MAGUFULI AMUWASHIA MOTO MKURUGENZI - "UNAFANYA UPUMBAVU, HUWEZI KUNIDANGANYA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 116

  • @issazakaria9704
    @issazakaria9704 5 ปีที่แล้ว +51

    Safi sana JPM piga kazi mzee kama unakubali anachokifanya Rais wetu dondosha like yako hapa.

    • @mangegervas9651
      @mangegervas9651 5 ปีที่แล้ว +1

      Huyo mkurugenzi katumbuliwa tayari

  • @monicawanza8779
    @monicawanza8779 5 ปีที่แล้ว +9

    i wish tungeweza pewa magufuli 1month Kenya ingenyooka

  • @citizen250tv6
    @citizen250tv6 4 ปีที่แล้ว +2

    From Rwanda magufuzi rais wawanyonge penda sana

  • @smkinuthia6094
    @smkinuthia6094 5 ปีที่แล้ว +3

    I wonder if President Uhuru and his Deputy watch such documentaries this is the proper leadership we need in Kenya.

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mungu alitupatia chombo, bwana alitoa bwana ametwa jina la bwana lihimidiwe.

  • @fredrickbochela6509
    @fredrickbochela6509 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu kama hawa hata mungu anawapenda hongera sn rais bigup

  • @priscamedadi1108
    @priscamedadi1108 4 ปีที่แล้ว +1

    100# uishiii kiongozi wangu mpaka frahaaa ya machozi hongera baba

  • @seifminal1890
    @seifminal1890 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakuombea uzima na uvumilivu rais wangu Mwenyez Mungu akupe kila lenye kher nawe 🤲👀

  • @godfreymushi13
    @godfreymushi13 5 ปีที่แล้ว +4

    Nimempenda uyu mkurugenz ana confidence ya ela yote

    • @alexanderkapinga700
      @alexanderkapinga700 5 ปีที่แล้ว +2

      Confidence kwenye kufanya zero alafu unasema ya hela yote, kama anaconfidence alitakiwa akatae siku anapewa hiyo nafasi aseme mimi nina hela so sihitaji kazi hiyo, so hicho unachocomment ni sawa na coment ya mbumbumbu!!

  • @modestusndunguru4638
    @modestusndunguru4638 5 ปีที่แล้ว

    safi sanaa..... hapa kazi tuuuu... hatutaki ujinga.... ela za wananchi hizo.. zinapigwa.... mtakoma

  • @gbbuku4714
    @gbbuku4714 5 ปีที่แล้ว +7

    Ifikie time magufuli aeleweke jmn tutapata wap rais km huyu mweee mungu akulinde

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama ulimuona yule jamaa aliyesema tumbua majipu gonga like alafu sema MAGU Oyeeeeeee!!!

  • @japhetnzunda99
    @japhetnzunda99 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akutangulie na ukupe nguvu

  • @evelynemachange5305
    @evelynemachange5305 5 ปีที่แล้ว

    Bora ukosee njia lakini siyo kukosea kuchagua kiongozi sahihi wa kukuongoza,nashukuru Mungu kunipa Rais sahihi wa kuniongoza.Mungu akubariki sana na kukupa afya njema kila itwapo siku

  • @williamissaya8091
    @williamissaya8091 5 ปีที่แล้ว +10

    Kuwa kiongozi sio mchezo ,wengine wakisha pata uongozi basi hufikiri in kubaki ofisini tu kumbe siyo, sasa mkuu wa nchi anawafundisha kazi wale waliozoea kawaida ya serikali zilizopita.

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 5 ปีที่แล้ว +3

    Mkurugenzi yuko full conference big up sana

  • @teophilmbalamwezi
    @teophilmbalamwezi 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaani, unaweza ukajuta kuwa kiongozi

  • @maximilianjoseph7896
    @maximilianjoseph7896 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama umesikia maternity leave naomba like

  • @jemedarikalimasi5754
    @jemedarikalimasi5754 2 ปีที่แล้ว +1

    Vizazi na vizazi vitapita lakini jpm, hutakuja kusahaulika ktk serikari ya tanzania, R.I.P BABA.

