MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • MAGUFULI - "NILINYWESHWA SUMU, KIKWETE ALINIFUKUZA, SIKUKATA TAMAA"
    Rais Dkt John Magufuli, leo Novemba 12, anazindua kitabu cha maisha binafsi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa..
    Hafla ya uzinduzi huo inafanyika katika ukumbi wa mkutano wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar na kuhuduuriwa na marais wastaafu, Dkt Jakaya Kikwete na Al Hassan Mwinyi....
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEW:www.youtube.co...

ความคิดเห็น • 418

  • @kamalofanuel8120
    @kamalofanuel8120 5 ปีที่แล้ว +108

    Haki siasa mchezo mchafu....ninani angeamini kwa mkutano huu kuna Maalim sefu...zitto.....Cheyo na wapinzani wengine........sisi wananchi tunatukanana uchaguzi wa serikali za mitaa hasira zimepandaaa wenzetu wanakula Bata ikulu........wananchi tushindaneni kwa hoja lakini upendo wa kizalendo uwepo. Oneni mfano wakizalendo leo.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว +9

      Nandomana mm sitakagi ubishani wa siasa wala vyama,na hii mitandao ndoinachonganisha sana,mm sitakagi kuamini kwa haraka hivi vitu

    • @lexchumajr6732
      @lexchumajr6732 5 ปีที่แล้ว +2

      Kwani hapo ni ikulu?

    • @kamalofanuel8120
      @kamalofanuel8120 5 ปีที่แล้ว +6

      @@m.mmarckus6298 umesema kweli ndugu wananchi tunapendana sana lakini mitandao hii mmmmmm

    • @kamalofanuel8120
      @kamalofanuel8120 5 ปีที่แล้ว +12

      @@lexchumajr6732 haijalishi iwe ikulu au si ikulu....kimsingi wote wako pamoja ..na wamekula pamoja ninani anaekula huku kakasirikaa???

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว +3

      @@kamalofanuel8120 na wengine ukisema kwenye hii mitando wanabisha,wanaona km viongozi wetu wa vyama tofauti wana utofauti mkubwa lkn sikweli wanatudanganya tu hata wanyoita waandishi wa habari nass tuna sikiliza tunaangalia,tunabaki kutukana na kugombana wao wamestarehe kimyaaaaa

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +14

    Mungu yupo Kama ni njama,Basi Allah atoonyesha ukuu wake,unazani machozi na Dua za watanzania wengi siyo mchezo,Kama ahadi yk Mungu,bc Mungu ampokee baba huyu yaàni sijuwi tu nisemeje???mungu umetuwezaa

  • @machoguhameri7757
    @machoguhameri7757 2 ปีที่แล้ว +4

    Walaaniwe wote waliomwaga damu ya Kipenzi chetu Rais John Magufuri.Adhabu ya Mwenyezi Mungu iliyompata Kaini kumuua Abeli nduguye na hasira ya Mwenyezi Mungu iwe juu yao wote Amini.

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 2 ปีที่แล้ว +7

    Nakukumbuka daima.utaishi ndani yangu .mungu akupokee katika ufalme wake.akuvishe Taji la ushindi.pumzika katika amani

  • @mathayochabon8897
    @mathayochabon8897 2 ปีที่แล้ว +1

    Watanzani a mungu ni mungu.atatenda lolote juu ya maguful manabii mtume wachungaj waalim na wainjilist najua mnajua zaid ukuu wa mungu tumben tu.lolote atatenda hats sasa.we nu mathayo ktk yesu aliye hai

  • @DottRoBroc
    @DottRoBroc 3 ปีที่แล้ว +20

    I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!

    • @yjoo9807
      @yjoo9807 2 ปีที่แล้ว +1

      Brocchini thanks. I am a Tanzanian trying to learn Italian...If u dnt mind I would like to meet u I feel like u positively touched my heart with ur comment....would like to be ur friend

    • @masetomuhafiwa4546
      @masetomuhafiwa4546 ปีที่แล้ว

      Kenge wewe Italian wapi kila siku post hiyohyo tuu fala wewe .. wewe utakua mbongo tena mnyakyusa.

