My dear it's so painful to believe that doctor John pombe magufuli the bulldozer, jembe keshatutoka it's so painful for real From Kenya mpare originally
Am a kenyàn when I see thz best president in Africa I feel to cry out of happiness a president who listen to the prights of common mwananchi of Tanzania may God bless him I wish he could be be a Kenyan president
Thank you Muya. We pray that our EAC gets good leaders so that our economy and social life can fly. We are one people. Mkenya akipata ni mtanzania kapata, Muuganda akipata ni Mrwanda kapata na mranda akipata ni Mburundi kapata. Tuendelee kuombea Umoja wetu wa East Africa na Afrika kwa ujumla. Big up Muya.
👏👏 huyu ndo rais tunayemtaka, mwenye vitendo vingi kuliko maneno, naamini mungu alimuandaa kwa ajiri ya taifa hilii🙏🙏 watanzania tunapaswa kujivunia sana❤️❤️❤️
Yani wapendwa kwa wananchi mh rais Wetu tulitakiwa tumpe miaka 20 huyu ndie tunayeona anaweza kuisukuma tz kwenye maendeleo ya kasi tuliokuwa tunahitaji jpm safiiiii Mungu akupe maisha marefuuuu jpm wetu
Yaani mimi nikimuona huyu Rais naona tu maisha ya watanzania yakibadilika tu. Nilikata tamaa na nchi hii kipindi cha mafisadi nikawa naongea hivyo mpaka nikadhaniwa pengine Mimi ni mpinzani. Kumbe tu ni maumivu ya wizi na ufisadi uliokuwa unafanyika. Yaani ninatamani utuongoze term hata 4 mpaka uzeeke kabisa.
Mimi kama mm huwa namuomba Mungu amsimamie Rais wetu mpendwa kwa kila akifanyacho kiwe chema kama vile anavyoendelea kutenda wema na hata kama atakataa kuongeza mda wakuongoza maombi yangu yaende kwa Kasimu majaliwa majaliwa awe Rais wa nchi maana mengi anayajua sana nchi hii tukiwapa wajinga wajinga wasiyojielewa kama wakina lissu wanaosifia ya nje kuliko yakwako ni utoporo
@@agnesgervas8070 You should have given us Magufuli on loan for one term. This is the only president every person in Africa was following closely, the rest are useless. May he rest in peace, we loved him.
Naomba muheshiwa Rais upitie kwenye wilaya nyingi za nchi hii kunauozo wa hali ya juu. Kuna halmashauri za wilaya nyingine utafikiri siyo Tz.ufisadi usiseme unavyo shamiri. Mungu akubariki sana Rais wetu. Magufuli hoyeee!
I hope Kenya we find one of a kind,a leader who always did the talk...most importantly how he United Muslims en Christians thats unbelievable. Continue Resting in Peace The Great Magufuli.🎩❤️😭🙌🏿
Matatizo makubwa. Kumpata tena kiongozi kama huyu ni ndoto za mchana. Amesawazisha mambo mingi. Lala salama baba tutakukmbuka daima. Umetuliza sana baba.
Nchi yangu Tanzania nakupenda sana. Ukienda Ikwiriri Dc ni mpemba kutoka Zanzibar, ukienda pemba kuna msukuma kutoka geita, ukienda geita kuna mzaramo, ukienda Iringa kuna mmasai wa longido, yaaani hii Tanzania ni yetu sote . God bless Afrika
🤣🤣🤣 DC na kahimu bahati yenu Eid ingekuwa mbaya kwenu mjomba magu anatoka msibani ma temple yake leo yalikuwa mbali umeona leo kachukua gari la mkurugenzi.. atembee kwa mguu mkurugenzi...eti khiiiiii...naipendaga hiyo akipigaga hivyo utakuta anaweka shingo yake upande... 💚 mjomba magu
aaaah duuuh ujue mjomba magu alimind pale lkn hakutaka kuonyesha hali halisi na proved alikuwa hana ndio maana alikausha sasa inaonekana kazipata habari kamili...🤦♂️
I can't stop watching your videos Magu, continue dancing with the angels🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
My dear we need leaders kama jembe the bulldozer magufuli
Yani mpaka Leo kifo CHAKE chanitia huzuni hadi leo
Kama wewe unapitia video zote za baba tangu atutoke gonga like😭😭
Mungu ailaze roho yake mahali pema mbinguni
Ninaamini kazi umefanya si. Kwa wa Tanzania tuu ni kwa Afrika nzima na raisi wote Afrika wangefuata mwenendo wako hatungehitaji . misaada toka inje
Mungu tunaomba utupatie tena Rais kama huyu jpm dah
Halima vp
My dear it's so painful to believe that doctor John pombe magufuli the bulldozer, jembe keshatutoka it's so painful for real
From Kenya mpare originally
who is watching this now when he's no more... he says and does what he says... Like if you are watching this as we mourn for him
Mimi ni mkenya lakini twajivunia uongozi wa raisi wa Tx is a genius makufuli
Utaishi mioyoni mwetu 😭😭NENDA SHUJAAA WETUU UPUMZISHWE KWA AMANI
Am a kenyàn when I see thz best president in Africa I feel to cry out of happiness a president who listen to the prights of common mwananchi of Tanzania may God bless him I wish he could be be a Kenyan president
Exactly Alex Muya
Thank you Muya. We pray that our EAC gets good leaders so that our economy and social life can fly. We are one people. Mkenya akipata ni mtanzania kapata, Muuganda akipata ni Mrwanda kapata na mranda akipata ni Mburundi kapata. Tuendelee kuombea Umoja wetu wa East Africa na Afrika kwa ujumla. Big up Muya.
