Mungu akulinde na kukubariki daima Mh Rais,kweli hawa wazungu nia zao ni mbaya sana kwetu,kama Mungu wetu alitulinda toka mwanzo atasasa tupopamoja naye.
Na wish kumuona Uyu mze live. Oh my God. Why wa leader wote wa Afrika wasingelikuwa kama Uyu mze 😭😭😭😭😭. Tanzania munabaraka kubwa kumpata magufuli. Sasa musichezei iyo baraka. I love this man oh God please tupatiye viongozi kama Uyu mze Afrika nzima 😭😭😭. Peace kutoka Holland love my afrikan brothers and sisters.
Maneno yako sahihi mheshimiwa, hizi chanjo si nzuri kabisa wazungu tunawapenda lakini ni wabaya sana kila chanjo majaribio ni sisi waafrika. Mungu wangu mtukufu inusuru Tanzania na watanzania kwa corona.
Kweli mheshimiwa sii kila akuoneshae meno anakupenda nami nakuunga mkono , kikubwa tumtangulize mungu maombi mengi ndiyo silaha , mungu akupe afya njema sisi tupamoja nawe
🙏🙏🙏👍👍👍Rais mwenye maono. Wengi waliojifungia wamekufa kama nzi. Chanjo zilizopo ni vita ya biashara. Tujifunze kumshukuru mungu aliye tuweka hapa tulipo.
BWANA atawapigania ninyi nanyi mtanyamaza kimya.KUTOKA 14:14. Hii ni salamu tu Kwa kila aliyemtanzania ambaye anajua Mungu ana nguvu kuliko wale wanaofikiri corona ina nguvu.Sikia watanzania Mungu yupo yupo yupo yupo!!!! Nimemuona katika maisha yangu anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya. Sasa ni hivi mtanzania mwenza ngu bible imesema tutii mamlaka zilizowekwa ,Anza na agizo la Mungu ujue ya kuwa atatupigania la pili Rais wetu Jpm Kwa msimamo katika Imani aliyonayo nakumbuka katika maandiko matakatifu yanasema PASIPO IMANI haifai kumpendeza Mungu! Tatu,agizo la wizara ya afya. SIKIA ACHA WA NG'AMBO WATAJE CORONA LAKINI NILIYEMTANZANIA NITAJE JINA LIPITALO MAJINA YOTE ambalo ni Jina la YESU. Mwisho kwako Rais wangu JPM! Najua uliletwa Kwa makusudi na Mungu mwenyewe ambapo Mungu alijua katika kipindi fulani kama 2019 na 2021 tutapitia kwenye magumu nawe utakuwa IBRAHIM nikiwa na maana baba Wa imani utakaye uaminisha ulimwengu ya kuwa Mungu yupo na ukimwita anaitikaa! Hakika Mungu alikuleta Kwa kusudi mana sijui tungekuwa na Rais ambaye ana akili kama za wazungu kwenye kipindi hiki! Tungejifungia ndani hata chanjo zingepata nafasi. Uwe kama Suleiman aliyeomba hekima na maarifa tu Kwa Mungu ili apate hekima namna ya kuongoza kundi la watu Wa Israel UKAWE MZIMA WA AFYA KATIKA MAISHA YAKO YOTE HADI AJAPO BWANA MUNGU KUCHUKUA KANISA LAKE NAWE SIKU MOJA UMUONE HUYU ANAYETUTETEA NA HILI JANGA LA CORONA. Mbarikiwe vingozi wengine pia mnao mpa mheshimiwa JPM namna ya kuliendesha Taifa hili,pia mbarikiwe watanzania wrote mnaomuomba Mungu usiku na mchana Bwana awe msaada wetu nyakati zote za raha na shida. Na mwisho tumuungaliye yeye Mungu na kuchukua tahadhari za viongozi wetu. Mungu ibariki Tanzania Mungu Africa Na Mungu wafungue wazungu wote wapate kukujua ya kuwa wewe Ni Mungu uwezaye
