- 439
- 626 746
Beit Abraham ( Nyumba ya Abraham)
เข้าร่วมเมื่อ 2 พ.ย. 2017
IMANI & KURUDI KWA YESU| Rabbi Abshalom Longan
IMANI & KURUDI KWA YESU| Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง: 1 693
วีดีโอ
IMANI & KURUDI KWA YESU | Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 2K14 ชั่วโมงที่ผ่านมา
IMANI & KURUDI KWA YESU | Rabbi Abshalom Longan
MAISHA BILA YESU NI MAJANGA / Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 2.4K14 วันที่ผ่านมา
MAISHA BILA YESU NI MAJANGA / Rabbi Abshalom Longan
UNYAKUO WA KANISA & TAIFA LA ISRAEL (02) Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 6Kหลายเดือนก่อน
UNYAKUO WA KANISA & TAIFA LA ISRAEL (02) Rabbi Abshalom Longan
UNYAKUO WA KANISA & TAIFA LA ISRAEL - Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 11Kหลายเดือนก่อน
UNYAKUO WA KANISA & TAIFA LA ISRAEL - Rabbi Abshalom Longan
JE, YESU YUPO KARIBU KURUDI KWA KIWANGO GANI (02) Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 2.8K2 หลายเดือนก่อน
JE, YESU YUPO KARIBU KURUDI KWA KIWANGO GANI (02) Rabbi Abshalom Longan
JE, YESU YUPO KARIBU KURUDI KWA KIWANGO GANI? - Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 3.8K2 หลายเดือนก่อน
JE, YESU YUPO KARIBU KURUDI KWA KIWANGO GANI? - Rabbi Abshalom Longan
THAMANI YA WOKOVU KATIKA DAMU YA KRISTO 02 - Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 1.5K3 หลายเดือนก่อน
THAMANI YA WOKOVU KATIKA DAMU YA KRISTO 02 - Rabbi Abshalom Longan
THAMANI YA WOKOVU KATIKA DAMU YA KRISTO - RABBI ABSHALOM LONGAN
มุมมอง 2.2K3 หลายเดือนก่อน
THAMANI YA WOKOVU KATIKA DAMU YA KRISTO - RABBI ABSHALOM LONGAN
NDANI YA UFALME - Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 1.8K3 หลายเดือนก่อน
NDANI YA UFALME - Rabbi Abshalom Longan
FAIDA YA PASAKA - Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 2.4K4 หลายเดือนก่อน
FAIDA YA PASAKA - Rabbi Abshalom Longan
UMUHIMU WA JINA LA YESU| Rabbi Abshalom Longan| NYUMBA YA ABRAHAM TANZANIA|
มุมมอง 1.9K4 หลายเดือนก่อน
UMUHIMU WA JINA LA YESU| Rabbi Abshalom Longan| NYUMBA YA ABRAHAM TANZANIA|
UNYAKUO WA KANISA - DAY 1 - Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 6K4 หลายเดือนก่อน
UNYAKUO WA KANISA - DAY 1 - Rabbi Abshalom Longan
UWEZA NGUVU NA MAMLAKA | PURIM | Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 1.9K5 หลายเดือนก่อน
UWEZA NGUVU NA MAMLAKA | PURIM | Rabbi Abshalom Longan
UNABII WA SIKU ZA MWISHO NA KURUDI KWA YESU|Rabbi Abshalom Longan| DRC
มุมมอง 15K6 หลายเดือนก่อน
UNABII WA SIKU ZA MWISHO NA KURUDI KWA YESU|Rabbi Abshalom Longan| DRC
MUNGU AKIWA UPANDE WETU NANI ALIYE JUU YETU - 02 |Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 2.5K6 หลายเดือนก่อน
MUNGU AKIWA UPANDE WETU NANI ALIYE JUU YETU - 02 |Rabbi Abshalom Longan
MUNGU AKIWA UPANDE WETU NANI ALIYE JUU YETU? | Rabbi Abshalom Longan
มุมมอง 4K6 หลายเดือนก่อน
MUNGU AKIWA UPANDE WETU NANI ALIYE JUU YETU? | Rabbi Abshalom Longan
Asante sana Kwa mafundisho haya.Mungu akubariki Sanaa
Nabarikiwa na mafundisho nikiwa kyela mbeya
Asante sana Babaku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory to God
Nabarkiwa nawewe yohana Niko ukerewe
Mungu akubariki mtumishi kwa mafundisho mazuri nimebarikiwa sana
Amen 🙌
Amen 🙌
Amen for God be the glory
NAMI Nita yakuliwa na yesu Niko tayari
Amen 🙌
Damu Ya Yesu Kristo unaweza yote
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa

Babaku wa kiroho barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu haya mafutisho mazuri Ya kutoka Kwa mwenyezi Mungu hakika umetufungua macho ya rohoni barikiwa sanaaaana
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa ❤❤❤ aminaaaaa aminaaaaa
Naanza Tena kuhubiri Kwa nguvu,Asante kwa kunishtua mtumishi
Kupiga gitaa wakati wa neno kunakera sana. Inaonesha mhusika hasikilizi, anahangaika na muziki tu, lakini pia mimi msikilizaji linanikera.
