni wa bwana maana amekupa wewe kutuelimisha sisi mungu akubariki sana
Brother habari ya wewe tunakushukuru sanaa
Big up mentor, tunatakiwa kuipata sana hii elimu
God bless you brother Joel me
I feel happy because I am going to change my life (2019) to be better than other year!! thanks Sana my brother!!
Asante nakuelewa sana mdogo wangu .
Nimepat kuon video yako moj tu ikanishajihish sana.. tangia hap nimekua nakufatilia san njia za mafanikio unazozieleza nilikua napit iviv kabla lakin tangia nasikiliz haya bas najihis naengeza elimu kubwa asante san mr joel #seeyoutothetop
waaao pawerfully word be blessed
Gud
hongera sana kka kwa elimu yako nzuriii !! God blesss you
Sioo unaanzaa tuuh na somoo salimiaa wadauu
Nataka niwe naushawishi katika katika eneo motivation speaker nisomekitabu gani ili niwe super ster katk eneo hilo
Martine Mihangwa safi sana,chagua eneo gani unataka kumotivate watu kisha hiyo “subject” ndio uisome zaidi
kaka upo vizuri Mungu azidi kukuudumia zaidi na zaidiii
naanza na namba 1 japo kuwa nilikua nimeanza kwasasa nimeongeza nguvu tena
Asante sana
Asantee sana Kaka Joel kwa ujumbe mzuriiiii wa kuwa na ushawishi starting from this year #2019
Mimi ni kutumikia Mungu nifanyeje mwalimu
Naomba usaidizi wenu tafadhali
naaamin na mimi niwekee kiwango cha juu cha kusikiliza na kuwajari watu
nimekuelewa sana
Najifunza ving sana kutoka kwako
Ujumbe mzuri sana bro haya mambo ndio wanigeria wengi wanapiga bao sana kwenye Soko la jira Africa mpaka ulaya kwani wao kwenye makanisa yao huuza vitabu napia wana darasa lakufundisha mbinu za maisha. Kwetu Tanzania baadhi wao hufundisha kutoa fungu la kumi tu hapo ndio kwenye shida wape mbunu watu wakatafute ili walete... pamoja sana.. Naomba nijua je kunabaadhi ya vitabu umetafsili kwa Kishwahili?.
Mafudisho yako imenisaaindiya sana
Bado naendelea kupata Elimu kwako Mungu akupe haja ya moyo wako
Nimesikiliza saan masomobyako
Asante sana kaka 🙏🏽🙏🏽
Kila siku najifunza na kuongeza kitu kwenye ubongo wangu..
Asante kaka🙏🏽😊
Mungu akubariki sana Umeniongeza mno ktk kaz zang
Nimekupata vema my bro am so proudly
flora bruno pamoja sana Flora,karibu sanaaa
Nakuelewa sana napenda sana masomo yako
Kaka Joel unakuja lini
Asante kwa njia hizo kaka, nimegundua kwamba they are the real and best ingredient for self growth and success. Active listening is my best way to win others and attract their attention more in whatever I might have
Am amazed thx👍👍
Hellen Ogego thanks Much pamoja sana
@@joelnanauka I greatly appreciate your work Joel, ever since I watch your first video from TANZANIA YOUTH ASSEMBLY, it change my life and following up made me develope more confidence and get new courage to face the world. God bless you MORE, your lessons are life changing👏👏
Shukrani sana
Kaka mimi ni mshawishi mzuri sana kila bihashara ninayofanya nikikaa mwenyewe wateja wanakuja sana,lakini shida ni kukata tamaa mapema
pamoja xan kaka joel
@joel nanauka mim nitaanza na listening hii point ni muhimu sana
Jackson Saitabau safi sana
Shukraan Sana Mentor#see u at the top
asante maneno yako yanaishi nataka vitabu vyako ndugu
Brand,listening and care
Ahsante sana brother, I do in my professional
mengi kanazi kila la kheri,ni profession gani?
Asante mwalim
Usisahau SUBSCRIBER Chanel yetu ya TH-cam MAPINDUZI COMEDY ili uwe wa kwanza kupata video zetu.Utafurahi,Utatabasamu na Utacheka kuongeza siku za kuishi bado tupo kambini kuhakikishia tunawaletea vitu vizuri na vilivyo bora na pia usisahau kunifollow INSTAGRAM MAPINDUZI COMEDY
thank you for your advise may Almighty God bless you and continue to do more into your teaching Amen😀
Experience imenipelekea kua na passion,Asante sana bro
Fatma Mwiru safi kabisa Fatma
@@joelnanauka naweza nikipata namba yako tukawasiliana
Kusikiliza
Thanks for opening my mind bro. kwaupande wangu napenda kuanza na brand hasa kw njia ya uaminifu
kiukweli ninasiku nyingi nakusikiliza na nakuaminia sana tens sana
Thank you bro joel..
thanks for your fact
kusikiliza kwa makini ni Bora zaidi ya kuongea kwa porojo chache . . . i am blessed with youR comments, Joel.
Nahitaji mbinu ya kushawishi biashara yangu
vizuri
Ur Big boss ideas
Asante Sana kaka nimefanikiwa pakubwa 10:39
Chamwazo ni kuweza kuwajal watu wengine na pia kuweza kucklz zaid kuliko kuongya
Jambo ambalo ningependa kuhazanalo ni la kusikiliza watu
Nmekuelewa sanaaa brother make Mwenyewe hapa Naitwa Maxwell naweza kua kama huyo uliemtolea mfano
Maxwell William unaweza hata kuwa zaidi,endelea kunoa uwezo wako kila siku
Naomba mawasiliano yako
perfect brother
Ktk mwaka huu najifikiria kufanya biashara napia nataka kujenga
Thank you
Nicely
Amen
Thanks broo
Kupitia ww Joel Mwez wa 6 najiona mbali
Ahsante sana kwa ushauri nasaha.
Nazikubali sana clip zako ila naomba kujuwa hivyo vitabu vyako nitapataje ili nami nisome mana nipo Zanzibar.
Kuna ushawishi,na uongo ,,tusichanganye hapo byagosha
we're together Mr Urther..😇
Nakutafuta kaka joel
Kwenye ufugaji
Nikwer kabisa
you are just amazing Joel
ningependa kuanza na suala Zima katika usikilizaji,, ''Double the rate of listening or earing and not the rate of talking or speaking,'"