MASUFI MNAMKATALIA MTUME JENEZA HALISINDIKIZWI HIVYO,, Sh Muhammad Is'haka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 เม.ย. 2024
  • #Tafadhali_Gusa_SUBSCRIBE_ilikupata_mazuri_yajayo

ความคิดเห็น • 23

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera shekhe,hadithi zipo wazi kabisa hawataki hakki Hawa watu wamepotezwa kweli na mashekhe zao na usema wanampenda mtume lakini awataki alokuja nao sherwani amewaghuli xana watu Hawa wa bidaa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mashallah
    jazaakum Allah khayrah
    Tunakupata from London
    Mimi kupitia kwa huyu shekh nmeelewa ubidaa wa maulidi na Nyimbo za Qaswida na Barzanji

  • @yangayanga1553
    @yangayanga1553 3 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @omarbuya4520
    @omarbuya4520 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee muogope mwenyezi mungu kwa haya unayo yasema jamani utakuja kuulizwa,hawa wanao kuunga mkono wawapoteza wala huwaongozi hebu njoo tukusaidie kama watatizika.

    • @MwinyimvuaOmary
      @MwinyimvuaOmary 3 หลายเดือนก่อน

      Hakika mze yupo sahihi kwakuwa hatoi akilini mwake Bali anatembea na mashiko,

  • @omarbuya4520
    @omarbuya4520 3 หลายเดือนก่อน

    Jamani yataka sana tusome tena tusome sanaaaaa hiyo hadithi aliyo itoa hapo nihadith dhwaifu pia nihadith majhuul jamani jamani chonde chonde tusomeni.

  • @user-bt8wh8cd3g
    @user-bt8wh8cd3g 3 หลายเดือนก่อน

    Je nahii zko sampuli gan najee nahii hiyo iko kwenye kigawanyo gan

  • @HamadiNgwali24
    @HamadiNgwali24 3 หลายเดือนก่อน

    Unataka umfundishe nani hapo je umesoma au ?

  • @user-pi8xt7rx1h
    @user-pi8xt7rx1h 3 หลายเดือนก่อน

    Shee gni ww hata Nuru huna nenda Kanye kokoni huko kwanza unalaana ya shee Muhammad Ayubu

    • @MwinyimvuaOmary
      @MwinyimvuaOmary 3 หลายเดือนก่อน

      Hivi huo ndio uislm?
      Kejeli zarau matusi n.k sio mwenyendo wa uislm
      Yaliobora niwewe kutetea hoja zako
      Kisha hakuna MWANAADAM anaeweza kumpa laana kiumbe wa Allah
      Hiyo ni swifa ya allah Muhammad ayubu hawana uwezo wa kumpa mtu laana
      Lete istighfari ndugu

  • @BushDoctor-dw8el
    @BushDoctor-dw8el 3 หลายเดือนก่อน

    Iwapo unapinga jambo pinga kwa huja za Sawa si kukata Aya ya Qur'an na kuipinda utakavyo.
    Mfano unaanza na وما اتاكم الرسول فخذوه وما نهاكم عنه فانتهوا kwani hukuisoma Aya tangu mwanzo hadi mwisho ili uieleze kama vile inavyowajibika na wasikizaji waelewe maana ya kweli.
    Hiyo iko katika Surat Al hashr Aya ya 7. Hebu isome tangu mwanzo uelewe mwenyewe inahusu nini Aya hiyo Acha tu kusikiza wanaojiita mashekhe

  • @user-ib7kx9dc5m
    @user-ib7kx9dc5m 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe hau Tetei hoja Bali una tetea itikadi kwani Aya una zikatiza shida ni njaa imetoka tumboni ume ipeleka kichwani

  • @omarbuya4520
    @omarbuya4520 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee hizo pesa unazopewa na mayahudi pamoja na wamarekani kula pole pole maana zitakusonga bure, kama nihoja na dalili za kupeleka janaza kwa sauti tunazo nyingi.

    • @MwinyimvuaOmary
      @MwinyimvuaOmary 3 หลายเดือนก่อน

      Unahakika na hayo unayo mtuhumu nayo ndugu Yako ktk Imani
      Angalia usije ukawa muflisi siku ya kiama

  • @omarbuya4520
    @omarbuya4520 3 หลายเดือนก่อน

    Tena huyu bwana yuajifanya anajua fanni za lugha sanaaaaa ila hana lolote.

  • @user-bt8wh8cd3g
    @user-bt8wh8cd3g 3 หลายเดือนก่อน

    Ww mzee naomba upange munagashaa tukufundishe ww wajisemea tu

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hiyo elimu uliyonayo ya munaaqasha msome vizuri mtume swallallahu alaihi wasallamu ujue alichokifundiaha ukifuate na uache uzushi

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 3 หลายเดือนก่อน

      huyu Mzee hafahamu kitu isiwe na mapenzi kandamizi lugha hajui mara naibu faili pahala pa faailu ndio lugha Gani mara musifuate jeneza na moto kamuona nani na moto akiliduata jeneza ujinga tu alonao huyu Mzee na kuwashakizia watu na kujitakasa yeye

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 3 หลายเดือนก่อน

    Hata wakiambiwa hawasikii, na hawataki kusikia, wanaona wao wanajua zaidi yenye manufaa katika dini yao.
    Mimi tu zile ibada zilizo faradhi na sunna nikiwa natekeleza na nimemaliza kufunga, kusali, moyo una wasiwasi ukamilifu na kupokelewa kwake kwa ajili ya malipo mbele yake Allah. Sasa nyie watu wa bidaa hizi ibada za kutunga na mkijua uhakika Allah na Mtume hawajufundisha huwa mna matumaini yepi?

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 3 หลายเดือนก่อน

      matumaini tuliyo nayo bibi Aysha anasema mtume alikua akichukua membari yake akimsifezea Hassan bin thabiti akisimama kwenye hiyo membari na akimsifu mtume hadithi kama hizi na ni nyingi ndizo zinazotupa matumaini

    • @saidimatezo6273
      @saidimatezo6273 3 หลายเดือนก่อน

      Bidaa zote zina kinyume chake ambayo ndio sunnah iliyotoka kwa dalili sahihi isiyona wasiwasi kutoka kwa Mtume wetu swala na salamu zi mfikie.... Sasa mbona huache sunnah hiyo ufuate uzushi ambao kupata malipo yake ni muhali... Bali bidaa imekemewa... Mbona usiache ufuate chenye uhakika wa kukata... Kwani unanguvu nyingi kwamba ibada za sunnah hazikutoshi... Au unaona hazitoshi kwako kwa kuwa wewe umcha Allah sana

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 3 หลายเดือนก่อน

      mbona huyu bwana anaacha vitabu vya hukumu kama sherehe ya muhazabu al,ghunaa ya ibni qudama na al,umu n,k,huyu achupia vitabu ambazo yeye mwenyewe hata kuvinukuu hajui mara ngapi twazika usiku na ni lazima tuchukue taa ambao ndio huo moto halafu hicho kiarabu hajui huyu bwana kwatwambia naibu failu halafu anatutafsiria mahala pa faailu na makosa kama hayo kayafanya sahemu nyingi kwenye hiyo lugha yake apopoa popoa tu ilimradi aambiwe naye kasema tuwe na tahadhari na watu kama hawa