  • @peterjacob2638
    @peterjacob2638 5 ปีที่แล้ว +17

    Magufuri umeletwa na mungu ili uweze kuokoa watanzania, ila na ww umepitia mateso. lakini yote hayo yalifanyika ili kusudi la Mungu litimie. Hongera sana baba tunakuombea kwa Mungu ili utuvushe na kutupeleka nchi yenye asali na maziwa

  • @humairamajengo6616
    @humairamajengo6616 3 ปีที่แล้ว +41

    Mungu akupe kauli thabit baba yetu jembe letu kipenz cha watanzania mungu akulipe kwa kila ulichojitolea ktk maisha ya watanzania mungu akupokee 😭😭😭

  • @Allystor
    @Allystor 3 ปีที่แล้ว +36

    Naumia nalia siwezi. Eeh Mungu tupe nguvu na wape mwisho mbaya wenye kuwatendea mabaya watu wenye utu na huruma kwa taifa lao. Kama ni mkono wa mtu Mungu amlaani afe kwa kudhalilika vibaya na kama ni ahadi yako eeh Mungu basi mapenzi yako yatukuzwe. Amina

    • @bhukebhukeshabani5264
      @bhukebhukeshabani5264 3 ปีที่แล้ว +3

      Eeeee. MUNGU WANGU KAMA RAISI WETU MAGU AMEPITIWA NA MTU. BASI MTU HUYOAFE KWA LAANA ILA KAMA NIMAPENZI YAKO. BASI JINA LAKO LITUKUZWE. MILELE NA MILELE

    • @dativambaga6206
      @dativambaga6206 3 ปีที่แล้ว +1

      Yani kama mkono wa mtu huu mwaka haumalizi, atakufa kifo cha aibu na alaaniwe milele, kama ni mapenzi yake Mungu apumzike kwa Amani🙏

  • @jacqulinekasondera5326
    @jacqulinekasondera5326 5 ปีที่แล้ว +24

    Alikotoka ni mbali akitazama nyuma na asingekuwa MUNGU asingefika leo. MUNGU akutunze zaidi na zaidi, Ameeen!!!!!!!!!!

  • @juliusmlunge6896
    @juliusmlunge6896 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli Baba ulianzia mbali sana mimi binafsi nimesigitika sana lakini Mungu alikua anakuhitaji uokoe taifa letu la Tanzania Baba MUNGU azidi kukubariki umetufundisha mengi sana.

  • @ArafatHussein-e2b
    @ArafatHussein-e2b 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akijaalia nitakwenda kuzuru kaburi la mzee wangu huyu, aliipenda sana TANZANIA pia alikua na maono makubwa sana kwenye TAIFA LETU TAKATIFU. 🇹🇿

  • @majurajeremia6292
    @majurajeremia6292 5 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana Rais mstaafu kwa Kitabu kinachoonyesha maisha yako tangu awali,jambo moja tu nakuomba kitafsiriwe kwa lugha ya kiswahili pia ili wananchi wengi wakisome halafu pia kuhamasisha lugha yetu kimataifa.MUNGU wetu akupe maisha marefu.

    • @emmaulotu9124
      @emmaulotu9124 5 ปีที่แล้ว

      Mungu aendelee kukubariki Rais wetu

    • @mariammwenda1822
      @mariammwenda1822 5 ปีที่แล้ว

      Tuige mfano katika mshikamano na upendo wa viongozi wetu waliotutangulia

  • @ivancharles5350
    @ivancharles5350 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde huko ulipo rais wangu kipenzi

  • @justinemathiasngwandu7715
    @justinemathiasngwandu7715 5 ปีที่แล้ว +40

    Kumbe fikra za nchi hii kuwa na barabara zarami nchi nzima mzee Magu alianza siku nyingi kuiona Tanzania mpya Viva mzee MAGU .

