🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2024
  • live

ความคิดเห็น • 56

  • @melizakwamboka8004
    @melizakwamboka8004 18 วันที่ผ่านมา

    May God bless you ndacha ..

  • @AmosMagembe
    @AmosMagembe 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ndacha bwana apewe sifa huyo sule hakuwezi kabisa hebu mkomalie ajibu hoja ndo utajua Umesha mzidi

  • @MichealNdahiza
    @MichealNdahiza 8 วันที่ผ่านมา

    Ameame ❤❤❤❤

  • @kissabrown4349
    @kissabrown4349 21 วันที่ผ่านมา +1

    Wanajikwepisha kwepisha tu ukweli wanao yesu alisubiliwa Kwa ajili ya dhambi zetu na sio Kwa ajili laana yake na agekuwa na laana asigefukuka km Mohamed alivyolala moja Kwa moja . Yesu yu hai ata SS yu hai

  • @PaulDeus-jh7jn
    @PaulDeus-jh7jn 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika Yesu ndiye njia wala hakuna MWINGINE.

  • @donatienbest6043
    @donatienbest6043 2 หลายเดือนก่อน

    Sule unapoteza muda sana kwasababu ata uyo nyota unae msema sio mungu kasema ni wa nabi

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha kiboko ya waislamu

  • @mbongonyosokazakambaukovzu6918
    @mbongonyosokazakambaukovzu6918 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha Chapa,,sure akuezi kitabu wakijua

  • @FidelPascal-t2z
    @FidelPascal-t2z หลายเดือนก่อน

    apo ni neno tu hakuja kufundisha kiswahili

  • @saidmwamburi1758
    @saidmwamburi1758 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤nikweli kabisa ndacha kiswahili hajui

    • @user-qy7he6cl8w
      @user-qy7he6cl8w 2 หลายเดือนก่อน

      Sio hajui kiswahili ,,,huyu ni mkenya lafudhi yao na yetu kidogo tofauti lakin kiswahili anajua

  • @mwoso
    @mwoso หลายเดือนก่อน

    Hawa walishindwa na mada. Hoja za mwalimu ndacha hazipingwi wala hazikanushwi. Watu wanaona kasoro ilioko Katika imani ya kiisilamu.

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbuka kiswahi kimeanzia Kenya siyo Tanzania

    • @hasinaalrahbi6681
      @hasinaalrahbi6681 2 หลายเดือนก่อน

      Nonono.wakenya.kiswahili chenu kibovu

  • @AmosMagembe
    @AmosMagembe 2 หลายเดือนก่อน

    Nafatilia Sana mjadala huo mbona sule maneno megi jitahidi kujibu hoja usitupe mawaiza sisi jibu Kama ndacha Yuko vizur kabisa

  • @babinhoelninho5416
    @babinhoelninho5416 2 หลายเดือนก่อน

    Debate ni swali hadi lijjibike kabisa bt hapa swali halijakaa sawa swali lengine

  • @SaitotiAlfred
    @SaitotiAlfred 2 หลายเดือนก่อน

    25:01

  • @user-vg6rg2nv8s
    @user-vg6rg2nv8s หลายเดือนก่อน

    Sasa kama hutaki kujibu maswali umeenda kufanya nini hapo?

  • @user-df8fn8sz7o
    @user-df8fn8sz7o 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ameni

  • @saidmwamburi1758
    @saidmwamburi1758 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aende shule ndacha

    • @user-qy7he6cl8w
      @user-qy7he6cl8w 2 หลายเดือนก่อน

      Shule ya wapi tena na wewe,,,, shule we unayo!!

  • @mwoso
    @mwoso หลายเดือนก่อน

    Yaani maswali ya ndacha hayajibiwi lakini Yao ndacha anawajibu.

  • @fauwilliam6780
    @fauwilliam6780 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa mwalim ndacha anajitahidi kujibu lkn hawaelewi

    • @princerammy1543
      @princerammy1543 2 หลายเดือนก่อน

      Anajitahidi ila hajibu

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 2 หลายเดือนก่อน

    Sure umeurizwa swali hujibu unaleta ujanjaujanja ,,ninamashaka na u doctor wake huyo

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 2 หลายเดือนก่อน

    Waislamu jibuni hoja acheni poyoyo na ngonjera viva ndacha

    • @princerammy1543
      @princerammy1543 2 หลายเดือนก่อน

      Ushabiki acha elimika

    • @user-qy7he6cl8w
      @user-qy7he6cl8w 2 หลายเดือนก่อน

      Ndacha Baba laoooo

    • @princerammy1543
      @princerammy1543 2 หลายเดือนก่อน

      @@user-qy7he6cl8w baba lako

  • @AshrafuShabani
    @AshrafuShabani หลายเดือนก่อน

    Je? Mpaka anaomba msaada hakujua kateuliwa kwa ajili ya dhambi za waovu?

