Viongozi Vijana Tuwe Tunaangalia Hizi Clip Mzee KUNA kitu anatfundsha Hapo Yani Yeye na Wananchi Wanyonge Damu Damu, Angalia Maswali Anavyo Yauliza Afu Skliza Wanavyojibu Kabla Ujafka Mwisho Kakupa Swali Lingne Sababu Anajua Ukiongea Sana Utdngany Na Mtindo Unaitwa Confidence N Experience Attack,DUNIAN KOTE... Ni Rais Wa Tanzania Tu Ndyo Anatumia Mtindo huu
Mh. Rais, wateule wako karibu nchi nzima, wamekuachia wewe utatue migogoro na changamoto hata za kuibiana kuku. Viongozi hawana muda wa kukutana na wananchi kujua changamoto zao licha ya kuwapa vyombo vya usafiri ili kuwafikia wananchi. Sina uhakika ni vijiji vingapi nchi nzima utakuwa umevifikia kuvisikiliza ifikapo Oktoba 2025!!!
Na mpenda raisi magufuri sana!,kwa kweli mzee huu yupo mbinguni malaika ime mzunguka kwa kumchunga,dunia hii sia wayi ona raisi mwenye ogopa Mungu kama yeye,apa Africa!!!
Yn hizi clips raise samia Hasan zikuongoze kwa uongozi wako wa sasa. Ufikishe kwenye malengo yake aliyoyataka magufuri hilo ndo ombi la wengi na mategemeo ya wengi
Tanzania ilikuwa na kiongozi wa kupewa na mUngu. Sasa ameondoka, ni naamini Mhe Samia ataweza kusimama na kudhibiti ujinga wa watanzania kiasi hiki????? Viongozi wanawaacha wananchi na kero zao hadi Raisi apite...aibu tupu!
Currently addicted to watching Magufuli's clips. This guy could've developed Tanzania. Rip Magufuli
Sijui TUTAMPATA wapi hapa kwetu kenya na Tanzania wamepoteza mtetezi wa wanyonge... Wachunguze kifo CHAKE wamemuua
Am a Kenyan but I don't understand, I belong to Tanzania
Not only u even me
I feel so sorry for Tanzania people you guys lost this Man😢😢🇹🇿🇹🇿🇹🇿💔
Mimi naona Baba Bado upo! Nikilala nasikia Nachingwea Hoye! ....AU Hela HII mukiiila hei! Duh ! Baba lala salama...RIP JPJM 🖤❤💚
Raisi mwenye misimamo duniani hakika wanyonge tunalia😭😭😭😭
Mungu tuna maumivu sana tunakuomba umrehemu huyu baba
Kumpata Magufuli tena Tanzania tusahau, tutaendelea kujifariji kwa kuangalia tu video zako basi tena. Mungu akupumzishe kwa Amani 🙏
Ty.
Ni kweli kabisa tusahau
huyu ndie kiongozi wa kweli, hongera sana!
Hakua mnafiki alikua a naogopa MUNGU kua kuna siku tutakua sote chini ya hukm
Nimerud Tena kumuangalia rais wetu kipenzi r.i.p
Dah Yani we acha tu Jamaa yangu
Hapo Mh Raisi ananifurahishaga sana.. love you our President
U are one in millions president
ukiona mtu ana dislike kila maguful anachofanya jua ni shetan huyo.
Tunakukumbuka sana sana basi tu pumzika kwa amani mungu ajua yote
Wa Tanzania tumepata Rais jmn Tuendelee kumuombea kwa Mungu
Raisi mtetezi wa wawanyonge utakumbukwa kwa mengi, pumzika baba🇰🇪
Viongozi Vijana Tuwe Tunaangalia Hizi Clip Mzee KUNA kitu anatfundsha Hapo Yani Yeye na Wananchi Wanyonge Damu Damu, Angalia Maswali Anavyo Yauliza Afu Skliza Wanavyojibu Kabla Ujafka Mwisho Kakupa Swali Lingne Sababu Anajua Ukiongea Sana Utdngany Na Mtindo Unaitwa Confidence N Experience Attack,DUNIAN KOTE... Ni Rais Wa Tanzania Tu Ndyo Anatumia Mtindo huu
safi sana kiongoz huyu...... nampenda san jpm
Magufuli wewe ni jembe
Kwel kabisa
@@lampadshigonko3006 Daaaaah our prezdent is hero inaniuma san sijui maumivu yataisha lini
Nawaza ni lini Kenya itapata raisi Kama john pombe magufuli..???.dah! Tanzania wamepoteza kiongozi😭😭😭😭😭😭. Pumzika kwa amani Magufuli🙏🙏🙏🙏🙏
Hatutawahi...
Ndiyo baba my rais
Hapa kenya tungepata viongozi kama rais magufuli duuuuh tungekua mbali🥺😭😭😭 lala salama baba magufuli
Heeeee🤣🤣 call him magufulication, this man was very intelligent.... Rest in peace mzee
One name big up u bro
Hao wababaishaji, njaa mbaya sana
This President was simply the best ever for Africa
Mungu akulinde Kiongozi wetu mtukufu!
😭😭😭 gone so soon my hero. Pumzika salama🙏
Gone too fast am so furious... Wamemmaliza
Mzee, mbona kaondoka mapema hivi😢😢❤️❤️?
No no vous étiez vraiment un père vous méritez la paix éternel papa John makufuli je suis congolais mais je vous aimez beaucoup
Mh. Rais, wateule wako karibu nchi nzima, wamekuachia wewe utatue migogoro na changamoto hata za kuibiana kuku. Viongozi hawana muda wa kukutana na wananchi kujua changamoto zao licha ya kuwapa vyombo vya usafiri ili kuwafikia wananchi. Sina uhakika ni vijiji vingapi nchi nzima utakuwa umevifikia kuvisikiliza ifikapo Oktoba 2025!!!
