Sheikh Sule Awataja Viongozi Wa Mashoga Tanzania / Ushoga Upo Tanzania / Sheikh Sule

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 268

  • @magnet-mt7nt
    @magnet-mt7nt 3 หลายเดือนก่อน +39

    Wote tupaze sauti kukemea ushoga kwaajili ya MUNGU na kwaajili ya vizazi vyetu

    • @rauhiyahassan5498
      @rauhiyahassan5498 2 หลายเดือนก่อน +2

      Tunaomba mpaka zanzibar ufike hali tete sheikh

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 2 หลายเดือนก่อน +22

    MUNGU wa mbinguni akubariki sana umepaza sauti yako imesikika na kila mwenye masikio na wasikie , MUNGU akukumbuke siku zote za maisha yako

  • @mussamathayomadole8401
    @mussamathayomadole8401 2 หลายเดือนก่อน +10

    Nimekukubari kwa hili, umeisema kweli ya Mungu, ya kukataza uovu huu, hata mimi naulaani kwa jina la Yesu.

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 3 หลายเดือนก่อน +13

    Inna lillah wainna illaih Rajiuun,,eee Mola wetu tunusur waja wako na vizazi vyetu

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 2 หลายเดือนก่อน +3

    TUMEAMBIWA KTK DINI UKIONA UCHAFU 1UKEMEE 2UCHUKIE 3ULIONDOWE KWA MKONO,TUMECHOKA KUKEMEA NA KUCHUKIA,SASA TUONDEWENI KWA MIKONO YETU2, MASHOGA TUPAMBANE NAO IKIZIDI TUWAUWE ILI IWESOME KWA WENGINE

  • @HemedMsangi-yy8pn
    @HemedMsangi-yy8pn 2 หลายเดือนก่อน +7

    Na Dr. Sulle tunakushukuru sana na tunakuomba usichoke kuielimisha jamii na Allah atakujaalia utafanikiwa na insha allah Tutafanikiwa. Na viongozi wengine wa dini zote wakemee jambo hili kama dr.Sulle kwa nguvu zote.

  • @SamiraMakame-w9c
    @SamiraMakame-w9c 2 หลายเดือนก่อน +7

    Yaaa rabbi tuhifadhi na balaa hizi sisi na vizazi vyeti,amin.

  • @SalumMohamed-sb6or
    @SalumMohamed-sb6or 3 หลายเดือนก่อน +9

    Dr sulle Allwa akupe maisha mema na yabaraka ww itakua mfano na wengine wawe kama wewe

  • @issamahmad665
    @issamahmad665 หลายเดือนก่อน +1

    Allah sw Hakatazi jambo kwa qaumu yaani watu ila jambo hilo lina madhara makubwa.
    Sasa binadamu asiye na fikra za maumbile ya kibinadamu, Allha sw asingaliumba mke na mume,hivyo kufanya hivyo hatari kwani chembe hai zilizomo ktk mkojo wa mimba unakwenda kuharibu mfumo mzima wa mumbile ya binadamu mume au mke. Njia ya kupotisha haja kubwa ikapitishwe manii nimadhara makubwa.Kunakisa muhim watu kukijuwa hicho anachosimulia Dr Sule. Ieleweke hiyo si simulizi, bali ni Ujumbe wa kweli ktk zama zilizopita

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 3 หลายเดือนก่อน +8

    Dr sule upo sawa kwa hili na tupo pamoja naweAllah akuhifadhi

  • @faridalharthi8621
    @faridalharthi8621 2 หลายเดือนก่อน +2

    Madhara makuu yatapatikana kwa siku za mbele zijazo, kwani ikiwa uovu huu ukienea nchini na wanawake watafanya nini? , kizazi kitapungua hadi kufikia ziro , na nchi itabakia bila ya wananchi kwa sababu ya ukosefu kizao , basi hapo ndupo watakuja wale wageni wanao shangilia na kutupa nguvu juu ya ufisadi huu na kutawala wao hii Tanzania , amkeni waTAnzania, hamna hata mmoja aliyefikiria jambo kama HILI ?

  • @teddymnally6136
    @teddymnally6136 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie Sana. Naamini watu wa serikali woote wamelisikia hili na Kama wao hawajui hayo mahoteli ninaamini wakitaka kuyajua ili kuzuia uchafu njia nyeupeee!

