DR.SULLE BILA KUPEPESA MACHO HAWA HAWAWEZI KUOA MASHARITI YAO NI MAGU MNO/JAPOKUA WANA PESA NYINGI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มิ.ย. 2023
  • #drsulle #health #trending #tanzania

ความคิดเห็น • 422

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +51

    Mash Allah na Alhamdulilah Mtume wetu ni Professor wa maProfessor ni mjuzi wa wajuzi kwa uwezo wa Allah alie muwezesha kupitia Quran yetu takatifu Quran haijaacha kitu. Tusemeni Alhamdulilah kwa Neema hii ya Uislam.

    • @aminanahimana8759
      @aminanahimana8759 ปีที่แล้ว +2

      آمين يا رب العالمين

    • @OmarNzili-nd2mh
      @OmarNzili-nd2mh ปีที่แล้ว

      Alhamdulillah

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga wewe. Mtume wako ni chizi. Si ndio alisema homa inatokana na joto la motoni 🤣😂😅 kasome Sahih Al Bukhari 3262

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว +3

      @@ikabako2454 Mwenyezi Mungu atakulipa kwa hii kauli yako. Uchizi ukupate wewe kabla hujakufa. Namuomba Mwenyezi Mungu aitikie hii Dua yangu huku nimefunga leo saumu !! Hii kauli ikuridie wewe uwe chuzi kabla ya kufa kwako Amiin Rabbil Alaamin.

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 ปีที่แล้ว

      @@ikabako2454 kauli hii ijurudie kwako labda In shaa Allah .

  • @chirorophus6927
    @chirorophus6927 ปีที่แล้ว +11

    Mashallah Alhamudulillah Dr. Al-hajj mwenyezi mungu akuweke

  • @khadijaibrahim870
    @khadijaibrahim870 ปีที่แล้ว +26

    Kweli kabisa Dr Sule athkari na swala za mtume zinamanufaa makubwa hiyo nimeishuhudia

  • @DagrasKaragane
    @DagrasKaragane 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nimekuelewa Shekh upo sahihi kabisa japo mi ni mkirsito but unaongea point takatifu MUNGU akubariki ❤❤❤

    • @nunischwele8686
      @nunischwele8686 9 หลายเดือนก่อน

      Jitahidi mwenyezi mwenyezi mungu akuongeze uweze kuslim uweze kuingia kwenyee dini ya kweli ya Allah (s.w) naamin utanishukuru san ,Amiin 🙏

  • @jumannemuhammad2073
    @jumannemuhammad2073 ปีที่แล้ว +11

    Allahumma swal'alaa Muhammadi,yah rabbi swalli alayhi wasalimu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌹

  • @MkBoneface-dl4hn
    @MkBoneface-dl4hn 10 หลายเดือนก่อน +4

    Allah Akbar allah akubariki Dr sule Mimi abubakr Mugeni Congo djimbo la Maniema kasongo nimekuombea Allah akupe umri mrefu usife MPa unifunze hata erufi modja inshaallah Allah anikubalie

  • @hajisalum4767
    @hajisalum4767 11 หลายเดือนก่อน +9

    Jini anaefungamana na binadamu hata kama atamtaka huyo binadamu awe anafanya ibada huyo ni jini mbaya, jini mzuri hawezi kufangamana na binadamu kwa namna yoyote ile

    • @MengiRashidy
      @MengiRashidy 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe ujui kitu msikilize shee

  • @MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud
    @MiraclemirajiMiraclemira-jm1ud 11 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu ndio mwenye utajiri ila Sio majini shekha kumbuka Mungu Hana mshirika

  • @frankdanford8245
    @frankdanford8245 10 หลายเดือนก่อน +42

    Mimi japo mkristo ila huyu sheikh namsikilizaga sana ana madini ya ukweli sana haswa ktk karne hii tuliyonayo ana mengi anayofundisha tena ya ukweli sana. Mwenyezi Mungu amuweke sana 🙏🙏🙏

    • @africa7479
      @africa7479 10 หลายเดือนก่อน +5

      Mwenyezimungu akuweke na wew na akiongoze katika haki pia, ni wachache sna wanaoweza kukiri hata wakiona ukweli unazungumzwa wao wanakana tu

    • @nunischwele8686
      @nunischwele8686 9 หลายเดือนก่อน +4

      Jitahidi mwenyezi mwenyezi mungu akuongeze uweze kuslim uweze kuingia kwenyee dini ya kweli ya Allah (s.w) naamin utanishukuru san ,Amiin 🙏

    • @abdallahjumannekisalo7107
      @abdallahjumannekisalo7107 8 หลายเดือนก่อน +4

      Inshallah

    • @shafiibakiri
      @shafiibakiri 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mwenyezimu akulipe mema

