Dr sulle mwenyezi mungu amesema tuite watu katika njia yake kuwaelimishe kutumia hkima na maneno mazuri si kwa kuwatukana na kuwajibu vibaya kwa hasira bro quran 16: 125. Usitumie hasira. Laiti mtume angelitumia hasira makafiri hawangesilimu. Alitumia hikma na maneno mazuri kuwaelimisha
Bwana Yesu hakuwa mkristo Yesu ni Kristo Mwenyewe😄, waktristo maana yake ni wanafunzi wa Yesu. (Matendo ya mitume) Yesu ndio njia ya uzima. Tubuni na muda bado upo. Glory to Jesus Christ our Lord and savior 🙏
IPM Anajaribu kuuchezea Uislamu, akadhani kwa ukimya wetu sisi tumemuelewa kumbe tunamuhesabia hatua zake. Sisi tupo live hatutaki kuchezewa na makafiri kama IPM. BARAKALLAHU FIYKA DR. SULLE ALLAH AZIDI KUKULIPA TUPO NYUMA YAKO.
Nakupenda Sana mzee wangu lakini kwa haya usemayo nakuomba acha kumchukulia mungu hivyo najua umejaaliwa kuwa na elimu ya dini lakini kuna vitu mungu ameficha ambavyo hata kwenye elimu hayapo nakuomba baba yangu mimi siwezi kubishana ila mungu akusamehe sana
AFADHALI masheikh mmeliingilia kati yule jamaa nimesikiliza interview yake yote zaidi ya lisaa ni mjanja mjanja kabisa na yupo kwa ajili ya kupiga deal tu si mkristo
Sasa Yesu atakuwaje mkristo wakati yeye ndiye Kristo mwenyew.? Wakristo maana yake Ni wafuasi wa Kristo ,wanamuamini Yesu Kristo Ni mpaka mafuta wa Mungu aliyejuu ,ambaye Ni Mungu nafsi ya pili aliyechukua mwili akawa mwanadamu akaja duniani kumkomboa mwanadamu. Yesu angekuwa binadamu Kama unavyodhani asingefufuka. Yesu alikufa na kufufuka na alipaa kwenda mbinguni watu wa duniani wakishuhudia. Kuingia mbinguni njia pekee Ni kumuamini Yesu Kristo na kufanya yale anayofundisha. Kwa hio kuitwa mkristo au muislamu haitoshi kufanya uingie mbinguni. Elimu ya rohoni Ni tofauti na elimu ya duniani.
Dr Sule, nakufata kutoka Oman 🇴🇲 , naskia raha kukusikia. Allah azidi kukuongooza na Kukulinda Sheikh, Na Akupe mwiisho mweema
Waislamu tuna dokta sule mungu ampe uhai zaidi🙏🙏
Aaamin yah rabbi
Maneno yako Alhaji Dr sulley yananipa Raha sana
Upo vizuri sana mwamba
ALLAH azidi kufunua kifua chako docta Sule Uutangaze uislam na Mtume wetu rehma za ALLAH ziwe juu yake.
Achana na IPM tapeli wewe
Wewe endelea na utapeli wako Saidi mwaipopo alishatuambia wewe ni tapeli na huna Elimu unayojidai kulwa nayo
MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ISLAM ☪️ IS REALLY RELIGION AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MY ALLAH PROTECT US ISLAM ☪️ FROM EVIL 😈 PEOPLE INSHALLAH AMEEN AMEEN AMEEN
Dr suley Allah awe n'a wewe kwenye haki mwislam jasiri mashallah
Allah akuhifadhi dr sule insha-allah
Asanteeeeee maalim..asante Dct sule..wafahamishe hao warongo wanafik...anajifanya kusoma Quran tumuone mkweli kumbe tapeli.
Allah akulipe kheri hapa duniani Hadi akhera ,,inshaa Allah
Dr sulle mwenyezi mungu amesema tuite watu katika njia yake kuwaelimishe kutumia hkima na maneno mazuri si kwa kuwatukana na kuwajibu vibaya kwa hasira bro quran 16: 125. Usitumie hasira. Laiti mtume angelitumia hasira makafiri hawangesilimu. Alitumia hikma na maneno mazuri kuwaelimisha
Nakuelewa sana ostazi sule mungu akupe afya njema inshallah
Allahu Akbar Allah akupe ulinzi Dr Sulle kwakweli weye si Sheikh ubwabwa nakupenda kwajili ya Allah
Mash Allah Dr Sulle Allah akuweke.