  • @ZaituniMmbaga-g4i
    @ZaituniMmbaga-g4i 2 หลายเดือนก่อน +2

    natakiwa tuwenasiku maalumu yamaanamano kwa ajili yakuukemea ushoga naubasha kwahakuka tuko pabaya

  • @gatuna6
    @gatuna6 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wabunge wetu labda tuwaambie tuna binafushisha ushoga. Ndiyo utasikia aukuona wakijaribu kuongelea suala hilo.na halitachukua muda. Lakini tumewajua wamesahau kuwa tuliwachagu. 2025 futawafuta kazi.

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki shehe.Ongea mtetez WETU Usichoke kiongozi. Kuongea tumlilie MUNGU ATUSIKIE.

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hatutaki USHOGA🙏😭

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 3 หลายเดือนก่อน +4

    kaka Sule nimekusifu sana,viongozi wa dini wako kimya wanaogopa wazungu na viongozi tuna kwenda kwenye shimo kubwa sana

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 6 วันที่ผ่านมา

    Kama unasoma hapa tafadhali ndugu zanguni tuacheni hili jambo Mungu haridhii kabisaa. Kuna maisha baada ya kifo tujue😢 Na huko simchezo tuacheni huu uchafu turudini kwa Muumba huyu mmoja. 🙏 Please tuacheni.

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 2 หลายเดือนก่อน

    Hao viongozi WA Serikali na WA Dini wanafaidika pakubwa Sana na Ilo Jambo la LGBTQ Dr.Sule

  • @PriscaManyala
    @PriscaManyala หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa sana Dr..Sule kwa kupaza sauti kuupinga ushoga. Viongozi wengine wa dini hatuwaelewi wako upande gani !

  • @AliiMkobe-en7df
    @AliiMkobe-en7df หลายเดือนก่อน

    Jazaqallahu khayrah.
    ALLAH akujalie mwiishilizo mwema❤❤

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 2 หลายเดือนก่อน +1

    Apa nimekukubali wambie waache misaada yakojinga kwa manufaa yao kuaribu watoto wetu wapuuzi kweli

  • @MiishHassan-qm1et
    @MiishHassan-qm1et 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tunapinga ushoga kwa asilimia zote hatutakii ushogaaaaaaaaa😡😡😡😡😡😡😡

  • @thomaskobelo-y4n
    @thomaskobelo-y4n 3 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani maneno uliyoongea Dr. Sule nakuunga mkono kwa asilimia zaidi ya mia moja na nakuomba endelea na mapambano hayo, Watanzania woooote tuko nyuma yako. Naitwa Thomas Kobelo waMbezi Luis.

  • @evvyyurek1862
    @evvyyurek1862 2 หลายเดือนก่อน +3

    Allah akusimamie lnshaallah tuko pamoja Inshaallah

  • @EmanuelKazumba
    @EmanuelKazumba 2 หลายเดือนก่อน

    Muumba atuondoree vikwazo vyote vya kuupinga ushetani huo.muumba na atuoe nguvu za kushinda

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Sule adhabu ije mara ngapi?Tayari tumeanza kukung'utwa?
    Unambiwa cancer ya uume imeanza kushamiri sana nchini na baadhi Yao wameanza kukatwa uume wao, pamoja na sababu zingine za ongezeko la maradhi hayo ushoga nao unachangia sijawahi kuona eneo la dampo likageuka asali, hii laana' maana hata mbuzi hawakosei. Uchizi unatusumbua sana.

  • @athanassimbila2603
    @athanassimbila2603 2 หลายเดือนก่อน

    HAKIKA WABUNGE WETU NA VIONGOZI WAKUBWA...WASIMAMIE NA KUKEMEA USHOGA,UBASHA NA MAPENZI YQ JINSIQ MOJA TANZANIA IWE HARAMU

  • @adamgobeka5664
    @adamgobeka5664 2 หลายเดือนก่อน +2

    Amiin! Mwenyezi Mungu akulinde na akupe nguvu katika kuondoa uchafu huu

  • @rutahalima1400
    @rutahalima1400 หลายเดือนก่อน

    Assalaam Alaykum wa rahmatullahi wa barakatuhu
    Ya Rabi wewe ndie mwenye uwezo na adhabu yako ni kali twakuomba upokee ma lalamiko yetu
    Shukran Dr sule allah akuhifadhi na akukinge na kila bala

  • @AbassOthmanMshenga
    @AbassOthmanMshenga หลายเดือนก่อน

    Mungu atuhifadhi lakini sijui kama wananiahizo viongoziwetu

  • @aminaabdulghanim8256
    @aminaabdulghanim8256 6 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Mungu akubariki kwa kuongea maneno ya ukweli masafi kabisaa.