Mimi ni wa 262 lakin nakubaliana na Rais wetu wa Tanzania kwa maneno yake walah raha sana anaongea fact tupo na mungu na tunaendelea kuw nae na hatumuachi mungu nae hatuachi hakika huo ndio ukweli na ikiwezekana jamn katiba ovunjwe tu maan anayoyafanya ni ya ain yake kabisa si ya kuambie ila ni yakujionea mwenyewe kwa macho yako Mungu mbariki Rais wetu mungu tubarik watanzania na mungu ibarik nchi yng yarab tujaalie mwisho mwema amina yarabi🤲
Mnarindwa mnapiga maneno huko inje. Asante kwa kusema miti. Wamesahau utumwa au wanadhani wao ni wazuri kuliko weusi wanao watesa? Wanauliwa kilasiku...MUNGU IBARIKI TANZANIA MBARIKI RAIS WETU🤲
Kwakweli mungu akubariki Raisi wangu Mungu aibariki na ailinde Tanzania na afrika kwa ujumla lau kama viongozi wote wa afrika wangekuwa na msimamo kama wako Afrika tungekuwa mbali sema wengine wamechaguwa kuwa vibaraka wa wazungu , wanathamini kitu kuliko utu na uzalendo wa nnchi Zao,wamekuwa watumwa wa nafsi Zao,juwa tu tunakupenda na tunakusapoti hâta waseme vipi hapa kazi tu,
Mungu akubariki na azidi kukupa hekima na afya njema. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa rais mwenye imani kwa Mungu big up rais Magufuli endelea kumtumaini Mungu na atatuokoa na magonjwa hatari. Watanzania wenzangu tuendelee kumwomba Mungu wa mbinguni bila kukoma hatatuacha. Maana hakuna aliyemkimbilia akamwacha kwani "Mungu kwetu ni kimbilio na nguvu msaada utakaonekana tele wakati wa mateso" Zab 46:1
Safi sana raisi wa Tanzania kwa kazi imara unafanyiziya inchi yako kbs...others leaders wanajifungiyana kwa Nyuma ni ku wawona tu kwenye TV ..God bless you so much sir
Kiukweli mh rais unastahili kuitawala nchi yng ya Tanzania, pls tawala maisha yako yote na Mungu aendelee kukuongoza na ahsante kwa sababu unamtanguliza mungu muumba wetu
Baba Magufuli Allah azidi kukubark saaana akuzidishie umri mrefu na akuzidishie busara na hekma namuomba Allah atuepushie hili gonjwa na mengine Aamiyn
Biblia inasema Mtu akiniheshimu nami nitamheshim ndvyo ilivyo kwa raisi wetu AMEMHESHIMU MUNGU NA KUMWANI 100% Watanzani TUSIMAME NA RAIS WETU ,MUNGU KWANZA , KAZI MAOMBI YA DHATI MENGINE TUTAZIDISHIWA
Her ya tumbo lililokuzaa Rais, Unatufikirisha + Sawasawa na neno la Mungu kwamba kama mtu aonavyo nafsin mwake ndivyo alivo na kama jins utuaminishavyo ndivyo tutakavyo kua
Aliongalia Video hii Alafu Chanjo imerusiwa Nchini baada ya Kifo Chake Ache Like zake APA R.I.P Magu
Inauma xana
Barikiwa saana rais, kwer Tanzania tuna Mungu Jehovah-Rapha
KWA KWELI TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUTUPA KIONGOZI MWENYE MSIMAMO WA KUMWAMINI MUNGU ALIYE HAI......HONGERA DR JOHN
Safi sana raisi wa watanzania.mungu akubariki🙏
Mh.rais ipo siku nitakupa tano,
Si kwa raha hiiii hotuba yako ni nzuriii mung u akubaliki na akulinde
Mwenye haki akitawala nchi hufurahi ,Asante Mungu kwa kuwa na JPM Tanzania 🇹🇿
Kwani yeye yuko wapi vilee
Mungu akulinde na kukubariki daima Mh Rais,kweli hawa wazungu nia zao ni mbaya sana kwetu,kama Mungu wetu alitulinda toka mwanzo atasasa tupopamoja naye.