    • @hamidafundi5890
      @hamidafundi5890 5 ปีที่แล้ว +1

      Ulinzi ni wetu wanadamu, usalama ni kwa MWENYEZIMUNGU tu

    • @JustPeter-do9iy
      @JustPeter-do9iy ปีที่แล้ว

      Mungu anajua yamefka tuleomba skul zote

  • @princesslaurian1758
    @princesslaurian1758 3 ปีที่แล้ว +4

    Tutakukumbuka sana Rais wetu mpendwa Magufuli, Kweli tutazidi kumtanguliza Mungu. Tunakushukuru sana kwa ushauri mzuri sana na kazi njema. Kila mara ulitusisitiza "TUMTANGULIZE MUNGU" Vile vile ulitusisitiza tufanye kazi kwa umoja. "HAPA KAZI TU". Mungu akukumbuke kw mema yooooote uliyoyafanya duniani.

  • @jamesmasome359
    @jamesmasome359 5 ปีที่แล้ว +30

    Huwa nakuelewa sanaaa Mwenye Enzi MUNGU you pamoja nawe. Amina.

  • @chumanondochuma8012
    @chumanondochuma8012 3 ปีที่แล้ว +4

    Umetuacha bila kitabu chako japo kuwa historia uliyoitoa hapa ikatutoshereze kwa jina lake mwenyezi mungu. R I P Jpm

  • @ElisiaJames
    @ElisiaJames 7 หลายเดือนก่อน +2

    Baba angu kipenzi napitia wakati mgum kukusahaau kwa sababu ulikua ukombozi kwetu hasa kama wa Tanzania wanyonge ambao ulikua unatusikiliza,, mungu akulinde huko uliko na akumpumzishe kwa aman.

  • @peacesamula9497
    @peacesamula9497 3 ปีที่แล้ว +2

    Watanzania tunatakiwa kujitegemea sio kutegemea misaada kutoka nje, ni vizuri tupike wenyewe na tupakue wenyewe na tule na kuwasaidia wengine. Hivyo tulipe Kodi kwa uaminifu na tuwe na viwanda ili tujiajiri wenyewe, tuwe waadilifu, wapenda utu, na kumcha Mungu. Ndipo tutafanikiwa. Amen.

  • @laurentmupira1280
    @laurentmupira1280 ปีที่แล้ว +6

    Tutamkumbuka daima!!! Hayati Magufuli!!!

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 ปีที่แล้ว +1

    Rest in peace dady Magufuli tunakukumbuka sana😭😭😭

  • @shamimukanju8402
    @shamimukanju8402 7 หลายเดือนก่อน

    Ewe Mwenyeezi Mungu mpe kauli thabiti Dr. John Magufuli

  • @dullahshaaban9050
    @dullahshaaban9050 3 ปีที่แล้ว +1

    Vita ya kupambana na mafisadi huwa ni hatari Sana ....maana waharibifu siku zote huwa hawana Imani na mungu huwa ni jeshi la ibilisi pumzika kwa amani raisi wetu amiiiina🙏🙏🙏🙏

  • @harrisonmulenga4578
    @harrisonmulenga4578 3 ปีที่แล้ว +1

    My President, you were and you are still my best.

