Mambo (10 ) Muhimu Ambayo Lazima Uyaache Ili Ufanikiwe - SEHEMU YA KWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2018
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 119

  • @leylasuleyman1136
    @leylasuleyman1136 3 ปีที่แล้ว +1

    Joel mm tatizo langu nataka vitabu shida yangu kubwa sana

  • @jeremiahkafyulilo3758

    Daa umebadirisha maisha yangu asanteeee

  • @merryhussen2775
    @merryhussen2775 3 ปีที่แล้ว +1

    kwakweli njinsi ya kusevu pesa nashidwa kabisa naeza tunza mwezi mmoja badae nazitumia unanisaidiaje

  • @user-ub8xt5dj8b

    Hongera kwa somo

  • @aidankazoba6699
    @aidankazoba6699 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimefikisha miezi mitatu sasa tokea nimeanza committment kubwa sana maishani mwangu. Bila shaka kwa kipindi kilichobakia cha miezi mitatu naona ni kifupi zaidi maana hapa ndipo palipokuwa na changamoto sana.!

  • @EdwardSamson-uf1ee

    Nani anaiangalia hii tena leo 15/04/2024..?

  • @erickmsallenge3724
    @erickmsallenge3724 6 ปีที่แล้ว +12

    Thanx bro.....umenibadilisha sana kifikra....Mungu akubariki.

  • @amosbinmahona9947
    @amosbinmahona9947 6 ปีที่แล้ว +4

    Bro umenisaidia sana najiona mbali kutoka kuuza mahindi ya kuchoma mpaka kumili daladala hiace si mchezo maana kuna watu wanakatisha tamaa.

  • @drkatole8007
    @drkatole8007 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kiongozi kwa masomo nimeyatumia nianza kuona mabadiliko mabo 10 malizia sehem ya pili asante sana.

  • @luciewajesus731
    @luciewajesus731 5 ปีที่แล้ว

    Nimeghairi sana mambo na majuto ikawa mjuku bali nashukuru nina mabadiliko, ninamatumai kufanya vema zaidi, zote uliyoyasema ni kweli mwalimu wangu 😍😍❤🙏

  • @ezekielmwasamboma9953
    @ezekielmwasamboma9953 4 ปีที่แล้ว

    Nimejifunza kitu muhimu sana kupitia mafundisho yako! Really I'm unique! Maoni ya watu hayapaswi Ku dictate my destiny! Barikiwa sana mtumishi wa Mungu!

  • @aronijuma1913
    @aronijuma1913 5 ปีที่แล้ว

    No word

  • @ellynkwama8603
    @ellynkwama8603 6 ปีที่แล้ว

    Asante kwa elimu nzuri uliyoitoa.

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 6 ปีที่แล้ว

    Life changer!!😘😘shukraaan

  • @elvisnzovu1869
    @elvisnzovu1869 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante bro, kwa mafundisho yako

  • @danlaizer9557
    @danlaizer9557 5 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana kaka Joel mungu akupe hekima ya kufundisha watu bureee

  • @devothapeter7600
    @devothapeter7600 6 ปีที่แล้ว

    asante sana kaka Joel umenibadilisha kifikira mungu azidi kukubariki

  • @iragibarumi8435
    @iragibarumi8435 6 ปีที่แล้ว

    Thanks so much. Umenifanya. Nijitambue nzaidi

  • @superiusmuhamba2043
    @superiusmuhamba2043 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana Joel kuna mambo mengi umenigusa. Napenda sana presentation zako kweli unajiandaa na zina mantiki. Mungu akubariki sana

  • @anastaziarutatina8739
    @anastaziarutatina8739 5 ปีที่แล้ว

    Ni jinsi gani mtu anaweza kuepuka kujutia makosa ya zaman.Asante sana kwa msomo yako aisee.