Na wish kumuona Uyu mze live. Oh my God. Why wa leader wote wa Afrika wasingelikuwa kama Uyu mze 😭😭😭😭😭. Tanzania munabaraka kubwa kumpata magufuli. Sasa musichezei iyo baraka. I love this man oh God please tupatiye viongozi kama Uyu mze Afrika nzima 😭😭😭. Peace kutoka Holland love my afrikan brothers and sisters.
Maneno yako sahihi mheshimiwa, hizi chanjo si nzuri kabisa wazungu tunawapenda lakini ni wabaya sana kila chanjo majaribio ni sisi waafrika. Mungu wangu mtukufu inusuru Tanzania na watanzania kwa corona.
Àamin thumma Aamin!!
Ameen kwa dua bint Hamdun
Safi sana Mh, Daktari JPM Tutakuunga mkono kwa kila Hatua utakayo elekeza Rais Wetu Mungu Akubariki Sana
Tunashukuru Rais wetu kwa musimamo wako
Kweli mkuu si kila chanjo inafaa na tusione tunapendwa sana. Nakuunga mkono kwa hilo.
Haswaaaa!
Mimi nimemuelewa aliposema mbona chanjo ya ukimwi hawajaipata Kama korona ni hatari kuliko ukimwi au malaria
@@onesmojustice2348 Kweli kabisa Bro Nime mpata vilivyo
Hapo huwa na kukubali rais wetu mungu akubariki
Mungu yupo nasi bila corona inawezekana,wazungu wanaajenda ambayo ni kutaka kutuibia raslimali zetu
Safi sana my president nimekukubali sana. Hauyumbishwi wala hufuati mkumbo. Hizi chanjo sio nzuri, bora kujifukiza
Kweli mheshimiwa sii kila akuoneshae meno anakupenda nami nakuunga mkono , kikubwa tumtangulize mungu maombi mengi ndiyo silaha , mungu akupe afya njema sisi tupamoja nawe
Kwenye hili nakuunga mkono mkuu wa nchii yangu mungu atatuvusha na tutajivukishaa na nyunguuu
Asante Baba,, Mimi nakuelewa Sana,,, bila Shaka ni Yehova mwenyewe amekuleta ktk msimu huu....
Mungu amulinde sana Rais wetu
Ila magufuri ni jembe kweri kweri! Nilikuwa natafakari rais unawachana wazungu wazi wazi, bila kuogopa . 🙏🙏🙏🙏🙏
Kwan wazungu ni kina nani wasichanwe waziwazi na mtu/raisi awaogope?
Kwani awachana wazungu au atuchana Sisi maana mzungu hajui kiswahili au anawachana kwa kizungu maana sijui VP
Mungu endelea kumlinda Raisi wetu Asante Mungu kwa kutupa Rais mwenye hofu ya Mungu
🙏🙏🙏👍👍👍Rais mwenye maono. Wengi waliojifungia wamekufa kama nzi. Chanjo zilizopo ni vita ya biashara. Tujifunze kumshukuru mungu aliye tuweka hapa tulipo.
Naunga mkono meseji yako MHESHIMIWA !
Hongera rais kwa kutuambya hamna corona
kweli tumepata rais anae mcha mungu na mwenye of mana wenzetu wana teseka sana uko nje ila sisi mungu yupo tanzania
Hotuba nzuri ,nimeielewa ,safi sana Mheshimiwa Rais wetu
Nataman ningekuwa apo nikupe mkono ni vema tujisimamie wenyewe
Asante mkuu naunga mkono hapo
Waoooh!!Baba laooo.....ujumbe umefika Rais wetu sie
Njoo uwe raisi wetu kenya,we love you magufuli
Asante baba yetu kipenzi
Nakuunga mukono 💯
Mzee Baba uko vzr hakun kufunga kitu wazungu sio watu wazuri tupige kazi
Kweli baba si kila kitu cha nje ni kizuri
Jembe la watanzania jamani hamonize naomba tumtungie nyimbo magufuli(jembe la watanzania wote)
Sina Neno zaidi ya kusema 10 Tena. VIVAA JPM💯💯💯
Kumi nichache 50😂😂👏👏👏 tena
@@gloryjoe6396 JPM 4LiFe 💯💯💯
@@gloryjoe6396 Habu ongeza tena kidogo tufanye 70 maana hiki kichwa si cha kawaida jaman Mungu M'bariki na kumlinda Rais wetu
Safi sana hotuba hii ni yaajabu sana
Kwani imeungwa mkono na watu wote
ALLAH AKUBARIKI SANA ANKO MAGU
SHUKRAN
BWANA atawapigania ninyi nanyi mtanyamaza kimya.KUTOKA 14:14.
