Mwamposa NI MTUME wa kwanza kuvaa Bukta, Watu wa Kinondoni Fanyeni sana Toba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Prof Mazinge Amuwashia Moto mwamposa "Mtume wa Kwanza Kuvaa Bukta"

ความคิดเห็น • 549

  • @khairiyyahsultan-vm1fk
    @khairiyyahsultan-vm1fk 6 หลายเดือนก่อน +12

    Ustadh mazinge Allah akujaalie kila la kher unafanya kazi nzur sana . Achana na watu wanaokukashifu kiukweli unafanya kazi nzur sanaa Allah akulipe kher❤

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo Mzee moto jehanam unamhusu,

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      Vikundi vya ukaidi,ndio picha halisi anayoongea huyu mzee,Mbona sisi wakristo tuna aman sana,hatuna chuki na wakristo,nenda Zanzibar asilimia 90 ya wanawake Wana majini,shuleni na vyuo ,wanapandisha majini kelele shule nzima

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      MDA WOTE WAKRISTO MAKAFIRI WAKRISTO HAWANA HAKI YA KUISHI ,MWISLAM NDIO ANA HAKI YA KUISHI,MMEKUA MUNGU KILA MTU AHESHIMU DINI YAKE,

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 6 หลายเดือนก่อน

      @@savinosalamba9174 Sawa inawezekana wakawa na majini ni kweli hayo maneno ni ya Mtume wetu Mohammad S.A.W alisema majini yanawashambulia wanawake na watoto kwa kiasi kikubwa sana kuliko wanaume hata upande wenu kwa Mwamposa wanawake wenye mapepo ni wengi sana na watoto ukilingalisha na wanaume,mapepo wa chafu kwa lugha nyingine ni majini waasi yaani masheitani,sasa point yako imerenga nini?

    • @Daidizz01chinga
      @Daidizz01chinga 2 หลายเดือนก่อน

      Muslim respect ❤❤❤❤

  • @mwljoshuajgahuha808
    @mwljoshuajgahuha808 8 หลายเดือนก่อน +16

    Naaam!!!! wewe ni mtumishi wa Mungu mzurii lakini okoka leo ili ujiepushe na moto wa milele maana umejaa CHUKI, FITINA NA DHARAU lakini sisi tunakupenda Sanaa wakristo wote 💕

    • @MathiasKunnanga
      @MathiasKunnanga 7 หลายเดือนก่อน +1

      Lakini mimi nawaambia waombeeni wanaowaudhi

    • @KudraRashid
      @KudraRashid 4 หลายเดือนก่อน

      Ww tatizo ujui maana ya kuokoka nenda ukatafute kamusi utafute ni nini maana ya kuokoka maana ya kuoka ni mtu ambaye yupo kwenye moto unamunguza ndio anatoa neno hilo kwamba nitoeni nimeokoka na moto yaan nitoeni naumia lkn wakriato wanaona kuoka ndio kupona akili zenu bure sana

    • @alimasiallyalimasially5202
      @alimasiallyalimasially5202 3 หลายเดือนก่อน

      Acha usenge ww ukirsto ni dini?

    • @mussasebatiano4787
      @mussasebatiano4787 3 หลายเดือนก่อน

      Umerogwa au umetumwa sikuhizi mnapenda uongo mkiambiwa ukweri munaanza visa yani rugha ambao imekutoka sio nzuri

    • @Daidizz01chinga
      @Daidizz01chinga 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 mazinge iyo baba

  • @alimasiallyalimasially5202
    @alimasiallyalimasially5202 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nakkubali sana mazinge mungu akujalie mwisho mwema

  • @mtahogarashid8488
    @mtahogarashid8488 6 วันที่ผ่านมา

    Nafurafi sana maneno ya Mazinge

  • @daudifesto5592
    @daudifesto5592 9 หลายเดือนก่อน +6

    Hubiri habari za Mungu... Watu waache maovu watende mema....

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 8 หลายเดือนก่อน +2

    Shekhe mazinge sikujui hunijui lakini kuhusu mtume mwamposa ule sio mkono wa mwanadamu ni mkono wa Mungu ♥ kibaya zaidi wanao Amini na kuponywa na kufunguliwa na wanawake wanopokea ujauzito wengi wao ni waslam zaidi ya 75% wanao swali kwa mwamposa ni waslam ,kwahiyo Shekhe mazinge acha Mungu aitwe Mungu.,wachawi waganga nk nk wanarudisha na kuacha uchawi .Acha kubeza Shekhe

    • @frankisaya5498
      @frankisaya5498 7 หลายเดือนก่อน

      Umepotea sana ndgu

  • @fibolychifunda6639
    @fibolychifunda6639 9 หลายเดือนก่อน +8

    Ninachosikitika mm wanauzungumzia ukristo wkt hawaujui na inamaana hawaijui historia ya mtume Paulo,kabla ya utume kazi yke ilikuw kuua watumish wa Mungu Mwamposa alikuw anavaa bukta ni ishu ndogo sana

  • @HusseinMwazani-ct9qk
    @HusseinMwazani-ct9qk 5 หลายเดือนก่อน

    Wonderfully, mazinge.mungu akuzidishie maisha na akuĺipe mema dunia na akhera .