  • @awamiabbas222
    @awamiabbas222 5 ปีที่แล้ว +36

    Kmbe hadi kuonekana barabara za lami kila kona ilokuwa na pendekezo la mh rais Magufuli enzi yupo katika wizara ya ujenzi tena naibu waziri Mungu akubariki sana

    • @justinemathiasngwandu7715
      @justinemathiasngwandu7715 5 ปีที่แล้ว +3

      Aiseeh! Hata Mimi nimeshangaaa.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 5 ปีที่แล้ว +1

      Awami kila zama na kitabu chake, ndio sisi wengine haturidhiswi wakidharauliwa viongozi waliopita na kumsifu tu Rais Magufuli ni lazima tujifunze kudhamini. ( Appreciate equiries)

    • @amouramour3421
      @amouramour3421 5 ปีที่แล้ว +1

      Hh

  • @innocentdeckoks5142
    @innocentdeckoks5142 3 ปีที่แล้ว +3

    Humility-Dr. John Pombe Magufuli, tutakukosa sana, duniani humu, lakini kuna mahali pema sana tutapatana.

  • @jumamustaph6253
    @jumamustaph6253 5 ปีที่แล้ว +13

    hongera sana na pole kwa yaliyo kufika, mungu alihitaji ujetufanyia kazi hii.

  • @GaoaFelex-mx6vh
    @GaoaFelex-mx6vh ปีที่แล้ว

    Mungu alaze pema looo yako pema peponi, usia uliotuachia unatufanya kuwa majasili na pia bahaza ya mambo uliyo yasema tunayaona kwa macho, mungu akulaze pema peponi ameeni

  • @charlesmataba8344
    @charlesmataba8344 5 ปีที่แล้ว +9

    DAAAAH SUITABLE SPEECH..........MUCH CONGRATULATIONS HONERABLE MKAPA!.......THE BEST STUDENT OF MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE'S PHILOSOPHY.

  • @priskachulla2178
    @priskachulla2178 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunakukumbka Sana baba mtetezi wa wanyonge

  • @ramadhanindaro6866
    @ramadhanindaro6866 5 ปีที่แล้ว +17

    Nimeumizwa kwa hotuba hii mh rahis na nimejikuta nakupenda zaid mh rais wang

    • @dawaseif3699
      @dawaseif3699 3 ปีที่แล้ว

      Yaan wee acha tuu na mm ni mwenzako

  • @deusmichael2290
    @deusmichael2290 5 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akubariki na akupe maisha marefu rais wetu...pole sana kwa changamoto ulizopitia😭😭

  • @juliusmlunge6896
    @juliusmlunge6896 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ninakuomba uzidi kumbariki Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli.Mungu ninakuomba uzidi kumbariki Raisi wetu Dr John Pombe Magufuli.Mungu ninakuomba uzidi kumkinga Raisi wetu na madui wote katika ulimwengu huuMungu ninakuomba uzidi kubariki afya yake ili azidi kuwatimizia au kutimiza yale malengo makubwa ambayo ni ya kuwaokoa wa Tanzania na umasikini AMEN.

  • @simoniwatisoni8334
    @simoniwatisoni8334 2 ปีที่แล้ว

    Mungu no mungu

  • @khanjanki8207
    @khanjanki8207 5 ปีที่แล้ว +7

    Hii ndio lugha yafaa bunge zakiafrica watumie si kizungu wote wanasikia hebu angalieni hapa ni kiswahili lugha hakuna mtu mweupe kwasababu hawaelewi lugha hii vizuri magufuli

  • @zachariadaniel3252
    @zachariadaniel3252 5 ปีที่แล้ว +7

    Hakika mungu akuzidishie baraka raisi wetu jonh pombe magufuli .tanzania mungu katuona ndo maana katupa raisi imara na shupavu

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 3 ปีที่แล้ว +23

    Rabi tufanyie wepesi katika kila mazito yetu na utuondolee dhiki na majonzi ndani ya nyoyo zetu hakika wewe ndiye mwenye kujua yaliyo katika siri

  • @priscaafray3785
    @priscaafray3785 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mpumzishe mpendwa wetu haya machozi yetu yasiwe bure ufanye kitu juu ya Tanzania tukujue wew tuwe nahofu yakutenda uovu kwakuwa umesema waupanga atakufa kwa upanga jitukuze katika kiti chako baba usiache kutujulisha ujio wako