    • @KareemMkobe-sq8ym
      @KareemMkobe-sq8ym 8 หลายเดือนก่อน +1

      Nitaflai ukisilim

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 10 หลายเดือนก่อน +3

    Dr.sulle Mimi nikupe 🌹💐🥀 mapema maana huwa huyumbishi maneno

  • @HusseinSaid-ht7kp
    @HusseinSaid-ht7kp 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huy shekhe mungu ampe maisha marefu sana maana anafundisha mawaidha mazuri sana

  • @abuuaisha9095
    @abuuaisha9095 ปีที่แล้ว +8

    Inno lillah wa inna ilayhi raj'uun..!!Waislam someni elim za kisheria ili kuepukana na matapeli kwenye vazi la Uislam..!! Allahu musta'aan

    • @abasmaalim5423
      @abasmaalim5423 ปีที่แล้ว +1

      Sheikh anatoka katika njia ya sawa sababu ya pesa. Tunamuomba Allaah afya na salama. Elimu ya dini ndo ufunguo wa maisha

    • @shabanbaheza4711
      @shabanbaheza4711 10 หลายเดือนก่อน

      Acha ujaahil ww salafy mavi

  • @mamanabdoul4397
    @mamanabdoul4397 ปีที่แล้ว +2

    Jaza KAllahu khayri.Allah atuongoze

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe mm nakukubali Sana ila naona biashara nyingi kuliko mawaidha unachanganya dini na biashara acha kufanya ivo watu wa mungu hawana tamaa ya utajiri

  • @harunaotieno2893
    @harunaotieno2893 ปีที่แล้ว +10

    Assalaam alaikum waramatulah wabarakhatu...pongezi Suleh kwa mafunzo yenye manufaa hapa duniani na huko akheira....ila walinzi mahali kama hapa..si picha nzuri kiukweli...maana hata mtu hakuwa akisimamiwa na walinzi..tusiige sana wengine

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 ปีที่แล้ว +4

      Kwaajili ya Usalama sio wote wanaompenda,ata Masharifu wa Harram Makkah wanalindwa na polisi kulia na kushoto.

    • @SebastianJugle-lb7ob
      @SebastianJugle-lb7ob 6 หลายเดือนก่อน

      Kwanini waislamu msiwe wana anga acha unafiki

  • @user-cw1qc8do8g
    @user-cw1qc8do8g 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah Shekh Yuko vizuri

  • @3kingsmusictv873
    @3kingsmusictv873 7 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah ❤️ alhamdulillah kwa elimu

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallah ya Allah 😢😢

  • @user-ce6vw7nv7q
    @user-ce6vw7nv7q 5 หลายเดือนก่อน

    Asante dr. Mungu aku zidishiye elimu Sana.

  • @chinaboyzanzibar5328
    @chinaboyzanzibar5328 11 หลายเดือนก่อน +2

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NdoileSelemani-zj6dl
    @NdoileSelemani-zj6dl 10 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa allah

  • @wahshiy-dizzier-nm5rx
    @wahshiy-dizzier-nm5rx 7 หลายเดือนก่อน +2

    mungu akuweke shekhe mwenye bodyguard nakukubali sanaaaaa

    • @khatibsrina1105
      @khatibsrina1105 6 หลายเดือนก่อน

      Umenifurahish sheh mwenye bodygard

  • @DhaharaniJongo-gt2un
    @DhaharaniJongo-gt2un หลายเดือนก่อน

    Namkubar sna dr sule

  • @user-do8jp4tc4p
    @user-do8jp4tc4p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe mungu akubariki san unahubiri vizuri san unaongea vizuri sana huna upande wakuegemeya unaongea ukwerisan

  • @hajisalum4767
    @hajisalum4767 11 หลายเดือนก่อน +3

    Subhaanallah eti kuna majini wazuri wanakupa utajiri wanakuambia utoe sadaka, sheikh anawapoteza watu na kuwaingiza kwenye shirk

    • @mammukaratu2084
      @mammukaratu2084 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli...anaingiza watu KWENYE shirk

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 ปีที่แล้ว

    Wamefikiwa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo ndio mahubiri mazuri ambayo kila mtu wa imani yoyote anasikiliza na anakuunga mkono siyo ile mipasho yako ya kukashifu ukiristo pamoja na sikukuu zake huko ni kupungukiwa kwa hekma ukitaka wakusikilize watu wa dini zote unapaswa kuhubiri mahubiri kama haya

  • @AbuuAbdilRahmaan
    @AbuuAbdilRahmaan ปีที่แล้ว +4

    MZEE SULEY... UNAKATAZA SHIRK MOJA YA KUTUMIA MAJINI MABAYA...UNATANGAZA SHIRK YA KUTEGEMEA RIZK YA MAJINI WEMA...ZOTE SHIRK TU...

    • @AbuubakarLinus-sr5ox
      @AbuubakarLinus-sr5ox 7 หลายเดือนก่อน

      Mimi nimemsikiliza ila kwa hili hapana. Majini wema watabakia kuwa wema kwa upande wao na si kwa mafungamano na binadamu eti wakupe utajiri utajiri huo unatoka wapi ? Huyu Sure mmmm

  • @user-vf5zq5rr4d
    @user-vf5zq5rr4d 11 หลายเดือนก่อน +1

    Alhamdulilah

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali shehe.