  • @NASRAKHALFAN
    @NASRAKHALFAN 8 หลายเดือนก่อน +3

    inashangaza sana kukashifu dini zawenzao ivinabi anajua atauona ufalume wamungu dinizote kwasasa zinatuacha njiapanda walimwengu tusimame wenyewe kukuomba mungu hizi niskuzamwisho tuwemakini sana

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 9 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂😂😂😂😂mazinge unajua unatupa furaha sana ungekua comedian nahis ungekua intanational

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 9 หลายเดือนก่อน

      Siku ukiingizwa kaburini ndiyo utajua Mazinge alikuwa anachekesha au namnagani!

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 9 หลายเดือนก่อน

      @@RamadhaniLukambuzi wewe ambae ushatoka kaburin ndiyo unipe experience

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 9 หลายเดือนก่อน

      @@elbaricktv1632 Sio kutoka kaburi maandiko ya Mungu yanaeleza na yako wazi ndiyo maana Watu wanaifuta njia ya Mwenyezi Mungu iliyonyooka.

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 9 หลายเดือนก่อน

      @@RamadhaniLukambuzi ndgu yangu we fata unachoamin wewe mi skiamin hata kdg mi njia yangu iliyonyoooka ni kumfuata Jesus Christ ndo njia iliyonyoooka kufika kwa mwenyezi mungu ila Mohammad yuko zake makah katulia kaburin me namfuata yesu aliye juu mbigun kwa baba

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 9 หลายเดือนก่อน

      @@elbaricktv1632 Wewe unamfuata Yesu bila kujitambu kwa sababu Yesu alitumwa Israel Karne ya 6 kwa Wana wa Israel ambao walikuwa ni kabira 12:SOMA MARKO3:16/MATHAYO 15:24/MATHAYO 15:26/ YESU aliwatukana nyie mbao sio Waisrael ambao mnajipendekeza kwa Yesu wakati huo nyie hamukuwepo Israel hata katika kabira hizo 12 nioneshe kabira lako hapo!MATHAYO 15:25 Naye akaja akamsujudia,akisema Bwana,unisaidie.MATHAYO 15:26 Akajibu,akasema,Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.hapa alikuwa anamaanisha Wewe na wengine wanaojipendekeza kwa Yesu hivi leo aliwahita hivyo sitaki kurudia jina lako soma mwenyewe!
      Unaweza kusema kwamba nikuache uamini unachokiamini kwa upungu wako wa ufahamu wa maandiko,Bibilia inasema Yesu alitumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel leo Wewe Mtanzania unajipendekeza nampenda Yesu,Mkenya nampenda Yesu,Mganda Yesu Msomali Yesu ,Mexico Yesu,hamuoni mnavyopotoka kwa kukosa maarifa katika kutafasiri maandiko?Yesu ni Mtume wa Mungu aliyetumwa katika Taifa la Israel,Ibrahimu vile vile,Mussa vile vile na Mitume wengi walitumwa Israel kwa ajili ya kuwaonya kwa sababu walikuwa wanatenda dhambi sana wanauwa mpaka mitume hata Yesu walitaka kumuua lakini Mwenyezi Mungu alimunusuru!Yesu sio Mungu kama mlivyopotoka wala sio Mtoto wa Mungu wala Mungu hana sifa za kibinadamu bali Yeye anasifa ya kuumba viumbe kama binadamu,Mamba.nyoka,simba,kenge,chui,mbuzi,Kondoo,paka,majini,mijuzi na kadhalika basi kama mnasema Mungu anaye Mtoto wakati kaumba viumbe vingine mbona hivyo viumbe hamvihiti ndugu zenu make navyo vimeumbwa kama Yesu,mbona hamsemi ndugu zake Yesu?

  • @mottoTv1
    @mottoTv1 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mtume wenu Muhammad kawapoteza sana mungu awasaidie muijue kweli ya kristo

    • @omarmakame3027
      @omarmakame3027 9 หลายเดือนก่อน

      Mathayo 19:23-24 BHN
      Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu
      Hii ni bibilia ndio imesema Ivo sisi tunanukuu tu

    • @omarmakame3027
      @omarmakame3027 9 หลายเดือนก่อน +1

      Angalia mathayo iyo kwanza Kisha ndio useme mtume muhammad

    • @omarmakame3027
      @omarmakame3027 9 หลายเดือนก่อน

      .

    • @omarmakame3027
      @omarmakame3027 9 หลายเดือนก่อน

      Mathayo 19:23-24 BHN
      Hapo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kweli nawaambieni itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbingu

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 9 หลายเดือนก่อน

      barikiwa sana mpendwa umenena vyema kbs Mungu azidi kukulinda,wenzetu awa wamepotezwa kitambo kazi wamebakiza ni kelele mtupu!

  • @olivyechambikwa425
    @olivyechambikwa425 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi mnamtukanashehe nyinyi washenzi acheni ujinga shehe mazinge hongerasana wambie makafiri wazidi kuumwa presha haowajinga

  • @joshuayounam
    @joshuayounam 9 หลายเดือนก่อน +10

    Kumsema mtuuu alafu ye akujibu kama unajibiza. Najiwe vile inamaana kakupuuza

  • @fikirimachela4778
    @fikirimachela4778 7 หลายเดือนก่อน +5

    Allah akulinde inshaallah

  • @husseinfaringo3068
    @husseinfaringo3068 3 หลายเดือนก่อน

    Allah akufanyie wepesi Kwa kila Jambo lako ostadh mazinge

  • @KhadijaMohammed-z8c
    @KhadijaMohammed-z8c 9 หลายเดือนก่อน +4

    Ata mungu kasema tukumbushane mashekh zetu wanafanya vizur mungu awalipe ujila mwema

