DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- DUH! MAGUFULI ASHTUKIA MCHEZO MCHAFU - AMBANA MEYA - "PESA ZIKO WAPI?"....
Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 07, amewasili mkoani Sumbawanga akiendelea na ziara yake nchini ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali...
Katika ziara yake ambayo ilianzia mkoani Songwe, Rais Magufuli, ameongozana na mawaziri mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, Waziri wa mambo ya nje, Profesa Kabudi pamoja na naibu waziri wa michezo, Juliana Shonza..
#RAISMAGUFULI
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 739 750 910 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEWS:
www.youtube.co....
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u6Dk3QxRsVCJ7kW2e
Ok
Leo tarehe 9 /1/2025 kama ndo namsikiliza live vilee
Kama na ww unahisi ivooo gonga like yako mzalendo mwenzangu
24/01/2025
Alieangalia mwaka huu gonga like
Aliesikia kuwa kiongozi wa soko ni mnene anipe like zang.
God bless Tanzania 🇹🇿🇹🇿 and rest in peace President Magufuli...much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
🤝🤝🥰🥰
Well quoted bro
E mwenyezi Mungu nipe namimi kipaji cha kua kiongozi bora kama cha Rais wetu kipenzi Magufuri
🙄🤗🚶♀️
President JPM to be honest I appreciate you very much for your strong leadership You are the Gift from God to Tanzanians.. CCM didn't do mistake to nominate you.
He was one of the best African president
Kama nawe unankubali Magufuli, bassi gonga like apo!
Mungu akuwezeshe
Akupe umri
Sijapata kuona kiongozi kama wewe MHESHIMIWA RAIS.
MIMI NI MKENYA NA NATAMANI NINGEKUWA MTANZANIA NIKAJIONEA NA KUFAIDI KATIKA UONGOZI WAKO.
Usijali kwani tutamchagua JPM kuwa raisi wa kwanza wa Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki atakapomaliza awamu yake ya pili ya uraisi wa Tanzania.
Njoo Tz ndgu yngu sie tunaraha kama zote na MAGUFULI wetu kipenzi changu wanyonge 2020 bila kupingwa
Neema Alby
@@kiswahilikitukuzwe2547 ndugu zangu kizuri hakidumu.
Asante Mungu kwa maisha na uhai uliompa JPM!
Mungu akulinde Rais wangu,Mungu akurehemu,Mungu akupe hekima uishi miaka mingi ili tuone nchi yetu itafika wapi,Viva Tanzania, Viva Rais Magufuli
😭😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿
😔😭😭
Nimegoma kuitisha uchaguzi 2020 namtaka MAGUFULI aendelee kuongoza
Rest in peace Doctor John Pombe Magufuli no one will replace your party
Really no one but maybe me
Makufuli i wish ww ungekuwa rahisi wa kenya jamani
Karibu Tanzania. Tunaenjoy kuwa na Rais Magufuli.
Kweli bro
Ndo nuru ya magufuli isha enda ALLAH ATUREHEMU FROM KENYA... SITOKUSAHAU
Mie 🇰🇪 ila nauliza wakenya wenzangu na waganda respectively,.. Je akifa uhuru na yoweri watu watauzunika kama alivyokufa jpm jmni naomba majibu yenu,. Rest in peace magu,.. Nalia sana
Na Uganda si Kenya tu
Hongera Rais wetu kwa kazi nzuri ya ufwatiliji unayofanya mungu akubariki
For you to be leader you need to have wisdom from God.karibu Kenya uwe rais wetu hapa Kenya hakuna haki
I am Kenyan but I miss magufuli BaBa wa wanyonge
Tunakumiss sana rais wetu
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
tutakukumbuka daima rais John pombe magufuli
Allah ailaze roho yako mahali pema peponi amiin
Always a pleasure listening to you JPM ❤
Nakufuatilia vzr sanaaaaaaa baba. Na mm naomba kazi tuu ya kukusaidia. Maana upoooo vzr nkpnd presidaaaaa wanguu
KAMA UNAMUONA MAKONDA HAPAA!! NDANI YA MAGUFULI
GONGA HAPA!!❤
Kiongoz wa soko naye mnenee 😂😂😂😂 daaah magu ni shidaaa sijui maneno anayatolea wap
Ernest Onesmo 😀😀😀
Utafika mbinguni umechoka
Ila huyu mzee ni genius Sana ndo anasafisha njia hvyo 2020
Sidhani Kama kunasababu yakufanya uchaguz labda wawabunge tu lakini kiapnde hiki aapishwe tu Mambo yaende
Pesa za kampeni za 2020 ,zijenge zahanati na vituo vya afya ,2020✔️
Kweriii kabixa
Kàbisa mi kaa mkenya
Nalia Sana kila nikitazama izi hotuba.JPM wetu jamani??😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿
This man Magufli . It's only that we cannot question God , but we say 'let thy will be done'
Mh
Kuna mtu anasema eti utawala wa kisheria umekufa ulitaka sheria gani sasa inayobembeleza mpk lijengwe ghorofa wakat wafanyabiashara hawana tena soko,tunga sheria yako weka ghetto kwako we need to move far now
Ulituchelewesha, na watu huwa wanataka kupata mianya ya jato asilimia kumi. Tupilia kule
Pia ni mifumo ya kizungu
nice nice niceeee
We want president uhuru to do exactly this kind of work and he should start it with Wajir county goverment.
