Mueshimiwa raisi kuwa na subr katika hatua .maana binadamu hatuko sawa mungu akupe subra katika kazi ishallaha..allah akulinde na mitiani unayo ikuta asante penda sana rais wetu
Diwani yuko vizuri sana,mkuu wa mkoa anajiamini safi sana,kamanda wa Takukuru wa mkoa..masikini chaliii...sa sijui alikuwa nje ya mkoa kikazi maskini ya Mungu...Magufuri nadhani uongezewe tu muda wa kutawala, katiba si inabadilishwa tu...kwani kitu gani..bhana
I love this! You can and you must, but you need to recruit new young blood to think and see like you do so that when you retire they keep maintaining your system, you can not do it alone abeg ooh!
tungepata watu 10 kama former Prime Minister and minister for home affairs Agustino Lyatunga Mrema, duuh wangeshirikiana vizuri sana na Mh. John P Magufuli
Yaan watu wengine ni wakwamishaji kweli. Sasa na walaaniwe kisha watupwe mbali. Mana wao ni wanyama hawafai kukaa na binadamu wenye kumcha Mungu. Lkn kumbuka ufisadi ni dhambi.. Sasa nashangaa watu siku hizi hawamwogopi Mungu. Inanishangaza kweli.
namuonea huruma sana huyu kamanda wa takukuru mkoa wa mtwara. najiuliza hivi kwamfano yupo hospitali kalazwa au yupo kwenye msiba afu anaskia habari hii dah! pole kamanda.
Albert Remmy Kunapokuwa na ziara ya mkuu wa nchi, kila mwakikishi wa eneo hilo anatakiwa kuwepo, kama ana udhuru anapeleka mwakilishi wake baada ya kutoa taarifa ya udhuru alionao
Leonard Johnson itakuwa hujaelewa,korosho zilibebwa na serikali na pesa ikatolewa hao waliotajwa wakazipiga ndio maana wanadaiwa, sijui siasa inaingiaje hapo mzee
Rais asiyejuwa hata jina la kijiji alichofikia,hii ni kali.Rais anayemfukuza mtu kazi hadharani kwa kosa la kutokuwepo kwenye mkutano bila ya rais kujuwa sababu gani iliyomfanya huyo mhusika kushindwa kuwepo hapo.Ama kweli mmepata rais jiwe ,
Unataka hapa ujuwe sababu ipi wewe unafaham bosi wako anakuja halafu unatoroka nikwamba siyo mchapa kazi kwani siangeacha muwakilishi wewe ndiyo huelewi taratibu zakikazi hongeara sana rais wetu
Kama umemuona RPC anatia huruma gonga like
John Ferdnand kwanza nilijua yeye ndo anatumbuliwa
John Ferdnand yaan mm ndo mpaka nime feel kulia nilivyoona akitia huruma sana,, nyie watu wanoko kumbe umemuona nww
🤣 🤣 🤣 Yaani inavyoonekana na yeye Ana yake ndo maana alitaka kama kulia
John Ferdnand kabisaaaaa
God bless you Mungu akubariki na akulinde na magonjwa nahatari zote Amen
JPM ulikuwa wapi toka zamani....?...tutaandamana ili uongoze nchi hii hata miaka 40
Thanks so much Mimi pia naomba ataware mpaka 2035
Ndio mimi nimekubali aongoze miaka 40...tutafika mbali
iddy prod mimi nitayaongoza hayo maandamano mstari wa mbele
Raisi wangu pole kwa kazi ngumu unazofanya
Mueshimiwa raisi kuwa na subr katika hatua .maana binadamu hatuko sawa mungu akupe subra katika kazi ishallaha..allah akulinde na mitiani unayo ikuta asante penda sana rais wetu
Diwani yuko vizuri ...big up
diwani yuko vizur aiseee.kama anajiamini hiv..
Huyu mama Yuko vizuri Sana kwa kuelezea changamoto
Afu yupo serious kwa maendeleo
Huyu Rais anamaliza MB zangu kihalali.
Kumdanganya john c rahisi kama unavyofikiri
Shamimu Shittindi kabisaaaaa
Nakupenda sana Mzee wetu Rais wetu, pole sana kwa kazi ngumu
Wewe ni katapila huchoki, maamuzi magumu, kweli wewe ni jembe mungu wetu tunamshukuru Sana wewe nimfuatiliaji hongera sana
Maguu oyeeee
😀😁😁 nasema mpigieni mnanishangaa tu..aisee mzee hataki mchezo kabisa.
Watakuelewa tu Mheshimiwa Raisi wetu mpendwa
Amina
Uko hapo kwa sababu Mungu akutangulie
Asante sana mungu akupe maisha marefu raisi wetu asante kwa kufika kwetu chigugu
Nitazidi kukuombea rais makufuli.nakupenda mpk naumwa
Kweli hapo ni kazi tuu.Mambo ya uuhandsome mwisho Chalinze.