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna cha Mtume wala nabii kwa sasa hivi ni vyeo mwenyezi Mungu aliwapa waja wake kwa kazi maalumu.
    Acheni kujiita Nabi wala Mtume labda kama mtume wa kutumwa na shetani

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      Endeleeni ugaidi duniani na kuua watu,kulipua maeneo ya mikusanyiko ya watu,na kudharau wakristo,MUNGU WENU HUYO ATAWAPELEKA MOTONI MOJA KWA MOJA

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      Jihad jihad,motoni Moja kwa moja

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli watu wengi sana wanahubiri kwa masilah yao wenyewe ila shehe nataman sana umihubiri Yesu kristo ndio Mfalme wa wafalme hakuna na wala hata kuwepo wakimzidi yeye kwa mamlaka aliye pewa na Mungu karibu sana umpokee Yesu akae ndani yako

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      We nd hujui ata dunia inaendaj hvi nabii issa anaweza akawa mfalume wa ulimwengu wte zaid Allah?

  • @savinosalamba9174
    @savinosalamba9174 9 หลายเดือนก่อน +17

    LAKINI brother,unachuki sana na wakristo, MUNGU anakuona,

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 9 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@abuusufian6506Mungu amulaani

    • @ibniabdalla4817
      @ibniabdalla4817 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sio chuki ila anasema kweli

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 หลายเดือนก่อน

      @@ibniabdalla4817 kumbe sikuiz kukashifu dini za watu wengine ni kusema ukweli?

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 หลายเดือนก่อน +1

      ​@RAMADHANMJA.Mazinge Hana ukweli wowote ila ana chuki na wivu kuona ukiristo unatamalaki daresalam

  • @savinosalamba9174
    @savinosalamba9174 9 หลายเดือนก่อน +8

    FANYA DHARAU,KEJELI,ONA WIVU MAENDELEO YA WATU,MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @BensonMpomo
    @BensonMpomo 6 หลายเดือนก่อน

    mazinge we Wachane achana na wanao kukashifuu na tunakuombea Kwa allha akupe maisha marefu ili uendelee kutoka dawa

  • @KelvnJohn-w5t
    @KelvnJohn-w5t 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mazinge mungu anakuona achahivo

  • @GerardMarco
    @GerardMarco 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mazinge mpokee yesu acha ukafili

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 9 หลายเดือนก่อน +1

      Uyo ndo profesa.hakika usilam ni dini ya haki.siyo makafiri

    • @AhmedMtumweni
      @AhmedMtumweni 7 หลายเดือนก่อน

      Wee ujuw ila kunasiku utajuwa atakama ushakufa

  • @emanuelmaya4667
    @emanuelmaya4667 9 หลายเดือนก่อน +7

    HUYU SHEKHE HANA AKILI HAJUI ANACHOKIONGEA AMEKOSA MANENO HUYOO, MTU AKIKOSA CHA KUSEMA NI KAWAIDA KUSEMA WATU.

    • @HamzaMiraji-oe9cv
      @HamzaMiraji-oe9cv 9 หลายเดือนก่อน

      Wee unazoo?

    • @MuhammedMchoro-e9v
      @MuhammedMchoro-e9v 8 หลายเดือนก่อน

      Ww akilihuna atahaufikirii nn anachomaanisha

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      Kweli Hana akili hotuba zake nyingi ,kudharau wakristo,anatuita makafiri

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge 9 หลายเดือนก่อน +6

    Una mawaidha mazuri ila sio vizuri kuponda dini za watu

  • @AhmadySaidy-j1f
    @AhmadySaidy-j1f หลายเดือนก่อน

    Nyie wote mnaesema yesu nimungu niweenda Wazim msojijua

  • @AidaMosha-nl6ix
    @AidaMosha-nl6ix 8 หลายเดือนก่อน +2

    Waambie watu habari za ufalmme Mungu watakuelewa habari za Mwamposa ziache

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      Ahaaaaa au sio kumbe inawagusa nyie mnaojiita mitume hv ata we ndgu yangu unakuwa tunakuona unahtaj uje uwe na mtume kama huyu mnyakyusa mwenzako au unahtaj uje uwasameh wazazi wako dhambi zao

  • @ombenkallenge1924
    @ombenkallenge1924 9 หลายเดือนก่อน +7

    Waislam MTACHELEWA SANAAAA TENA SIO KIDOGO kwanza kaa ukijua pepo yenu na yetu ni tofauti kabisa na mungu wenu na wetu ni tofauti pia .polen sana

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 9 หลายเดือนก่อน +2

      Unaweza kuona mtu mzima kama huyu mzee mzima kama huyu mrefu mnene lkn anaongea mambo ya kipumbavu ya umbea kutukana imani za watu wengine za kikiristo kila siku kila siku asimamapo misikitini ndo ujue kuna wazee wa hovyo sana tanzania. Mazinge ni mzee wa hovyo sana na anawivu wa kimaendeleo kuona viongozi wa dini ya kikiristo tena wenye umli mdogo wamempita maendeleo ya kidunia na ahela. maana yeye na waislamu wote wanajua dini yao ya uislamu ni watu wa motoni na waKiristo ni watu kwenda kwenye uzima wa milele. Kwaiyo ana tapatapa mzee wawatu anajuta kwanini alizaliwa kwenye uislamu dini ya shetwani ndomana kila siku anawaonea wivu wakiristo anajua wakiristo ndio watakao kwenda kulithi uzima wa milele