  • @Jabaman207-ue6sk
    @Jabaman207-ue6sk 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah

  • @user-zb6ym4bn9v
    @user-zb6ym4bn9v 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akuongoze shekhee wanguu

  • @Mundi-oz7os
    @Mundi-oz7os 6 หลายเดือนก่อน

    Nafurahi sana ninavyosikia Mungu akiitwa "Nngu"😊

  • @user-gh7wm2th9j
    @user-gh7wm2th9j 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @chingychingy2066
    @chingychingy2066 ปีที่แล้ว +2

    Somo zuri...mimi ni mkristo lkn napenda sana kufuatilia mawaidha ya kiislam

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว +1

      Maashaallah Allah akuongoze kwauwezo wake uje kwenye Dini ya haki🤲ya uislam

    • @chingychingy2066
      @chingychingy2066 ปีที่แล้ว

      @@hanifatanzania7258 inshaalah mwenyezi mungu anifanyie wepesi kwa ilo

    • @RajabIssa-vx4rv
      @RajabIssa-vx4rv ปีที่แล้ว

      Karimu kwenye nuru ya uislam

  • @Ommyjames313
    @Ommyjames313 ปีที่แล้ว +1

    Dr zungumzie sakata la bandari umma haujui hi vita lakini wanatumia bandari kichaka hawa wagalatia haswa viongozi wa siasa ❤

  • @lucylubna6194
    @lucylubna6194 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tawheed na akeeda umefeli dr sule waelekeza makosa muislam wa kweli hana cha majini ,uchawi wala mizimu yeye utegemea mola wake tu ALLAH na yuamswalia mtume juu mwenye kuswalia mtume ,mtume u mswalia mara kumi na Allah kamuswalia mtume na malaik , Allah akamulisha waisilamu kumuswali mtu...so mambo na rizik Allah ashamuandikia mja hutopata ila alichokutayarishia.. karatasi zilifungwa kalamu kuinuliwa.... Allah pekee ndie anakupa pesa na kukunyima yote kwa mitihani yake subra ndio ufanikio kwa hali yeyote ile unaokubana nayo...

  • @aliodero2092
    @aliodero2092 ปีที่แล้ว +8

    Huyu sheikh wetu ameanza kupotezwa na ibilisi hawa wa suti ni kina nani na mafuta na ya kufukuza majini hii haiko mbali na ukiristo. na majini kupeana utajiri ama kuizuia utajiri hii sio ukweli utajiri yote iko kwa Allah. Majini watoe utajiri wapi? Wajiadhari hivi ndio shetani hupoteza watu wa elimu

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว +1

      hayo mafuta yana visomo vya ruqyah yamesomew quran hayana tatizo ni tiba

    • @fridageorge2809
      @fridageorge2809 11 หลายเดือนก่อน

      Majini na ukristo wapi na wapi!!? Unajisahaulisha!!?

    • @Kobe_Sungura-2024.
      @Kobe_Sungura-2024. 10 หลายเดือนก่อน

      ​​@@nahlahassan-fd6leKWAHIYO RUQYA NAYO NI BIASHARA.... AU UKAE NYUMANI USUBIRI WENYE HIYO SHIDA..
      KWAHIYO KAMA DAWA NI HIYO RUQYA NA SIO HAYO MAFUTA, MSOMAJI WA RUQYA NI YEYE TU NDIYE SPECIALIST..
      KAMA ANAKUSUDIA KHERI KWANINI ASIWAFUNDISHE NAMNA YAKUYASOMEA... NA AWAELEKEZE MAFUTA YANAKOPATIKANA WAPI..
      WAISLAMU WASIOKUWA NA MIONGOZO HAWATOACHA KUFATA TARATBI ZA WATU MAYAHUDI NA MANASWARA KATIKA MAISHA YAO, NA MBAYA ZAIDI WAKIYAHUSIANISHA NA DINI..... MTUME WETU, SALA NA SALAMU ZIWE JUU YAKE KISHATUFINDISHA HIYO FITNA... YAKUFATAFATA KILA KITU KUTOKA KWA WATU HAO!

    • @Kobe_Sungura-2024.
      @Kobe_Sungura-2024. 10 หลายเดือนก่อน

      ​​@@fridageorge2809MMESAHAU NINYI NDIO WENYE KAZI YA KUFUKUZA MAPEPO KILA SIKU MAKANISANI NA HAWAONDOKI
      AMA PROPAGANDA YA UISLAMU NA MAJINI, ENDELEENI KUMEZESHANA HUKO HUKO VIJIJINI..
      HAKUNA KITABU KILICHOPINGA USHIRIKINA KWA NGUVU KAMA QUR AN, NA HAKUNA DINI INAYOPINGA USHIRIKINA KAMA UISLAMU, NDIO MAANA HUUKUTI UTATU KWETU..
      AMA WASHIRIKANA WAPO KATIKA WAISLAMU NA WAKRISTO ITATEGEMEA NA MAENEO...
      JE, NI ULAYA AU UARABUNI?!
      NI MIKOA YA PWANI AU BARA..
      KWANINI WAGANGA WA MBEYA NA RUKWA NI WAISLAMU?!