Uyo njo dini ya Allah akuna wakichenzea from🇧🇮Alhamdulillah kuona mi nimwislam
Allah akupe maisha malefu sherh wetu🥰🇳🇦🇳🇦🇳🇦
Bwana Yesu hakuwa mkristo Yesu ni Kristo Mwenyewe😄, waktristo maana yake ni wanafunzi wa Yesu. (Matendo ya mitume)
Yesu ndio njia ya uzima. Tubuni na muda bado upo.
Glory to Jesus Christ our Lord and savior 🙏
Dr. Sulle wewe ni mwamba haswaaa na tunakuombea mungu akupe jitaji la moyo wako
Allah akujaze khery ndugu yetu uweze kututetea na kuitetea dini yetu hii ya haki ya kiixlamu aaameen
Mashaallah Allah aendelee kumuongoza katika njia iliyonyooka
Allah akuhifadhi Dr sule
Allah Akbar. Allah Akbar. Safi sana dr. Sulle
Allah akujalie umri mrefu Dr sule
SIKU ZOTE ELIMU HAIDANGANYI. ALLAH AKUHIFANDHI SHEIKHE WETU.
Mashaallah Mashaallah be blessed
Mashaallah Allah akupe umri mrefu wenye manufaa uzid kupigania dini
Mwenyezi mungu Akufanyie wepes Amin
Nimefurahi sana kumuona ustadh kesi
Masha Allah good 👍👍
Mashallah shekhe wangu Dr sule Allah akuweke
Dr.sulle allah akujalie maisha marefu
Mashallah mashallah mtaalam Dr sulle,, Allah akuongoz
Mashallah allah akuzidishieeeé jemedariii wetuuu
Mashaaallah Allah akulipe inshaallah ❤
TAKBIRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR.
ALLAH AKULINDE SHEKH WETU.NASI ATUJAALIE TUISOME DINI YETU KINDAKINDAKI
Allahu Akbar ☝🏿
Naomba ufafanuzi quran5:85 na 33:50 asante
Allah akupe umri mrefu shekh❤
IPM Anajaribu kuuchezea Uislamu, akadhani kwa ukimya wetu sisi tumemuelewa kumbe tunamuhesabia hatua zake. Sisi tupo live hatutaki kuchezewa na makafiri kama IPM.
BARAKALLAHU FIYKA DR. SULLE ALLAH AZIDI KUKULIPA TUPO NYUMA YAKO.
Mashallah Allah akuzidishie akulinde pia Dr sulle🤲
Allah akuongoze sheikh dr sule
Allah akuhifadhi Dr.Sule ..Mwambie ajitoe asitumie Uislam Kwa manufaa yake
Mashlh mungu akuzidishie ujasiri
Mashaallah dr sule, hakika tunajifunza
Maxhaallah doctor allah akupe umri mref
Kwa Bahati mbaya Dr sulle huwezi kuelewa ukiristo hadi upewe neema na mungu utaendelea kubishana mpaka unaingia kabulini
Allah akuhifadhi
Akulinde dhide ya wenye husda
الْحَمْدُ لِلَّهِ مَا شَاءَ اللَّهُ 🙏
Kweli kabisa maneno yako sheikh Allah akuhifadhi na aku fanyie wepesi yaarab uzidi ku utetea UISLAM
May Allah bless you our shkh and protect you always Ameen Yarrab
Allah akulipe Dr sule
Maashaallah tabarakallah ❤
Dr nakukubali kutoka DRC napia uyo baba nimeaangalia tu nusu ya video
Mzee ALLAH anatetea Dini yak naww niomiongoni katika majeshi ya ALLAH shukran
TAKBIIIIRU....ALLAHU AKBARI.
ALLAH AKULIPE KHERI.
