Uko vizuri baba na kwa kutetea wanyonge,nasi tunakuomba uwangazie watu wa mafao ndani ya mfuko wetu wa jamii ppf tunapata shida tunachukua mda na mambo mengi mengi,tusaidie na tulipwe madai yetu.
Mungu atusaidie Tanzania yetu Magufuli wetu atuangazie tuwe na uwezo kutekeleza lengo la Tanzania kuachana na uzembe, rushwa, uongo, dhuluma vimezidi. Mungu asaidie.
Your the only president in Africa who cares common mwanainchi.. Rest in peace John Pombe Magufuli.... Tanzania mlipoteza sana...sisi hapa Kenya tulimaliza kura but hakuna maendeleo tumeeka mbele masuala ya vyeo sasa hivi tunashughulikia kutoa term limit ya president
Mweeee yale mengine yatakuwa yametoa macho kodo wakimwangalia mwamme akiunguruma na wananchi wake kwa upendo magu Mungu akulinde kila utokako na uingiapo baba damu ya Yesu ikufunike pole na msiba pia pole na safari ndefu
Hapanaaa. Huyu ni Mfalme. Wa Jamhur ya Muungano wa Tanzania. Jaman wa Tanzania. Tumpeni Mfalme. John. Josef. Pombe. Magufuli nchi. Kama Jamhur ya watu wa China. Magufuli ni chaguo la Mungu. Ni msaada wa nchi ya Tanzania. Na bars nzima la Afrika na Dunia nzima. Magufuli. Big up. Sana Rais wangu. Kipenzi. Mwenyezi Mungu. Akujalie Maisha marefu. Na Afyanjema. Na Familia yako.
Tume ikosa sana sauti yako Baba.Baba lala kwa buriani. Bado kivuli chako hadi sasa kitawatesa sana Mbowe na Rissu usiku wakiilala wanaweweseka vitandani mwao na kupiga mayowe.!!!!!!
😭😭😭🇹🇿😭🇹🇿😭🇹🇿😭 kila kuitwapo Leo nangalia hotuba yake lakin kwa Hali hii tunako elekea ni kubaya San Hakika hayati Dr John pombe Magufuli Tutamkumbuka daima
Super Mheshimia Dkt Magufuli unasikiliza kero za Wananchi kwa uamifu na kwa uhaki asante Mungu akulinde akupe Afya katika miaka mingine
Notokea Kenya but kwakweli nlikua nampenda Sana magufuli..I miss him, jamaa alikua mtenda kazi na haki kwa wotee..may His soul rest in peace
Amina.
Watanzania tumshukuru mungu kwa hili jembe
Hongera Rais wetu kwa kutatua migogoro papo kwa papo,mungu aendelee kukutunzs
Hongera Sana Rais, kwa kweli wewe ni kiongozi Na.moja nakupongeza na Kila mmoja ana-appreciate na kazi yako Kila nyanja.
Hongera muheshimiwa kwa ,kaz saf unazozifanya.hakika mungu akulinde na kukuongoza vyema katika kaz zako,
Mungu akujalie maisha marefu na nguvu ya kuendelea kuijenga Tanzania yetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mhe. Rais anavyojieleza kwa data ni zaidi ya Mtafutakazi na anastaili kupewa kazi. Gonga like.
Mwaka 2024 bado ninamsikiliza huyu mwamba haitatokea kama huyu never RIP magufuli👍
Style yako ya uongozi John pombe Magufuli nimewahi isoma kwenye biblia kipindi cha sulemani yaan Mungu ametuona
Natamani uongoze hii nchi milele aiseee Mungu akutunzeee Raisi wangu
Ahsante sana jembe letu
Jamanii,INANIUMASANA
Uko vizuri baba na kwa kutetea wanyonge,nasi tunakuomba uwangazie watu wa mafao ndani ya mfuko wetu wa jamii ppf tunapata shida tunachukua mda na mambo mengi mengi,tusaidie na tulipwe madai yetu.