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

    Subuhanallah. Watu wanakufuru wanafufua maiti

  • @staraamr2770
    @staraamr2770 ปีที่แล้ว +1

    Subhaanallah

  • @user-qo2zz8uu6l
    @user-qo2zz8uu6l 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe maisha malefu

  • @user-em1gt2vl6f
    @user-em1gt2vl6f 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tutabisha tuu ukwer ndo uwo shekh endelea kutupa elim

  • @eliudkimari-wt5cl
    @eliudkimari-wt5cl 11 หลายเดือนก่อน

    Shehe nakubali

  • @user-uw7wy7yj6j
    @user-uw7wy7yj6j ปีที่แล้ว

    Naaam Dr Sule

  • @user-yq1ku4hm9l
    @user-yq1ku4hm9l ปีที่แล้ว

    و هكذا أنت ساحر

  • @hamsikrasheedi1796
    @hamsikrasheedi1796 9 หลายเดือนก่อน +1

    اللهم صلي وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله 🌼❤

  • @HassaniKilongola
    @HassaniKilongola ปีที่แล้ว

    Allah akbar

  • @MwaishambaKipanga-bu9sz
    @MwaishambaKipanga-bu9sz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah mganga mkubwa ni MUNGU mtume wetu ni professional

  • @user-mq6lu2po3y
    @user-mq6lu2po3y ปีที่แล้ว +6

    Mathematics is science

  • @mundhirhassan2708
    @mundhirhassan2708 ปีที่แล้ว +3

    Ikumbuke siku ambayo utabeba mizigo yako na ya wale ambao uliwapoteza lkwa ujinga, na ni mzigo mbaya utakao beba

  • @mussamgonela
    @mussamgonela ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar Mungu pekee ndo mjuzi tumuachie Mungu pekee ndo atahukumu ,Sule nae ni bin Adam hajakamilika mkamilifu ni Allah pekee

  • @JumaSaidi-zk6fu
    @JumaSaidi-zk6fu 5 หลายเดือนก่อน

    Docta unatisha sana

  • @SwalehMsangi-yh3qq
    @SwalehMsangi-yh3qq ปีที่แล้ว

    Hapa hatuna sheikh tena

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 5 หลายเดือนก่อน

    Mashallah singida mmefikiwa na neema hii

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 ปีที่แล้ว +3

    MATANGAZO YA BIASHARA YA KITAALAAMU KWELI KWELI

  • @Yussuf3145
    @Yussuf3145 2 หลายเดือนก่อน

    Doctor sulle nitawapataje hao majini wa kiislamu

  • @allymnzava3818
    @allymnzava3818 8 หลายเดือนก่อน +1

    Assalaam alaykum. Jamani, mtakaoangalia hii video huyu mtu anawapoteza. Hakuna jinni mzuri anayeshirikiana na binadamu, jinni yeyote anayeshirikiana na binadamu ni mbaya hata kama anakupa masharti ya kuswali. Hayo masharti ya kuswali ndiyo shirki yenyewe sasa kwa kuwa utakuwa unaswali kwa kumtii jinni na sio Allah! Ametoka kusema kuwa mtu akitibiwa na mganga akasema asingekuwa yeye nisingepona ni shirki, sasa hiyo ina tofauti gani na hizo pesa za majini badala ya kumuomba Allah. Jiepusheni na hawa wanaojiita mashehe kumbe sio! Huyo anawatapeli apige pesa ya dawa zake na kuwaingiza kwenye shirki ndugu zangu. Huo anaotangaza ni ushirikina ndugu zangu.

  • @saidimgao3072
    @saidimgao3072 ปีที่แล้ว

    Kazi ipo

  • @sinawsinaw6201
    @sinawsinaw6201 ปีที่แล้ว +9

    Walinzi lazima ila kama sehema kama hapo anapotowa mawaidha hapana fujo awaambie wakakae tuh chini pakiwa na fujo ndo waaoneshe kz yao ila walizi ni lazima kwa sababu mungu katuumba na kila mmoja na njia yake ya kupata ridhiki lisilokuwa la haramu wahadha asalaam aleykum waalaahmatullaah wabarakatuh 😊

    • @Mumewangu
      @Mumewangu ปีที่แล้ว

      Ndugu Dunia mda huu haiaminiki .