    • @mahdisaid9764
      @mahdisaid9764 9 หลายเดือนก่อน

      Astakafilullah hujielew ww mungu ni mmoja Allah na unadiliki kuiita dini yetu dini ya shetan hakika umepotoka pia nyinyi ndo hamjielew mnapelekwa pelekwa tuu

    • @HamzaMiraji-oe9cv
      @HamzaMiraji-oe9cv 9 หลายเดือนก่อน

      😊

    • @NasraMudy-ik1vj
      @NasraMudy-ik1vj 9 หลายเดือนก่อน

      Waislam hawajielew kabsaa

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 9 หลายเดือนก่อน +1

      @@NasraMudy-ik1vj kweli dada hawa waislamu wana laana ya Mungu. kitendo cha kumkataa mwokozi wa ulimwengu Yesu kristo na kumfuata mhammad wamesha laaniwa na Mungu moja kwa moja na moto wa jehannam una wangoja

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 9 หลายเดือนก่อน +5

    Hizo kejeri zako subiri moto mungu atakavyokuchooma

    • @faridfrefre35
      @faridfrefre35 9 หลายเดือนก่อน

      Sasa nawewe kweli kwaakili zako kuna mtume mnyakyusa

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 9 หลายเดือนก่อน

      @@faridfrefre35 simkafatilie vyadini yenu ya kislamu? Kila siku nikuwafatilia wakristo.mlishaona mkirsto anamfatilia muislamu? Alafu mashehe wengi ndio waganga wakienyeji Ila hakuna mkiristo anausemea uganga wa masheshe kwakua kila mtu anadini yake nakila mwanadamu atakufa nakuhukumiwa. Namungu kwamungu hatuendi nadini tunaenda. Na roho tu.

    • @AnthonyVitalis-iy5su
      @AnthonyVitalis-iy5su 7 หลายเดือนก่อน

      Mimi ni mkirsto Hila kwa Sasa hivi akuna nabii ni wapigaji tu

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      Duh unaongea kama vle karb na Allah mnaambiwa ukwel hamtaki kuelewa hakuna mtume mtamzani tena mnyakyusa

  • @mikerutto8164
    @mikerutto8164 9 หลายเดือนก่อน +5

    You're just a comedian. Wewe ni muigizaji tu

  • @davidmaisely7487
    @davidmaisely7487 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana akurehemu sheikh wetu

  • @uwezawamungumkuu.amaniafrika
    @uwezawamungumkuu.amaniafrika 7 หลายเดือนก่อน

    Amna kazi ninyi. Bora mngetafuta kazi ya kufanya..

  • @denisngowi2955
    @denisngowi2955 9 หลายเดือนก่อน +3

    Yani anvyo ongea utazani anamjua mwamposa kweli acha sisi tunao mjua tukae kmy

    • @ainessleoni
      @ainessleoni 9 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤

  • @michaelmbeti5040
    @michaelmbeti5040 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shehe masikini sana wewe rohombaya unalana unachuki na wakristo Anza nawewe na huna roho mungu

    • @salehsuleiman1218
      @salehsuleiman1218 7 หลายเดือนก่อน

      Hawachukii ila nyinyi ndio mnamchukia yeye kutokan na ukwel anaowaambia

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      Si kanakwmba mazinge anachukia apan wakristo apan bali anaeapenda nd maan anawapigania ili ata nyie muingie kweny dini ya haki na dini ya kweli

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 6 หลายเดือนก่อน +1

    Bado wengi hamjui maana ya nabii nabii ni mtu yeyote anaye peleka ujumbe wa Mungu kokote wa kuhubiri habari ya toba na juu yakurud kwa Mara ya pili Bwana Yesu kristo

  • @iwenikigodi5419
    @iwenikigodi5419 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tena we unaejifanya mtu mwema sana ndio mchawi mkubwa mbwa wewe fanya maisha yako wew wivu utakuua

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 8 หลายเดือนก่อน

      Mungu Akusameh makosa Yko,Mnyama Kumfananshia Mwanadam,Allah atamlnda Shekhe Wet2 Maznge,Allahu Akbar,Mnaambuwa Kwel Mnaumia

    • @DigallazKing
      @DigallazKing หลายเดือนก่อน

      Mbwa ni mamako aliekuzaa usitutukanie sheikh wetu shenzzz tit

    • @DigallazKing
      @DigallazKing หลายเดือนก่อน

      Mwenzenu anawafanya biashara tu hana unabii wowote munauziwa maji wewe kafiri unajua maana ya nabii wewe au unaongea tu kama nabii hayo maji na mafuta si angewapa bure mwenzenu munamtajirisha tu hana tofauti yoyote na babu wa loliondo ndio wale wale tu

  • @dorcusnsajigwa7499
    @dorcusnsajigwa7499 6 หลายเดือนก่อน

    Nampenda San mwamposa n nitaendelea kumuamin kwa maombi yake amen 🙏

  • @josephmgeni3997
    @josephmgeni3997 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ni vema mkajikita kufundisha juu ya Mungu na rehema zake,lkn kuzungumzia watu eti walivaa kaptura sasa inahusu nini juu ya imani yenu kwa mwenyezi Mungu?
    Haya tunakubali alivaa kaptura ni ilikuwa lini? Na ni nani ambaye hakuvaa kaptura huko siku za nyuma?
    Jingine,eti aliuza udongo akapata milioni 900 wewe ndiye ulikuwa mweka hazina wake hata ukajua mapato?