😂😂😂😂😂😂😂😂 Hii naona chalinze karibu huko ubena karibu na moro
Africa needs presidents like magufuli,Tanzanians give magufuli support
Diwani yuko vizuri sana,mkuu wa mkoa anajiamini safi sana,kamanda wa Takukuru wa mkoa..masikini chaliii...sa sijui alikuwa nje ya mkoa kikazi maskini ya Mungu...Magufuri nadhani uongezewe tu muda wa kutawala, katiba si inabadilishwa tu...kwani kitu gani..bhana
Rais kweli unapiga kazi sana mungu akubariki
Kiboko ya wazembe. Hakuna ujanja hapa.
Manshallah raisi wawanyonge,mungu asimame nawewe
I love this! You can and you must, but you need to recruit new young blood to think and see like you do so that when you retire they keep maintaining your system, you can not do it alone abeg ooh!
Magu has performed your wish.....the parliament is full of young people.
Kazi kwel kwel awamu hii Kama una presha yakushuka Bora ukae pemben
Hii changamoto
Asante maguuu tunakuelewaaa
Hapa kazi tu! Hakuna kubembelezana!!!!
Mungu wa mbinguni akulinde kwa kazi nzur asante baba magufuli
ogopa sana sauti ya zege isikufikie kuanzia leo natubu kwa mungu kukupinga ila taendelea kuwa upinzan
YAANI UONGOZE TU KAMA NYERERE HATA MIAK 100
Nakuelewasana nawazitapke
NCHI imempata kiongoz
KWA KWELI HATUTAKI KUBEMBELEZWA SAA HIVI TWENDE HIVIHIVI HII STYLE NI NZURI..ZEGE HALILALI
huyu regional commissioner is doing his job. well done sir! oh hapa ni mtwara...safi RC wa Mtwara
Yuko vzr sana
Kwenye kazi magu was wonderful
Nyoosha kabisa Baba Jesca watakuelewa tu
Mama anakwambia mm naweza haraka haraka
Powerful President no-nonsense. Why can Uhuru stand like this man and act instead of just talking.
Piga kazi baba magufuri
This is my president!
Inabidi nicheke mpigieni au hamtaki🤣🤣🤣😂😂😂
Yani rais nakupenda mpaka naumwa mungu akupe afya
Magufuri kiongozi bwana
Diwani yuko vzur sana
Kazikazi wabongo mafisadi mtanyooooooka!!!!!!! Kubembelezana kwisha
Asante mkuu ubarikiwe sana
Safi sana raisi wangu
wewe shujaa magu
tungepata watu 10 kama former Prime Minister and minister for home affairs Agustino Lyatunga Mrema, duuh wangeshirikiana vizuri sana na Mh. John P Magufuli
Safi sana fukuza hadi kieleweke
Wanawake tunawezaaa tupeni nafasi ya uongozi.hingera mama kwa kutuwakilisha vema.
Hapa kazi tuuuuuuuu
Hii ndio maana ya hapa kazi tu kubembeleza mwisho awamu zilizo pita piga kazi baba mambo ya kujimwambafai oyeeeeeeee maendeleo tunayaona🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
hakika rais wetu kaz unayo ngumu xana viongoz unaowateua wanajisahau xana
Yaan watu wengine ni wakwamishaji kweli. Sasa na walaaniwe kisha watupwe mbali. Mana wao ni wanyama hawafai kukaa na binadamu wenye kumcha Mungu. Lkn kumbuka ufisadi ni dhambi.. Sasa nashangaa watu siku hizi hawamwogopi Mungu. Inanishangaza kweli.
Nenda tanga korogwe vjijini kijj Cha mwenga hakna huduma ya umeme Wala afya mpaka elimu
logistic President JPJM
namuonea huruma sana huyu kamanda wa takukuru mkoa wa mtwara. najiuliza hivi kwamfano yupo hospitali kalazwa au yupo kwenye msiba afu anaskia habari hii dah! pole kamanda.
Kweli ndgu
alitakiwa awepo muwakilishi tuache siasa
Albert Remmy Kunapokuwa na ziara ya mkuu wa nchi, kila mwakikishi wa eneo hilo anatakiwa kuwepo, kama ana udhuru anapeleka mwakilishi wake baada ya kutoa taarifa ya udhuru alionao
Haya mie naweza haraharaka.