    • @aminanahimana8759
      @aminanahimana8759 ปีที่แล้ว

      @@Mumewangu hakika 🤝🤝🤝🤝

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 ปีที่แล้ว

      Maashaallah

    • @nassoroally3668
      @nassoroally3668 ปีที่แล้ว

      Pale sehemu ya dua je kama MTU akipanda jini na kutaka kumvamia sheh nani atamuokoa acheni ftna.

    • @ibrahimsalim8368
      @ibrahimsalim8368 ปีที่แล้ว

      Utajuaje mda gani fujo zitatokea

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan ปีที่แล้ว +4

    Waislam ndugu zangu nawahusieni jman Haturuhusiwi kua na ushirikiano na majini wawe wazur au wabaya hairuhsiwi Allah amekataza hlo jmna Hawa masheikh sjui wetoa wapi hzo elim at majini watakupa utajiri...

    • @AM-rr3jr
      @AM-rr3jr ปีที่แล้ว

      Lakini nawasikia wakisema kuna majini wema na wabaya, hawa wema ndio wanaleta hela mbona mi najua hela zinatoka kwa Mungu, uislam gani huu wa kuletewa hela majini?? Mungu wa waislam hana hela ila mashetani ??? Jaman dini nyingine lakini....,

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan ปีที่แล้ว +1

      @@AM-rr3jr Hapana sio kwamba Allah hana hela, ni kweli wapo majin wa aina hzo mbili ulzosema Kitabu cha Mungu Quran tukufu imetuzuia ss waislam kushirikiana na majini na yenyew yamezuiwa hvo kwahyo hao masheikh unaowaona wanatamba mitandaoni wakidai wenyew ni mabingwa wa majin wao niwashirkina na wanachafua sura halisi ya uislam labda nkwambie ewe ndugu@AM uislam hauusiani kabsa na majin ukimkutauislam asema hvo basi huyo ni mshirkina

    • @AM-rr3jr
      @AM-rr3jr ปีที่แล้ว

      @@anwary_sultan Ahaa kumbe? Na hii kitu naona huyu Shehe kaanzisha mihadhara na naadae anatangaza kuuza mafuta kama wanavyofanya mitume na manabii wa uongo je katika Uislam mafuta hayo yanakubalika? Na hayo ni yale yale ya mitume au mengine?? Sorry kwa usumbufu

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan ปีที่แล้ว

      @@AM-rr3jr Bila samahan me kwa ss waislam ni vizur kuelewesh mtu Pale ambapo hajaelewa ikiwa ni halal. Kuhusu mafuta ss waislam Hatujapewa tiba wala dawa ya aina yyte inayohusiana na mafuta kwahyo hyo yote ni upotoshaji wa baadh ya masheikh wenye kuchezea dini. Labda kuna baadh ya mimea kama mizaituni mafuta yake ni tiba kwahyo tuneza tumia hyo kawaida kama mitishamb mingne ya kiafrika bila kuhusish iman ya dini au nguvu flan, waislam tumepewa dua yan sala za kuomba iwapo unashida mfano kusomea maji baadh ya aya za Quran na kunywa basi so vingnevo haya mengine uyaonayo ndugu ni ushirikina kiufupi waislam tupo na miongozo inayotwambia nn cha kufanya ktk kila jambo kupitia Quran na Sunna ukikuta tiba, dawa maelezo ytte hayapo umo ni upotoshaji na ushirkina..

    • @AM-rr3jr
      @AM-rr3jr ปีที่แล้ว

      @@anwary_sultan Asante kwa ufafanuzi

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 11 หลายเดือนก่อน +1

    🤝👏👏👏

  • @user-hh9mw7kj5x
    @user-hh9mw7kj5x 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @user-iu2cm5um6e
    @user-iu2cm5um6e 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna shelkh hapa ni shetanitu ametumwa kuharibu dini la waislam uyo, mtazameni vizuri hama madili ya mungu uyo

  • @sabahidris5534
    @sabahidris5534 ปีที่แล้ว +7

    Tumuogope, Allah hakuna sheria ya kufuga majini, tumuombe Allah

    • @hamida2187
      @hamida2187 ปีที่แล้ว

      Inasikitisha waislamu wengi wanazifuga ila mwisho ni majanga walai

    • @kiddyalite
      @kiddyalite ปีที่แล้ว

      jmb usilo na elim nalo nyamaza tu

    • @VANDABOYMEDIA
      @VANDABOYMEDIA ปีที่แล้ว

      Hakuna mtu anayeweza kufuga majini ndg acha kudanganywa.