  • @mashakhamiskh8880
    @mashakhamiskh8880 3 หลายเดือนก่อน +4

    Na Zanzibar tunakukaribisha Dr sule
    Karibu sana

  • @jojobrayan1551
    @jojobrayan1551 หลายเดือนก่อน

    Innallillahi😢,subhanallah Shukran sheikh wetu 🇺🇸

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lahaula walaakuwat ilabilah inalilahi wainailahi rajiiun 😢😢😢😢😢

  • @HassanOmary-f3z
    @HassanOmary-f3z 3 หลายเดือนก่อน +3

    Do k Sule wewe unatoa elimu nzufi san.mungu
    Akulinde

  • @abubacarsobo8981
    @abubacarsobo8981 2 หลายเดือนก่อน

    Mashoga wanatakiwa wawe wachinjwa kimya kimya,ndio wataacha na bunge ndio watatunga sheria bila hivyo akuna kitu

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Docta sule kwahili nakuunga mkono tupaze saut!ushoga,ubasha,usagagi,na ufiragi tuwape adhabu kubwa

  • @maryamkombo2039
    @maryamkombo2039 หลายเดือนก่อน

    Allah(SWT) AKUHIFADHI NA AKULINDE DR. SULE

  • @albahsans
    @albahsans 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah awape laana na awavunje UTI wa mgongo wote wenye kufanya na kufanyiwa liwati

  • @BahatiUkoko
    @BahatiUkoko หลายเดือนก่อน

    Mungu akulinde uendele kukemea maovyu
    Mungu inusuru tanzania

  • @pilihiza1254
    @pilihiza1254 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi naona turudi tu enzi zile za ujima tuachane na mamisaada yanayopelekea kutuharibia vizazi vyetu.

  • @RachelAbel-d4v
    @RachelAbel-d4v 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu sikia sauti ya Mtumishi wako,tuma malaika kama ulivyotuma Sodoma na Gomora wapo wa Tanzania wengi kweli hatutaki tendo hili la shetani Mungu uwe Nasi kwa jina la Yesu kristo mwokozi wetu tuokoe sauti hii ikubalike kwako .Amini Mungu amekusikia.

    • @salumushungu
      @salumushungu หลายเดือนก่อน

      Mungu tunusulu sisi na vizazi vyetu

  • @ZainabRashiid
    @ZainabRashiid หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli Hali ni ngumu tumuombe mungu atuepushe na laana hizi nawaomba viongizi wa dini, viongizi wa serikali msilifumbie macho hili ni janga kubwa kuliko corona pazeni sauti Hali ni mbaya kwenye jamii zetu

  • @twebechachamegera5925
    @twebechachamegera5925 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amina Dr. Sulle. Ubarikiwe sana na BWANA!!

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 2 หลายเดือนก่อน

    Mabasha ndio mashoga au wasenge na TZ ni kufuru kwa vitendo hivyo tangu uhuru hasa ukanda wa Pwani na kwa sasa vinasambaa kwa kasi bara.

  • @athanaskallega4824
    @athanaskallega4824 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU AKUZIDISHIE UHAI ILI UWEZE KUOKOA UMA WETU WA TANZANIA WEWE NI MTU WA MUNGU WAPO WANAOJIITA NI MAPADRI , WACHUNGAJI, MAASIKOFU, MANABII WAPO TAYARI KUIZUNGUMZIA UBAYA,UDHAIFU,UCHAGUZI WA SERIKALI YETU

  • @annaerineo2388
    @annaerineo2388 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutie nguvu uzidi kupaza ssuti Amina Amina Amina

  • @SalimAbdulla-gw5rq
    @SalimAbdulla-gw5rq 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yani serikali yetu wao wanaangalia pesa tu alaf kwa mtazamo km hawaamini Asa km kuna kifo ila umeongea kweli sana sana sana . Mungu atulinde na vizaz vyetu.

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 3 หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wa Serikali wanaojifanya eti "Wanaifungua nchi" ndio hao hao wanao kingia kifua Ushoga na Ulawiti/Ubaha.