  • @yusufmohamed9843
    @yusufmohamed9843 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli was not a joke mkurugenzi kakamatwa kashindwa kuongea kigugumizi mahesabu the man of wanyonge billions no market

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 5 ปีที่แล้ว

    Aiseee Kama Rais Ninae
    Mungu akubariki Rais wetu JPM 🇹🇿 Nakuombea sana

  • @mirajikinuke9849
    @mirajikinuke9849 5 ปีที่แล้ว +4

    Uyu ndo RAISI wetu...Atawale hata miaka 30

  • @unaonaniniplatform5244
    @unaonaniniplatform5244 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwa hali hii tunasema pole sana mkurugenzi

  • @hadijamahande2374
    @hadijamahande2374 5 ปีที่แล้ว

    Hongera.baba.ubarikiwe.sana

  • @betsonbeatus7543
    @betsonbeatus7543 5 ปีที่แล้ว +7

    Yaan nilitaman siku moja afike hapa maana hii wilaya wapigaji walikuwa ni wengi mno

    • @victorkwicha9237
      @victorkwicha9237 5 ปีที่แล้ว +1

      Betson Beatus mh kazi kazi fanya yanayo kuhusu ukizingua unakuwa jipu

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli rais tunaye

  • @ricksonlyimo2662
    @ricksonlyimo2662 2 ปีที่แล้ว +1

    Pumzika kwa aman jemedali wetu vita umevipiga mwendo umeumaliza na iman hakika uliilinda vyema pumzika

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 5 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana Mkuu wa nchi 2020 kura yangu umepata kwa mara nyingine tena

  • @cldmichashukim5864
    @cldmichashukim5864 5 ปีที่แล้ว +1

    bless up mr president this is a prove Magu is the man of the people.

  • @benardobiri5523
    @benardobiri5523 5 ปีที่แล้ว +3

    Nalilia kenya inchi yangu... Tungempata rais kama jpm tungekuwa mbali

  • @khadijamohamed6961
    @khadijamohamed6961 5 ปีที่แล้ว

    Hatari sana baba

  • @vascostanleymbisse4477
    @vascostanleymbisse4477 5 ปีที่แล้ว +6

    Popularity vs Professionalism

    • @sharif-ismailshah597
      @sharif-ismailshah597 5 ปีที่แล้ว

      What do you really mean ?

    • @vascostanleymbisse4477
      @vascostanleymbisse4477 5 ปีที่แล้ว

      @@sharif-ismailshah597 The President is gaining more popularity in that society while the director's professionalism is despised and seen useless..

    • @msovietimjamaa3017
      @msovietimjamaa3017 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweli Vasco una akilli Sana

  • @militocalito7422
    @militocalito7422 4 ปีที่แล้ว +1

    sisi kenya tulikosea wapi jameni😭😭😭

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu ali kuwa rais wa Marais Dunia nzima

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 ปีที่แล้ว +1

    Mkurugenzi jiuzuku umetia aibu Sana mpk sura inakusuta

  • @sheikhmahmoud3127
    @sheikhmahmoud3127 5 ปีที่แล้ว

    Daah magufuri rahaaa sanaaa

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 5 ปีที่แล้ว +2

    Na kwakweli mimi nasikitika sana kuwa kutembelea hizi miradi midogo midogo ni lazima uende wewe raisi. Naomba chambua tena team ya wakuu wa mikoa na wilaya maana naona kuna tatizo katika huu mkoa na hii wilaya!!!

    • @williamissaya8091
      @williamissaya8091 5 ปีที่แล้ว

      Alexander Kapinga ndugu yangu ndo hayo madudu unayaona akiwaachia hakutekezwi kitu rais anapowatembelea anachochea uwajibikaji ambao ulikuwa haupo toka huko nyuma kaka eeee! Kwa nini hamumuelewi raised jamani!