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 5 ปีที่แล้ว +17

    Tanzania nchi nzuri sana,huu mfumo wa marais kupokezana kiti cha Urais unatupa heshma sana duniani

    • @buildtekconsultants9687
      @buildtekconsultants9687 5 ปีที่แล้ว

      Na ndio maana sio afya kwenye mikutano ya hadhara kuwaponda watangulizi kwa kuwaona hawakufanya kitu na walikuwa wezi tu. Mbio hizi ni relay unakimbia mbio zako unampa mwenzako aendeleze mbio

  • @blessingsgeneral93
    @blessingsgeneral93 3 ปีที่แล้ว +8

    Mzee Pumzika salama Sitokusahau na MUNGU Awabariki sana !

  • @AllyMwemeziAutoSpareParts
    @AllyMwemeziAutoSpareParts 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dah pumzika salama mzee wetu pombe magufuli nazidi kukuombeaaaa

  • @lizyjohn328
    @lizyjohn328 3 ปีที่แล้ว +4

    Wewe ndiyo rais wangu utaishi kwenye moyo wangu

  • @epafrangweshemi4014
    @epafrangweshemi4014 5 ปีที่แล้ว +5

    Mimi huwa nasisimka sana kuwaona viongozi hasa marais wastaafu wakiwa pamoja hivi. Zaidi sana wapinzani wenye ufahamu mzuri ambao mioyoni mwao wanapenda kuona ustawi na maendeleo ya watanzania wote wakishiriki hafla km hizi. Ni kuonyesha kuwa taifa ni moja hata kama mitazamo inatofautiana. Mungu anapendezwa na UMOJA, MSHIKAMANO na amani. Viongozi wote wa sasa na wajao baadae wazingatie sana juu ya kuona hali hii inadumishwa nchini kwetu.

  • @josephsilla2271
    @josephsilla2271 5 ปีที่แล้ว +5

    Pole Rafiki, rais wangu Jpm Mungu anakupenda Sana.

  • @pillykimenyi846
    @pillykimenyi846 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kimwili siko nawe kiroho niko nawewe raha ya milele umpe ebwana na mwanga wamilele umwangazie apumzike kwa amani jembe🎉 la watanzania

  • @vallerinejesse2299
    @vallerinejesse2299 5 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana rais wangu kwa yaliyokukuta.but sifa shukurani zetu ni kwa MUNGU yeye ndie aliyefanya yote hayo .mkapa alitumika kama chombo ili neno la MUNGU litimie kwako.

  • @uwishyakanduwe1562
    @uwishyakanduwe1562 3 ปีที่แล้ว +13

    *Isaiah 57:1* The righteous perish, and no one ponders it in his heart; devout men are taken away, and no one understands that the righteous are taken away to be spared from evil.
    *Isaiah 57:2* Those who walk uprightly enter into peace; they find rest as they lie in death.

  • @mchambawimakilasiku1349
    @mchambawimakilasiku1349 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee Magu alikuwa anabwabwaja sana nafikiri ndiyo kilichomponza, unaweza ukamwonea huruma kwa hayo yaliyomfika lakini wasiwasi wangu ni kwamba baada ya kupata huo urais alijiamini sana na mdomo kuwa mrefu mno, alijisahau kuwa juu ya yeye kuwa rais wa nchi kuna baadhi ya mambo mengine huwaga hayaingiliwi na ukiingia huko utakutana na hell.

