UMUHIMU WA KUONGOZWA NA ROHO || PASTOR GEORGE MUKABWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2023
- Jesus Restoration Center ni kanisa liliopo Mwanza, Tanzania (Kirumba Polisi Mwisho wa Lami) Likiongozwa na Pastor George Mukabwa.
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Gospel Teachings for soul winning Purpose. - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Mungu.akubariki.kwaneno.nimekufata.kilasiku..apamujini..congo..lumbu.mbashi..asate
Hili somo nilisikiliza Jana live hila naona nilirudie Tena leo maana ni somo lapekee kwangu limenigusa sana❤❤❤❤ Asante Yesu Kwa uponyaji mkubwa 🙏
Amen.Nimebarikiwa sana Mchungaji.
Amina, Niko tayari kuongozwa na Roho wa Bwana.
Amen nachukuru kamafundicho
Unaninjengaka sana kwenyimafundicho
Hili somo , ni zuri sana , nami nimerudia tena kwa mara ya pili japo nilikuwepo kabisa kanisani,
Yesu ameniponya kwa neno hili,
Mungu alitaka kusema nami kupitia somo hili
Asante Yesu
Hongereni mnaopata neema ya kufka katka kanisa lake maana namfutilia kwa muda mrefu na nabarikiwa mno🙏
Mungu wetu ni mzuri barikiwa mchungaji
Kwakweli Mungu akubariki sana
Amen Ubarikiwe mchungaji
Barikiwa mtumishi wa Mungu aliye hai, nabarikiwa mnooo
Karibu Roho Mtakatifu 🙏
Asante Sana mtumishi wa mungu mafundisho mazuri sana
Nimebarikiwa sana mtumishi wa mungu.
NENO zuri SANA PASTOR ANATUSAIDIA SANA BUSARA ZAKE KUBWA MUNO, WATU WA MITAMBO TUSAIDIA KUONGEZA SAUTI JAMANI.
Mungu naomba uendele kuniponya Na umabariki huyu pastor🎉🎉🎉
Hili somo limenifungua sana Mungu akubarik mtumishi
Woow walai Hreat man of God you are my mentor ❤❤❤❤❤❤❤st poelten hire Niederoesterreich oyes
Amina asante mchungaji,kwa neno la mungu linanifumbua macho na akili.barikiwa baba❤
Aminaaa sana babaa, Mungu akubariki sana kwa mafundisho yako
Amina nipo tayari kuongozwa na bwana
Hallelujah, na barikiwa sana na mafundisho yako, barikiwa muchungaji
Amen,nishukuru nimebarikiwa na hii neno
Amina unanifundisha kujua mambo ya mungu
Good God is everything
You hv been a real blessing to me .live long
Amen mushunga neno hili nilango nikweli Mimi nilijion gozawenyewe ndiyonana mamboyango hayendi nashukulu kwasababu yamafundisho yaeniponya yameni funguwa kujiongoza mwenyewe nashukulu kwa neno hili mungu akubaliki nakukuonge zeya maisha marefu amen
😊
Amen, Mungu akubariki mtumishi ujumbe huu umenitoa ktk hatua ingine umenigusa sana Mungu azidi kukuinua kwa ajili ya kz yake
God bless you PASTOR. Neno zuri sana lafaa kwa mafundisho bila kujali madhehebu. Linafit kila mahali bilankuja unasali wapi. BARIKIWA SANA NA MUNGU AKUINUE JUJU JUU SANA
Roho waBwana naomba uniongoze SIKu zote za maisha yangu ame
Nabarikiwa sana na mafundisho yenye kibali Mtumishi Mungu akubariki sana. Tunapona sana na kukuwa kiroho
Amina nashukuru mungu wangu Kwa Neno hili
AMEN BABA 🙏 BARIKIWA KATIKA YESU MILELE
AMEEN BABA yangu naomba MUNGU aniongoze
Kupitia mafundisho iyi naomba Mungu aondowe hofu ndani yangu na aniongoze🙏
Mtumishi umenijenga Sana Sana katika kuelewa neno
Asante Mtumishi neno lako limenisaidia Sana ubarikiwe
Mungu akubariki saana Mtumishi wa Mungu
Asante kwa neno la mungu mtumishi
Be blessed pst for such wonderful word of God to me
Thanks you Apostle for so much
Roho wa Bwana akutunze unanisaidia sana masomo yako
Roho Wa bwana Na uniongoze.mungi azidi kukumbariki zaidi
Man of God ubarikiwe wewe na uzao wako
Hongera Mtumishi Ubarikiweee
Sitakubali kuongozwa na sauti za ibilisi.
,..bfc)???
Masomo mazuri Mimi Pastor napenda Busara zako zinanisaidia.
Naomba watu wa mitambo watuongezee sauti kidogo jamani.
Mungu naomba kuongezwa na roho wako
Amina
Amen🙏🙏🙏 kama Mimi Hili SoMo lomenigusa ila natamani ya kumsikia roho mtakatifu
Amen Pastor ubarikiwe sana kwa mafundisho yako
Amen SoMo limenijenga sana sana kiroho
Hakika nimeelewa mungu kila kitu balikiweni mtumishi
Asante ujumbe mzuri baba
Nainuliwa katika jina la YESU
Amina ,nakoma kujiongoza
Amen Mtumishi wa Mungu. Nimebarikiwa sana.
Ubarikiwe Mtumishi Safi Sana
Amen
Amen 🙏🙏
Unanibariki sana Mungu akubariki
Amina.
Nakuewa sana pasta mungu 😢😢
Mungu ni mwema
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA
Amen 🇰🇪🇰🇪
Ubarikiwe na bwana
Ameen and Ameen Our God is powerful
Ameen and Ameen Our God is powerful
Mungu aniongoze ktk yote
Sijaona mchungaji anafundisha vizuri kama huyu, nipo tu mbali naye
AMEIN
Pastor niombee nipate kibali juu YA Maisha yangu,naomba niongozwe Na roho wa bwana
Nahitaji mungu zaindi katika maisha yangu
Aleluaasifiwe mungumweyezi
Asante Kwa mafundisho mazuri ,,Mungu namuhitaji Roho mtakatifu aniongoze
Ameen
Amina hili somo ni kwa ajili yangu Mtumishi,Mungu akubariki sana na Mungu anisamehe kwa kujiongoza mwenyewe nimejuwa wapi nimekwama.
Mpigie yesu kristo makofi
Ameen Ameen
Mimi hapa naitaji kuomgozwa na Roho mtakatifu
Mungu akubariki pastor kwa mafundisho mazuri nabarikiwa sana kwakweli mungu anakitumia samahani mtumishi sijaziona namba zako za simu
Niko tayari kwa neno
AMINAAA
Amen amen amen
Blessings
Amen 🙏
Amina mtumishi unanibariki sana ,natamani masomo yako ikimpendeza bwana niyapate kwa njia ya watsap ningefurahisana .
❤❤❤
Sauti iko chini kuasi
Ameeen
🙏🙏
Nip moro naomba namba za pastar😊
😂😂Apo kwa warabuni sasa wengi tulidanganywa tukadanganyika
Amen.
Shalom, iwapendez wa husika nipeni namba ya mchungaji Mkabwa ni Léonard toka Drc Congo
Mungu akuzidishie upslope na Baraka zake . Natamani ningekuwa Mwanza . Bwana Mungu aliongeze kundi
Amina
Amen
Amen 🙏🙏🙏
Ameen
Amen
Amen
Amina
Amen
Ameen