SIRI ZA SIKU ZA MWISHO |Rabbi Abshalom Longan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 43

  • @narrowgateglobal
    @narrowgateglobal 2 หลายเดือนก่อน +2

    Powerful message

  • @DieudonneMAHANGO-ws3do
    @DieudonneMAHANGO-ws3do 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @johnnguttu9516
    @johnnguttu9516 ปีที่แล้ว +1

    Amen, Amen. Neema ya KRISTO YESU na Roho wake anipe uwezo wa kumkili KRISTO YESU kila wakati Mimi na Uzao wangu. Asante Sana Kwa Mafundisho mazuri Rabbi. Barikiwa

  • @cmoshi7014
    @cmoshi7014 4 หลายเดือนก่อน +1

    NAMSHUKURU MUNGU KWA KUIJUA HII CHANEL HAYA NDIO MAFUNDISHO NAPENDA KUSIKILIZA HUWA SICHOKI KUSIKIA HABARI ZA SIKU ZA MWISHO KWASABABU NDIO TUNAISHI.BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU

  • @user-uc2fd5gs9l
    @user-uc2fd5gs9l 5 หลายเดือนก่อน +5

    Baba asante sanaaaaana ukweli ndo uo namimi mungu alinifunulia ktk ndoto nanikaona mashoga wanaimba nyimbo za dini nao wanakuwa wanajifanya kumuibia yesu na wote walikuwa wamevaa uchi na kucheza kwao kulionekana wanashika sehemu zao za siri walikuwa wanamdhiaki bwana yesu.

    • @BahatiJohn-xl3fn
      @BahatiJohn-xl3fn 7 วันที่ผ่านมา

      UWE unaandika Mungu iyo m iwe herufii kubwa SAWA mpendwa Katika Kristo

  • @maystellakajuna5461
    @maystellakajuna5461 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu azidi kukutunza Rabbi, you were brought in this word for such a time as this! Mwenye masikio na asikie Neno Roho anayaambia mataifa!

  • @pascalinamtanke8246
    @pascalinamtanke8246 4 หลายเดือนก่อน

    Amen amen mtumishi wa Yesu Kristo. Ujumbe huu ni mzito na mzuri sana. Asante sana, Mungu akutie nguvu uwafikie wengi.

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo 2 หลายเดือนก่อน

    Baba ubarikiwe sana hakika huhitaji kuhubiri mali haya ndio YATUPASA wakati huu Asante na ubarikiwe sana

  • @wilsonmkumbo3032
    @wilsonmkumbo3032 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU kwa mafundisho yanayotufanya waamini tuelewe nyakati tulizonazo na tujiandae kwa unyakuo wa kanisa

    • @rahelpaul4273
      @rahelpaul4273 ปีที่แล้ว

      Mafundisho yenye uzima mno,tuamke kanisa tuamke Yesu ni kama sasa amesogea kweli!!wewe ni mwalimu

    • @alexmayemba8606
      @alexmayemba8606 9 หลายเดือนก่อน

      Amina mtumishi barikiwe sana

  • @wilsonmkumbo3032
    @wilsonmkumbo3032 ปีที่แล้ว +3

    GOD bless you servant of our lORDJESUS,for your unique anointed teachings on the current season we are in, waiting for the rapture of the church

  • @miriavagheni4480
    @miriavagheni4480 ปีที่แล้ว +1

    Amen Gob bless you

  • @habarugirasamson4702
    @habarugirasamson4702 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana mutumishi wa Mungu endelea mbele na injili

  • @fadhiliissac.mwangalika6
    @fadhiliissac.mwangalika6 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu nisadie niokolewe na wewe Baba

  • @CaptainLufumbe
    @CaptainLufumbe 7 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa sana baba amina na mungu akubariki naakufunurie mengi zaidi

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu akubariki Sana kwa mafundisho nabarikiwa sana

  • @bahatishitindi
    @bahatishitindi 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @hatangimbabaziSenzoga-kz4nm
    @hatangimbabaziSenzoga-kz4nm 8 หลายเดือนก่อน

    Amena God bless you

  • @Misigaro8246
    @Misigaro8246 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi

  • @johnmasonga426
    @johnmasonga426 ปีที่แล้ว

    Amen my pastor

  • @juliethchavala3314
    @juliethchavala3314 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @MadilishaSimon-sb9kk
    @MadilishaSimon-sb9kk หลายเดือนก่อน

    Niombee baba nahisi kuwa na roho ya kukataliwa na mikosi

  • @user-yb8jq9xw2o
    @user-yb8jq9xw2o 6 หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @ModesterHinju-gf1go
    @ModesterHinju-gf1go 8 หลายเดือนก่อน

    Shalom ubarikiwe kwa ujumbe mzuri

  • @user-ob3fw9xv4m
    @user-ob3fw9xv4m 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nîmes mubariki uyuu mungu kwa Ku nipa nehema ya kuku fwata Rabbi,Niko muchristo ni Ku ona Mara kwanza Butembo Congo,n'a pale mungu Ali dji Tuliza sanza kupitaaa wewe. N'a pile Kwa kanisa Sukisa Bunia Congo,n'a Léo kwa ligne, mungu aku bariki sanaaaaaà,Nina amini mafundisho uli leta kwetu: Divin connections.

    • @BahatiJohn-xl3fn
      @BahatiJohn-xl3fn 7 วันที่ผ่านมา

      UWE unaandika Mungu sio mungi

    • @BahatiJohn-xl3fn
      @BahatiJohn-xl3fn 7 วันที่ผ่านมา

      sio mungu kwa herufii ndogo iyo M iwe kubwa

  • @kamikazineema1957
    @kamikazineema1957 ปีที่แล้ว

    Barikiwa man of God

  • @nagheshio3174
    @nagheshio3174 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana utusaidie tupe maarifa tupone.

  • @boniphacenjige1944
    @boniphacenjige1944 ปีที่แล้ว

    Ameen!!

  • @EzraMsagati
    @EzraMsagati 3 หลายเดือนก่อน

    Hiyo background music inasumbua. Je inawezekana anayepiga akanyamaza?

  • @martinehangi8174
    @martinehangi8174 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Namuchukuru Mungu Baba ,kupitia Yesu Kristo kwa tumia wa yaudi kuwa waalimu wa injili... Bwana Yesu Kristo asifiwe Sana.mimi niko Congo nampenda Yesu Kristo.

  • @mugishatv7305
    @mugishatv7305 6 หลายเดือนก่อน

    MUNGU AKUBARIKI AKUJIDISHIYE VIPAWA

  • @upendosahala8663
    @upendosahala8663 5 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen mtumishi ubarikiwe sana

  • @christinangondi4212
    @christinangondi4212 6 หลายเดือนก่อน

    Eeeeh MUNGU WA MBINGUNI tusaidie tusikukane wala tusikuache

  • @upendosahala8663
    @upendosahala8663 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba maombi nina maumivu ya mgongo yameanza gafla sijawahi kupata shida hii maumivu yalianza usiku

    • @angelitapaulo
      @angelitapaulo 2 หลายเดือนก่อน

      Upone kwa jina la YESU dawa chukua asali, kijiko kimoja cha chai, tafuna carrot moja kila siku, na pia mbegu za maboga kijiko kimoja kila siku mpaka utaona maumivu yatapona,

  • @jonastakilihona
    @jonastakilihona 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @habarugirasamson4702
    @habarugirasamson4702 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe Sana mutumishi wa Mungu endelea mbele na injili