  • @militocalito7422
    @militocalito7422 4 ปีที่แล้ว +1

    magufuli twaomba uje kenya kwa miaka miwili pekee utunyoroshee taifa

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 ปีที่แล้ว +1

    Mh aibu mwenzangu

  • @markbitta692
    @markbitta692 5 ปีที่แล้ว +1

    Ninakukubali sana rais wangu, mimi naona tubadrishe kariba uyu rais aongeze miaka 30

  • @seifminal1890
    @seifminal1890 5 ปีที่แล้ว

    Katoka marekan alafu anafanya kaz za.............. JPM MUNGU AKUBARIK🙏👀

  • @mhangwacastory8765
    @mhangwacastory8765 5 ปีที่แล้ว +1

    Hata ningekuwa Mimi raisi nafikiri ningefanya hivyo

  • @peteralfonce5848
    @peteralfonce5848 5 ปีที่แล้ว

    NAMPENDA SANA RAIS WANGU

  • @gidosalapion8222
    @gidosalapion8222 5 ปีที่แล้ว +5

    Ufisadi kwetu umezidi, kama umemskia kijana gonga like😂😂😂

  • @masachihorticultureunitcol711
    @masachihorticultureunitcol711 5 ปีที่แล้ว +4

    Kufanya kazi Marekani mpaka kurudi Tanzanzia. Mimi kazi za pressure sizipendagi

    • @alexanderkapinga700
      @alexanderkapinga700 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaani ni katika watu ambao hawajielewi na huna akili kwa 100%. So what is kufanya kazi Marekani??

    • @masachihorticultureunitcol711
      @masachihorticultureunitcol711 5 ปีที่แล้ว

      @@alexanderkapinga700 wewe ndio hujielewi yaani kuondoka USA kuja kufanya kazi Tanzania. Unafikiri Marekani ni nchi ya kawaida Ile ni superpower country. Ndio maana hata Rais kamshangaa

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 5 ปีที่แล้ว

      Danford Mwabena
      Shauri yako kama hupendi kazi za pressure! Jitenge na utupishe au rudi huko marekani ukapigwe risasi na Askari wa kizungu.

    • @masachihorticultureunitcol711
      @masachihorticultureunitcol711 5 ปีที่แล้ว

      @@machaggechacha3422 kwani Marekani maaskari wa kizungu wanawapiga watu risasi tuu bila kosa lolote lile

    • @alexanderkapinga700
      @alexanderkapinga700 5 ปีที่แล้ว

      Wewe unadhani kwa akili yako kufanya kazi kwenye super power nation na huku kusiko super power unadhan wapi kuna strees sasa. Fuatilia vizuri huwezi kwenda kimbumbumbu tu katika taifa kama lile na kingine wewe umezaliwa Tanzania unashadadia kufanya kazi katika nchi ya wenzako badala ya nchi yako, unadhangaza sana!!

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 5 ปีที่แล้ว +2

    Huu ni uongozi ambao utawafanya Watanzania wenye madaraka waamke na kuwatumikia walio wengi. Ubovu wa hawa wazembe na wezi unaanza kuonekana wazi kwa kila Mtanzania.

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila mambo mengine jamani watumishi wa umma wanajitakia wenyewe, mwaka mzima unatengeneza soko.!!

  • @abdallahmohameddaniel659
    @abdallahmohameddaniel659 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah mkuu mungu akulinde sisemi kitu sina cha kusema kabisa namuachia mungu unatosha

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 5 ปีที่แล้ว

    Mungu alikuleta duniani uwe shujaa wetu tanaomba siku moja uje soko la ilala watu wanapiga sana aise

  • @msuyafirst1370
    @msuyafirst1370 5 ปีที่แล้ว +6

    Watanzania wanafiki sana ! Kelele nyingiiii huwenda hata wanachokipigia kelele hawakifahamu

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 5 ปีที่แล้ว +1

      msuya first
      Nadhani watanzania wanapigia kelele wanachokifahamu na kukielewa. Wewe ndie bububu huelewi. Masikio na ufahamu wako ni kama ule wa kenge. Amka!! Kumkucha!!