  • @felixmnyagolo7819
    @felixmnyagolo7819 6 หลายเดือนก่อน

    The very best speech ever,

  • @magrethelisha5460
    @magrethelisha5460 3 ปีที่แล้ว +6

    Daah Mungu kweli kwa hili umetuweza😭😭,,pumzika kwa Amani Baba 🙏🙏

  • @hagaramgini3522
    @hagaramgini3522 5 ปีที่แล้ว +8

    We love u baba

  • @ismailrajabu4127
    @ismailrajabu4127 2 ปีที่แล้ว +1

    Dunia sio mbaya ila binadamu ndy wabaya yani. Apo watu wako walikua wanacheka kinafki sana kumbe walikua wanakutungia sheria tu jinsi ya kukumaliza pumzika kwa amani jemedali wetu kwani akuna atakae baki apa duniani watu usoni wazuli lakini wauaji wakubwa

  • @anthonyboniface1066
    @anthonyboniface1066 5 ปีที่แล้ว +11

    Magufuri siwezi kukuelezea wewe ndio masii wetu tulie mtarajia Ahsante mungu mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Afrika

  • @leonardmnyeti3925
    @leonardmnyeti3925 5 ปีที่แล้ว +8

    Am real blessed with the speech , congrats Mr. President Magufuli.

  • @miriammsuya4454
    @miriammsuya4454 3 ปีที่แล้ว +24

    umeondoka na madini yote baba hekima upendo huruma uchapakazi uzalendo yaani Mungu umetuwenza asante kwa muda wako

  • @edinajames8402
    @edinajames8402 3 ปีที่แล้ว +4

    Ee!! Mwenyezi Mungu umulaze mahala pema, Baba etu, Hakika ulikuwa Baba pekee,machonzi yametanda Baba Sauti yako hatuisikii tena, Ee!! Mola wetu

  • @theopistamganwa7752
    @theopistamganwa7752 5 ปีที่แล้ว +6

    MUNGU akutunze zaidi na zaidi, Amina

  • @edakalinga1104
    @edakalinga1104 5 ปีที่แล้ว +11

    Mungu wetu wa mbinguni akuepushe na mabaya yote na wale wote wanao kupangia mabaya yawarudie wenyewe

  • @emmanuelkalega1037
    @emmanuelkalega1037 5 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe Rais walikushindwa wakati ule hawatakuweza milele chapa kazi to.

  • @sifunijulius2624
    @sifunijulius2624 3 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli utabakia ukweli kwani Mungu hajifichi chini ya mapango Bali hukaa ndni ya mwandamu hivyo sauti ya wengi niya Mungu na matendo mazuri humfanya mtu atambulike /Amkopeshaye maskini /kuwasaidia unagusa moyo wa Mungu /Makufuli Mungu haangalii mwanzo wa jambo huangalia mwisho kama ulivyomkiri Mungu katka maisha yako Mungu naakukumbuke katka kiti cha Enzi kama alivyomhurumia yule Mwizi pale msalabani Yesu akamwambia kuanzia Leo nipo pamoja nawe peponi

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 ปีที่แล้ว +18

    Umepitia mengi babaaa pumzika Kwa amani Mungu kaona akupumzishe 😭😭

    • @adeliapeter2162
      @adeliapeter2162 3 ปีที่แล้ว

      Hakika daa! Ama kweli aneujua umhimu wa mkia wa ng'ombe ni yeye mwenyewe, tumepigwa na sasa tutaelewa umhimu wako.

  • @kambonapaul6293
    @kambonapaul6293 3 ปีที่แล้ว

    Mwisho wa mawindo mbwa Hana thamani lakini tutambue magufuli atakumbukwa vizazi na vizazi kwa mema aliyokuwa akiitendea Tanzania Mungu akutangulie na Mwisho wa kiama upo kwa kila mmoja atahukumiwa sawaswa na matendo yake

  • @andrewwoiso5559
    @andrewwoiso5559 5 ปีที่แล้ว +4

    Magu Mungu akuinue zaidi na akulinde Mr President

  • @christinawallasch1252
    @christinawallasch1252 5 ปีที่แล้ว +7

    Very sorry Mr President about all problem you face in you way to Building this country, that's why you have big confidence and very strongly Man, Congratulations Man. God bless you in all you life.