Hahaha mzee wangu kazi unayofanya kuwasimamia wez simchezo rais oyeeeeee
Moto umewaka hapo
Si tous les présidents africains pouvaient suivre l'exemple de Magufuli, l'Afrique serait un Grand Continent. Reposes en Paix, travail bien fait.
Na mpenda raisi magufuri sana!,kwa kweli mzee huu yupo mbinguni malaika ime mzunguka kwa kumchunga,dunia hii sia wayi ona raisi mwenye ogopa Mungu kama yeye,apa Africa!!!
Huyu alikuwa Rais wa ukweli
Raisi huyu anafa katika ulimwengu huu
Tanzania really had a president who loved them....
Super
Aweso anaakili sana,hakurupuki
Sisi tupoo burundii tunwfwatiya Sana mzalendo wakweli jpm
May God bless you and keep you our
Hahaha,I love you my president
Yn hizi clips raise samia Hasan zikuongoze kwa uongozi wako wa sasa. Ufikishe kwenye malengo yake aliyoyataka magufuri hilo ndo ombi la wengi na mategemeo ya wengi
Binafsi sina hakika kama mama anaweza kuvaa viatu hivi,maana ......!!!
Bana mda nazo mana kutwa ni kukanusha yale ambayo magufuli aliplan kuyafanya
Tanzania ilikuwa na kiongozi wa kupewa na mUngu. Sasa ameondoka, ni naamini Mhe Samia ataweza kusimama na kudhibiti ujinga wa watanzania kiasi hiki????? Viongozi wanawaacha wananchi na kero zao hadi Raisi apite...aibu tupu!
tumuobe mungu
Anaweza lakini tatizo lipo kwenye ujasili mm najua sio mchezo kiongozi unatakiwa kuwa jasili..
Many Mimi nisamehe sana Na nakukumbuka sana nilivokuzania sivo
Raise wetu mungu akulinde
The Man
Magufuli oyee!! Tanzania Oyee!!
Safi mkuu napenda uamuzi wako
If its Kenya no answers viongozi wapore Mali ya maskini no one cares we thanks u
Tuombe tupate kiongozi ASIE ogopa.. Na ambae anaogopa anae UA na KUFUFUA haogopi anae UA NAE AKAFA hapo tutasonga na pesa itapatikana
Rais wangu ikiwezekana kumi tena
Daah 😭 leo hii hatatutetea nan jamanii
Kuku wako unaofuga nyumbani kwako
Samia jifunze kwa ngosha. Magu
Hapa kazi tu!
Magufuli kumi tena
Magufuli for life.. MY PRESIDENT
Tunahitaji miaka zaidi kwa uongozi wako, 5 zaidi haitoshi
Yaaan Magufuliiiiiiiiiiiiiiiiii....
Hahhahahaha.........
Jamani MAGUFULI JEMBE....
May God bless you and keep you our president
Jamani katiba ibadirishe aongelewe miaka ktk uongozi wake 10 mbele
M. Mungu alikuwa na mipango na uamuzi wake Baraka. RIP. President, Kazi ya Mungu haina makosa.
Tuta kukumbuka daima
Huu wizi unahitaji mfumo wa China, ni kutwanga risasi
Daaaaah kilikuwa kinaumana magu duuu
Milion 7 yy anajb kirahis anajuwa ni nyepesi kuipata wakazie mh.raisi kna watu wanakuangusha
Ziko wapi trilions 1,5 ? Zikowapi pesa za msaada wa corona Euro millions 27 ?..Unaulizoa pesa ya babia pumbafuuuu.
Ktba ibadirishe aongezewe miaka
Kimenukaaa ukooo
Dah sinto kusahau magufuri
Raisi kiongozi shupafu
Magofuli
Tamisemi ni wizara gani kwa kiingereza?
hakuna kama jpm ukweli ndio huuuu
Unafanya kazi nzuri sana mh.rais lakini tunakuomba utukumbuke wapiga kura wako wa Lindi
😢😢 pumzika kwa amani mkuu
Well done my president John pombe magufuli
Problem Solver, RIP PhD
Hakika uyu ni president wa ukweli . Rip
Tanzanians failed to protect this Man😭😭
R.I.P
Our HERO
Mkeka umechanika
nakumiss sana baba yetu
Mwanaume
😭😭😭😭🙏
Magufuli oyeeeee
Mmmh
Hiv kigwa kasharudi kutoka DUBAI🤗🤗
I feel sorry TZ they have lost this man LIP , president of people
Uwiiiiii
Kwel kzur hakdum
Ukosawadady
Rest in peace
Kaswida
Juma aweso kazi unayo
Naogopa sabotage pale tu utokapo,kama vile tulianza na Mwalimu Nyerere alipoacha nchi ikaenda kombo
😂😂😂😂kimenuka
😂😂
mamae na azitapike tumechoka kunyonywa
ungekaa hata miaka kumitu! tunge pata heshima zaidi kuliko hii tulio nayo
Hahahaha vimeumana washajichanganya
😂😂😂😂
Waziri jaffo kajitetea vilivyo,,hahahaha
Usipokua mzalendo na nchi siku hizi lazma ukome,walizoea kutuibia wafunshe adabu
Uyo mzalendo angehamiya D r Congo ili aijenge inchi yetu
Vyuma vimeumaana
Dah! Tumemic haya maswali ya papo kwa papo rest in peace
Baba motto wako Nalia
Kila nikiona uozo uliopo saivi hapa Tanzania nabaki kurudi kuangalia Crip zako
SASA NAJIULIZA VIONGOZI WA NGAZI YA CHINI WANAFANYA NINI