Exactly, Am a kenyan too, I salute Magufuli too
Rais wangu asalamaleku.....😴
Karibu tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Great and true son of Africa! Caring and sorting out wananchi’s issues. Tanzanians are truly blessed
Umeonaa eeee!!! But today we haven't
Mungu akuweke Magu, ww ni jembe Tanzania mjivunie mumshike kabisa💛💛💚💚 Kenya tunampenda sanaaaaa!!!
Asante dada hili jembe kwelikweli halipingiki rais miaka mia
👏🏻👏🏻👏🏻
🥺
@@ruthnjau Ndo ivyo hatuna budi Mola kampenda zaidi...Mola awape nguvu wa Tanzania..😢😢😢
Yani watu Leo ndo wanakumbuka daa we are so sad Tanzanian
Huyo jamaa anajua kujieleza sana Excellent
Yaani me nataman angekuwa Rais mpk Zanzibar 🙏🙏🙏💪💪💪💪
Kweli kabisa.
Is your present too
Mijichoyo
I am Burundian but kila nikimuona mheshimiwa Rais John Pombe Magufuri aki naisi furaha kubwa sanaaa Mwenyezi Mungu akuwezeshe ubaki na Moyo wa upendo
Umeonaa eeee but today we haven't our president it's xo sad hakika chema dada neema hakidum!!!!
👏👏 huyu ndo rais tunayemtaka, mwenye vitendo vingi kuliko maneno, naamini mungu alimuandaa kwa ajiri ya taifa hilii🙏🙏 watanzania tunapaswa kujivunia sana❤️❤️❤️
Mno!
hahaha
Wallahy nimeamini chema hakidumu...😭😭😭 Mola awafariji ndugu zangu
Yani wapendwa kwa wananchi mh rais Wetu tulitakiwa tumpe miaka 20 huyu ndie tunayeona anaweza kuisukuma tz kwenye maendeleo ya kasi tuliokuwa tunahitaji jpm safiiiii Mungu akupe maisha marefuuuu jpm wetu
JPM OYEEEEE
Yani unawazo kama langu huwa naongea kila siku wallah tungefika mbali sana
haya muongezeeni miaka 100 kabisa
Tulikupenda Sana baba yetu ulitupenda Sana haukubagua baba lala salama mungu akuangazie mwanga wamilele 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kuna watu wanaroho mbaya sana...utasikia Magu anatumia pesa za wanachi vibaya....Ahsanteee Uncle JPM. Mungu akubariki akupe afya njema.