Hii ni salamu tu Kwa kila aliyemtanzania ambaye anajua Mungu ana nguvu kuliko wale wanaofikiri corona ina nguvu.Sikia watanzania Mungu yupo yupo yupo yupo!!!! Nimemuona katika maisha yangu anafanya mambo ambayo mwanadamu hawezi kufanya.
Sasa ni hivi mtanzania mwenza ngu bible imesema tutii mamlaka zilizowekwa ,Anza na agizo la Mungu ujue ya kuwa atatupigania la pili Rais wetu Jpm Kwa msimamo katika Imani aliyonayo nakumbuka katika maandiko matakatifu yanasema PASIPO IMANI haifai kumpendeza Mungu! Tatu,agizo la wizara ya afya.
SIKIA ACHA WA NG'AMBO WATAJE CORONA LAKINI NILIYEMTANZANIA NITAJE JINA LIPITALO MAJINA YOTE ambalo ni Jina la YESU.
Mwisho kwako Rais wangu JPM! Najua uliletwa Kwa makusudi na Mungu mwenyewe ambapo Mungu alijua katika kipindi fulani kama 2019 na 2021 tutapitia kwenye magumu nawe utakuwa IBRAHIM nikiwa na maana baba Wa imani utakaye uaminisha ulimwengu ya kuwa Mungu yupo na ukimwita anaitikaa!
Hakika Mungu alikuleta Kwa kusudi mana sijui tungekuwa na Rais ambaye ana akili kama za wazungu kwenye kipindi hiki! Tungejifungia ndani hata chanjo zingepata nafasi.
Uwe kama Suleiman aliyeomba hekima na maarifa tu Kwa Mungu ili apate hekima namna ya kuongoza kundi la watu Wa Israel
UKAWE MZIMA WA AFYA KATIKA MAISHA YAKO YOTE HADI AJAPO BWANA MUNGU KUCHUKUA KANISA LAKE NAWE SIKU MOJA UMUONE HUYU ANAYETUTETEA NA HILI JANGA LA CORONA.
Mbarikiwe vingozi wengine pia mnao mpa mheshimiwa JPM namna ya kuliendesha Taifa hili,pia mbarikiwe watanzania wrote mnaomuomba Mungu usiku na mchana Bwana awe msaada wetu nyakati zote za raha na shida.
Na mwisho tumuungaliye yeye Mungu na kuchukua tahadhari za viongozi wetu.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu Africa
Na Mungu wafungue wazungu wote wapate kukujua ya kuwa wewe Ni Mungu uwezaye
America kwenyewe hakuna lockdown wameona hakuna maana mwanzo walibugi kuweka lockdown
Bora useme ww
Kabisa
Uko sawa .
Mheshimiwa yupo vizur sana, ana msimamo ila kuna jambo linakera sana
jmbo gn
Hakuna mkamilifu 100%.
Lakin amezishikilia nyingi kati ya hizo 100%
Mungu atunusuru jamni
Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki African
Mimi ni wa 262 lakin nakubaliana na Rais wetu wa Tanzania kwa maneno yake walah raha sana anaongea fact tupo na mungu na tunaendelea kuw nae na hatumuachi mungu nae hatuachi hakika huo ndio ukweli na ikiwezekana jamn katiba ovunjwe tu maan anayoyafanya ni ya ain yake kabisa si ya kuambie ila ni yakujionea mwenyewe kwa macho yako
Mungu mbariki Rais wetu mungu tubarik watanzania na mungu ibarik nchi yng yarab tujaalie mwisho mwema amina yarabi🤲
Mungu akubariki sana Rais wa Nchi yangu TANZANIA
Ahsante Mwenyezi Mungu kwa kututunukia rais mwenye maono na msimamo.