Yani nilikuwa natizama comment kuna mtu kainyaka. Kumbe du umeinyaka nimecheka sana
Dah jamani pumzika kwa amani Baba
🙏🙏🙏🙏
Mtanyooka mwaka huu..PUMBAVU
Rpc Anataka kulia😂😂😂
Wanaosema asiongezewe muda wakafie mbele ya safari cc wananchi tushamwongezea, wanataka wavivu na wezi tu serikali tumewashitukia tunamwongezea
KIUWA MHINA tatizo hujui hta bei ya sukari
kweli aongezewe muda
Allon Yocktan hujui anae kulisha anavyoteseka
Magufuli kanyaga
Hukweri rahis wetu Mpendwa tunakuona hunavyofanya jitiada zote hunazowapigania wananchi wanyonge kweri hunawapambania KI hushujaa
Duh mwaka wakazi tu. Papo kwa papo zawadi unapata
Woyoooo maliza baba apa kazitu
Rip😢
Rip mh JPM
Magufuli hakikisha unafika Kagera hasa wilaya ya Ngara kuna ushenzi usioelezeka
Pita kibaigwa kongwa
2,025 ✅
bab piga kazi tunakukubali nenda hata kondoa ukawatumbue wamezidi sanaaaa sanaaa
Mama umechomoa betri
ABUSIVE OF POWER!!
Jumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Njoo manyara mh jpm raisi wa wanyonge
Kazi ipo
Jamani sheria na huruma,hatakuulizwa kama anaumwa au kapata zarura ganiii ya kwanini hajakuwepo,aaaaa,hii sasa toomuch
Angetoa taarifa, kama ni kiongozi mwajibikaji!..
@@athumanikhalid216 hapana ubinaadam kwanza umuulizie japo kwasimu,
Pia tukumbuke Magufuri hakurupuki, lzima ktk ziara hii yote ana taarifa za.huyo mtu.
RIP
hii ndo awamu ya tano bwana5
Asiyekupenda lazima atakubali tu.
Njoo Kilimanjaro rais wa wanyonge
Kwan aliechukua korosho ninan????? Siasa hizi
Leonard Johnson itakuwa hujaelewa,korosho zilibebwa na serikali na pesa ikatolewa hao waliotajwa wakazipiga ndio maana wanadaiwa, sijui siasa inaingiaje hapo mzee
Ngakayu Kadogo kwa hyo bunge la mwisho wazir alitudanganya??
Hilo ni deni la mwaka 2017 hizo korosho zilinunuliwa na vyama vya ushirika sio serikali
Magu wape adabu hao
Njoo wilaya ya muheza Tanga
Yan siku nikiteuliwa ntalia kilio cha kisulisuli
Eee mwenyezi mungu mjalie rais wetu aishi miaka mingi zaidi duniani, aongoze inchi yetu miaka 30 kama katiba itaruhusu
😂😂😂😂
Mikutano ufanye pekeako daaaa 😄
Jamaa mpaka akatoke madarakani naamini baba yangu nae atakua ameteuliwa kua kamshina pia
Mungu anamakusudi na Tanzania kwa kumleta mtumishi wako rais Magufuli
WATANZANI SISI TULIVYO UWA TUNASIFIA WAKITOKA MADALAKANI
@fortnite beast yani hata sierewi
Nakuelewa sana kiongozi wetu
Naskitika kwa nini tokea mwanzo sikumpenda hyu mzee
pole mzee baba
Sio mbaya umejitahidi kuanza kumpenda.😂😂
Pole sana na hongera kwa kutambua makosa yako
Jmn
Haws ndio Viongozi wakipewa kueleza Matatizo ya Wananchi wanaeleza Vizuri sio Wale Wajinga wajinga Kusifia sifia wakati wananchi wanaishi kwa SHIDA..
Wew ndo jembe letu
This president a whole joke 😤
Kweli,hata Tanesco ukilitimba umejaa wanasinzia sana,wanasumbua kutoamita,fukuza wamezidi,wanadharau sana,fukuza wote,toa kabisa
firimoni mboe
You can't read in a dream because reading and dreaming are functions of different sides of the brain, which don't cooperate while dreams
Duh,
Rais asiyejuwa hata jina la kijiji alichofikia,hii ni kali.Rais anayemfukuza mtu kazi hadharani kwa kosa la kutokuwepo kwenye mkutano bila ya rais kujuwa sababu gani iliyomfanya huyo mhusika kushindwa kuwepo hapo.Ama kweli mmepata rais jiwe ,
Asante sana mkuu wa nchi ya Tanzania.
Unataka hapa ujuwe sababu ipi wewe unafaham bosi wako anakuja halafu unatoroka nikwamba siyo mchapa kazi kwani siangeacha muwakilishi wewe ndiyo huelewi taratibu zakikazi hongeara sana rais wetu
ama kweli rais tumepata
Wataelewa walizohea kula to na kulala
Shkamooooooooooo Mh Rais hahahaaaaa