Amina
Watajiju wananchi ndio wanazitaka siyo yeye atajirike peke yake kama waliopita
🇧🇮Can we make Mr John Pombe Magufuri the African President? He just does things different from other leaders. Tanzanians should be proud of him! 🇧🇮
Mtamuua ubongo jaman🙄
we are proud indeed
And now he is not live😭😭😭😭 great loss to our country
Wanafki wameungana Na mabwenyenye wajamfikia kum'maliza
Mmh! Baba ang Magu,pumzika kwa amani
The late just went back to where he belongs, really. Where truth & justice prevails, in heaven
kama unampenda magu weka lake hapo
Safi sana rais wetu
Nampenda kwa roho yake nzuri
👍
napita kwa majonzi 😭😭 baba umetuacha bado tunakuhitaj ,mbele yako nyuma yetu😭😭😭
Anaemuona mkurugenzi anatamani ardhi ipasuke alike hapa
Ubarikiwe mtu wa Mungu
Km umesikia asalamu allekum like hapa
Am proud of my president kwakweliii💃💃💃💃💃💃💃
Gari ya mkurugenzi iwe ambulence 🙌🙌🙌
😀😀😀😀yan nimecheka kwa sauti aisee
Yaani mimi sina mbavu maana zinauma kwakucheka na mshituko
Asante Baba magufuri Mw/MUNGU akujalie maisha marefu Zaid 🙏🙏🙏
Halafu munataka kutuletea sijui tundu lissu sijui membe sijui zitto kabwe sjiui upuuzi gani hawataweza kufanya haya ya magufuli
Kwa kweli
Hahahahaa
Kimsingi hauwezi kusema ivo kwa sababu toka nchi umepata uhuru ni chama kimoja tu ndo kimetawala
@@tiktoktdmdynamo3100 chama sio tatizo ila tatizo ni kiongozi
Akuna anaweza mambo kama anayofanya MH JONNY POMBE MAGUFUL vyama sio sababu kikubwa uchapaji wa kazi uyu ni mfano kwaafrica mzima
Et " alo masela " ila magufuli more love kwako
Yaani mimi nikimuona huyu Rais naona tu maisha ya watanzania yakibadilika tu. Nilikata tamaa na nchi hii kipindi cha mafisadi nikawa naongea hivyo mpaka nikadhaniwa pengine Mimi ni mpinzani. Kumbe tu ni maumivu ya wizi na ufisadi uliokuwa unafanyika. Yaani ninatamani utuongoze term hata 4 mpaka uzeeke kabisa.
Mimi kama mm huwa namuomba Mungu amsimamie Rais wetu mpendwa kwa kila akifanyacho kiwe chema kama vile anavyoendelea kutenda wema na hata kama atakataa kuongeza mda wakuongoza maombi yangu yaende kwa Kasimu majaliwa majaliwa awe Rais wa nchi maana mengi anayajua sana nchi hii tukiwapa wajinga wajinga wasiyojielewa kama wakina lissu wanaosifia ya nje kuliko yakwako ni utoporo
Ni kweli Anna Lyimo. Inabidi tulinde na kumwombea
Sawa
Mm sijawahi piga kura ila mwaka huu nitaamka saa kumi ya usiku niko kituo cha kupugia kura
Ni real but u see today
YANI MM UWA NALIAA KWA FURAHA NIKIMUONAGA UYU RAIS
UNA PENDA NA UNA MAPENZI YA DHATI KWAKE
Safi
Aloho kweli namkubali sana
@@anahna6788 the
Pumzika kwa Aman baba ,tutakukumbuka sana kwa uchapaji wako wa kazi na kumjali myonge
Natamani kuhamia Tanzania 💕
Karibu sana Tz, hata ukija kuolewa tu huku Tz tayar umekuwa Mtanzania....Karibu sana
Karibu mama Mimi mwenyewe sijaoa nikikuoa utakua mtanzania kabisa hatunaga tatizo na wageni sisi karibu sana
Jaman pole Sana but today we haven't our president it's soooo sad
Pande za burundi tunawafuatilia na poleni sana kwa msiba uliwo wakuta.millard
Rip president magu u are a hero Kenya I wish we could see this happening n our country u were blessed Tz
A true pan africanist jpm was an example for us all......Africa loves and misses you......rest in peace.
Asante Rais. Pole na safari yakwenda kumuhifadhi ndugu yetu, baba yetu mzee mkapa .
Nakuombea amani na maisha meme kwawa Tanzania wote. Mungu akujalie Mh Rais Magufuri
Mzee wewe huna mpinzani Tanzania hata Duniani, mungu akulinde
Apate wapi mpinzani
Tume mpoteza kiongozi tumempoteza simba wa African emwenyezi mungu utusaidie
Mungu azidi kukulinda Baba yangu, na Rais wangu
Mungu azidi kukulinda baba yangu
Mh wangu nakuelewa sana haijawahi kutokea na haitatokea kupata Rais kama huyu Mungu akulinde utimize ndoto zako mh
Amwekee wigo wa moto wala adui hasimkaribie siku zote za maisha yake !! Amina
asante mung kwa kutupatia uyu rais asante baba magu kura yang iyooooooooh!