  • @nehemiamwasile8696
    @nehemiamwasile8696 7 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kuhukumu watu fanya kazi uliyo tumwa na mungu hiyo Kaz ya kuhukumu siyo Kazi Yako ni KAZI ya mungu ,kemea watu waache maovu kama huwa uwezo waachie wenye uwezo

  • @TimovenaMushi
    @TimovenaMushi 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mmoja acha zarau,, kuzarau imani za wengine

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      We huna iman yeyot we ungekuwa na iman usingekubali kudanganywa na mwamposa hv hjiulzi toka umezaliwa mpak unafika umri huo ulishawah kuskia au kumuona mtume katika taifa lako na tz? Mitume wte waliishi uarabuni huyu mtume huyu mtume anayeish tz tena mnyakyusa katokea wapi? Ukinijibu hilo swali kw ufasah nitaamin unaiman na huko ulipo walokpoteza

  • @GodfreyKunambi
    @GodfreyKunambi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tatz Lako umezaliwa kuwasem wakristo na huwezi kubadili chcht kw wakrsto

  • @Odiliamrema
    @Odiliamrema 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ukiona unamwongelea mwezio sana jua kuna kitu kakuzid

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      Ni kwel mwamposa kamzid mazinge uongo tyu hicho nd alichomzid kw7b anawadanya san lakn nyie hamtaki kuambiwa ukwel

  • @MlungwanaAllan
    @MlungwanaAllan 7 หลายเดือนก่อน

    Mazinge na ndio maama Wakrto hawakupendi kwakuwaunasema kweli kwakuwana wewe ulitokea kwenye ukristo unayajuwa mengi Yao nanakuombea Duwa Waslaam wote Duniani uishii Maisha malefu sana

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      Ugaidi ,majini,na usodoma,ndio

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      Wakristo hatuna dharau na uislam,tunawapenda sana,ila ninyi waislamu njia nyeupe motoni

  • @davidmatuhi7094
    @davidmatuhi7094 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kwa upande wangu shehe njaa ndo tatizo kwako
    Pia huna uwezo wa kuongoza jamii ukipewa hatamu yoyote watu watakufa kama kuku ,,(hujui nn useme nn usiseme na wapi utumie neno gan binafs nakushaur unaharibu uso wa Allah. huna sifa labda asiyejielewa ndo atakusikiliza broo.

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      Nyie si nd walewale molokunywa uji wa mgonjwa na mgonjwa akandee

  • @shamtealmas3290
    @shamtealmas3290 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mnaemsema mazinge ebu niambieni ukweli huu
    Yesu alikuwa dini gani
    Na kanisa alilokuwa anasali linaitwaje na alikuwa dhehebu gani?tunaona madhehebu mengi mnoo na wote mnasali tofauti tofauti,ila ibada za waislamu duniani kote ni moja

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 9 หลายเดือนก่อน +5

    DAH imewatach sana iyo

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 5 หลายเดือนก่อน

    Pesa zina nguvu sana

  • @richimuniko3578
    @richimuniko3578 6 หลายเดือนก่อน

    Mazige acha unsfiki Mtume Mwamposa hauzi udogo Wewe ni poropagada tu.

  • @dnxvi
    @dnxvi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hubiri dini yako ya shetani usichafue dini za watu Mzee... Wewe !wenyewe huna uhakika na unachokiabudu

  • @nasramohamed6973
    @nasramohamed6973 6 หลายเดือนก่อน

    Sema professor 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nampenda mtumishi mwamposa na nitaenderea kumpenda kwa muumini wake

    • @hancekarma1623
      @hancekarma1623 6 หลายเดือนก่อน

      badilika ndugu yangu tuliza akili Yako Ili umjue m/mungu

    • @sunwizy608
      @sunwizy608 5 หลายเดือนก่อน

      tuliza akili utamjua mungu wa kweli.mungu ni mmoja tu jamaniiiiiiiiiiiiiii

  • @imanmwashitete5243
    @imanmwashitete5243 7 หลายเดือนก่อน

    Kuhusu mwamposa bado hamjasema mtasena sana alfu acheni uongo udogo hauuzwi hata siku moja

  • @JumaRajabu-t9e
    @JumaRajabu-t9e 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe unaesema ostadhi kaongea uwongo sema wewe hauna unaro lijua muombe mungu sana akupe ufahamu

    • @savinosalamba9174
      @savinosalamba9174 6 หลายเดือนก่อน

      Ostadhi wenu,umaskini,roho mbaya,life ngumu,watoto 15,lazima awe na roho mbaya,

  • @bibielroybibielroy8710
    @bibielroybibielroy8710 9 หลายเดือนก่อน +2

    Toa mawaidha ya kuacha mabaya na kufuata mema achana na maisha ya watu na kutaja majina ya watu na cashfa

  • @akramumohamed7738
    @akramumohamed7738 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @niahpike8593
    @niahpike8593 6 หลายเดือนก่อน

    Sisi sote hatujui lolote Mungu atusamehe tu maana hakuna tujualo sisi ni wadhambi tu sisi sote hakuna mtakatifu ata Yesu alikataa kuitwa Mwema tulikumbuke Hilo Mimi ni Nabii wenu Nabii Coco

  • @KHALIDAKIDA-vh4ru
    @KHALIDAKIDA-vh4ru 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanadamu mwenzio anakwambia yesu mungu ,hivi akili huna maarifa pia ,unakubali ,mungu ulimuona wapi ,yesu kaonekana yesu ni mtume wa mungu c mungu