  • @MonicaBelington-ve1sk
    @MonicaBelington-ve1sk 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @rashidlupala67
    @rashidlupala67 11 หลายเดือนก่อน +11

    إنا لله وإنا إليه راجعون. إن الله لا ينتزع العلم من الناس انتزاعا و لكن يقبض العلماء فيرفع معهم العلم و يبقي في الناس رؤوسا جهالا يفتونهم بغير علم فيضلون و يضلون

    • @samirazuberi186
      @samirazuberi186 11 หลายเดือนก่อน

      ❤️

    • @hamisijamvi5601
      @hamisijamvi5601 11 หลายเดือนก่อน +2

      HUYU jamaa anawapoteza watu, maruhani WA Mungu ndiyo akina nani mjinga kabisa huyu

    • @mugishaalida5580
      @mugishaalida5580 10 หลายเดือนก่อน +2

      إنه أخطأ في قوله هناك بعض الجان قادرون على إعطاء الأرزاق ( الله يهده)

    • @mugishaalida5580
      @mugishaalida5580 10 หลายเดือนก่อน

      @@hamisijamvi5601 Sikuwa najuwa pia yeye Anafanya mambo hayo Allah amuongoze Ukiona hivo yani anajipigia debe.

    • @Farouk...Mohamed007
      @Farouk...Mohamed007 8 หลายเดือนก่อน

      sikiza vizuru my friend na uelewe the Sh. is taking fact, kusema maruhani hajamaanisha hivyoo unfkiria anamaanaisha toa sadaaqa, saidia watu hapo ndio utajiri iko
      @@hamisijamvi5601

  • @alihamadsalum5291
    @alihamadsalum5291 ปีที่แล้ว +2

    Watu wanajua kutafuta pesa anakuvuta huko mwsho anaelezea point yake ya biashara yake. Kama kuamua kusaidia watu wa hal ya chini ndio wanahitaj hiyo bidhaa leo elf 25 watanunua matajiri tu ambao hawahitaj utajir

  • @BinLaden-mv2fv
    @BinLaden-mv2fv ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwa walinzi wa nn aisee

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan ปีที่แล้ว +1

    Sheikh hapo kwenye kushirkiana na na majini nadhan uislam hauruhusu kushirkiana na majini... hapo sheikh kaongeze kisomo cha dini asee majini haturuhusiwi kushirikiana nao wawe wazur au wabaya hyo karma alipewa Nabil Suleiman pekee yake...

  • @anwary_sultan
    @anwary_sultan ปีที่แล้ว +3

    WAISLAM HATURUHUSIWI KUSHIRKIANA NA MAJINI KWA AINA YYTE YA USHIRKIANO, najua wengi mnaamini na mtapotea kwa kumsikiliza huyu Sule hlo analosema kwenye uislam hakuna...

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 8 หลายเดือนก่อน

      Kwaiyo nyie mnaotolewa majini na mwamposa ndo mnaelimu ya mbinguni et

    • @anwary_sultan
      @anwary_sultan 8 หลายเดือนก่อน

      @@yusufuheri6524 Assalaam aleykum Yusuf kama waitaka people ya Allah fuata Quran, sunna na mafunzo alotuachia Rasurullah S.a.w. kama huna haja na hlo kuna jehannam pia we endeleeni kumfuata sheikh na imamu wa mskitini kwako njia za sunna na Quran achana nazo. Ila narudia kukuhsia tena na kuihusia nafsi yangu Uislam na majini hamna uhusiano wa aina yoyote mtume hakung'orewa meno, kutukanwa, kubezwa, kudharauliwa ili ww hapo yusuph uwe muumini wa kuamini katka nguvu za majini wakati ALLAH AZZAWAJAL muumba wako aliekueko, aliyeko na atakaekuwako yupo naww.

  • @alexraymond1623
    @alexraymond1623 7 หลายเดือนก่อน

    Dunia na vyote viijavyo ni mali ya BWANA, Jini hatoi mali fanya kazi kwa bidii siku sita ya Saba fanya ibada ya mwenyezi Mungu wa kweli utabarikiwa

  • @mudimoz9329
    @mudimoz9329 ปีที่แล้ว

    👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏

  • @albertshayo2433
    @albertshayo2433 ปีที่แล้ว

    Mpole kama mlokole... mmmh haya shekhe

  • @odilomwemeziernest646
    @odilomwemeziernest646 5 หลายเดือนก่อน

    Ila kweli waisilamu kwa kweli,aisee,ndo maana mudi aliwambia msome Qur'an kutokea Julia kwenda kusho.majini?

  • @athumanimtajih
    @athumanimtajih ปีที่แล้ว +6

    Unayeshangaa walinzi,jiulize mbona unafunga mlango kwa funguo na kufuli

    • @KhadijaMkumbukwa
      @KhadijaMkumbukwa ปีที่แล้ว

      Imani ndogo

    • @KhadijaMkumbukwa
      @KhadijaMkumbukwa ปีที่แล้ว

      Imani ndogo

    • @athumanimtajih
      @athumanimtajih ปีที่แล้ว +1

      @@KhadijaMkumbukwa Acha mlango waz halafu uibiwe uone kama utapata thawabu za iman😁

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 ปีที่แล้ว +2

    Saiv Kila mtu ana mabaunsa wake!