Hawezi
RIP Magufuri Rais wetu wa Africa Allah ailaze Roho yako mahari pema peponi Amiin
Simba amin
Uyu ndio Rais wawatu banah,, acha mzee Magu awanyooshe
Magufuli hoyeeeeeeeee
"Uzeni nyanya Uzeni dagaaa"
Hahhhhh Safiiiiii
Africa needs more presidents like jp magufuli
He was really a wise man I say, Rest in Peace Mr. President.
will there be another JPM?
it's a big Q
Magu shikamoooo uko vzr 2020 kura yangu nakupa tu
Tunakukumbuka Sana kwa ajili ya wanyonge unaenda peponi hayati magufuli
Kibonge ameongea kweli
Mungu akusamehe rais wetu upumzike kwa aman sipati picha kbs kwamba atujikukuona tena ukiongea na ss
Daaah kwa Uncle Magu ukienda kichwaa kichwaa Unaumbukaa
Huyu angekuwepo mpaka saiv tungekua mbali😢😢
2020 kura yangu na za familiya zangu zote kwa JPM 100%
Nikikuwa mutanzania mwaka 2020 na familiya yangu yote nikwa JPM 100% arakini niko murundi
Lala Salama Nahoza wetu Jahazi umeliacha ila Manahoza wamekuwa wengi sasa na limeshazama 😭😭😭😭
Wajinga ndio viongoz.watanzinia mjuwe magufuli ni nyota 5 star
Taifa limepata Rais! Miaka inakimbia lkn Mungu hata sasa amtusaidia. Miaka 5 ijayo Mungu akupe afya njema umalize kazi njema uliyoianzisha
Mungu akubariki sana kwa kazi zurii mashallah nakuombea sana hunatafauti nakabus wallah
Long live magufuli. We truly shall miss you.
Sema ndo mungu tu ame mchukua lakini ninge pata kuku tana nae ninge mshauli kwenye mikutano yake tuwe tuna Ingia Kwa kiingilio jamaa alikuwa ana tupa mzuka kwelikweli
Raisi wangu unanigusa mpaka nashindwa kusema kitu....wanyonge tupo huru sasa..napenda twende wote pamoja mpaka mwisho MUNGU akulinde kwa kweli
hii comment😢😢😢😢 naliaa tulivimba
Raisi hawa viongozi wengi ni majanga tuu..usiwacheleweshee ktk taifa fagia tu..weka watu mwingine..
Kwanin tuharibu mamilioni kwa ajili ya uchaguzi wa 2020?
umenena mzee
Elias Dioniz Katibu ndvyo inavyosema uchaguz n kila baada y miaka 5, sasa hayo mawazo yko tafuta sehemu sahihi y kuyasemeaa au kasome katiba vzur uielewe uache kuropokaropoka.
Lazaro Silayo Acha useng mangu atabak kuwa juuu
@@lazarosilayo6918 mbona kama unateseka unajibu kwa hasira na gazabu hayo ni mawazo yake tu kama yeye kwa mtazamo wake ameona hamna haja ya uchaguzi ni mtazamo wake yaheshim
@@lazarosilayo6918 😊 nidhahiri unateseka nahii spidi ya JpM. Mbona Mr Freeman mmempa uenyekiti w kudumu nawala hatusemi.?
Mungu akuzidishie Raisi wangu. wewe una roho ya peke yako. Mungu akusimamie akupe umri furaha na afya njema katika maisha yako
Laa Rais wetu sijui tutakuja kupata mtumwingine kamawewe mungu atujalie
Mungu akuepushie na mateso ya kuzimu na akuvishe taji ya Mbinguni nankukupa Raha ya mile Amina.....❤❤️🔥💗💓💞💕♥️🤍❤️🧡💛💚💙💜🤎
Mungu aiwekeroho yake mahali pema peponi,watanzania mlikua na ndume jasiri kweli Mungu alimpenda Zaidi..
Sidhani kama Meya anastahiki kumjibia mkurugenzi
Baba kweli ndio maana tulizimia na kukata tamaa baada ya msiba wako kutokea. Pumzika kwa Amani Rais wangu JPM
Ahsante rais wa wanyonge mungu akupe uhai mrefu wenye mafanikio
Thks god for give us Good leader🙏😊.