  • @barakasimonmarandu
    @barakasimonmarandu 3 หลายเดือนก่อน

    she mungu akusamehe mana huwo ni usengenyejaji shee na chuki

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 9 หลายเดือนก่อน

    Ustaze Mazinge Mungu Akubariki Masha Allah 🤗🤗

  • @JoshuaDavid-gl7hv
    @JoshuaDavid-gl7hv 6 หลายเดือนก่อน

    We shehe soma ISAYA 47:10-15 then uokoke, uijue kweli na umpokee BWANA YESU uwe huru

  • @gregoryngwanije92
    @gregoryngwanije92 9 หลายเดือนก่อน +6

    kwa mwamposa watu wanapokea majibu yao toka kwa Mungu. Sasa na wewe fanya zaidi yake uone kama hao unao wataja wataenda huko.
    Halafu pale hakuna dini una amini Mungu anakusaidia,acha porojo kila kitu kipo wazi anaonyesha kwenye TV.
    Acha asaidie watu kwa neema aliyopewa kama Mungu wako ameshindwa kuwasaidia watu.

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 9 หลายเดือนก่อน +4

    Kama Inshu ni Mbinguni Basi tukutane Mbinguni, Ila sisi tulio wa Ufalme tunaijua Njia.

    • @Hajj-r9y
      @Hajj-r9y 9 หลายเดือนก่อน

      njiagan nyie waxhirikin

  • @LilianNyakato-hp6wx
    @LilianNyakato-hp6wx 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani Mungu dini gan,,acheni chuki hubirini habari njema tumjue Mungu acheni chuki😢😢😢😢

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ukifa ndipo utajua hiyo ni chuki au sio chuki,hapo maana yake tunakumbushwa kuhusu kifo kwamba hakiangalii mtu ana cheo gani au unapesa kiasi gani au Mtu ni masikini kiwango gani?Maana yake Mwisho wa Mitume alikuwa Mtume Mohammad karne ya 7 leo hii ukisikia Mtu anajihita Mtume ujue tapeli huyo!

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc 8 หลายเดือนก่อน

      Matendo mema hawana Wana kelele nyingi.

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 8 หลายเดือนก่อน

      @@AnethEdward-nf6sc Wakina nani hawana matendo mema?

    • @AnethEdward-nf6sc
      @AnethEdward-nf6sc 8 หลายเดือนก่อน

      Yeyote yule hatuchagui dini, watu wanahubiri dini zao lkn ktk jamii hatukanyani ,hatukatazi matendo mabaya yameota mizizi dini zote zimeoza . Tunamsubiri alietuumba ndie atatuambia nani ni mwema .

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 8 หลายเดือนก่อน

      @@AnethEdward-nf6sc Dini hazijaoza,useme watu ndiyo tatizo hilo ni namba moja,namba mbili Viongozi wa dini takribani zote mara nyingi wanakemea machafu ila wanaohubiriwa wameweka pamba masikioni hawasikii,tatu Mungu kaumba mwanadamu na akili timamu inambidi akae chini ajitafakari kwa nini kaumbwa na kuletwa duniani?Je mwanaume kaletwa duniani aje kuwa shoga?Je Mwanamke ameletwa duniani ili akawe jike dume?Je watu tumeletwa duniani ili tutoane rohoo bila haki?kulewa mapombe ovyo?kufanyiana chuki chuki?Kufanya umalaya?kufanyiana dhuruma?kulogana,husda,fitna ndugu wanafanyina rohoo mbaya na kadharika ukija kuangalia utangundua sisi wanadamu hatuna mazingatio kabisa,mtu akiambiwa mambo ya dini anakwambia hayo ni ya zamani dharau dharau tu.
      *Dini sio mali ya Mchungaji,Padiri wala Sheikh sio kwamba unamfuata huyo kiongozi matakwa yake;hapana ,unatakiwa uangalie muongozo wa dini yako unasemaje kama Wewe ni Mkristo angalia Bibilia yako inakuelekeza nini?Kwa mfano Bibilia inasema Yesu ni Mtu,inasema Yesu alizaliwa kama mimi na wewe,inasema Yesu alitahiliwa,inasema Yesu alipotea Mama yake na baba yake mzee Yusuph wakamtafuta baada ya mda akaonekana,Bibilia Yesu alisinzia usingizi kwenye jahazi kidogo lizame,Yesu alikula mikate na wanafunzi wake,Yesu alichoka lakini Watu wengi kwa kukosa maarifa ya akili Mchungaji anakuja anakoleza maneno anawaambia Yesu ni Mungu mara mtoto wa Mungu nanyie mnakubari kweli kwa sifa hizo za Yesu kweli Mungu anaweza kuwa na sifa za kibinadamu?
      *Mungu anaweza kutahiliwa na wanadamu aliyowaumba Mwenyewe?
      *Mungu anaweza kula mikate?
      *Mungu anaweza kuwa na njaa kama mwanadamu?
      *Yesu anaweza kuzaa mtoto?Je! Kama Mungu ana mtoto,mke wa Mungu ni nani?
      *Kwa mjibu wa maneno yenu mnasema Yesu alikufa,Je!Mungu anaweza kufa kama wanadamu wanavyokufa?
      ###Kwahiyo mizahaa hii ndiyo imepelekea watu wengi kuona dini ni kitu cha kawaida kawaida hivi,mtu anaweza kulala usingizi kesho akijihita Mtume,sijui Nabii wakati enzi za mitume zilikomea kwa Mtume Mohammad,kwahiyo toka karne ya 7 utume ulipokomea kuanzia hapo Mitume waliofuata ni Mitume weka mbali na watoto!
      ###Nimetoa mifano hiyo kupitia imani ya Ukristo kwa sababu Watu au Viongozi wake wanafanya mambo kwa matakwa yao ni tauti sana na Uislamu,hawezi akasimama Muislamu awe Sheikh au Imamu akajihita Mtume au Nabii Waislamu tukamfuata hii ni point 1moja,Namba 2 Hakuna Muislamu Yeyote anaweza kujitungia Quran ya kwake na Waislamu tukakubari,hatuwezi kukubari ujinga huo,Namba 3 Katika Uislamu Sheikh akipindisha hata ayah Moja Waislamu lazima tumvae vikali au atakakosolewa haraka sana.
      *Kwahiyo kama kuna Muislamu anafanya matendo maovu yatabaki ni ya kwake na Uislamu pamoja na Quruani vitabaki vimesimamia haki na Ukweli wa Mwenyezi Mungu,kwahiyo mtu anaufuata Uislamu na Quran kwa sababu hivi vitu viwili ni mali ya Mwenyezi Mungu kwa ajili ya Waislamu wote duniani na Quran ni moja duniani kote na maneno yake yote ni idadi ile ile kote duniani!
      *Kama kuna Muislamu anafanya maovu hayo maovu ni mali yake kwa sababu Quruani nikitabu kimebeba sheria kali za Mwenyezi Mungu na miongozo ya maisha ya wanadamu wote kwa mfano Quruan ni kitabu peke cha Mwenyezi Mungu kilichoelekeza kwamba mtoto akizaliwa anyonye kwa miaka 2 maziwa ya mama yake,hii aya huwezi kuipata kwenye Bibilia yeyote na Wasiokuwa Waislamu wanaifuata Quruan bila kujua hata sayansi ya Wazungu imekubariana na Quran.