In Australia 2024 and still watching magufuli. Best president in Africa. May his soul rest in peace
Huyu sio rais huyu ni mtetezi wa wote
pole baba yangu mwenye hekima ya sulemani mungu akulinde rais
Mwenyezi mungu akutunze Mh raisi
Am frm kampala watching these videos
Umetixha we babalao
Our father is in good hands with god😉😉😉😌😌
bazaar |is ❤.. 😮😮ablm❤ze 2:11 👩🔬😅🇺🇬❤
mimi hapa nampenda sana jpm He is so genius
Raisi Wa wanyonge,nani awezaye haya,isipo JPM apewe kura zote.
huyu rais jaman mungu mjalie maisha marefu aish mpaka miaka 200 kwel ni mungu katupa nampenda tangia akiwa wazir wa ardhi
ila rais wangu me nakupenda mno ungepumzika kwanza baba maana tangia msiba umeenza hujapumzika baba pata muda wa kupumzika baba wa wanyonge
Ukweli mtupu.. 🇹🇿
Mungu atusaidie Tanzania yetu Magufuli wetu atuangazie tuwe na uwezo kutekeleza lengo la Tanzania kuachana na uzembe, rushwa, uongo, dhuluma vimezidi. Mungu asaidie.
mashaAllah JPM ni Rais Hodarisana Mungu amrehemu.
Ahsante sana mzee baba
Safi Sana Raisi 💯💪🏼 Tuko pamoja
Hongera sana mh rais kwa juhudi zako mungu akutunze
Abarikiwe mwnanamke aliyekuzaa
Born a leader dead a leader RIP mzee .
The best president Africans have ever had may good God keep his soul in internal 💪🏾♥️
Mungu akupe maisha marefu kwa kutetea wanyonge
Rais maghufuli, unastaili uje hapa kwetu kenya unyoroshe wabunge wetu.
Mungu akupumzishe mahari pema peponi
Your the only president in Africa who cares common mwanainchi.. Rest in peace John Pombe Magufuli.... Tanzania mlipoteza sana...sisi hapa Kenya tulimaliza kura but hakuna maendeleo tumeeka mbele masuala ya vyeo sasa hivi tunashughulikia kutoa term limit ya president
Rais wa moyo wangu,kama kuna aliyehusika na kifo chako! Laana iwe juu yake na vizazi vyake vyote,pumzika kwa amani,Ameni.
Sana mungu atalipa
True & real thinker Magufuri RIP MJOMBA MAGUFURI..
Mungu akuweke mahali pema pepon amen
😂😂😂😂😂😂😂 dah Huyu Raisi hapana mm ningependa aongoze miaka mpaka Allah amchukue lazima ujichanganye
Hmmmm barikiwa sanaaaaa
Malaika anamwambia mh kua huyu Mama hadanganyi😁😁😁kwl huyu n malaika anaeishi dunian Kwa kuonekana
Maikopaul Maiko😂😂😂😂😂😂😂😂😲😂😚😂😂🤭🤭🤭
Mweeee yale mengine yatakuwa yametoa macho kodo wakimwangalia mwamme akiunguruma na wananchi wake kwa upendo magu Mungu akulinde kila utokako na uingiapo baba damu ya Yesu ikufunike pole na msiba pia pole na safari ndefu
Dah jpm Allah aendelee kukupa afya na khekma katika utendaji wako
We lost great leader😭😭😭😭
Hivi huyu raisi kazaliwa na mwanamke au kashushwa kutoka minguni ? Maana yupo tofauti na hawa binaadam wengine kama wanyama .
Ziada fanya kustaghafiru kwanza unakosea ukisema hivyo
Huyu rais ningekua nauwezo ningempa hata mkono kwajinsi ninavompenda
If Africa had leaders like the late j p m we would have been in the first world countries rip jpm
Gud rais wangu jpm. We we rais Wa wanyonge
I am a kenyan and I love magufuli and his leadership
😭😭😭 Kuna viongozi hapa Tz mafala hasa wabunge na madiwani mafala sana yani wanapewa mamlaka lakini wanalala hovyo tu
Haki za watu 🎉..
The late president His Excellency DKT. MAGUFULI ALIKUWA
The Best African president ever 🇹🇿✅
Am also akenyan but I was alover of magufuli ,we cant get like this ,rip magufuli
magufuli we noma walah
rais ananifrahisha pale anapo sema pesa kama imeliwa kuna kakicheko fran hiv kicheko cha tahazari
Ihiiiiii
Nakupenda mnoo baba wa haki
Magufuli ana kazi
Kweli kabisaa sina hamu huu ni wito kama huna huwezi!
Duh huyu rais mbinguni moja kwa moja
JPM rais wa watu na watanzania
Kweli kabisa huyu ndo tumtakayo
Hapanaaa. Huyu ni Mfalme. Wa Jamhur ya Muungano wa Tanzania. Jaman wa Tanzania. Tumpeni Mfalme. John. Josef. Pombe. Magufuli nchi. Kama Jamhur ya watu wa China. Magufuli ni chaguo la Mungu. Ni msaada wa nchi ya Tanzania. Na bars nzima la Afrika na Dunia nzima. Magufuli. Big up. Sana Rais wangu. Kipenzi. Mwenyezi Mungu. Akujalie Maisha marefu. Na Afyanjema. Na Familia yako.
