MR. RAHIM MWANGA AKIELEZEA UTT AMIS NA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 15

  • @songweairport7602
    @songweairport7602 3 หลายเดือนก่อน +2

    AISEE MAELEZO MAZURI SANAAAAAAAAAA

    • @uttamiss
      @uttamiss  2 หลายเดือนก่อน +1

      Karibu UTT AMIS.

  • @gaiadgets8913
    @gaiadgets8913 3 หลายเดือนก่อน +1

  • @aishaomar3298
    @aishaomar3298 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tunasubiria uje zanzibar

    • @uttamiss
      @uttamiss  2 หลายเดือนก่อน

      @@aishaomar3298 Habari, Zanzibar tunaofisi tayari.

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ni mfuko upi kati ya hiyo 6 una Compaund intetest ??????

  • @JuliethMabuga
    @JuliethMabuga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je kama sina vitambulisho hivyo ulivyo vitaja swezi kufungua utt?

    • @uttamiss
      @uttamiss  2 หลายเดือนก่อน +1

      @@JuliethMabuga unaweza kufungua akaunti bonyeza *150*82#

  • @HassanMugire
    @HassanMugire 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naomba kuuliza kila siku napewa kiasi flani cha hela kwenye bond fund je na mwisho wa mwezi ntapewa gawio

    • @uttamiss
      @uttamiss  3 หลายเดือนก่อน +1

      SIFA ZA MFUKO
      Habari,
      Mfuko wa Bond Fund unatoa machaguo matatu ya uwekezaji kama ifuatavyo;
      (a) TZS. 50,000 kwa mpango wa kukuza mtaji;
      (b) TZS. 10,000,000 kwa mpango wa gawio kila mwezi; na
      (c) TZS. 5,000,000 kwa mpango wa gawio kila baada ya miezi sita.
      Kiwango cha chini cha nyongeza katika uwekezaji ni TZS. 5,000 kwa mipango yote ya uwekezaji.

    • @uttamiss
      @uttamiss  3 หลายเดือนก่อน +1

      ikiwa utachagua mpango wa kukuza mtaji mwisho wa mwezi gawio ulilotakiwa kupata litawekwa kwenye mtaji wako.
      Kumbuka: Gawio ni sehemu ya Faida

    • @HassanMugire
      @HassanMugire 3 หลายเดือนก่อน

      @@uttamiss nilikua wapi mimi jmn 🙏

    • @johnstonemwesiga236
      @johnstonemwesiga236 3 หลายเดือนก่อน

      @@uttamiss ni kiasi gani cha gawio kinachotolewa?

    • @uttamiss
      @uttamiss  2 หลายเดือนก่อน +2

      @@johnstonemwesiga236 Ni asilimia 1% kwa mwezi lakini Hatutakupatia yote mfano; ikiwa utaweka 10M leo kwa mwezi utapokea 87,000 kila mwezi kwa muda wote mpaka utakapoongeza pesa lakini kiwango kingine kilichobaki kutimia 100,000 kitaenda kukuza mtaji.