Mungu ibariki na kuilinda Tanzania juu ya majanga mbali mbali
Asante baba
Safi sana Rais wetu Kweli kabisa Mungu ndio kimbilio letu. ..
Mnarindwa mnapiga maneno huko inje.
Asante kwa kusema miti.
Wamesahau utumwa au wanadhani wao ni wazuri kuliko weusi wanao watesa? Wanauliwa kilasiku...MUNGU IBARIKI TANZANIA MBARIKI RAIS WETU🤲
Mungu kwa maneno mh. rais ulie tupatia Mungu yabariki tuondolee gonjwa hili la korona, Amina.
Kupata raise jasili Kama Wewe mungu akuifadhi peponi amiinah
Kwakweli mungu akubariki Raisi wangu Mungu aibariki na ailinde Tanzania na afrika kwa ujumla lau kama viongozi wote wa afrika wangekuwa na msimamo kama wako Afrika tungekuwa mbali sema wengine wamechaguwa kuwa vibaraka wa wazungu , wanathamini kitu kuliko utu na uzalendo wa nnchi Zao,wamekuwa watumwa wa nafsi Zao,juwa tu tunakupenda na tunakusapoti hâta waseme vipi hapa kazi tu,
Magufuli babalaaaaooo
Jamani huyu bora awe mfalme tu miaka kumi kidogo sana kuongoza
Kabisa bora aongezewe miaka jaman
Tusichague mwingine ingewezekana aendelee tuu yy sema ndio hvyo katba hairuhusu
Ndio mheshimiwa. Tufungue macho mr. President.
Amina Baba , Daaah we Mzee mi ningekua mungu, ningekupa umalaika kabisa yani daah
Huwez kuwa Mungu n hta hun stahiki ya kusem ninge..
Hizi sasa hizi ni kufuru. Sometime tuwe tunaangalia kauli zetu!
Mungu ni mwema tulioko inch za watyu bado corona ipo
Heri Taifa ambalo Bwana Mungu ni Mungu wao eeh Mungu tunusuru
Ni Kweliiii kabisa tuwe waangalifu, Mwenye upendo wa kweli ni Mungu Mwenyezi
Daah wenzetu wana rais aiseee daah mbona mmebahatika watz huyu awe rais wa Africa
Ahsante sana kwa kushukuru, wewe rais wako ni nani?
Asante Muheshimiwa zipigwe tu Marufuku mbegu z kisasa pamoja n mbolea n chakula ch Kuku vyote visiingie Tz km mbolea inaharibu Ardhi yetu
Viva Tanzania Viva God help us all ,,Viva Magufuli Viva .God Protect us
Hapooooo sawa baba munguu yupo inshaallah atatulinda 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Uyo ndiyo jembe letu mungu kattupa.raisi mwenye maono kila la.kheli baba na mungu akubarikj katika kazi zako amin
Mimi sio tanzania lakini nampa hongera rais wenyu kwa msimamo wake ni mzuri Sana barikiweni
Najivunia kua na rais anae jielewa Tanzania ifike wakati tutembee kifua mbele
Kidume cha taifa chuma cha pua Mungu akuongoze mzee barikiwe sana
Mungu akubariki Mh rais Dr JPM maana una msimamo mkubwa sana ambao unatujengea ujasiri mkubwa sana watanzania
Hatuto uacha msimamo wa JPM mungu ampumzishe kwa amani ameni
Mungu akubariki na azidi kukupa hekima na afya njema. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa rais mwenye imani kwa Mungu big up rais Magufuli endelea kumtumaini Mungu na atatuokoa na magonjwa hatari. Watanzania wenzangu tuendelee kumwomba Mungu wa mbinguni bila kukoma hatatuacha. Maana hakuna aliyemkimbilia akamwacha kwani "Mungu kwetu ni kimbilio na nguvu msaada utakaonekana tele wakati wa mateso" Zab 46:1
God bless you our beloved president, we love you.
