Mnchungaji mungu akubariki ,Tena Sana.Elimu Yako ya biblia,ninaifata sana.tena Nami Nina ifundisha watu apa CANADA .Mimi ni zee wa kanisa ao chemashi. Ninakufata Sana ,Nahitwa ,Dunia kilulu.
Rabby Bwana Yesu asifiwe naomba saa Rabby Tuombee mimi na mume wangu kisukari kipone na kidonda kikauke katika jina kuu laYesu. Rabby Mtumishi wawa Mungu Abisolom niko kibaha na mume wangu Apolo India hospital
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Mungu akubariki sana mtumishi, naomba maombi kwa ajili ya ayfa yangu iiimarike nina maumivu ya mgongo Bwana yesu anifungue na Kila kifungo kiniachie nikutumikie kwa uaminifu
Ubarikiwe sana mchungaji,mimi hapa marekani nina kufwatiliya miya kwa miya.neno unalo lihubiri lina nitiya nguvu.ila kuna sehemu ambayo umetwambiya kama unapo lihubiri neno la Mungu uwa unatumiya simu,tena umesema huna aja ya kununuwa biblia kumbuka kwamba izo bibilia za kwenye simu ipo siku zitafutwa.niafazali kuambiya watu wawe na vitabu aina ya bibilia ndani ya nyumba zao.asanteni sana mutumishi wa Mungu
Good evening Rabi I tell you your message is beyond powerful. But I want to bring request to you please may you repeat same message use English so that many people understand this message. For example I am living in Zambia many Zambian they don't understand Swahili. I personally speak Swahili because I stayed in Tanzania three years but the lest of Zambian they don't. On behalf of Zambian I plead with you find any means so that other none Swahili speaking countries may get this powerful message. Rev. Lason Mushani Zambia
Kwasababu ukimkiri YESU kwa kinywa chako na kuamini moyoni mwako ya kuwa ni BWANA na MUNGU alimfufua katika wafu utaokoka. Maana kwa kinywa mtu hukiri hata kupata wokovu na kwa moyo huamini hata kupata Haki. Kama unaamini basi umeokoka
Neno zuri sana mtumishi Wa Bwana.Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu baba hata Yesu Kristo atakaporudi kulinyakua kabisa.
Amina mungu awabariki 7:30
I'm in love with this man of GOD!
MUNGU anendelee kukutunza.
Endelea kunyenyekea Baba angu 🙏
Amen Rabi nami kwa imani nashika pindo la taliti yako leo🙏🙏
Mnchungaji mungu akubariki ,Tena Sana.Elimu Yako ya biblia,ninaifata sana.tena Nami Nina ifundisha watu apa CANADA .Mimi ni zee wa kanisa ao chemashi.
Ninakufata Sana ,Nahitwa ,Dunia kilulu.
Amen baba Mungu atusaidie tutengeneze njia zetu
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu asamte ninabarikiwa na mahubiri yako from Mozambique 🇲🇿
Rabby Bwana Yesu asifiwe naomba saa Rabby Tuombee mimi na mume wangu kisukari kipone na kidonda kikauke katika jina kuu laYesu. Rabby Mtumishi wawa Mungu Abisolom niko kibaha na mume wangu Apolo India hospital
Wenye kisukari vyenye vidonda miguuni tumetangaziwa wawasiliane na Hospital ya kariuki kuna tiba itatolewa
Asante mtumishi nakupata vizuli nikiwa mbeya ubalikiwe sana kwa mafundisho
Shaloom Aleichem, Nimekuelewa Mungu atusaidie kuingia katika mbingu zake
Amen.amen
Mungu akubariki na atujalie neema tuelewe haya maneno na tuyashike maagizo ya Mungu ,Na zaidi ya yote tuishi ndani ya utakaso 🙏🙏🙏
Amina
***AMEEEN AMEEEN AMEEEN! *MAANA YAKE DANI YAUTAKASO, NI KUACHA ZAMBI (UONGO) NA KUFATA "UKWELI"
Q11¹¹11¹1¹11q111111¹1111¹¹11q111¹11¹¹11¹¹1¹1¹q1¹¹¹1¹¹ 1:16:35 1:16:35
Mwanangu Ivan natamani.mungu amponye na kumtumikia mungu
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Nashika pindo la vazi taliti nina vita kali mtumishi naitaji maombi napokea kwa jina la Yesu Amina
Mtumishi kwaimani na mimi nimeshika mungu aniponye pamoja na familia yangu nimepokea vyote
Amen 🙌,in you i see Apostle Paul back again 💖
Mtumishi naomba uniombee nataman sana kumtumikia mungu kwa uaminifu mungu anisaidie sana
Amen Amen Amen ❤❤❤❤
Haujambo Mjumbe wa Mungu mtumishi Beit.
