mimi sio M SDA ila tangu kihonda net event nimekua nikikufatilia namtukuza Mungu nimemjua Mungu kwa undani sana na imebadili maisha yangu sana Mungu azidi kukutumia anijalie siku moja tuonane nipo MWANZA.nimetafuta vitabu ulivyo andika nimebahatisha kimoja tucha watoto bado natafta vingine..uwasilishaji wa neno la Mungu ni mzuri sana ubarikiwe wewe na uzao wako na vizazi vyako.MUNGU AZIDI KUKUTIA NGUVU KATIKA KAZI YA UTUMISHI ALIO KUITIA
Asante nime subscribe ndio lakini kila nikiingia naona mwisho ni day 4 lakini kadri navyosikikiza naona bado kuna muendelezo na si mwisho Pastor Semba ila Mungu wetu atukuzwe kwa kukutumia vema kupitia mafundisho yako uliowezeshwa na roho unanifanya kukutana na Mungu Mungu akubariki sana!.
Mungu azidi kukutumia sana mtumishi wa Mungu

Amen, Jina Bwana Litukuzwe
Pastor asante sana kwa somo Munngu roho Mtakatifu akuzidishe mengi
Mchungaj balikiwa hakika yesu amekalibia tuji husishe
Mtumishi wa Mungu barikiwa kwa jumbe nzuri, ningependa kuomba mwendelezo wa mahubiri ya ALFABET ZA HATIMA YA DUNIA KUANZIA SEHEMU YA TANO
NITAJITAHIDI
Mungu atukuzwe sana anavyoendelea kumtumia mchungaji simba.
Pasta semba nakuombea kw Kaz NJEMA hakika wewe ni uzao mteule
Be blessed Pr.
Be blessed pr.
Jina la Mungu litukuzwe Kwa ajili yako Pastor
Mungu atusaidie
Napenda jinzi unavio SEMA ukweli mtupu,ubarikiwa
Pasta tafazali natamani kuona vipindi vyako vipya umesimama kwamuda au una skika kupitia utambulisho mwingine
Roho Mtakatifu atusaidie kupambanua maandiko.
Mungu akubariki kwa masomo mazuri
AMINA
Hakika mwisho utakua tu.
Sehemu ya tano naisubiria wapendwa itakuwa lini ?
HIVI KARIBUNI
Nmeamini Kuelewa biblia haihitaji PHD
hiki kipindi hakie ndelei Tena kwasababu hiyo sikioni Yani alfabeti zadunia hii
KINAENDELEA, KAMA UME-SUBSRIBE, UTAPOKEA HIVI KARIBUNI
Mchungaji samahani naomba sehumu ya5
ENDELEA KUSUBIRIA HUENDA IKAWA HEWANI KUANZIA JUMATANO HII
Pastor shida nini Semba mbona mahubiri uendelei kurusha?
KAMA UME-SUBSRIBE UTAPOKEA UJUMBE HIVI KARIBUNI
Asante nime subscribe ndio lakini kila nikiingia naona mwisho ni day 4 lakini kadri navyosikikiza naona bado kuna muendelezo na si mwisho Pastor Semba ila Mungu wetu atukuzwe kwa kukutumia vema kupitia mafundisho yako uliowezeshwa na roho unanifanya kukutana na Mungu Mungu akubariki sana!.
YANAKUJA NDANI YA JUMA HILI @@jasonchanzi1023
@@paulsemba_TV pastor nahitaji kitabu cha unabii wa kitabu hiki
@@paulsemba_TV nilikutumia na normal text