  • @pillykimenyi846
    @pillykimenyi846 7 หลายเดือนก่อน +2

    Umemaliza miaka mitatu tangu ututoke magufuli mtetezi wa wanyonge uliyezuia rushwa nguvu pum zika😢 kwa amani baba poleni wana familia

  • @eliudymhapu1750
    @eliudymhapu1750 5 ปีที่แล้ว +14

    Safi kabisa mwanafunzi mwadilifu wa mzee MKAPA

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 5 ปีที่แล้ว +8

    Ukovizuli mweshimiwa rais mungu akupe mwisho mwema

  • @kenedynsenga8520
    @kenedynsenga8520 5 ปีที่แล้ว +8

    NAKUELEWA SANA KIONGOZI, HUNA UNAFIKI HATA KIDOGO NA PIA HUWA UNAONGEA UKWELI WENYE HISIA ZA KUFUNDISHA NA KUWAFANYA WATU TUNAOPENDA UONGOZI KUJIFUNZA MAMBO MENGI SANA KWAKO. HONGERA SANA RAIS WETU MPENDWA. MAELEZO YAKO KUHUSU CHANGAMOTO ULIZOPITIA YAMENITOA MACHOZI.

    • @bertomdendemi6587
      @bertomdendemi6587 5 ปีที่แล้ว

      kuna mazuri mengi ya kujifinza kwa viongozi toka kwa Ben

    • @israelivan4299
      @israelivan4299 5 ปีที่แล้ว

      Hata mimi nimekuwa Touched sana na Hotuba ya Mh.Rais Magufuli.
      Kwakweli Mungu alikuwa na Mpango naye! Tunamuombea kwa Mungu!

  • @nah7530
    @nah7530 3 ปีที่แล้ว +18

    😭😭😭Ulazwe salama rais wawanyonge😭😭

  • @rehemamlowe1464
    @rehemamlowe1464 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yupo hukum ni hapahapa duniani nawo walio husika walio panga wote hukum yao IPO

  • @paschazianestorymatunda6490
    @paschazianestorymatunda6490 3 ปีที่แล้ว +17

    Sir Magufuli you humbled yourself before anyone may you rest in peace

  • @abdallahmilaba5407
    @abdallahmilaba5407 5 ปีที่แล้ว +3

    TANZANIA Mshikamano daima. Mfano ulioonyeshwa na viongozi wetu, naomba UIGWE na wananchi wote had chini kabisa ngazi ya mitaa na kaya. Kumbe AMANI ya Tanzania ni kitu kinachowezekana
    . Tukidumu hivyo maadui hawato tuchezea kamwe.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kauli hizi inaoneka hata kifo cha baba yetu hakikua cha kawaida mana akiwa waziri ali nyweshwa sumu

  • @fidelismushi8662
    @fidelismushi8662 3 ปีที่แล้ว +6

    Mungu alitupa mwanaume,jina la Mungu likazidi kuinuliwa siku zote!!!

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 5 ปีที่แล้ว +14

    Global TV unavyojichukulia tofauti na tunavyokukulia ,Sis tunajua hapa ni kituo cha habari, jiamin utatupoteza

  • @paulongalomba9069
    @paulongalomba9069 3 ปีที่แล้ว

    Hakika dunia nimapito sitakikuamini.kua ndio tumesha mpoteza.basi pumzika.kwaamani magu baba.kamwe sitokusahau maisha yangu yote

  • @aminamussahmsumuka6558
    @aminamussahmsumuka6558 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuweke mahali pema peponi baba ulinifanya niipende nchi yangu na wewe ndo raisi niliyekupenda hata aje Nani nitaendelea kukukumbuka

    • @bonvivant3704
      @bonvivant3704 3 ปีที่แล้ว

      Raisi bora tuliowahi kupata Tanzania 😩❤️❤️

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akulaze mahala pema peponi baba yetu mpendwa😭😭😭🙏

  • @KasindiPapi
    @KasindiPapi 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe nafasi yakuongoza uko, huongoze hata Malaika kama vile ulivyosema baba Magufuli.
    Mungu akuinuwe uko ili tukija uwekiongozi wetu tena.