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 หลายเดือนก่อน

    Sijawahi kukuelewa ila Leo. Mungu akubariki.

  • @SalumMajorhood
    @SalumMajorhood 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kbs Dr.sule ongea

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kiongoz unaongea UKWELI.

  • @zuwenaseifhemed3805
    @zuwenaseifhemed3805 หลายเดือนก่อน

    Subhana llah Allah tunakutegemea ww utuokoe na majanga haya

  • @JohnChristopher-k1q
    @JohnChristopher-k1q 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu tuokoe hili janga maana bila yako hatuwezi

  • @AntoniaKunambi
    @AntoniaKunambi หลายเดือนก่อน

    Nikweli ulichoongea kifanyiwe kazi

  • @PaschalMakubi
    @PaschalMakubi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi mungu akutie nguvu katika hilo

  • @SaidSwalehe-dr9ku
    @SaidSwalehe-dr9ku 2 หลายเดือนก่อน

    Wabunge wengine ni mashoga na wasagaj ndio maana hawana mswada kuhusu hilo

  • @KizaNyoni
    @KizaNyoni หลายเดือนก่อน

    Pambana shehe tupo nyuma Yako watoto wetu wanateketea

  • @umislam9203
    @umislam9203 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania hawani habari na lolote wao bora habari zao ni Simba na Yanga

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s 2 หลายเดือนก่อน

    naomba Serkali isuppory😢

  • @aminachoga9266
    @aminachoga9266 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema

  • @OmaryBarua
    @OmaryBarua 3 หลายเดือนก่อน +1

    Si tuliambiwa watoto tusiwaguse hawa ni kushirikiana kuwaondoa kwenye viti vyao ndiyo kinachowapa kiburi na kumuasi allah

  • @ShaibAli-t9s
    @ShaibAli-t9s 2 หลายเดือนก่อน

    Baadhi ya wakubwa wanaunga mkono ushoga kwani wawo nimashoga

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtumishi wa Mungu.
    Hatutaki ushogaaa .Wabunge nawawe serious na jambo hili.
    Mungu ingilia kati jambo hili baya .

  • @Elesciahmdugo
    @Elesciahmdugo หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki umesema kweli tupu

  • @khadijajamaly
    @khadijajamaly หลายเดือนก่อน

    yarab tuongoe cc waja wk tunapotea sana 😭😭

  • @MustaphaManole
    @MustaphaManole 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tatzo la nchi yetu watu wanaogopa kufa kwann tusiandamane mbn Kenya wameweza kuandamana

  • @mohammedgulam9274
    @mohammedgulam9274 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hatutaki ushoga

  • @veronicambilinyi3854
    @veronicambilinyi3854 2 หลายเดือนก่อน

    Sema kiongozi,maana wenzio wanatetea matumbo yao

  • @MwendokasiPromo
    @MwendokasiPromo 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hivi shetani kashika kasi ukiongea haki unaonekana umepitwa na wakati lakini anayeongea batwil anaonekana ndio yuko sahihi ndio maana watu wengi wanaogopa kukemea maovu

  • @AmdiniChungulu
    @AmdiniChungulu หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atunusuru sana

  • @ZaidSeifSuleiman
    @ZaidSeifSuleiman 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ushoga mbaya ila kunaujanja ndio kabroblem

  • @mashakhamiskh8880
    @mashakhamiskh8880 3 หลายเดือนก่อน +6

    Hakika adhabu ya ALLAH haichagui hata siku Moja.. na inaangamiza sote.. Ya Rabbi tujaalie khatma njema na kizazi chetu

  • @richardmichaelshekoloa8302
    @richardmichaelshekoloa8302 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sawa kabisa dk sule saidia watu kwakua upewa sauti na mwenyezi mungu

  • @mohammedgulam9274
    @mohammedgulam9274 3 หลายเดือนก่อน +3

    Shukran Dr.❤

  • @J.Anyauba
    @J.Anyauba หลายเดือนก่อน

    Allah akujalie miaka mingi shekhe

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenyezi mungu utuhurumie. Lihurumie taifa letu baba mungu. Iangalie nchi yetu na viongozi wetu wajalie kutambua kwamba hilo ni chukizo mbele zako wewe ulituumba na ukatujalia utashi wa kutambua mema na mabaya tunakuomba uwajali wote wanaojihusisha na chukizo hilo awaacha kwani hatutaondoka na kitu hapa duniani. Tutaambatana na matendo yetu mema tu.