  • @saidabdurahman9631
    @saidabdurahman9631 ปีที่แล้ว +1

    Huyu shekh mpotoshaji sana mjanja mjanja t

  • @joeluig1043
    @joeluig1043 ปีที่แล้ว +1

    Tumevamiwa kila pande na adui 😢 wakristo na mafuta na waislam na mafuta sasa baada ya kumuamini Mungu wa kweli tunaamini vitu hatuna tofauti na wahindi waabudu ng’ombe siku izi

  • @fatmaathman9817
    @fatmaathman9817 7 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kupotosha watu

  • @jumahatibu9240
    @jumahatibu9240 ปีที่แล้ว +1

    Masheikh sikuiz na nyinyi mna mabodi gan...allahu akbr

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 ปีที่แล้ว

      subhanallah mie mwenyewe nimeshangaa . labda wasitokee watu wabaya wakamdhuru ndomana akaekewa ma bodyguard

    • @NgololoIssa
      @NgololoIssa 9 หลายเดือนก่อน

      Allah Akbar

  • @jaliabahat1520
    @jaliabahat1520 ปีที่แล้ว +1

    tuachage roho mbaya kwani sule kuwa na walinzi kunaubayagani husuda tu

  • @jumakatanje955
    @jumakatanje955 ปีที่แล้ว +4

    Sasa sheh si uwatoe hao walizi na utumie hayo mafuta kujilinda?

    • @saidaly8201
      @saidaly8201 ปีที่แล้ว

      Ww huna akili mbn mtume alikua na majesh Sasa mbn asi muambie mungu tu awapige makafir kama uislm unakuletea shida na ww nenda kwa yesu Cristo tuachie dini yetu

    • @faudhiasaidi3669
      @faudhiasaidi3669 7 หลายเดือนก่อน

      @jumakatanje
      Unaakili za kishamba

  • @amourworldbeats
    @amourworldbeats ปีที่แล้ว +1

    Waislamu Tuacha Unafiki.
    Hakuna Dhambi Ya Kuwa na Bodyguard.
    Basi kama Ni hivo Macca Na Madina Wavunje Vituo Vyote Vya Polisi Wawe wanaomba Dua tu.

    • @maisarah6819
      @maisarah6819 ปีที่แล้ว

      Nawashangaa mm,Harram Makkah sharifu hawezi kushwalisha bila ulinzi,maana tumezungukwa na mahadui Kila corner Allah atuhifadhi.

    • @ProducerRama
      @ProducerRama 9 หลายเดือนก่อน

      Atembee peke yake auawe na makafiri

  • @kwamnkurumah8574
    @kwamnkurumah8574 6 หลายเดือนก่อน

    Fundisha kabisa hawo

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 ปีที่แล้ว +7

    Bwana Yesu ndio njia kweli na uzima, mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi. Hakuna ushirikiano kati ya Nuru ya giza. Mashetani ni mashetani tu hakuna wazuri wala wabaya wewe sheikh acha utapeli utadaiwa na Mungu kwa upotoshaji wako.
    Waambie watu watubu dhambi zao ili wamgeukie Mungu na wapate rehema.

    • @abrahmanisaid1937
      @abrahmanisaid1937 ปีที่แล้ว

      Ww huelew hujaambiwa mashetani umeambia jinni

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว

      😂😂😂bwana yesu ee😂😂😂 maskin mung awaongoe nyinyi makafir wakubwa

    • @aboubackhrkassangullah4755
      @aboubackhrkassangullah4755 ปีที่แล้ว

      Yesu njia ya kwenda wapi

    • @hidayasuleiman8874
      @hidayasuleiman8874 ปีที่แล้ว

      Allah akuongoze katika njia sahihi....

    • @SakinaMuhsin-nc4zq
      @SakinaMuhsin-nc4zq ปีที่แล้ว

      Acha,kudanganya watu eti yesu ni mjia😂😂😂sio mjia Bali nimetuma wa mungu basi

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 ปีที่แล้ว +4

    Sisi wa omani tunapataje hiyo mafuta

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 11 หลายเดือนก่อน

    Ukosawa shekhe

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 ปีที่แล้ว

    Kuna tofaut gan kat ya sulle na mwamposa wote wauza mafuta wapigaji tu

  • @PT2016-3
    @PT2016-3 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona hakina UNABII... biblia iko juu

  • @thomassalvatory8303
    @thomassalvatory8303 ปีที่แล้ว +2

    ww hujielewi, utapata utajir kwa kufanya kazi jitume na mambo yataenda mambo ya kuamini majini sijui utachelewa sana cha pili Mungu anakupa kadiri unavyojituma ss ww usijutume sema nasalii ooooh hatari utabaki kwenye hardship tuu wshauri vijana wako wajitume lasivyo watasubir sana

  • @user-bt7lm6ei3n
    @user-bt7lm6ei3n 7 หลายเดือนก่อน

    Uli zungu mzalo liko sahii sheh

  • @gmbrown1429
    @gmbrown1429 11 หลายเดือนก่อน +2

    Majini yanyo mtii Mungu 😂😂😂nyie bwana wakaushi kweli kweli😂

    • @kunsule9261
      @kunsule9261 9 หลายเดือนก่อน

      Majini wanao mtii Mungu wapo. Na wasio mtii Mungu wapo. Kama Tulivyo wana adamu na majini ndiyo hivyohivyo. Kama hulijui hilo basi Uchache wa elimu.