Mungu abariki huu mtumishi sana tena sana kutupa habari hizi za siku za mwiho maana wengi wetu makanisa hatufundishwe habari za kunyanguluwa ili kanisa tubaki chonjo! tena Mungu abariki mtumishi sana.
Amen Muchungaji tunakufata kutoka Africa kusini ni mupendwa wenu justin
Emen
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Neema ya mungu iwe nawe rabbi pia na sisi pia amen
Amen may God bless you reach many souls in Jesus watching from kenya Lamu island.you really help me to understand scripture easily . Ashe oleng.
Naam Àmina ❤
Hiyo mkubwa yao hafi mtu apa
Ameeen ujumbe moto❤
Mungu wa Israël atukuzwe kwa upendo wake mukubwa kwa ajili yetu.
Mungu atukuzwe kwa kuwa nimekufata tena, Kristo atukuzwe zaidi sababu muda ujao nitapata nafasi ya kukuona macho kwa macho kwa mukutano inayo fata.
Amen men 🙏🙏
Tunashukuru kwa mahubiri yenye kujenga mioyo na imani zetu kwa Mungu.
Amen Barikiwa sana RABI
Mchungaji asante sana kwa mafundisho Mazuri MUNGU Akubariki Ila nawasihi musiwe munakata mafundisho asa wakati wamaombezi munatuhiumiza. Sana Sisi ambayo tunafatiliya mtandaoni Mungu akubariki
Amen! Neema ya MUNGU izidi kuwa kubwa maishani mwetu
Amina
Waaah!! Haki nimependa hii
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa mahubiri mazuri.
Injiri maalum kwa watu wotee na anaesikia na azidi kusikia na anaeona na azidi kuona yaliyo nenwa zaman sasa tuna yaona kwa macho na kuyasikia Mungu atusaidie kwakweli Mungu akubariki mtumish kwa Elimu hii na injiri hii
Naam Àmina
Hallelujah injili ya wakati kamili kwa kurudi kwa Yesu ubarikiwe sana bishop kwa ujumbe mzuri sanaaaaaa
Nissani ni mwezi wa Gani Mtume wetu
Wajukuu, vitukuu, viningina
Nabarikiwa sana ninapokusikiliza. Mungu akubariki sana. Mafundisho manyonge hayana naafasi kwangu tena
Mimi ni Wilfred kutoka Kenya kisii ,Wewe ni baba yangu wa kiroho nimechuwa mengi kupitia wewe .mungu akubariki sana.
Shalom
❤❤❤❤❤❤ Yesu nisaindie mwokonzi wetu Kristo Yesu tubinganiye tubate ushindi Dunia hii na ulimwengu wa kiroho tushidanie Yesu
So powerful ,kama sijawahi kulisikia hili neno, Mungu akutunze Rabbi,
Nabarikiw sana na mafundisho yako mazurii Mungu azidi kukufunulia zaidi
Nabarikiw sana na mafundisho yako mazurii
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa
Ameen mtumishi