  • @GabrielHaule-x7c
    @GabrielHaule-x7c หลายเดือนก่อน

    Ushoga ni dhambi kubwa sana

  • @mozakhalfansaid7246
    @mozakhalfansaid7246 2 หลายเดือนก่อน +1

    Subhana Allah, Allah atuhifadhi namabalaa hayo, Allah awahifadhi wtt wetu na jamii islamu, Allah atakuwezesha atakupanguvu na elemu yenyekunufaisha

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 2 หลายเดือนก่อน

    Sio kwa uongozi huu kupinga ushoga

  • @BeullahBujah-lk3sx
    @BeullahBujah-lk3sx หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Dr Sulle

  • @suhailaidarousahmed2879
    @suhailaidarousahmed2879 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallah umeongea point sana umaskini ni wa Mungu na utajiri ni wake ili tumpende Mungu na tulaani ushoga Tanzania

  • @KabwikaIbrahim-ld8vf
    @KabwikaIbrahim-ld8vf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Inshaala,hoja ni nzuri na imeeleweka .Kila la kheri Asante

  • @AmosAmos-fb3yv
    @AmosAmos-fb3yv 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤😂😂😂❤😂❤😊😊😂❤😊😊🎉❤❤❤😊😊😊

  • @MichaelPaulo-k1c
    @MichaelPaulo-k1c หลายเดือนก่อน

    Leo umesema maneno ya maana Sana sule.

  • @SMG109L
    @SMG109L หลายเดือนก่อน

    Raha kuishi nchi za kiislamu

  • @SimonMaregge
    @SimonMaregge 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Sana shekhe hakika ww ni mjumbe wa mungu sio viongozi wengine wa dini wapo kimyaa mungu akulinde shekhe,

  • @ranman4910
    @ranman4910 หลายเดือนก่อน

    Allah atakulipa ktk hili.

  • @Zulkamhaji
    @Zulkamhaji 3 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea sahih shekh wetu serekali ikae ijadili ilo jambo

  • @RamadhanRamadhan-cx3tj
    @RamadhanRamadhan-cx3tj 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah bless you for the true speech . Pia umetuwakilisha

  • @mashakhamiskh8880
    @mashakhamiskh8880 3 หลายเดือนก่อน +1

    In shaa ALLAH Allah tujaalie hili jambo liindoke katika taifa hiliii, Ya- Rabbi tuvue katika hili janga

  • @KassimKinyashi
    @KassimKinyashi 2 หลายเดือนก่อน +1

    In shekh mungu akuzidishie nguvu kamahawajakuskia hawatakuskiatena

  • @EliasmasunzuAnthony
    @EliasmasunzuAnthony 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakuhitaji uje kahama

  • @RosemaryMayunga
    @RosemaryMayunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Dr sule mungu akubariki sana na azidi kukutia nguvu na ulinzi mkubwa kulikomboa taifa hili

  • @joycefrank5630
    @joycefrank5630 2 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi MUNGU atuhurumie .. viongozi Kwa nini hili swala hawaliongolei ni kimya tu MUNGU atatuangamiza jamani 😭😭😭😭😭😭 MUNGU atatupa Adhabu gani jamani..tusiogope watanzania kulikemea

  • @maikomichael8261
    @maikomichael8261 2 หลายเดือนก่อน

    Njo na mbeya hii tabia ipo

  • @teddymnally6136
    @teddymnally6136 หลายเดือนก่อน

    Nina ushauri Mimi Kama Mimi kwa maneno mazuri aliyoyasema huyu mtu was Mungu, viongozi wa dini zote zinazomuabudu Mungu was Kweli aliyeiteketeza Sodoma na Gomora Kwa uchafu huu wajipange pamoja wafanye maandamano ya amani kwenda Ikulu kumuona rasmi Raisi wetu msikivu na mchapa kazi wamueleze wampe majina ya mahoteli yanayofuga uchafu huu ili yafungwe nk. Ili tuwe salama na vizazi vyetu. Maandamano haya yakafanyike na Tanzania visiwani Kwa amani vilevile. Asante

  • @AliiMkobe-en7df
    @AliiMkobe-en7df หลายเดือนก่อน

    Ushoga ni Sumuuuuuj

  • @KengwaSaad
    @KengwaSaad 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa shekhe