  • @hassanmradi153
    @hassanmradi153 ปีที่แล้ว

    S A W

  • @ayoubkalippessa5215
    @ayoubkalippessa5215 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea vizuri sasa Ila sasa hapo kwenye kipengere Cha majini inakuwaje Kuna Aina za majini na nini maana ya majini

    • @saidaly8201
      @saidaly8201 ปีที่แล้ว

      Ttzo la watu wengi hawajui kua Majin pia wapo waislm na wanfnya mmbo mengi mazur kwa waislm binadam Yani jini ni kiumbe anapo kua muovu ndo anakua shetan majini pia walosma kwa wanzuoni na kwa mtume pia wamesom dini jaribu kutafta elimu Broo Kuna kisa kimja miongon mwa maulamaa alikua na mwanfunz jini alikuja kujua badd miaka mingi kupta na mwsho Ali mwambia Baki katka umbile lako Hilo Hilo la kibndam had utakponmaliza masomo yako na uende zako kipnd hicho jini alimjibu imam Malik kua huku njini ilikua imepotea ya dini Bada ufuska kutokea na yy ni miongn walotumwa waje watafte elimu kwa bindam ili aka wsomeshe wenzake tukio hili limekuja Bada bilaal AmBAe ni bndm kumwabia Omar jini alojigeuza mtu afunge mlngon wa acomodation Yao Kwan yy Bilal alikua amechka an Omar pia alikua amechka Omar aka nyosha mkono mrefu akaufunga mlango hapo Bilal akalal na hofu huku akijizuiya ikfka asbuh itabd aripot kwa imam Malik ndo imam akamwta Omar aje ajieleze

  • @meshackmayenga969
    @meshackmayenga969 ปีที่แล้ว

    Majini tena yana urafiki na binadamu???Da hapo shekhe umedanganya umma
    Majini ni mashetani tu hayapo mashetani mazuri na mashetani mabaya.Unafundisha ushirikana. Njoo kwa Yesu upone.

  • @kilalakaila9762
    @kilalakaila9762 ปีที่แล้ว +7

    Mnatumia nguvu nyingi kulisha watu ujinga kwa sababu mnajua ni wavivu wa kufikiria mambo na hawataki kufatilia wala kusoma bali wanataka wawe wanaambiwa kama hivi....WAAFRIKA TUTATAWALIWA HADI MUNGU ATAKAPOONA DUNIA IFIKE MWISHO.....May be tunaweza kuishi hayo maisha huko PEPONI ambayo nasisi tutakuwa kama wao😢

    • @ikabako2454
      @ikabako2454 ปีที่แล้ว +1

      Waambie wajue. Mtume wao alisema “homa inatokana na joto la motoni” Sahih Al Bukhari 3262. Hawasomi wanapelekwa pelekwa tu kama wehu

    • @Hamidkaran
      @Hamidkaran ปีที่แล้ว +2

      @@ikabako2454sio wale wanafunga na kukanyaga mafuta mpka wanakufa

    • @hashimjuma7451
      @hashimjuma7451 ปีที่แล้ว +1

      Na wale wanaoambiwa watoe sadaka ya kujimaliza vp? Wale ambao wanahamin mwamposa nabii vp

    • @husnaali1610
      @husnaali1610 11 หลายเดือนก่อน +1

      Mashallah doctor nakupata vizuri mashallah

    • @Salum85
      @Salum85 11 หลายเดือนก่อน

      Shame be upon you. By the way hatuwezi kuwa sambamba na nyie.. Sisi hatuamini mnachokiamini na nyie hamuamini tunacho kiamini. Shikilia apo ulipo na utafakari utakuja kujua kuwa wew ni kiazi ama binadam.
      Haters mnashida sana nyie 🙌

  • @lothikilimba7769
    @lothikilimba7769 7 หลายเดือนก่อน

    Watambue ukweli japo unauma

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 ปีที่แล้ว

    Dah,Dr.Sulle siku hizi ana ma bodyguards?

  • @ndayikezaoscar3467
    @ndayikezaoscar3467 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa Sheikh we unataka watu waje uwafundishe kupata utajiri wa majini??? Sasa hapo Mungu yu wapi??? Msiwe ivo masheikh bhana.
    Inalillahi wa Ina Illeihi Rajiun

  • @daudiayubu4464
    @daudiayubu4464 ปีที่แล้ว +1

    Weweeee huyo Mpango angekua ni Mtaalamu wa Uchumi kama unavyosema Tanzania ingeendelea kua ktk hali mbaya ya Umasikini kiasi hiki???