    • @msuyafirst1370
      @msuyafirst1370 5 ปีที่แล้ว +1

      @@machaggechacha3422 nakueleza wa Tz niwanafiki walio wengi. Kama hutaki basi kaka. Mimi mwenyewe nipo huko may be wewe upo private ndio maana

    • @msuyafirst1370
      @msuyafirst1370 5 ปีที่แล้ว

      @@machaggechacha3422 halafu jifunze staha kaka matusi au kejeli hazina maana. Umeona nimetukana? Mungu akupe hekima

    • @herculesthepower1544
      @herculesthepower1544 5 ปีที่แล้ว

      first wengi wanakimbilia kutoa matusi badala ya hoja. Mbona mkurugenzi kajibu kwa unasha tuu. Na majibu mengine tanatakiwa kukaa chini si kujibu ovyo ovyo na pili huwezi kubishana na mkuu ktk umati wa watu namna ile. Mkurugenzi nampa pole sana kwa kuitwa mpumbavu ana familia jamaa marafiki wafanyakazi wenziwe.

    • @modernfarming5938
      @modernfarming5938 5 ปีที่แล้ว

      Usikute ww ndo huelewi

  • @NOVATISIYAME
    @NOVATISIYAME 9 หลายเดือนก่อน

    Rip father africa

  • @abelyhokororo8622
    @abelyhokororo8622 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mzee anamwaga upupu aisee

  • @jamilaomar9860
    @jamilaomar9860 5 ปีที่แล้ว +3

    😁😁😁😂 duuh huyu magufuli

  • @mwlmazingira8705
    @mwlmazingira8705 5 ปีที่แล้ว +2

    kwenye maswala ya uwajibikaji hapo wakuu wa wilaya na mkuu wa mkoa husika nao pia sio wawajibikaji kikazi wanajifungia mjini wanaacha kuzunguka vijijini ili kuzitolea ufafanuzi kelo hizi hapo mkulugenzi ni kama ile hadisi ya aliekutwa na ngozi

    • @kiatu
      @kiatu 5 ปีที่แล้ว

      Mwl Mazingira Ni kweli

  • @seifminal1890
    @seifminal1890 5 ปีที่แล้ว

    JPM😄😄😄😄 Mashallah Mungu akuweke na kukupa nguvu ktk uongoz wako unanifurahisha sn.

  • @stevenmsigala2612
    @stevenmsigala2612 5 ปีที่แล้ว +2

    Njooo na mafinga mufindi huku najua kabisa utatuokoa sana

    • @kiatu
      @kiatu 5 ปีที่แล้ว

      steven msigala Vipi Hapi hajafika huko? 😂😂

    • @davidnailsmhumhanails5843
      @davidnailsmhumhanails5843 5 ปีที่แล้ว

      Nakuombea Mungu akulinde

  • @emmanuelmollel3008
    @emmanuelmollel3008 5 ปีที่แล้ว +1

    dah mzee anawakazia sana awa wapiga dili ad Uruma asee

  • @neemajoseph9231
    @neemajoseph9231 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli usiwaache hao watazoea

  • @kombuchahluckyMartin
    @kombuchahluckyMartin 5 ปีที่แล้ว

    Good work

  • @sekundambilinyi5450
    @sekundambilinyi5450 5 ปีที่แล้ว

    Mie jasho limenitoka

  • @austinegona1415
    @austinegona1415 5 ปีที่แล้ว

    Huyu ndie rais anaye jituma kwa wanyonge

  • @inginiakipirakipira1380
    @inginiakipirakipira1380 5 ปีที่แล้ว

    Ew mwenyez mungu mbarki huyu mtu tujalie na ss zanzbr tupate raic mwenye akili kam huyu mana zanzbr ndo kula walafi kuliko ata huku

  • @John_sadick1
    @John_sadick1 5 ปีที่แล้ว +5

    Hahaha haha 😂 😂 😂 😂 😂 tumbua majipu baba baaaaa wekaaa bariaaaa

    • @rehemakasebele6254
      @rehemakasebele6254 5 ปีที่แล้ว

      Keystar John alifukuzwa mbozi uyo ngoja wamtumbue tena

    • @rehemakasebele6254
      @rehemakasebele6254 5 ปีที่แล้ว +1

      Mtumbue tens huyo mkuu wa mkoa kam ulivomtoa Kule mbozi

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 ปีที่แล้ว

    Sasa fedha zinazotoka wizara ya fedha, zinafanya kazi gani?? Mkurugenzi hapa atakuwa amekoroga mwenyewe. Aibu yake sasa. Yaan watu wengine hawafai hata kwa bure..au wanakula hela??? Mkurugenzi huyu ameniacha hoi kweli..