MashaAllah big up Mr prezzo for u're concerned
U are blessed guys...
Good leader passed away
Dua kwa wingi
Kwake
Sijuti kura yangu Magu oyeeeee,2020 InshaAllah, utapita tu babalao!!
Hakuna uamuzi umenifurahisha Kama leo. In maana Hawa viongozi walikuwa hawayaoni mpk rais ajeeeeeeeee jamani. Tumbua woteee haoooo
Kweli Tanzania mungu katupa kiongoz mungu akbariki ras wet
Mungu akukinge na majanga ,
Yaani uyu alikuwa kiongozi ...real president
salute nakuukubali sana raisi wangu mpendwa jpm heshima yako mkuu
Hahahaaa ngoja nimalize hili,mnababaisha tu,hahaaaa make some noise for the prezidaaaa.
Mm nakupenda sana rais wangu mungu akubariki
Eeemwenyezi mungu mpumzishe mahari pemapeponi raisi wetu, Amina
Akiyamungu magufuli. Mungu aisamehe roho yako. Naukojuu akupeuongozi wowote. Tumekumiss sana
kiongozi wa soko nae ni mnene ,anakula hela nini?
Kwanini uhuru wa Kenya hawesi kufanya kama huyu raisi wa Tanzania?
Raisi wa wanyonge mungu akubaliki sana magufuri
The best president in the world. i miss u Mr. Prezo. Continue to rest in peace.
The best president of Africa,Watu watakukumbuka
Mwenye haki akiwa na Amri watu hufurahi. Pumzika kwa amani Mhe.JPM
Mungu ebu tufufulie Jpm ,tuko chini ya miguu yakoo
Nimuenzi vp late Magufuli?huyu ni mzalendo kweli kweli.Mungu ww wajua yote! Rip inshallah
Yani tundurisu na jamaa zake watasubiri sana
Yan baba umepita kula yang 2020 we Chukua
Pumzka kwa amani baba,,, tutakukumbuka sana
Naumia sana huyu alikua rais kwa kweli
Huyu mzee alitakiwa aendelee kuishi ,alikuwa anafurahisha sana .
Ndo basi tena
Ndo maana watu walizimia baada ya kifo chako baba🙏🙏
2020 kura yangu hiyooo
R I P realy leader Magufuli ❤, waliobaki wahuni
Jamani jamani huyu Raisi daaa inauma sana mpendwa wetu
Rest Easy President 😭😭we miss you alot
Duhu mpka naumia Sana ka har hii tawala mpka mwenyez mungu akutwaee
Punzika kwa amani baba naumia sana nikisikia sauti yako tuu jpm.....mungu umpunguzie adhabu huyo baba kwake uongo ni mdogo.
Sioni sababu ya kuchezea fedha kwenye uchaguzi wa raisi maana hata huyo anaeshindana na magu anajua wazi atashindwa kwa kura zote lamsingi tuangalie fedha za uchaguzi wa raisi zipelekwe kwenye mambo ya maendeleo na huduma za afya wabaki kwenye uchaguzi wabunge na wadiwani basi
Mama kasema bango moja mkuu wa mkoa/wilaya unatembea hizi kero zitawaondoa wengi.. baba alikuwa mpaka aje ndo kero zinasemwa dah 😔😔💔💔
uchaguzi wa urais ufanyike 2025 tu 2020 ifanyike wabunge na madiwani tu urais no hatutaki
àhahahahhaahahahahahahahahahahahHHahah
Magufuli was a Beacon of Hope for Africa, but our enemies did not want him to stay. However, let his exploits be our motivation we the upcoming African leaders. Let them be a guide to the incumbent African leaders if they desire to see a Continent free from chaos and divisions.
Ni vile nakupendaga raisi wa wote chapa kazi mzee baba mungu akubariki sana.
Anco magu hatari💥
dah jamani roho inauma bado napitia hotuba za jpm mana nimejifunza mambo meng sana kama naww unaangaria 2022.6(29/gonga like kam zote wamachinga oyeeeeee
Kiongozi Wa soko nimnene
Hahahahahahahahaha!!!!
🤣🤣🤣
wanaposema hawa mataraamu weetu
Mungu umurase mahali pema peponi africa hatuna rais ana huruma na maskini ka juyu rais ata hsps kenya twa mis yeye sana
Ila magufuli bsi tu mungu anajua saiv tuna viongozi wa ovyo Sana nakukumbuka sana magufuli
Wakenya tuna lia na tunalia hatuna viongozi huku tupeni jpm tutawapa viongozi 50 na tutawaongezea raila odinga juu
😂😂
Fantastic article
Me namkubali makuvuli mungu naomba utuurumie utupe rais kama makuvuli jee kama mnaamini tutapata sema amen 🙏
Rest in peace my hero father