Hahahaaa bb huyu ni mjanja hatar hiyo nimewaelewa maana yake kuna watu wajipange kutumbuliwa wallah
Ahsante Baba, Mungu azidi kukuongoza na kukusimamia katika kuliongoza Taifa letu. Ahsante Mungu kwa kutuletea mtetezi wetu
Hongera sana bro mwenye umevaa kofia 🎉😂 walahi
Twaku kukumbuka kwamazuri mungu akupe maisha yalio mazuri uko uliko
mkuu mungu akulinde awe nawe kila hatua unayo piga akuongoze
Magufuri wetu mungu akusamee mpendwa wetu tunariaa sana
Msimfananishe huyu MWAMBA na vitu vyenu vya kipumbavu! Heti sijui Tundu, sijui Tobo....! Tumuache huyu king atufanyie kazi.....!
😂😂😂😂
Eti tundu jamani nimejuwa kucheka 🤣🤣🤣😂😂
😀😀
h
🤣🤣🤣🤣tobo 🤣🤣🤣🤣
Tuleteeni huyu kiongozi hapa Kenya, hata sisi tunakupenda hapa kenya
@Zawadi Issa anakunywa sana huyo pombe wenu
Wamlete kwanza Uganda duh
@@kezahabiba5554 Uganda mko sawa nyie. Lifetime president
Kila nikiona comment zenu nalia tu naona jinc gani mlivyokuwana upend nchi jirani natamn ingekuwa ndoto tu hii kwtu
@@agnesgervas8070 You should have given us Magufuli on loan for one term. This is the only president every person in Africa was following closely, the rest are useless. May he rest in peace, we loved him.
Wangapi wanaamini hapo watu hawamuombi Mungu ,ndomaana shetani kawaziba watu wote hadi viongozi ,kama menielewa nipe like
Theirs is no any president in all Africa’s continents like MAGUFULI 👋🏽👋🏽👋🏽👋🏽👋🏽who work hard and caring his peoples🪐🌎🙏🏽👏🏽☝🏽👌🏽👋🏽
Huyu diye president namtambua injini
Yes yes
we are like so much our president 💚🇹🇿
Naomba muheshiwa Rais upitie kwenye wilaya nyingi za nchi hii kunauozo wa hali ya juu. Kuna halmashauri za wilaya nyingine utafikiri siyo Tz.ufisadi usiseme unavyo shamiri. Mungu akubariki sana Rais wetu. Magufuli hoyeee!
Hata sisi tunakupenda sana sana Rais wetu. Watanzania wote wazalendo tunakupenda sana.
Thou inpm
L
Magu nenda kaamulize kagame anatumia katiba gani inayo mfanya atawale rwanda mda mrefu hivi
Harafu njoo itumie huku😁😁😁
Kwani mafuriko ya maji yanatoboa mabomba ya chini? mbona hata mimi sielewi.Asante baba..sote hatuelewi,,mungu Akuweke pema.AMIN
Continue rest in peace Dr John Pombe Magufuli😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Daaaa!!!! my present uko vizuri sana baba
Magufuli baba Wa wanyonge tunakuelewa baba God bless you baba!!!
Safi Mr Miayo, Magu co p kaka, RAIC NO1 TZ MWENYE MCMAMO
Bwana akubariki Sana
Na sisi tunakupenda sana raisi wetu
Daaa!kweli huyu hakika ni baba aisee anaongea kwa uchungu pia hapendi kabisa vurungu!amani ndo kila kitu
Acha na watambe na watu wasio wapiga Kura sisi raisi wetu ndo huyu
Nampenda sana jamaniii huyu baba mmmh we acha tu
I hope Kenya we find one of a kind,a leader who always did the talk...most importantly how he United Muslims en Christians thats unbelievable.
Continue Resting in Peace The Great Magufuli.🎩❤️😭🙌🏿
Mungu haachi kizuri chake kiharibike,pumzika babaa... One love🇰🇪
Safiri salama JPM🥺
Makufuli baba ulale salama na mungu akumpunguzie adhabu yakaburi😭😭😭😭😭
2024 RIP our Icon of a leader 😢😢
Hahahaha dah Magu nooma,Mungu akutunze baba
Wasukuma ndio kabila linaloongoza kwa upole/iko hivi kabila hili ni kubwa ......
th-cam.com/video/2cjMf4r8a-0/w-d-xo.html
@@CyimSky ACHA UKABIRA ww
@@CyimSky acha UNGESE uo
Matatizo makubwa. Kumpata tena kiongozi kama huyu ni ndoto za mchana. Amesawazisha mambo mingi. Lala salama baba tutakukmbuka daima. Umetuliza sana baba.