  • @imachembele7043
    @imachembele7043 4 หลายเดือนก่อน

    Comedian huyu daa ana chekeshaa sanaaa ndaro 😂😂😂😂

  • @ebenezerchurchsupremetv9490
    @ebenezerchurchsupremetv9490 7 หลายเดือนก่อน

    Wivu wako juu ya ukristo ni mkubwa sana,na hapo ndiyo unajua kabisa ukristo ndiyo njia ya kweli na uzima

  • @PascleShayo
    @PascleShayo 6 หลายเดือนก่อน

    Waslam mmezid majungu

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 9 หลายเดือนก่อน +4

    mnapenda kuwahukum binadam wenzenu mtadhani nyie ni wakamilifu sana

  • @MariamShagata
    @MariamShagata 5 หลายเดือนก่อน

    Hakika 🙏🏾 allah atupe mwisho mwema 🤲

  • @ismailhassan5209
    @ismailhassan5209 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mtume wa mungu amechaguliwa na mungu kwa sasa hakuna mtume labda katumwa shetani

    • @ramadhanmahongole9293
      @ramadhanmahongole9293 7 หลายเดือนก่อน

      Hata mhammad hakuwa mtume wa Mungu alijitangaza tu kuwa mtume kama alivyo jitangaza mwamposa

  • @PauloLwena-ec2vi
    @PauloLwena-ec2vi 6 หลายเดือนก่อน

    Yani kweriii safiii sana wachungaji wamchongo

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 9 หลายเดือนก่อน +1

    Lkn ndugu Mazinge, wanasemaga hivi, ujanja ni kupata pesa. Sasa mazinge bana we mwache mwamposa wa watu ale na anywe tu!!! Wivu wa nini? Kama atahukumiwa bac we achananaye tu. Watu wanatafuta pesa bana.

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 6 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mkristo Ila huyu comedian nampenda sana

  • @alexkatana5037
    @alexkatana5037 5 หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzito sana.

  • @Oscar-qs7tn
    @Oscar-qs7tn 7 หลายเดือนก่อน

    Waislamu wanahitaji uponyaji kwahio hawatoacha kwenda Kwa mwamposa

    • @glorymasonga
      @glorymasonga 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @amiryhassan202
    @amiryhassan202 7 หลายเดือนก่อน

    wallah kuna watu kweli ni inalilah wainaa ileyh rajiuna mtu unamwambia shekh Mazinge aende isio kuwa pepo kwanza unajua shekh kabla hajasem Mungu nisameh anasemehewa madhambi arobaini wewe na mimi jeee

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 8 หลายเดือนก่อน

    Kweri kabisa wakristo
    Wanamtania sana #nabii issa
    Hila watapata zambi sana

  • @glorymasonga
    @glorymasonga 5 หลายเดือนก่อน

    Wivu umemzidi mazinge na ndio maana aachi kumzungumzia mwamposa na mwenzie anasonga mbali yeye asubiri contena la tende

  • @novanickywasanzu5589
    @novanickywasanzu5589 9 หลายเดือนก่อน +2

    Fanyeni kazi ya Mungu ninyi siyo vyama vya siasa kauze na wewe Udongo 🙅

    • @AredFered
      @AredFered 9 หลายเดือนก่อน

      Au sio

  • @AidanKostantine-o4p
    @AidanKostantine-o4p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Maandiko wanayema watakuja nabii wa uongo ndo ayooo wakina mwamposa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hayo ndiyo mawaidha toka msikitini au vijembe

  • @UpendoMollel-g3f
    @UpendoMollel-g3f 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani kweli kaburini hakuna amani

  • @AmusedForestBridge-zo6ox
    @AmusedForestBridge-zo6ox 6 หลายเดือนก่อน

    usimseme mtumishi mwezio na kuwashawishi watu tofauti

  • @LeticiaJames-m2c
    @LeticiaJames-m2c 8 หลายเดือนก่อน

    We mzee Mungu anakuona.fitina 2

  • @MusaEcindo
    @MusaEcindo 2 หลายเดือนก่อน

    Ndo mtume wetu wa africa uyo mwamposa na Mohamed niwawarabu.