Nimefurahiya fundisho hili kabisa.
Mungu akubariki.
Beit, maana yake ni nyumba; mtumishi anaitwa 'Abshalom Longan '
Mungu abariki kazi Yako
Ubarikiweee Baba Kwa kutuponya roho zetu mengine nilikuwa hata siyaelewi vizuri sasa nimeelewa Barikiwa Barikiwa baba 😂 Amen
Mungu atujaliye neema na abariki mutumishi wake kwa ukumbusho wa kunyakuliwa kwa kanisa
Ubarikiwe baba tumeigusa kwa Imani
Mungu akubariki sana mtumishi, naomba maombi kwa ajili ya ayfa yangu iiimarike nina maumivu ya mgongo Bwana yesu anifungue na Kila kifungo kiniachie nikutumikie kwa uaminifu
Ubarikiwe mtumi wa Mungu
Amen 🙏🙏🙏🙏 kubwa najisikia kupokea muujiza wangu
Amen! Tunajifunza sana
Amen amen amen ameneeeeeee
Amen amen amen
Thank you so much for beautiful message
Haya mafundisho mazuri Ya kurudi Kwa Yesu Mimi nabarikiwa Sana mutumishi wa Mungu
Nami nipo nanyi pomoja mungu awabariki
Baba endelea kutufungua ability mungu akubariki
Barikiwa saaana ulindwe na DAMU YA YESU
Mungu akubariki mutumishi
Ameen barikiwa pastor
Mungu aendelee kuwa nawewe unapo hubiri injili ya mwisho
ai mtumishi barikiwa jamannatamaman sana
Amen Mtumishi,Kwa mafunuo ya Hekima ya Kimbingu,Nimebarikiwa sana sana
Mungu akubariki Rabih
Amina. Mungu atuponye
Amen Amen Amen Mtumichi
MUNGU azidi kukutunza Sana Sana Sana Mtumishi wa MUNGU, nimekuelewa vizuri Sana.
Amen, Amen.
Amina baba Mungu atupe kutengeneza
Mungu akuinue🙏
Aminaa hapo ulipo naligusa pindi lahilo vazi nipate kupona kisukari
Ameni, Barikiwa sana!
Aksate Sana mtumishi wa mungu
Thanks for good message to my
Na shukuru sana kwa ufunuo wa neno la mungu
Baba nimebarikiwa Sana na masomo Yako hongera
Mungu ALETE Neema watu waeleweNeno hili. Kwa SABABU Siku za kuja Kwa Kristo ni karibu
Ujumbe mzuri nimebarikiwa
AMEN, AMEN. Asante Kwa kutuombea Rabbi na Kwa kutufundisha maana ya Tallit. Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU
Amina sana mtumishi
Thanks so much and God bless you amen 🙏
Ubarikiwe sana mchungaji,mimi hapa marekani nina kufwatiliya miya kwa miya.neno unalo lihubiri lina nitiya nguvu.ila kuna sehemu ambayo umetwambiya kama unapo lihubiri neno la Mungu uwa unatumiya simu,tena umesema huna aja ya kununuwa biblia kumbuka kwamba izo bibilia za kwenye simu ipo siku zitafutwa.niafazali kuambiya watu wawe na vitabu aina ya bibilia ndani ya nyumba zao.asanteni sana mutumishi wa Mungu
***ASWA BIBLIA ZETU ZIWE DANI YA ROHO!
***YANI, KUFUNULIWA NENO LA MUNGU KWAKU LIFANYIZIA KAZI (METTRE EN PRATIQUES) ASANTE!
Asante kwa ufafanuI wa Hilo vazi
Nabarikiwa sana baba kwa mafundisho haya!