Wewe ni sauti ya Mungu. Napenda itumwe ama irushwe hii wakumbushwe watanzania. Akili nyumaa sasa ivi
Mungu mlinde kiongozi wetu umetupa ww utatulindia ww m
Dawa ni kujifukiza tuu baba. South Africa ni mwendo wa kupiga nyungu. Tangawizi na limao. Mungu akubariki Mr president
Mitano mingine kwake...jamaa anaamin sana juu ya mungu wa wa-Tz ...mitano tena
Amina mkuu ,tupige kazi na kujilinda
Mungu ametupa rais Mweny hofu ya Mungu
Asante Rais wangu...
Safi sana raisi wa Tanzania kwa kazi imara unafanyiziya inchi yako kbs...others leaders wanajifungiyana kwa Nyuma ni ku wawona tu kwenye TV ..God bless you so much sir
Mungu akubariki Rais wangu kwa hekima na busara zako.
Asante kwa msimamo mkali Mheshimiwa Rais!
Huyu rais hatutakuja kupata mwingne Basi mungu tuongoze na nchi zetu
Saaafi rais wetu, kwakukataa ushenzi na ushetani wa kidunia uletwao na wazungu, hongera mwongoza njia wetu Jehovah-nisi akulinde milele
Amen!
Daah we Mzee wwe Mungu akuweke kwakweli
Kiukweli mh rais unastahili kuitawala nchi yng ya Tanzania, pls tawala maisha yako yote na Mungu aendelee kukuongoza na ahsante kwa sababu unamtanguliza mungu muumba wetu
My President Live Long life
Mungu akulinde na akusimamia..kweli..kila msaada una gharama yake..inshaalah Mungu atakulinda .
Upo sahihi kabisa Raisi wetu
A great president....ww ni baraka kwa watanzania na fahari ya afrika. Be blessed dear president
mzee wafunge midomo hao saf sana my President 🙏🙏🙏🙏
You're the best GPM
Safi Sana Donald Trump wa Africa mungu akupe maisha marefu kbs
Baba Magufuli Allah azidi kukubark saaana akuzidishie umri mrefu na akuzidishie busara na hekma namuomba Allah atuepushie hili gonjwa na mengine Aamiyn
Mungu Baba akalinde zaidi Rais mkuu wa Tanzania. Mpaka nimethamani niwe mwana Tanzania. Hongera kwa Hekima kutoka kwa Mungu Baba. +254.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Whites wametuzoeya mno, safi prez
Huyu mzee ana akili sana kama zangu, hizo chanjo hazina maana ni majaribio tu tutafanyiwa.
Very nice. Nakupongeza sana kwa msimamo huu. WW NDIO DAUDI BAUNSA WA GOLIATH WA KIZAZI HIKI.
Nimekukubali Rais wetu uko vizuri miaka 100
Barikiwa Sana mtumishi Wa MUNGU magufuli!!!!
Tunachohitaji kufanya ni kuomba sana Mungu,
Tumsikilize kiongozi wetu,
Ubarikiwe kiongozi na Mungu azidi kukutumia!
Biblia inasema Mtu akiniheshimu nami nitamheshim ndvyo ilivyo kwa raisi wetu AMEMHESHIMU MUNGU NA KUMWANI 100% Watanzani TUSIMAME NA RAIS WETU ,MUNGU KWANZA , KAZI MAOMBI YA DHATI MENGINE TUTAZIDISHIWA
HONGERASAAN MH RAISI CHANJO HAZIFAI
Uko vizuri baba etu mungu aendelee kukulinda.
Nakukubali kufuli baba ulipomtaja mungu ww unaakili kikweli
Nakujivunia sana rais wetu una msimamo wa ajabu Mungu akulinde
Hongera
Nakupongeza
Ukisemakweli
Lazima upongezwe
Huyu mwamba ni kichwa sana. Mungu mbele daima
Ameena baba mungu wetu Yuko hai
Ubalikiwe Rais wetu
Sawa Sawa baba Mimi nakukubali sana
Watalam saizi hawana kazi zote unafanya ww
Her ya tumbo lililokuzaa Rais,
Unatufikirisha +
Sawasawa na neno la Mungu kwamba kama mtu aonavyo nafsin mwake ndivyo alivo na kama jins utuaminishavyo ndivyo tutakavyo kua
Amen