Hapo tu ndio unapokua rais wa miaka 20 yaan unajua kuwasaidia wanyonge president JPM
The best president ever in Africa ❤❤❤❤❤❤
Ni kweli kabisa ,mambo ya ardhi kuna uonevu sana.
Maendeleo yanahitaji kujipanga vizuri na kupunguza kubembelezana Hongera JPM kwa kujitaidi kumaliza baadhi ya matatizo papo kwa papo 👍
Huyu ndo rais
Magufuli I'm Listening you 2024
I lyk how prez magfuri how he was doing his things in kiswahili kasoma jambo kwa umakini kwa uadilifu na undani na kumweka Mungu mbele kati na mwisho
Ila wasaidiz wa mh wanaonekana wamechokaaa
Pumzika Kwa amani mzee magufuli hakika ulipigana sana.......
Magu uiongoze Tanzania kwa miaka ishirini nasio kumi tena
Mwenyezi mungu atakulinda popote utakapo kwenda wewe ni kiongozi wa wawanyonge utashinda ushindi mkubwa sana
Mungu wetu tunakuomba pitisha moto wako kwa wale wote waliohusika na kumuondoa huyu kiongozi wetu alietupenda.
Pumzika Kwa Mani baba yetu magufuli
Mungu wangu Mungu mkubwa😢😢😢😢😢😢
AGAIN AND AGAIN, A MAN OF SEASON A PRESIDENT OF TIME
Yaaah
Pombe is the best president in the world.
Magufuli was a great leader for the people of Tanzanian majority and All intaia continatal may he also ready in peace
president of the all time...!! katiba hakika ni lazima ibadilishe utawale milele, Mwenye kupinga afanye kama anajikuna hivi..
Mungu akulaze pema pepon,Ila speech yako hii imeniingia moyoni.Mimi binadamu tu
Mungu akulaze mahala pema. Uliyafanya makubwa.
Oye magufulinnakupenda sana🎉🎉🎉
Tungepata Marais kama Magufuli mmh hii Dunia ingekua na furaha
Continue resting well Rais magufuli
Mungu akupumzishe Kwa aman,baba,,ulikuwa mzalendo hass
Huyu ndio rais Allah amuhifadhi
Tutakukumbuka sana,saa hii ni wananchi wanakaliwa na viongozi kichwani-HAKUNA HAKI
Your man power are coming back. R.I.P
Tume ikosa sana sauti yako Baba.Baba lala kwa buriani. Bado kivuli chako hadi sasa kitawatesa sana Mbowe na Rissu usiku wakiilala wanaweweseka vitandani mwao na kupiga mayowe.!!!!!!
😭😭😭🇹🇿😭🇹🇿😭🇹🇿😭 kila kuitwapo Leo nangalia hotuba yake lakin kwa Hali hii tunako elekea ni kubaya San Hakika hayati Dr John pombe Magufuli Tutamkumbuka daima
Thanks God for Magufuli time.R.I.P MAGU always I remember you
NO WHERE TO GO AND NO WHERE TO HID. (TIME )
MATH and l0ve.
Magufuli was a tough but a fair leader...
This was a real leader MYSRIP sir 🫡❤️🙏🏿
We will miss a straight forward prezido who used to work for the tanzanian not his self
Mh raisi ebu nenda kapunzike kidogo hata ulale jamani wiki nzima umeshughulika na msiba una usingizi umechoka ebu nenda kapetiwe na mamaaa
Ile ipo haiondoki ataikuta tu😂😂😂😂😂😂😂 tamu ile yake bhana
Wewe DC acha kuongea sana wakati Mhe Rais anaongea na wewe unaongea ongea tu.
Huyo DC Ni mtu mmoja makini Sana na mfuatiliaji sema tu mkuranga majanga mengi Sana kule na rais anatambua Hilo
Hongera mama Samia, rais wetu mpendwa kumrudisha Komorefi Makonda kwenye uringo.
Pamoja na mapungufu yake yote hatatokea mwananchi mzalendo kama jpm, lala salama baba na mungu akusamehe zambi zako.
Ameni. Inauma sana! JPM!
JPM Mungu akurehemu huko uliko.
J, itaaba more inforce profile picture update 😊😅😮😊😅😮
Alikuwa kiboko yao Hayati JPM
Continue resting in power Magufuli
Yyyuh ZZQ
Citizen
Citizen
Mr. President chapa kazi...