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 5 ปีที่แล้ว

    Tundu ya yeo.

  • @ibrahimtatock5725
    @ibrahimtatock5725 5 ปีที่แล้ว

    Mh raisi njoo na huku Babati vijijini hakuna tofauti

    • @drtobias_
      @drtobias_ 5 ปีที่แล้ว

      Tupatie namba yako ya sim ili tufanye kazi

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 5 ปีที่แล้ว +3

    poor recording

  • @KhatibuMsagati
    @KhatibuMsagati 3 หลายเดือนก่อน

    Mzee bc t'y mung mwenyew

  • @suleimanbakar6097
    @suleimanbakar6097 5 ปีที่แล้ว +1

    Mtakoma c mlikazana kuiba kura ili awe raisi?nafurahi sana

    • @lingwamalagila3003
      @lingwamalagila3003 5 ปีที่แล้ว +1

      Uwe mwangalifu kwenye sms zako unaushahidi wa wizi wa kura

  • @peterelisha1828
    @peterelisha1828 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahhah et tumbua majipu dah?

  • @halimatanzani8587
    @halimatanzani8587 5 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @denisimaliyaweni9183
    @denisimaliyaweni9183 5 ปีที่แล้ว

    Ila chamahajabu bukoba mjini haji cjui kwann

    • @abusaeed9037
      @abusaeed9037 5 ปีที่แล้ว

      Denise Promise usijali tuta kuja

    • @selector728
      @selector728 4 ปีที่แล้ว

      Siyo mahajabu sema maajabu

  • @rajabukheri8962
    @rajabukheri8962 5 ปีที่แล้ว

    Kl os vp mag

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 5 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa Rais endelea na kazi bila kujali chochote na wala comments za kijinga kutoka kwa baadhi ya watu wachache wanaojifanya kujua lakini kumbe ni mbumbumbu wakutupwa maana mtu anafika level ya kusema eti marekani so what is marekani to development of our people!!!

    • @townhc2953
      @townhc2953 5 ปีที่แล้ว

      0ngera rais wetu naamini mungu yupamoja nawe chapa kazi

    • @jennifermallya9648
      @jennifermallya9648 5 ปีที่แล้ว

      Na wewe unajidai unajua kuongea sana, so you don't know what is marekani Google then you will get the answer......hapo unamuona mkurugenzi tu but hii kazi ina presha sana na pia sio kwamba hao waliotajwa ndio watendaji kazi hapo wapo watu wengi chini yao pia uwenda ndio wakwamishaji.

    • @alexanderkapinga700
      @alexanderkapinga700 5 ปีที่แล้ว

      @@jennifermallya9648 dada yangu mie sina Muda wa kuhangaika na Marekani nahaika na Tanzania ndio inayonihusu we kama uko concerned na Marekani kagoogle mwenyewe na ukiona vipi nenda huko kaishi huko. My deal is Tanzania with my president so still my point is valid what is marekani when it comes to my country development. Mi binafsi unafiki nafiki sitaki, sisi tunanchi kubwa yenye kila aina ya natural resources ni kwasababu ya kukosa viongozi au kuwa na viongozi wajinga ndio tumepiga mark time all that time. Saivi tumepata the right man he is dealing with his country sio kwenda kupiga picha na wanamiziki na kuzunguka kuomba misaada kwa mataifa mengine. We deal with our country.

    • @jennifermallya9648
      @jennifermallya9648 5 ปีที่แล้ว

      @@alexanderkapinga700 but raisi amemuuliza ulifanya kazi wapi angejibu nini? Ilibidi aseme hapa Tanzania au ilibidi aseme ukweli ni wapi alifanya kazi....mbona watanzania tuna nongwa hivyo?

    • @alexanderkapinga700
      @alexanderkapinga700 5 ปีที่แล้ว

      @@jennifermallya9648 hujaelewa mpka mimi nikaongelea marekani tumetoka wapi hapo kwenye mjadala fuatilia vizuri

  • @hadijamahande2374
    @hadijamahande2374 5 ปีที่แล้ว

    Hongera.baba.ubarikiwe.sana