12 wakisema, Amina; Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina. Ufunuo wa Yohana 7 :12
+Mwinjilisti Machota Endelea kutufunulia maandiko na Mungu atakupandisha daraja la juu utafundisha mataifa yote ya dunia endelea tu bila kuchoka maana Mungu ana neno nawe huo ni wito kutoka kwa Mungu endelea jipe moyo Mungu anakuandaa kufundisha mataifa
Hyu mtumishi ni muongo sijawah kuona dunian.Tangia aondoke yesu dunian ,haijawahi patwa Giza dunia wala mwezi kuwa mwekundu.Aache uongo kwa kutumia bibilia.Hzi ni siki za mwisho mtatwambia mengi nyie watumish wa shetani
Nakuelewa Sana mungu akutangulie ktk Huduma yako mtumishi
Ubarikiwe mno! Mtumishi. 2nabarikiwa Sana katika BWANA 2nazidi kuzijua Siri za unabii na neno la MUNGU
MUNGU na akubariki sana Mwinjilisisti Machota
12 wakisema, Amina; Baraka na utukufu na hekima na shukrani na heshima na uweza na nguvu zina Mungu wetu hata milele na milele. Amina.
Ufunuo wa Yohana 7 :12
Asante mchungaji, Mungu aendelee kukupigania uendelee kutuletea injili takatifu
Mungu akujaze roho mtakatifu uzidi kutufundisha
Mtumishi Mungu akubariki najifunza mengi
barikiwa sana mtumishi kutufafanunulia vitu ambavyo imekuwa ngumu kuvijua
Mungu ashukuriwe
+Mwinjilisti Machota Endelea kutufunulia maandiko na Mungu atakupandisha daraja la juu utafundisha mataifa yote ya dunia endelea tu bila kuchoka maana Mungu ana neno nawe huo ni wito kutoka kwa Mungu endelea jipe moyo Mungu anakuandaa kufundisha mataifa
Ukristo ni raha tupu yaani mafundisho matamu kma haya muislamu haezi elewa na ndio maana tunazidi kumuinua yesu juu Sana kwa neema yake kwetu
Muislam hakuhusu fata yako imani yako unaweza kuipoteza na ikawa ni bure
Ubarikiwe sana
Be blessed man of God.
Proud to be Christian yesu ndio njia ya uzima na milele kila goti litapigwaa kwakwe kila ndimi utatangaza ukuuu wake uyo ndio simba wa yuda
Amen
Hyu mtumishi ni muongo sijawah kuona dunian.Tangia aondoke yesu dunian ,haijawahi patwa Giza dunia wala mwezi kuwa mwekundu.Aache uongo kwa kutumia bibilia.Hzi ni siki za mwisho mtatwambia mengi nyie watumish wa shetani
waw👏
Nimeelewa God bless you!!
piga kelele usiache wahubili watu Dhabi zao namungu akubaliki sana
Heri wayasikiao na wao wayasomao maneno ya kitabu hiki
Highly praised
Jared Misiani umêbarikiwa na Bwana
Nami ni mshindi wa bwana
Ameen
Amenn
Lahh sasa tuko wakati upi sasa?
Fafanua mihuri, lini mihuri itatumika?
Mihuri hiyo ilishaanza kitambo.tu sisi 2ko muhuri wa sita Sasa 2nangoja muhuri wa mwisho ambao Kristo atakapurudi tena
Hawezi hubiri muhiri wa Saba maana hii Ni replenishment theology
Wakati wa muhuri wa 6 Mungu atawatia mhuru waisrela 144,000 baada ya hapo muhuri wa 7 Ni mapigo ya dhiki kuu na hapo kabisa halipo duniani
This not true revelations of mihuri saba
It is terrible.
Tuambie hiyo mihuri sio tena kuelezea utakatifu
Kabisa
Ubarikiwe sana