  • @franciskabila8136
    @franciskabila8136 26 วันที่ผ่านมา

    Sule hana elimu kabisa

  • @herimornchriston6083
    @herimornchriston6083 2 หลายเดือนก่อน

    sasa kama unaulizwa swali kujibu hutaki unataka nini wakati watu wanauliza maswali?? sio kila k2 lazima upinge

  • @herimornchriston6083
    @herimornchriston6083 2 หลายเดือนก่อน

    mnatakiwa mtofautishe mdaalo na mahubiri !!!!! sasa kama mnahubiri ya nn kusema mdahalo wa kielimu??

  • @mohdissa2984
    @mohdissa2984 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha anajikanyaga t

    • @user-qy7he6cl8w
      @user-qy7he6cl8w 2 หลายเดือนก่อน

      Kajikanyaga wap acha chuki,,,,

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 2 หลายเดือนก่อน

    Sule baada ya kujibu swali analeta mahubiri

  • @RashidiMwanongo
    @RashidiMwanongo 2 หลายเดือนก่อน

    Sure peleka shule hao vipofu

    • @user-qy7he6cl8w
      @user-qy7he6cl8w 2 หลายเดือนก่อน

      Hamna lolote ubishi tuuu

    • @estakenia
      @estakenia หลายเดือนก่อน

      😂 sule ndie anaefaa kwenda shule wala sio Ndacha.

  • @mwoso
    @mwoso หลายเดือนก่อน

    Akina Mazinge wamestahafu. Walijaribu kutetea uisilamu wakashindwa. Ni kibarua kigumu kutetea kitabu kilicho jisaliti. Hakuna andiko la kujitetea nalo.

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy หลายเดือนก่อน

      Uislamu na Quran unajitetea wenyewe sio kama biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunua hakuna ukristo ni dini ya Mungu Wala biblia ni kitabu Cha Mungu....na mazinge hajastaafu usijidanganye akili yako...mbona apo kina yohana pia hatuwaoni

    • @mwoso
      @mwoso หลายเดือนก่อน

      @@SalmaAbdul-zz7dy wewe wacha nikusaidie kuelewa sababu ya kusema vile nimesema. Usitazame tu mijadala ya hapo peke yake. Kuna mijadala dunia nzima. Kama unajua kutafuta kwa social media, tafadhali zitazame na kusikia kwa makini. Vile tu waisilamu wanalemewa hapo ndivyo ilivyo kwengine kwote duniani. Kitabu cha Quran ndugu yangu kilibuniwa bila muelekeo wowote.jaribu kuona Kama muisilamu aliye kua mkristo akitetea uisilamu. Hana hoja yoyote ya maana. Na ujaribu kusikiza mkristo aliye kua muisilamu. Utamshukuru Mungu kusikia ukweli. Waisilamu wote sehemu nyingi duniani hushindwa na hoja na kukasirika pasipo sababu. Kwa Nini? Mbona wakristo hawakasiriki Katika mijadala?

    • @mwoso
      @mwoso หลายเดือนก่อน

      @@SalmaAbdul-zz7dy unajua kweli idadi ya waisilamu wanao kimbia uisilamu na kua wakristo? Kulingana na utafiti wa Aljezeera ni takriban 6000 kila Siku. Hilo ni Jambo halingefanyika miaka ishirini iliopita. Kwa Nini? Waisilamu wengi hawakua wanajua ukweli mpaka vile Quran ilianza kuchambuliwa hadharani .

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy หลายเดือนก่อน

      @@mwoso kwa sababu Wana njaa sana...maana katika uislamu hupewi pesa... halafu sote tukiwa waislamu motoni ataingia nani?

  • @saidmwamburi1758
    @saidmwamburi1758 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ailimu huyo kafiri

  • @BernardChesoli-rj3nw
    @BernardChesoli-rj3nw 2 หลายเดือนก่อน

    Sule swali bado haujajibu. Mtu ambaye amefungwa santa ni maiti au ni mtu aliye hai?

    • @princerammy1543
      @princerammy1543 2 หลายเดือนก่อน

      Maiti ndo anafungwa sanda

  • @Abdallahsefu-cw2xj
    @Abdallahsefu-cw2xj 2 หลายเดือนก่อน

    Uyu ndacha ni mpuuzi tu

    • @justintabu7291
      @justintabu7291 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mtafute ujadiliane nae tujue mpuzi ni nani

    • @justintabu7291
      @justintabu7291 2 หลายเดือนก่อน

      Mtafute ujadiliane nae tujue mpuzi ni nani

    • @AjiaMohamed-rt5pb
      @AjiaMohamed-rt5pb 2 หลายเดือนก่อน

      Mpuuzi ni bb yako

    • @benardsonga6597
      @benardsonga6597 2 หลายเดือนก่อน

      Sule , umeshindwa hoja, hii hoja huiwezi !

    • @BernardChesoli-rj3nw
      @BernardChesoli-rj3nw 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe peleka hoja zako tuone.

  • @AmosMagembe
    @AmosMagembe 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha bwana apewe sifa huyo sule hakuwezi kabisa hebu mkomalie ajibu hoja ndo utajua Umesha mzidi

  • @AmosMagembe
    @AmosMagembe 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha bwana apewe sifa huyo sule hakuwezi kabisa hebu mkomalie ajibu hoja ndo utajua Umesha mzidi