  • @prijoseph4665
    @prijoseph4665 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mazinge mjinga sana, Sasa nani atakuja kuswali wakati mnahubiri majungu tu

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      Hajahubir ujinga bali anawapigania ilii muingie kweny dini ya Allah na ndio dini pekee apa dunia mpak kesho akhera

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      Zindukeni achananeni na kupinga ukwel unaoonekan

    • @abilahishabani2753
      @abilahishabani2753 6 หลายเดือนก่อน

      Zindukeni achananeni na kupinga ukwel unaoonekan

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 6 หลายเดือนก่อน +1

    We mzee achakujihesabia haki hata we Ni mkosefu

  • @SebastianJugle-lb7ob
    @SebastianJugle-lb7ob 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mazinge ni shoga

  • @glorymasonga
    @glorymasonga 5 หลายเดือนก่อน

    Usimseme mtumishi yeyote kwamaana vita vyao sio vya mwili ni vya roho

  • @mikerutto8164
    @mikerutto8164 9 หลายเดือนก่อน +8

    Acha kupoteza watu ,waambie wamfuate yesu kwa sababu yeye ndiye njia ya ukweli na uzima. Sisi wakristo hatuabudu udongo. Tunamwabudu yesu. Wauza udogo hao sii wakristo bali ni mitume wa uongo

  • @skbenzsolution8682
    @skbenzsolution8682 7 หลายเดือนก่อน

    Wakristo na waislam tufateni vitabu tulivyo letewa na mungu nasio wayatakayo watu kwa mafanikio yao ya kidunia

  • @maximillianmayani5119
    @maximillianmayani5119 3 หลายเดือนก่อน

    Sheikh wangu acha uswahili simama na Allah acha kuzungunzia watu kama ni kufa hata wew utakufa mbona sioni mantiki ya kuzungumzia watu unakosa maarifa sasa

  • @MkumboJaphet-yx3jp
    @MkumboJaphet-yx3jp 9 หลายเดือนก่อน +1

    Anavoongeaga sasa utasema alishawai kuingia mbiguni...afu akaambiwa arudi aje kutangaza palivo. Hamna lolote zaidi ya unafiki tu na Chuki

  • @mwajemwafula5777
    @mwajemwafula5777 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu ni njia sahihi uwezi kumpangia MUNGU maamuzi yake fundisha hizo Hadith zako

  • @mwamwajaonline1881
    @mwamwajaonline1881 9 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee njaa inamsumbua wewe fanya mahubiri watu Watende mema ili waione pepo hizi hbr za kumsema mtu hazitakufanya uonekane wewe ni mwema sana Mungu ndiye apimaye imani ya mtu wewe na huyo mnaemsema judge wetu wote ni mmoja

    • @Nily-kz3db
      @Nily-kz3db 8 หลายเดือนก่อน

      Lazma Wasemwe wanokufuru,Mwamposo Anajta Mtume Nkufuru,Sasaa Acpokemea Na Ushoga Ucpokemewa Vzaz vyet2 watajuaje,Achen Kumuelewa vbya Maznge,Chuk Zenu Hzo kw Shekhe Maznge

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 7 หลายเดือนก่อน

    Yote Ni Wivu Kwa Kuwa Wewe Huwezi Kutoa Mapepo Na Huwafumdishi Hao Wenzio Ukweli,Mbona Mashehe Wemgine Ni Waelewa.

  • @octavinaalphonce6898
    @octavinaalphonce6898 9 หลายเดือนก่อน +7

    Hebu kila mtu azungumzie kile chake tuachane na mambo ya wengine

    • @IssaNasir-v2e
      @IssaNasir-v2e 8 หลายเดือนก่อน

      Na mashoga tuwanyamazie tuwaache

  • @DignaEliamani
    @DignaEliamani 5 หลายเดือนก่อน

    We mzee ongea kwa hekima acha izo maneno

  • @danielalmas6595
    @danielalmas6595 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu sheikh msenge tuuu

    • @rajabuidd45
      @rajabuidd45 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe mzima kweli ?

  • @keimasare3748
    @keimasare3748 9 หลายเดือนก่อน

    Hakuna aliyekuja na dini,,sote tumezaliwa na kuzikuta dini zipo,,,chamsingi ni kutenda mema yaliyoandikwa na kuacha mabaya na yote yapo katika vitabu vya dini zote na ni yaleyale yaloamrishwa,,na ni yaleyale yalokatazwa,, ndo maana tunaishi kwa amani,,1.hakuna dini inaruhisu kuiba,2.hakuna dini inaruhusu kuzini,,3.hakuna dini inaruhusu kuua,,3.hakuna dini inaruhusu dhuluma na mengine,,,TUISHI HUMO.

  • @glorymasonga
    @glorymasonga 6 หลายเดือนก่อน

    Unauniri au unagobana. Ubiri a watu neno la mungu acha uduanzi