  • @johnkassonta3092
    @johnkassonta3092 5 ปีที่แล้ว +6

    Mzee baba ongoza tu mpaka mungu atakapo kuhitaji na sikustf!!!!!!

  • @janethtimothy6480
    @janethtimothy6480 3 ปีที่แล้ว +2

    Pumzika kwa amani baba yetu....uliyofany n mengi hakuna atakayeziba pengo lko. Nkupenda sana

  • @martineomego225
    @martineomego225 3 ปีที่แล้ว +4

    JPM was the GOAT, I appreciate & I wish to be like him cause he lives among dead

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 ปีที่แล้ว +3

    M/mungu ilaze roho yamarehem mahalipema peponi

  • @ibrahimahmedyunusu189
    @ibrahimahmedyunusu189 2 ปีที่แล้ว +1

    tulipoteza kifaaa cha muhimu hapa nchin tanzania

  • @jescandungurumoses935
    @jescandungurumoses935 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema wakati wote na walahakosei lala salama magu tutakukubuka daima🙏😭💔

  • @angelfortunatus117
    @angelfortunatus117 3 ปีที่แล้ว

    Tunamwomba Mungu azidi kukupumzisha kwa Amani baba r.i.p😭😭😭😭

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 ปีที่แล้ว +2

    Jembe limetangulia tukiwa bado tunalihitaji...... mungu muingize ktk pepo yako tukufu

  • @henryanatoly2522
    @henryanatoly2522 3 ปีที่แล้ว +1

    Uipenda kuusema ukwel hadharani kiongoz w2, bl shaka huko ulko upo huru sasa. Pumzka kwa amani Magu!

  • @jacklindickson3423
    @jacklindickson3423 3 ปีที่แล้ว +7

    Rais wa wanyonge umeondoka kweli tunaumia sana atuamin bb pumzika kwa aman

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว +8

    tuwekee hicho kitabu mtandaoni ili tukipitie , asante na hongera viongozi wote !

  • @RitaCosimas
    @RitaCosimas 7 หลายเดือนก่อน +1

    Tutakukumbuka daima baba

  • @SofiaMvungi-zu5tg
    @SofiaMvungi-zu5tg 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni miaka mitatu ss tangia ututoke lkn naona bado uko hai RIP mpendwa wetu

  • @silasmakokha2264
    @silasmakokha2264 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuzidi kumkumbuka Rais huyu John Joseph pombe Magufuli.

  • @frankmwandu7296
    @frankmwandu7296 5 ปีที่แล้ว +4

    Safmzee mungu akubarik sana

  • @sarahnyambaka5885
    @sarahnyambaka5885 3 ปีที่แล้ว +4

    kumbe magu watu awakukupenda kutoka kitambo. mungu akuweke mahali pema peponi

  • @maryrweyemamu7825
    @maryrweyemamu7825 5 ปีที่แล้ว +19

    Hapo ndipo unapoamini usemi usemao mbeba maono hafi nilazima yatimie Atukuzwe MUNGU alie kuokoa na kifo

  • @mamasteve0868
    @mamasteve0868 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupumzishe kwa aman

  • @robertjosephat3934
    @robertjosephat3934 5 ปีที่แล้ว +2

    Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa ndiye muasisi wa mfumo wa Taasisi,uwajibikaji na kujiamini kwa Watanzania ndani na nje ya nchi katika kipindi chake kigumu cha Ukoloni mamboleo.
    Hongera Mzee wetu,hakika umetufundisha mengi katika uongozi wako,tutaendelea kujifunza mengi na kujisahihisha inapobidi pale ulipokosea.

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi mbona wazee wenye upeo mkubwa wanazidi kufa na tunabaki na vijana wenzetu,wenye vibuli,wizi na matapeli