Takbiirr ,allah akbar
Allahu Akbar ❤
Allahu akbar
Allah akbar
Allahu akbar
ALLAH AKBAR
Asante sanaa aaaaaaaa mungu akuweke kakaaaaa Allah akibaluh
Ahsante Doctor sulle
Huyu ndo mtaalam Dr sulley naemfaham mm
Wewe Dr Sulley una lalamika sana sababu unawaona wanamke apo ulipo
Allah akujahalie Dr sule kakika kupigania dini ya haki ya mwenyezi Mungu inshallah
Allah akulipe mema juu ya kuutetea uislamu
Bwana yesu asifiwe wapendwa
Mungu akuzidishie kher dunian kesho akhera kwa unayoyafanya❤❤
Allah akujaze heri na baraka
Ahsante Dr. Sule mfahamishe anatumia dini yake kwa kuchanganya ukisto na UISLAM.
Maaaa Shaa Allah. Naunga mkono hoja
Unaona mbali sheikh mungu akuzidshie iman❤
Acha UTAPELI we Sheikh Sulleh. Uislamu siyo NJIA(Dini) ya Kweli na Uzima.
Allah akubarik shekhh Islam ndio dini yahakki
If you know the truth will set you free, that's the way it is believe it or not
Mashaallah
Nakupenda Sana mzee wangu lakini kwa haya usemayo nakuomba acha kumchukulia mungu hivyo najua umejaaliwa kuwa na elimu ya dini lakini kuna vitu mungu ameficha ambavyo hata kwenye elimu hayapo nakuomba baba yangu mimi siwezi kubishana ila mungu akusamehe sana
Huyu sule ni tapeli
Mkiona ukweli muelewe
Huna unalolijua ww damas
Haaahaa haaahaa unakichaa wewe,, moja kati ya jukumu la Kila muislam ni kukatazana mabaya na kukumbushana mema
Mabaya yapi Kwa mfano
ALLAH akulinde sana sheikh Sule
Shukrani dr sulle❤❤❤
Mashallah shehe wetu Allha akuhifadhi
Mashaallah ajitokeze kama anaweza
Thanks Dr sulley ❤❤❤❤❤
Shukuran sheikh Allah akuzidishiye
SubhaanaAllah Ametakasika mwenyezi mungu
Allah akutulindiye
Maa Sha Allah
Uyo pastor mleten huku Kenya tunamtaka tumtoe ushamba
Allah akulipe doctors Sule Huyo kafiri ni mtihani hajitambuwi
Naombo ufanye ufike kenya InshaAllah mbieni malindi sheikh
Takbir allahuakbar
Allah akufanyie wepesi inshallah
Swadakt usthand AllAh akuhifandi insha AllAh
asa mbn uislam haufanani na yedu
Allah akuifadhi Insha Allah
Nakukubali dr sule maneno yako yananipa raha sana
AFADHALI masheikh mmeliingilia kati yule jamaa nimesikiliza interview yake yote zaidi ya lisaa ni mjanja mjanja kabisa na yupo kwa ajili ya kupiga deal tu si mkristo
Masha Allah..
Mm Alhaj Sule nakubal Sana maana huachaj kit
Asante shekhe ukweli ubainike
Allah akuhifadh Dr sulle
Asante kwa theologia ....ila bila Yesu umepotea
Bado hujasema karibu katika dini ya haki
ALLAH akuifazi
Blessed 🙏🙏🙏
Mashaallah.
Profesa sulley
HUYU NDIO DK SULE NINAYEMTAMBUA NAMPENDA SANA DK KWA AJILI YA ALLAH
Doctor huyo ❤❤❤
Mashaallah
Nakukubali sana dokita sule❤❤❤❤❤❤
Dr.sule Allah akuzidishie umri na afya
Sasa Yesu atakuwaje mkristo wakati yeye ndiye Kristo mwenyew.? Wakristo maana yake Ni wafuasi wa Kristo ,wanamuamini Yesu Kristo Ni mpaka mafuta wa Mungu aliyejuu ,ambaye Ni Mungu nafsi ya pili aliyechukua mwili akawa mwanadamu akaja duniani kumkomboa mwanadamu. Yesu angekuwa binadamu Kama unavyodhani asingefufuka. Yesu alikufa na kufufuka na alipaa kwenda mbinguni watu wa duniani wakishuhudia. Kuingia mbinguni njia pekee Ni kumuamini Yesu Kristo na kufanya yale anayofundisha. Kwa hio kuitwa mkristo au muislamu haitoshi kufanya uingie mbinguni. Elimu ya rohoni Ni tofauti na elimu ya duniani.
Waislamu mnapenda sana mashindano Yani Kila kitu mnataka mshindane