Nchi yangu Tanzania nakupenda sana. Ukienda Ikwiriri Dc ni mpemba kutoka Zanzibar, ukienda pemba kuna msukuma kutoka geita, ukienda geita kuna mzaramo, ukienda Iringa kuna mmasai wa longido, yaaani hii Tanzania ni yetu sote .
God bless Afrika
Kama na wewe unapitia video zote za Jpm chuma tangu atutoke gonga like
Nakupenda sana raisi
You're the best
Imekupendeza wewe Mungu muumba mbingu na nchi. Hivyo yatupasa tushukuru. R.I.P BABA.😭😭🙏
😭😭😭
Hatukonae tena JPM😭😭😭😭😭😭😭
Yaan magufuli haya bhana mungu akupe pepo
DC katulia,anaongea vzr Sana
Asante Mungu kutupatia Raising huyu mwenye kumtanguliza Mungu
Hapa Kazi2 🔥 🔥👏🏻🇹🇿
Magufuli bado anaishi surely tupo naye 2024
Kumbukizi zaniliza sana siwez ingia one line bila kumkumbuka msema kweli
R.I.P BABA YANGU😭😭😭😭
TUTAKUKUMBUKA DAIMA😭😭😭😭😭
Kwel kuwa Rais sio mchezo mpka unaweza kulia
Everyday I like watching Rais Pombe
Hapa kazi tu.
Nchi hii magufuli atachoka!yaani yeye pekee ndo anahangaika na kero za wenye nchi!wasaidizi wake wote ni wazembe
98% ni majipu sana
Magufuli simama
Magufuli amka😢
Naumia nikitafakari sipati majibu daaa😥😥😥
@@frolamahinyila7042 inaumiza sana siamini kabisa ila acha apumzike baba
Aliemsikia mzee magu akisema "Hawa Pumbavu sana" agonge like jamani huyu baba alikuwa anaongea kwa hisia
🤣🤣🤣 DC na kahimu bahati yenu Eid ingekuwa mbaya kwenu mjomba magu anatoka msibani ma temple yake leo yalikuwa mbali umeona leo kachukua gari la mkurugenzi.. atembee kwa mguu mkurugenzi...eti khiiiiii...naipendaga hiyo akipigaga hivyo utakuta anaweka shingo yake upande... 💚 mjomba magu
Tayari mkuu wa wilaya kashatumbuliwa usiku huu.
Kimeshanuka DC katumbuliwa tayari..
aaaah duuuh ujue mjomba magu alimind pale lkn hakutaka kuonyesha hali halisi na proved alikuwa hana ndio maana alikausha sasa inaonekana kazipata habari kamili...🤦♂️
Ee Mwenyez Mungu umbariki Mhe. Magufuli kwa mapenzi yako na umsamehe mabaya yake. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
Kwa mtanzania mpenda amani anakuelewa mh lakin wapenda vurugu hawatokuelewa piga kazi baba mungu azidi kukuongezea cku tunakuombea
Sina cha kuongeza zaidi ya kuzidisha maombi ya uzima wenye afya na baraka tele kwako rais wa wanyonge mungu azidi kukuweka
Pumzika kwa amani Baba yetu mpendwa JOHN MAGUFULI.
Mkurugezi atembee kwa miguu, wagonjwa wapande gari, hadi raha
Yaani inashangaza na kusisimua
@@barakaben7902 amina
Ni Rais gani mwingine anayetoka kuzika na kuanza kuchapa kazi kama kawaida Africa nzima??????
Mwingine angelala mwezi kuomboleza😁😁😁😁
@@ilovejesus9303 ukiona hvo ujue thawabu haitokei Mara mbili
Ni mzee wa hapa kazi. Tu
Huyo ni msaada toka Mungu, kwa wa TZ . Na nina amini kwa Africa mzima.
Utasikia siku saba za maombolezo hahahah...ahsante uncle Jpm.
Pumzika kwa amani Baba yetu mpendwa DKT.JOHN MAGUFULI.
The best president in the world 🌎
Magufuli PAPA lao, tano 🤛tena papa nipeni like sa baba lao👇
Mimi nitaolewa wakati magu akistaafu maana sasa hivi najiona nipo na baba home kwa jinsi alivyotuchemsha ubongo asante sana mjomba jj
Njoo mimi takuoa ila tuanze uhusiano xxhv😂😂😂
Njoo nkuoe
Aaaya ameshaondoka ssa inakuaje??? Pole ndgu angu
Kilio afrika nzima kwa kumpoteza kiongozi kama huyu aliyekuwa amebaki kukomboa afrika kutoka kwa wanyanyasaji. RIP JPM.