KUSHINDA WAKATI TULIONAO WA SIKU ZA MWISHO TUSIJE TUKAKOSA UNYAKUO -(sehemu 4) Rabbi Abshalom Longan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 พ.ค. 2023

ความคิดเห็น • 11

  • @afredfodogo7857
    @afredfodogo7857 5 หลายเดือนก่อน

    Sura kamili ya kumjua Mungu Amina

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 5 หลายเดือนก่อน

    Glory glory hallelujah

  • @liliantitus7067
    @liliantitus7067 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nimegunduwa kama mimi ni mwana wa Mungu nimezaliwa kwa mbegu isiyo haribika kwahiyo sina cyakuni tisha cho chote kile hata mauti hata ajali bifo bya gafla , sita tembea tena na maneno yawatu wa mtaani❤❤

  • @user-os1gv3xb8q
    @user-os1gv3xb8q 4 หลายเดือนก่อน

    Jambo mtumishi, mimi vile ni Pasteur huku Congo DRC, ninafurahishwa sana n'a mahubiri haya sababu yamenijenga. Sasa kwa Imani niliyo nayo, Nachunga muujiza.

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 10 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa kuona namnawatu hawacqngamkii kuona haya mafunuo nimevumbuwa hili shimo la ma Dini siyo nyuma ila huu nimuda Mungu alipenda nimuvumbuwe huyu baba kwa wakati huu ili nikomae zaizi kirpho niepukane na jehanamu asante mtumishi wa Mungu

  • @methodiakyelanga2545
    @methodiakyelanga2545 8 หลายเดือนก่อน +1

    ..Kuhusu Nuhu kupata neema , ni kwamba yeye toka kuzaliwa kwake alipozaliwa mzazi wake Lameki alimtamkia habari za neema (Mzo 5 : 28 - 29 ).
    Na ndivo ilivokuja kutokea baada y kutoka ktk Safina alimjengea BWANA madhabahu ( Mzo 8: 15 - 22 ).

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 10 หลายเดือนก่อน

    Napenda saaaaana mafunzo yako niya uzima kabisa niko marekani maneno kama jaya ningeyapata wapi? Miyesalima niombee tu ni pate mwisho mzuri kuliko mwanzo

  • @johnnguttu9516
    @johnnguttu9516 ปีที่แล้ว

    AMEN, AMEN.. asante Sana Kwa Mafundisho mazuri Rabbi.. Kweli ROHO WA MUNGU atusaidie kujua ya kwamba Sisi tu warithi.. Asili ya MUNGU niliyozaliwa nayo hawataniweza & wala hakuna lolote baya litakalo ingia Kwa hema yangu.💪💪Kwa sababu nimezaliwa na mbegu isiyoharibika/Neno la MUNGU lidumlo hata milele 👏👏👏. Barikiwa mno Rabbi..

  • @williamkitigwa-ex8rt
    @williamkitigwa-ex8rt ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Baba MUNG akubariki na azidi kukutumia

  • @methodiakyelanga2545
    @methodiakyelanga2545 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona ktk Mzo 6: 1- 8 NENO linatueleza wana wa Mungu, na binti za wanadamu, je wana wa wanadamu ni kina nani?
    Na km tutasema wana wa wanadamu ndo hao viumbe, sasa mbona nasi tulio wa YESU KRISTO nasi tunaitwa wana wa wanadamu, na sio wana wa MUNGU?
    Hili jambo likoje?