🙏🙏🙏
Naiona neema ya Mungu juu yangu kupata nafasi ya kusikia Neno la uzima hili
Amina mtumishi
Aminaaaaaa 🙌
Mungu azidi kuinuliwa
Amina.baba
***AMEEEN AMEEEN AMEEEN!
Tushukuru kwa mafundisho
Aminaaaaa ❤❤❤❤❤
Good evening Rabi I tell you your message is beyond powerful. But I want to bring request to you please may you repeat same message use English so that many people understand this message. For example I am living in Zambia many Zambian they don't understand Swahili. I personally speak Swahili because I stayed in Tanzania three years but the lest of Zambian they don't. On behalf of Zambian I plead with you find any means so that other none Swahili speaking countries may get this powerful message. Rev. Lason Mushani Zambia
Amen 🙏
Love Jesus with all your heart
Iyo tarit tunaweza kuionaje mutumishi wa Mungu
Shalom!! Nina shida ya kumwona Rabbi,nifanyeje kuweza kumwona.Naomba Namba zake za simu,na Kanisa Lake like wapi?
Shalom maipenfa israel. Naiombea baraka
Nmeshika pindo la Taliti, MUNGU akubariki.
Amen
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen
asante nimekuèlewa mnoooooooo
Ubalikiwe❤❤❤
Barikiwa mtu wa Mungu Mungu kwa ujumbe mkuu namna hii.na atuongezee imani
Mimi Ni Mtumichi Wamungu Kutoka Kenya peter makau
kwaimani NAMI nashika pndo
Asate kwa mafundisho
AMEN TUMJUE MUNGU KWA UMAKINI
***USIJALI MATESO YAKO, WEWE TUBU KIUKAMILIFU KWA KUACHA ZAMBI! FATA NENO LA MUNGU (AMRI) KWAKU ONYESHA MATENDO YAKO MAZURI UTAFANIKIWA AMEEEN!
Mahubiri mnayo sema yataendelea mbona hamweki jamani watu tunafatilia neno la Mungu na tuna kiu nalo.🥹🥹🥹
Shalom Israel
Amiina
Kanisa litanyakuliwa kwanza au wapinga kristo watahidhilika kwanza? Tribulation before rapture?
@@JosephineKamau-m7w Kanisa Litanyakuliwa Kwanza
@@beitabrahamnyumbayaabraham2974 na tribulation na antichrist?
Nami nipo hapa naomba niwe mwaminifu
Kweli ni complicated lakini Roho Mtakatifu atatuelrwesha
Mungu akubariki Sana, maana mahubiri yako yananibariki Sana.Mingu akupe maisha marefu ili uendelee kuyafundisha maandiko ya Mungu.
AMEN NAFURAHI KUPATA MAFUNDISHO HAYA NAOMBA NIOMBEWE NIOKOKE MAANA SIJAOLOKA,
***USIJALI! TAMKO YAKO MUNGU ANAISIKIA... IWE YA UKWELI!
Kwasababu ukimkiri YESU kwa kinywa chako na kuamini moyoni mwako ya kuwa ni BWANA na MUNGU alimfufua katika wafu utaokoka. Maana kwa kinywa mtu hukiri hata kupata wokovu na kwa moyo huamini hata kupata Haki.
Kama unaamini basi umeokoka
Mungu yupamoja nawe bishop
***SURTOUT "UNE RÉVÉLATION DE DIEU" AMEEEN AMEEEN AMEEEN!
Shalom!! Naomba namba ya simu ya Rabbi naumwa nahitaji maombi,piano Kanisa like wapi?
Amina mtu wa YEHOVA
iiiiiiihii amén Mamani kuokoka raha
Ameen 😢
nami nahitaji kulishika pindo lako ili nipate kupona
Baba, natamani nikuone niongee na wewe,.kuna mawe ya thamani ndani Yako...
Mungu atusaidie tupate ushindi Kwa maisha yetu m